Sheikh shafii sasa hiyo ndiyo inayoitwa RADD!!amefanya kazi nzuri!!ALLAH AKUONGOZE KWENYE SUNNAH KWA UFAHAMU WA MASWAHABA WA MTUME صلى الله عليه وسلم
@faiqaanwar72684 ай бұрын
Allah atujalie mwisho mwema kwa kila jamii islam.ishaalah amin mola ishaala atatunusu
@SaadIssa-c9o7 ай бұрын
Mashallah sheikh Shafi mungu akuongezee kheri kwa kuwaelimisha watu,na kupinga ushirikina inshaAllah uachane na bid'aa za maulidi😊
@AminaSalim-vs8ve6 ай бұрын
Bismillahi rrahmaani rrahim, na kwake yeye tunaomba msaada.waislamu kwa waislamu ni ndugu sasasi vyema kugombana bali nivyema zaidi kueleweshana na kukubaliana. Tuendelee na mjadala huu kwa kutafuta hoja kupitia quran, hadithil quddus na nabawwiy pia maisha ya mitume, maswahaba, matabiiina na tabii wa tabiina inshaallah tutajbika swala letu, na kupata faida zaidi InshaAllah
@adijamuke85907 ай бұрын
Shekhe Shafii Allah akulipe kilalakheri fi dunia wali akhera Unaonge ya kweri
@HassanOsimine7 ай бұрын
Shee shafi mzee wa kusafisha mazingira MashALah
@migwa1006 ай бұрын
Sheikh Shafii nakukubali Allah akulipe kila la kheri. Mm nakufuatilia sana katika mada zako.
@barkyabdallah1707 ай бұрын
Mashallah sheikh Allah azidi kukupa umri mrefu na zaidi akupe jannat
@Nily-kz3db7 ай бұрын
Sheehe Shafii Allah Akulpe kher kw Mafundsho yk Mazur
@aminabdalla782416 күн бұрын
Sheikh shafi nakupenda kwa ajili ya Allah ☝️
@Mwana-d1u2 ай бұрын
Shekh shafii mungu akuongoze katika njia iliyonyooka zaidi, big up kwako kaka, nakupata nikiwa oman nafarijika sana na mawaidha yako ukweli mtupu na uogopi kumpa mtu ukweli. Naomba no yako msaada zaidi
@issamuhibu-dd5eu7 ай бұрын
Inshaalla mungu amlipe makazi mema peponi.
@jafarinahonyo3943 ай бұрын
Mashallah Allah akuongoze shekhe shafii na akulipe kheri na amuongoze sulle ktk njia iliyo nyooka ameen
@AminaSalim-vs8ve6 ай бұрын
Sasa kama mlivyolianzisha!!( nina imani kabisa kwa nia safi basi kuna kazi nyengine ya kulisawazisha) naomba mashekhe wangu tuwe fasta juu ya hili kwa ni tushawatoa watu walikokua na kuwapeleka kwengine. Iko ivi!!! Ndani ya uislamu anaeshea wema, kila areutenda wema huo yy anpata thawabu, na anaeshea uovu basi kila ataeutenda atapata dhambi, mashekhe wangu, yuko anaehimili kubeba dhambi za mwenzie? USTADHSHAFI!!¡big up sheikh wangu pull up your socks!!!
@yusuphsuphian85217 ай бұрын
Asante sana sheke shafii mungu akupe nguvu
@chrispinrafael38313 ай бұрын
Mimi ni mkiristo ila uwa nakupenda sana maneno yako
@OkayaYahya7 ай бұрын
Sawa kaka, mungu akujalie kila la heri.
@basharahamtzhalisi68714 ай бұрын
Namshukuru ALLAH SUBHANAHU WATAALA kumjaalia Shafii kuonesha na kuukemea Ushirikina katika Uislamu.
@SADABEJA5 ай бұрын
Alhamdulillah,ALLAH atuzdshie umr na afya.umefafanua vzur sana.maana wengne tulshachnganyikiwa ssana baada yakskilza.ALLAH amludishe doct sure ktk maana na yy anaelim kbwa saana
@HassanNdarama6 ай бұрын
Allah akulipe kheir nyingi ins sha Allah
@AliomarAli-wu6br7 ай бұрын
Kweli sheik mungu akujalie ❤❤
@MengiMeng-fd7sq3 ай бұрын
Mtakuja kutoa ushahidi kwa allah. mnazungumzia pete amzungumzihi ndugu zenu wanao kufa somalia ❤❤❤
@jaffarichimbuvu9409Ай бұрын
Huna jipya hata hayakuhusu mbna huwendi kusaidia wa izlaeli wana dundwa na izibullha wangine wana jipiga wenyewe risasi
@abcmnbb26106 ай бұрын
Mashaallah tabarakaah Nakupenda kwajili ya ALLAH ❤ Sauti nzuri mashaallah Mungu akupe afya njema Naumri mrefu inshaallah ❤kiss
@saidamran32484 ай бұрын
Mash'allah. Kwa kusimama kweny mstari. Uko nakuelewa kinyama broo.
@allyfutto87636 ай бұрын
MashaAllah mawaidha mazito mungu akizidishie nguvu na uwezo Aamin
@issackadan77027 ай бұрын
Jazakumullah kheyr
@SheikhaKhalfan-z7e6 ай бұрын
Mashallah darsa nzuri
@hatibumohamedi34717 ай бұрын
جزاكم الله خيرا و احسن الجزء
@hussenhussenathuman28116 ай бұрын
Sheikhe Shafi Allah Akulipe Kheri Ishaallah Kwa Elimu Unayo Tupa Sheikhe Wangu
@muzigemunanindambwemwenemb60354 ай бұрын
Hongera sheikh uko vizuri shukran
@IbrahimBernad7 күн бұрын
A salaam alley Kum
@MariamSaid-k6g6 ай бұрын
Uko sawa ustadh
@Chaneli.kalikulikoVT4 ай бұрын
Nikweli shekhe ujakoseya mashallah Allah akuifazi
@OmaryHatibu-f1f5 ай бұрын
Mungu ndiye muweza yesu ni mtume kama mitume mingine
@kuchimillionaire66835 ай бұрын
Yesu ni bwana na mwokozi: Yohana 14:6 Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi.
@kuchimillionaire66835 ай бұрын
Yn 1:18 Hakuna mtu aliyemwona Mungu wakati wo wote; Mungu Mwana pekee aliye katika kifua cha Baba, huyu ndiye aliyemfunua.
@YusuphMbwilo-xh9mu4 ай бұрын
Mtume alikua muhamad ndomana alijalibiwa akafa kweri inatakiwa mjuee nyiee msio jua yesu niufunguo wambinguni muachen aitwe mung yesu ni mungu mfate upate kukombolewa ivo
@EmanuelMduma-uo7lb7 ай бұрын
Ndio mana nawambie kiboko ya yoyote njooni kwa Yesu
@EmanuellMaduhuEmanuell7 ай бұрын
Kwer
@winnieofutare53247 ай бұрын
Kabisa yy ndio njia na uzima wa milele
@Twahirpizza19946 ай бұрын
Yesu hayupo wamebakia maaskofu wa uongo Wenye kutumia uchawi wa mashetani wanasingizia wamepewa miujiza
@yassinhamza19696 ай бұрын
Yesu yupi huyo alievuliwa nguo na kubak uchi na kuuawa
@FadhilMsuku6 ай бұрын
Yesu mwenyewe muislamu
@SuleKuranho7 ай бұрын
Sheikh Shaffi Allah akuongeze insha'Allah. Ulikuwa customer wangu mkubwa Likoni.
Yn 1:18 Hakuna mtu aliyemwona Mungu wakati wo wote; Mungu Mwana pekee aliye katika kifua cha Baba, huyu ndiye aliyemfunua.
@kuchimillionaire66835 ай бұрын
Yesu ni Bwana na mwokozi
@GadafiIssa-u9l5 ай бұрын
Shukran san shkh kwakutukumbusha maan walimweng wa ss wanafany wanyoona sabab tumesahau qurani na suna
@ShabanMbaga-o8u2 ай бұрын
Shekh shafii nakukubali sana Allah akulinde unaongea ukweli mtupu Waislsm tunapingana wenyewe kwa wenyewe
@DodomaTanzania-r5z5 ай бұрын
Uislam si dini ya mungu
@Hawael-ek1ev3 ай бұрын
Uislamu ni dini safi na haijawahi kumpinga Yesu ila viongozi ndio wanayumbisha waumini...sasa viongozi hao wanatakiwa kuwa wa kweli
@Hawael-ek1ev3 ай бұрын
Uzuri vitabu viko wazi kuna mambo hayatakosekana ili unabii utimie
@Hawael-ek1ev3 ай бұрын
Hayo yote ni mbinu za ibilisi kuleta migongano kati ya dini na dini ili mwisho wa siku iundwe hoja ya kuwekwa sheria ya dini moja ya jumapili....sasa viongozi wanatakiwa watambue majira na nyakati tulizopo
@Ashunemum7 ай бұрын
Masha Allah kweli kabisa
@EdyAbudo5 ай бұрын
asamte shekh
@MustafaGolden-np9qy7 ай бұрын
Sawa sawa
@JABIRHamdu2 ай бұрын
Yesu ni imani yako tu sio waisalam
@albertvalentino1306 ай бұрын
Hadithi za kizee ---- Yaani hata hujui anazungumzia nini,anatoka wapi anaenda wapi --- ubabaishaji mtupu ---- " halafu wamapenda kudanganyana "
@Bakari-j4h7 ай бұрын
Namkubali sana uyu shafi na kjna mashekh wengine wsnaamini Pete za majini zipo na Pete ys bshati ipo huo ni ushilikina😊
@AminaSalim-vs8ve6 ай бұрын
Namaanisha jamii ya kiislam tokea kutokea kalima hii(waislam wanaruhusiwa kutumia majini ktk kujitafutia utajiri)(kwa kupitia PETE ,) hakika jamii imeparaganyika mno. Msione tu kwamba tunaongea hapa mtandaoni labda kuonesha kwamba tunaujua saaana dini, mashekhe wangu!!! Wajisemee watoto, hakiki mmeliamsha.
@OmarmamudoBaissa4 ай бұрын
Inshaala
@AmadHassanRashid6 ай бұрын
Hnshaallah
@allyabubakari59407 ай бұрын
Hii ndyo vita ya kifkra kweli Niatari sana na watu wengi awajalingundua hili
@Mwasame_Official17 ай бұрын
Mungu wa waislamu si Mungu kweli ni mkatili muuaji ,,wakristo mabishop wanadungwa visu mathabahuni kweli huyu ni Mungu gani?? Waislamu
Alhamdulillaah Sheikh msichoke kuelimisha Mashetwain wa kijini na kibinadam wasitufitinishe In shaa Allaah
@HedayaCorwa5 ай бұрын
Kweli shekhe
@DidaManzi7 ай бұрын
Sawa saw shekh shaf
@GadafiIssa-u9l5 ай бұрын
Mashaalah
@HamisiKalanje6 ай бұрын
Alahamdulilaaaah niongoe ya jabali
@Ezekiel-rh2ni7 ай бұрын
Safi sana sheikh umenena kweli
@RashidiFuko7 ай бұрын
Unaeleweka shehe kuna watu wanahalibu dini kwa masilahi ya kidunia hawamuogopi Allah hata kidogo
@abdallahjuma26087 ай бұрын
Mashaallah
@MasudiSalafi5 ай бұрын
Radd!! Kweli sheikh mungu atufishe kwenye sunna
@rehemashebani37112 ай бұрын
Nilikuwa Sina hali yakuwasomesha wanangu nawapeleka madrasa tu nilifatwa na pastor m'moja kaniambia hayo hayo ya commpasion watapatiwa wazungu wasomeshwe tena jumamosi na Juma pili wakaimbe kanisani nikamjibu bora wabakie madrasa wakanichoka na Allah aliniwezesha wa kasoma vizuri tu alhamdulillah
@ChingiriMadom2 ай бұрын
Safi sana udugu yangu jibora mtoto some madras kuliko kwenda shule za ghalama Mungu akutangulie
@HAMISISHABANIDAUD7 ай бұрын
Uko sawa kabsa
@martingeorgenzali56146 ай бұрын
Shekhe...Wangu-Ninae...Mkubaligi...Dayre...Niweye....Na..Dr Sulle
@bostonbensonkapute52747 ай бұрын
MASHALLAH!
@baysomapea5007 ай бұрын
Mashehe mnatuvuluga
@RajabuAbrahaman-l6x6 ай бұрын
Shekh shafi muhimu kukumbushana kama mtume kakumbushwa na alla kuhusu asali basi Kila mtu akikosea akumbushwe
@JnatJaaa4 ай бұрын
Kweli sheikhe
@sadathboutique62536 ай бұрын
Shekh shafi akili kubwa sna
@Kisigino4 ай бұрын
Lazima Yesu kristo mumkubali
@awadhrajabu14037 ай бұрын
Dini Aifi Isipokua Watu Ndio Ufa Kimawazo Mashee Hela Kwanza Wauze Pete Maji Mafuta Kitabu Simu Yani Siku Izi Mungu2 Atusamee
Wama akharatu waljini walinsi ila liabuduni.(Inshaalah)
@khamisisalim57427 ай бұрын
Ni khalaqtu si akharatu
@allysaidlyambange45006 ай бұрын
YAANI WAISLAM TUSOME TUU QURAN ILIYO TAFSIRIWA TUUJUE UJUMBE BARABARA
@Antelius-ew6it6 ай бұрын
Wala hatuwashambulii Shehe
@OmanOma-xi3hm7 ай бұрын
Shekhe sha fi uko vzr wakrito hawajui maana kwe ndomaan yesu aliwaambia wagaratia nana aliewa waroga akili wakuelewe ss
@bongotel58237 ай бұрын
Chuki kwa Wakristo ndicho ulichoambulia kwenye hayo mawaidha... je ndio moyo wako umejaa chuki tele umejifunzia wapi?
@XhebbyMandevu-u1h6 ай бұрын
Kumbuka dini ni mapango wa mwanadam kumtafuta Mungu na ndiomana dini zipo nyingi na ukumbuke uislam wenu uo ulikuja baada ya ukristo 😂 endeleeni kusubilia masulia 100 na wake 1000 mbinguni 😂😂wasela sana nyinyi
@OmanOma-xi3hm6 ай бұрын
@@bongotel5823 utakapo ingia moyoni utajuahujui hiyobiblia yenyewe hamsomiayote kwannmnadangnywa zile kutasa mnazoniachandizo zenyeukweli kua hiyo diodin ss Baki na ugaratia wako kilamti na maisha yek njianimbilit chagua uitakayo
@suleimaniddi7 ай бұрын
Salaam kaeni nyumbani mtowane makosa kuliko kuliko kuwapa faida watu au kujigamba mtandaoni si vizuri kuwapa faida watu.
@SalmaMakame-s8u6 ай бұрын
Bora aseme walewalio sikia mwanzo wakisikia watajilekebisha ila anae milikimajini kwa Sasa nimshilikinatu
@YusuphMbwilo-xh9mu4 ай бұрын
Ndomana wa kiristo wana twambia tumfate yesu tupate ku kombolewa tuna kuwa wabishi siunaona tunavo changanyana wenyewe kwa wenyew kweri yesu nimungu mbona ata vitabu vyetu avimpingi vinasema yesu ana zambi ndiyo bas inasitaili kumfata tusiwe wabishi
@smadon56384 ай бұрын
Mbona Yesu ni Mtume tena wa Kawaida tu😂😂
@BilalMuhammad-jt6sq3 ай бұрын
Wewe mjinga
@rashidihusseni-c8x3 ай бұрын
Mfate yesu mwanaume alietailiwa.kuwa ndomunguwako esabuyako Utaikuta ahra
@Jamalmyumbo3 ай бұрын
Yesu kateuliwa na nani kuwa mungu nani amekwamby?
@msoffeahmed55453 ай бұрын
Soma dini yako usisubiri kuhadithiwa au kusikia kwa mwingine, soma ili usiyumbishwe
@zuberimohamed435 ай бұрын
Yaan kuna watu wamerithishwa misimamo na masheikh wao siyo dini kwa kufuata vitabu na kuchanganua hoja wana mengi ya kujifunza kwa SHEIKH SHAFII
@thomasgogomoka64045 ай бұрын
Katikà Uislam Uganga ni Ibada na suna, Shehe sule piga pesa za kuwatibia majini, kwanza unatumia Kitabu takatifu kufanya Uganga wako. Kinachowasumbua hawa ni chuki maana Shehe sule umewazidi mbali sana
@anwary_sultan5 ай бұрын
Huu msiba kwakwel hv uo uislam inaosema uganga ni ibada na sunna ni wawapi? Umepotea jamaa na umepotea potelea pote uko giza nene Allah akufanyie wepesi uione nuru utoke katika ushirikina..
@OmarMohamed-bs2hf7 ай бұрын
Mm naomba kuiliza kwa Nini mashekhe mnapiga sana vita Pete na haliya kuwa nyinyi mumevaa kwa Nini Tena utakuta mtu ana Pete 4
@halimaa93677 ай бұрын
Kweli maneno yko shekhe
@faiqaanwar72684 ай бұрын
Sheikh shafi uwa na kupenda buree
@saidisalum-v2r6 ай бұрын
SASA NAWEWE MBONA UNAMPIGA RADI SULE UNACHEKESHA SANA
@SeifMasoud-cp2rd7 ай бұрын
Subuhana lh
@KibibySaide7 ай бұрын
Sheikh shafi mimi docta sulle si muamini naona anafania beishara
@Tajiriabasy7 ай бұрын
Sheikh wa maana sana huyuu
@KhalifaChuma2 ай бұрын
Kwl kbs akunalolote hta mm nmeshakul sna nazi za waganga nakuchukua hel zao ndog ndog Ambazo walizokua wanaziwekg ktk vibanda vyao vya mashetani
@JohnOuya-w7j7 ай бұрын
Sheikh safi fundisha waaumini ukweli acha kupoteza watu,mbele yamungu na mbele ya nabii isa,hakuna motor Haram wote wanafaa nihalali,laminitis kwako niharamu, usitupoteze sheikh safi,
@OmariBusimba5 ай бұрын
Hii
@MIKIDADISHABAN-l5d7 ай бұрын
We acha bidg'aa kwanz 😊😊😊
@RashidShedaffa-v9x4 ай бұрын
Nawachukia Mashekhe wanaoendekeza malumbano. Sanasana wanazidi kuharibu badala ya kujenga. Tumieni busara ktk kuelimisha na kukumbushana.