Ustadh haji kwny hili jambo la tiba asilimia kubwa hao mashehe wake wanatutapeli sanaa hasa wazanzibar. Allah atuongoze
@lacroquetalacroqueta68137 ай бұрын
MashaaAllah
@sulekhan71197 ай бұрын
😂😂😂Njaa kali
@AbubakaliShabani7 ай бұрын
Asalam alyikum warahmatullahi wabalakatu shekhe wangu naomba uniunge ktk magrup yako ya darasa za kusoma
@AutoCarimo7 ай бұрын
Vijana wenzango kazi
@AimanHazar-k5oАй бұрын
Nyei kila kitu watu hawajui
@suleimanrashid84957 ай бұрын
TCRA tunaomba ifungwe hii channel ya huyo jamaa
@MiishHassan-qm1et7 ай бұрын
Ama tumrippti ndio ifungiwe haraka🥱😂😂
@generalchannelgapuli70552 ай бұрын
Almuhim ni ujumbe
@YahyaAli-o9z7 ай бұрын
Asslm alykm akhii fiillah hii style ulokuj nay ww so mzr Wala sikatk tabia ya wema waliotangulia kwanza kinachonichukiza mm kwako ni haya maneno unayo andk ktk maudhui Zak ungejarb kutumia maneno mazr
@mudrickbachan24427 ай бұрын
duuh mtihani huu mwalimu
@AimanHazar-k5oАй бұрын
Wewe uko Zanzibar au pemba...kwenda chaina...au napel...au kwenda... Jamaica... mbona utawakusesha wengi...
@AimanHazar-k5oАй бұрын
Nyinyi mnasubiri MTU akishaanzisha mada.. ndio munajifanya munarekebisha.umma
@generalchannelgapuli70552 ай бұрын
و ما حكم إمام مثل ذلك رجل
@AlbaloshiAlbaloshi-f1w7 ай бұрын
Achukuliwe atuwa Kali kabisa asije aka upoteza Ummaa , kwa ajili ya Allah fanyeni haraka wepesi
@wazirimwanyoka79497 ай бұрын
Doh
@dancanmusakhionganyo42707 ай бұрын
😢😢😢
@alijuma99517 ай бұрын
Mtihani
@CLEVERBOY004-cr5cc7 ай бұрын
Ustadh haji ushawahi kuwa na darsa mskiti wa Hawaii?
@YakubuMursali7 ай бұрын
Kazi ipo
@abdulkarimsalum3567 ай бұрын
Tunatakiwa tupate mafunzo jamani tusilazmishe kutafta umaarufu wakat hatuna elimu
@PongwaHamdu7 ай бұрын
Mhh mtihan kwa kwl
@mussamtupa7 ай бұрын
Zamani ilikua huwezi kusimama mbele za watu mpaka Shekh alie kusomesha ajilidhishe kama unaweza Hiyo kama haitoshi atatafuta shekh mwengine akusikilize akijiridhish ndipo uruhusiwe kusema Hata ukitunga kitambu lazima kipitiwe na mshekh mbalimbali Kisha ndipo unarusiwa kuki toa mbele za watu Sasa hivi hayo hayapo
@SaidRuhamba7 ай бұрын
Allah akulipe umetuelimisha sote Amin.
@mussaissa67967 ай бұрын
WANACHUONI WANA SHIDA SANA,YAANI SHEIKH UTHMANI MAALIM JINA LAKE LINACHAFULIWA KIASI HIKI!! INA MAANA MTU ASIYEMJUA SHEIKH UTHMANI MAALIM HALAFU AKAAMBIWA HUYU NI MWANAFUNZI WAKE, BILA SHAKA ATADHANI KUWA NA HUYO SHEIKH WAKE ATAKUWA HIVI HIVI ALIVYO MWANAFUNZI WAKE.
@furahajacqueline13397 ай бұрын
Mjini shulen wajameni😂😂😂ili mradi mkono wend ki nywani😂😂Allah atuongoz 😊
@nouraynaasheikhunkabir37497 ай бұрын
Nimemsikia akisema ذالك kwa tanwiin , dhaalikan 😂😂 Maa shaa Allah jamaa anajua hadi hajui tenaa😂😂
@hassanally4467 ай бұрын
Kweli kabisa shehe
@badrudiniabdulkarim10597 ай бұрын
Ustadhi Hajj mimi ni mtupu ila huyu kazidi😂😂😂 hayo makosa ya kinahau hapo hata mwanafunzi wangu hakosei hivyo😂😂😂😂😂
@AbdulIssa-o7e7 ай бұрын
Hajji upepo ana raana za kutukana wanazuoni wakubwa utubu kabla hujafikiwa na malaku lmautti mr.upe po umetafuta kiki duniani umesahau kesho kuna akhera
@mwanamutemi7 ай бұрын
wajua aana ya LAANA ? wewe ni msanii ? Upepo anatafuta kiki gani hapa ?si lazima uandike kama huna cha kujulisha Umma,unajiaziri
@AbdulIssa-o7e7 ай бұрын
@@mwanamutemi raana kuwa mbali na rehma ya Allah hasa atawatukanaje maulamaa wakubwa na mtume alisema wanazuoni katika warithi wa mitume hata kama wanakosea unawsema kwa adabu lakini huyu anawatukana wanazuoni wakubwa atakuwa karibu na allah sasa unavyo dhani lazima uwe mbali na rehma za Allah unamtukana mwanazuoni anavuta bangi hata kiarabu chenyeww akijui vzr hata kiting'a kitabu kimoja hajawahi tunga ummah ukamjuwa kama kuna hajji upepo raana kukaambali na rehema za Allah nyama ya wanazuoni haramu ww unaowatukana siutakosa razi za Allah
@AbdulIssa-o7e7 ай бұрын
@@mwanamutemi unawwtukana wanazuoni wanavuta bangi na kitabu huna hata kimoja ulichoandika hata ulimwengu kujuwa kama kunamtu anaitwa hajji upepo unawwtukana wanazuoni na kuwasema vibaya utakosaje raana za Allah unamsema mwanazuoni anavuta bangi ndo adabu hiyo
@AbdulIssa-o7e7 ай бұрын
@@mwanamutemi raana kuwa mbali na rehma za Allah je anaemtukana mwanazuoni ataridhiwa na allah siutawekwa mbali na rehma zake ilmu enyeewe mwenzangu na mimi bado unaingia mitandaoni kuwashambulia wanazuoni na kuwaita wanavuta bangi subuhana llah ndo shekhe huyu kijana au shekhena kama anawazazi wamshauli mwanao anapotea ulinganizi wakutukana mashkhe wakubwa mtume ndo akufundisha uislamu wa namna hiyo??
@mwanamutemi7 ай бұрын
@@AbdulIssa-o7e naomba nitajie matusi na pili maje huyo mwana chuoni alotukanwa pls
@abubakarnassor82807 ай бұрын
Nyie wanafunzi nyote inabidi mwalim wenu akupigeni bakora ww na uyo she idi nyote wanaume hawatakiwi wawe hivyo punguzeni mipasho nendeni kwa Mwanachuoni wenu Othman Maalim mukaekane sawa
@HamoodKharboosh-sw4qu7 ай бұрын
Subhanallah,sheikh mtafuteni mumuongoze maana kuna wanao muamini anawapoteza katika kusoma qur'an jambo ambalo si zuri.Hata kama ame block namba yako na unajuwa anapoishi basi mfuateni.
@AimanHazar-k5oАй бұрын
Sisi tunamuelewa
@hasubukhamis15797 ай бұрын
Huenda ana majini
@allynassor28517 ай бұрын
Haahaaaa fani ya thanawi
@allynassor28517 ай бұрын
Fisadi mkumbwa zaidi ni mjinga anaefanya Ibada iddi akubali kusoma aisiw ni mtu wa malimwengu
@hythamhashiem44586 ай бұрын
Kweli elimu ni bahari ndio na yeye akazama
@lailafakhihaji7 ай бұрын
Atakua kichwa hakipo vizuri msamehe tu
@AimanHazar-k5oАй бұрын
Lugha ya kiarabu sio lugha yetu
@generalchannelgapuli70552 ай бұрын
Basi mufundishe
@SabiyaSwaleh7 ай бұрын
Sheikh kule kuku block peke yake kumetambulisha .. hana elimu ya kutosha .....
@omanoman20447 ай бұрын
Huyu ni njaa inamsupuw wallah hajielew huyu asikuumize kichwa
@hamzamohamedKeslivol7 ай бұрын
Bado Makosa ya Mtandao haijaanza kufanyiwa Kazi Tanzania
@hamadyussuf53077 ай бұрын
Iddi njaa inasumbua na Hajji anatafuta umaarufu, 😢 mtihani mzito
@HemedSerious7 ай бұрын
Wewe unatafuta kichaa
@HUSENSHARIF-in3nd7 ай бұрын
mm namuomba shkh hajj Aniunge ktka grop lake la wasap
@NasirJussa7 ай бұрын
Mimi kiukweli haji upepo sikukubali sana ila kwa hili nakusapoti asilimia mia Moja 😂😂
@HemedSerious7 ай бұрын
Wewe usimkubali muislam mwenzako inabidi ukubaliane na makafiri
@generalchannelgapuli70552 ай бұрын
Hhhhhhh
@AbuuKhuzaymah7 ай бұрын
Pengine jamani hajui nakufundishwa anajiskia aibu mm naomba mumchukulie hekma
@UmmuJauzan7 ай бұрын
Lakini nia yake njema kufikisha ujumbe
@omanoman20447 ай бұрын
Siku hizi zanziba imebadilika sii zanziba ya miaka ya nyuma sihuko tuy hata uarabun wamehamia huku anae toka pemba am unguja wamekuw wezi wanaibia watuy pesa mizigo mtihan san
@RwegasiraHelmanBENJAMIN-lj7lm7 ай бұрын
Huyu kweri ni tapeli wa mjini
@Burange6667 ай бұрын
Anafaa achomwe moto atoswe baharini.
@HamisAlly-g6m2 ай бұрын
Nyinyi mnaoneana choyo wewe na idii mnajuana vizurii lkn wewe ni husdar TU Acha uhusda haji hujielewii mnatia Aibu Dini
@Ahbabrasulintegratedacad-ok7uh7 ай бұрын
Msiba mkubwa huu
@Burange6667 ай бұрын
Kiarabu cha Mwera huyo ndiyo Mufti wao inaelekea anavuta bangi huyo Shehe Idi Ukwaju bin mabangi.
@lacroquetalacroqueta68137 ай бұрын
Mpe udhuruu🙈
@siti31977 ай бұрын
Hivyo sio krekebisha mtu kama yeye halikutaguta mbon ww usimtafut .uko kando sio sawa ndugu zangu. Waislam
@RayaRashid-qc8cn7 ай бұрын
Tapeli kapatikana,😂😂😂😂
@generalchannelgapuli70552 ай бұрын
Kujya Uganda utashangaa wako kama huo
@iddijumaali71927 ай бұрын
Kwani haji uzawwijuka ni fiilu gani😂😂😂
@HUSENSHARIF-in3nd7 ай бұрын
Mm nakuomba shekh uniunge ktk grop lako lawasap
@ZakirIbrahim-zv4ik7 ай бұрын
Kwanza kabisa kwa ushahidi uliopo alitakiwa akabidhiwe kwenye vyombo vya sheria kwa uchunguzi, KZbin yake ingefungiwa kwa muda, kinachonishangaza mimi huyo badala ya kufundisha namna ya kujikinga anafundisha namna ya kumdhuru mtu
@samuelmuthui46997 ай бұрын
Waalimu wa dini wawe na vyeti. Kuwe na chombo cha kudhibiti...
@abdul_azeez_almaamir7 ай бұрын
Jildil kibsh 😂😂😂
@mattarjaiskel46257 ай бұрын
Sheikh usisahau kuwa kuna hadithi ya mtume rehma na amani ziwe juu yake inayosema watu wenye elimu siku ya hukumu Allah atawaita na atawauliza ulikuwa ukifanya nini mja wangu na huyo mja atasema mimi nilikuwa nikiwafundisha watu dini yako na Allah atasema kumjibu mtu huyo kuwa wewe ni muongo hukufanya kwa ajili yangu lakini ulifanya ili watu wajuwe ni kiasi gani una elimu na halafu ataingizwa motoni. Hivyo jamani yapaswa kila tunapofanya jambo tulikaguwe tunafanya kwa ajili ya nani na kwa msukumo gani.
@AhmadMohamad-ew8vo7 ай бұрын
Kama kweli ungependa kumkosoa basi ungemfata pembeni na sio hadharani
@MulhatAly7 ай бұрын
Sasa ss tungejuwa vp
@abuujihad84117 ай бұрын
Unaongea sana ila ww unaonekana hujui chchte umetumwa inaonekana kakushinda
@hythamhashiem44586 ай бұрын
Ni vipi mtu huyo? Lakini Mtume asema إذا لم تستحي فاصنع ماشئت أو كما قال عليه الصلاة والسلام
@thamani58427 ай бұрын
Kila usiku ukacha hali inazidi kua mbaya. Yaani mtu unatapeli kwa kujipachika ushekh usokua na kichwa wala miguu
@FatuNahimana7 ай бұрын
Sasa jamani viyongozi waki islam wako wapi mtu kama huyo kwa nini hawa mu adabishi
@jumamohamed6287 ай бұрын
Habiiby naomba uniunge katika group lako la Wattsapp
@hajiupepo31467 ай бұрын
0776119341 Tutafute watsap
@furahajacqueline13397 ай бұрын
Asalam aleykum upo Tz?@@hajiupepo3146
@ahmadally55547 ай бұрын
Eti shkh hajj unajiita shkh ww
@HemedSerious7 ай бұрын
Tukuite ww mwehu au
@rashidhemed14447 ай бұрын
Weye unamkosoa nendeni basi mukatoe chalenji
@nouraynaasheikhunkabir37497 ай бұрын
Elimu bahari ndio maana anazama 😂😂
@AnziziAbudo7 ай бұрын
musimuwache atatupoteza😮😮
@JumaRajabHaji7 ай бұрын
Yaani nyote wawili munapaswa mukakae kitako kwa Masheikh musomeshwe, musitiane aibu mwenye elimu hajisifu namna hiyo. Hebu watafuteni wenye elimu muisikilize midahalo Yao. ألا بذكر الله تطمئن القلوب
@AbuuAnuwar-ip7dr7 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂 Eti anafani ya thanawy
@mussaabissallamy9947 ай бұрын
Mm sijasoma lkn kwa huyo jamaa apo hamna kitu
@abuubabamzazi7 ай бұрын
Mm nataka kuminyanatu😂
@MWAMBAZanzibar7 ай бұрын
Huyu sheikh ungeachana naye tuu naona kama vile umemtangaza tu
@hassansingano11507 ай бұрын
Uyo anasoma kama ilivyo andikwa katika kitabu chake. Awo wako wengi sana