Nasheed: YAMENIKUTA (Alwan K. & Khamis K)

  Рет қаралды 273,141

NEW STAR RECORDS - PEMBA

NEW STAR RECORDS - PEMBA

Күн бұрын

Пікірлер: 183
@ahmoudalbahsany1819
@ahmoudalbahsany1819 Жыл бұрын
Dah! Mashaa Allah khamis k na alwan wametuwekea ujumbe mzito kuhusu wazazi hvyo tunapaswa tuwe makin Sana na wazazi wetu jaman Kwa ujumbla hongereni new star record Kwa ujumbe mzito
@bakarfarsi4162
@bakarfarsi4162 Жыл бұрын
Khamis K na Aalwan K nyinyi mtu na mdog wake ama MashaAllah MashaAllah niliahid zawadi kwako na nikatekeleza nahii naahidi tena kweenu MashaAllah MashaAllah
@nicodemusmathias-g9n
@nicodemusmathias-g9n Жыл бұрын
mashaallah! naomba tusiwaswahau wazazi wetu na ndugu zetu pindi tunapofanikiwa tuwe makini sana katika swala hili
@magashazaz5484
@magashazaz5484 Жыл бұрын
Aiseeeee sio poa leo umeentia mafua kwakweli niw mkwel bro Khamis K ujumbe nimzutoo😭😔😔
@Kokhaako
@Kokhaako Жыл бұрын
Mama Samia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa heshima na taadhima vione vipaji hivi na uwasaidie. Hawa vijana wanaielimisha jamii lakini hawana mfadhili Wala muhisani yeyote wakuwawezesha. Nimatumaini yangu kuwa uupatapo ujumbe huu mama utawasaidia hawa vijana ili wazidi kuyaendeleza mafunzo haya ambayo ni elimu tosha Kwa jamii. Pia nimatumaini yangu kuwa watajitokeza wafadhili watakaowrza kuwasaidia ili hazina hii isipotee na iendelee kubakia. Wabillah Taufiq.
@bisharamassoud3511
@bisharamassoud3511 Жыл бұрын
Ujumbe mzr Maa shaa Allah, kuwa mbali na family zet isiwe sabb y kuwsahau wazaz wet😪😪
@ibrahimammar7800
@ibrahimammar7800 Жыл бұрын
Mashallah mashallah kazi kubwa sna na ujumbe mzur wa kusisimuwa nawakubali sana
@nassorkhamis7091
@nassorkhamis7091 Жыл бұрын
TUNAPENDA KAZI YA PAMOJA MUTULETEE
@ibrahimammar7800
@ibrahimammar7800 Жыл бұрын
@@nassorkhamis7091 inshaallah musjaly
@asiak643
@asiak643 Жыл бұрын
MashaAllah MashaAllah MashaAllah Nasheed nimzur imepitiliza
@seifalihamad4952
@seifalihamad4952 Жыл бұрын
Dah mimi najikutia namwaga machozi sio kawaida allah awazidishie ujuzi ujumbe umefika kwan katika jamii zetu wapo wingi wenye hilo tatizo dah mungu tuzidishie iman mbele ya wazazi wetu.
@khalefcanal6600
@khalefcanal6600 Жыл бұрын
Kongole kwako khamis k na alwan k na studio 🎙️ yetu kwa kazi kubwa sana hii ni kazi ya Dunia nzima kuwahi kutokea ❤❤ lkn ulivyotekwa kijana wangu umenichekesha sannaaa😂😂😂😂😂😂 director pia amefanya kazi kubwa
@suriamaalim6887
@suriamaalim6887 Жыл бұрын
Jamani nimelia hakika hu ni ujumbe umefika na ni fundisho kubwa Allah awalipe ujira mwema kwa elimu mloitoa
@lutfiakombokhamis7038
@lutfiakombokhamis7038 Жыл бұрын
💕💕💕Ma sha Allah💞💓 Jmn wazaz ndio fungu ndio ngao barka pepo tuwe makin sana hapa 💯💯💯💯 fantastic ☺️
@othmanhamad64
@othmanhamad64 Жыл бұрын
Kwanza raha kesha inafunza Sana
@hashyatkid1716
@hashyatkid1716 Жыл бұрын
Kazi ina mafunzo makubwa sana Allah atujaze mapenzi na wazazi wetu inshallah
@nassorkhamis7091
@nassorkhamis7091 Жыл бұрын
Amiiin hjmbo hashyat wetu
@ukhtyshuu1878
@ukhtyshuu1878 Жыл бұрын
Mashaallah mashaallah kazi nzur sanaaaaaa 💯💯💯❤️❤️❤️
@Kokhaako
@Kokhaako Жыл бұрын
Hivi kweli hakuna wafadhili wanaoweza kuwasaidia Hawa vijana . Tuseme serikali nayo imtia pamba za masikio na pia macho yao hayaoni siamini siamini.
@AminaHibraim-me6cu
@AminaHibraim-me6cu Жыл бұрын
Wako vzuri sana hawa jamaa mashaallah
@krkrocket9491
@krkrocket9491 Жыл бұрын
Daaah hapa mmenitoa machozi aaaa nyinyi watu mnatugonga nyoyo zetu
@shaibali9625
@shaibali9625 Жыл бұрын
Mashallah kazi ipo vizur Sana Allah awajalie na awasidishie kila la kheri na awape mafanikio mema hapa duniani na kesho akhera insha'Allah, kiukweli ujumbe umetufikia
@shadiashaaly3956
@shadiashaaly3956 Жыл бұрын
Huwezi kuishi bila radhi za wazazi Ya allah wajalie wazaz wet wawe miongoni mwa waja wa peponi AAAAMIN🤲🤲🤲🤲
@jokhasalim4835
@jokhasalim4835 Жыл бұрын
Mashaallah kazi nzur sana hongera sana . Allah awaepushe na hasad za walimwengu
@jokhakhalifa394
@jokhakhalifa394 Жыл бұрын
Hongereni sana Khamis K na Alwan K nasheed inasisimua haswaa
@abdyali1989
@abdyali1989 Жыл бұрын
Dah! Kwakweli ni lazima udondoshe chozi yaarabby tunusuru na janga la kudharau wazazi
@mamzain2021
@mamzain2021 Жыл бұрын
Mashallah mashallah nimependa ayo mapish tu mm 😋😋😋mko sawa lkn Allah awabaariki🤲🤲🤲
@amirybeka9602
@amirybeka9602 Жыл бұрын
Mashaallah. Wazazi ndio kila k2 wallah. Jana nimepata khabry kuna kijana kinuni kampiga mama yk mzazi. Nilihuzunika sanaa😢😭😭
@nassorhaji2637
@nassorhaji2637 Жыл бұрын
Innalillahi wainnaailaihi raajiuun daah khatari kwa kweli
@Kokhaako
@Kokhaako Жыл бұрын
Amejimaliza hasara yake arudi haraka akatake radhi Kwa mama yake amuangukie mpaka mama akubali vinginevyo ameangamia.
@HalimaAmani-cf4cb
@HalimaAmani-cf4cb Жыл бұрын
Pops 9o
@Abla_habiba02
@Abla_habiba02 Жыл бұрын
Innalillahi wainna ilayhi raajiu'n 😢
@mayasakhatibhajj787
@mayasakhatibhajj787 Жыл бұрын
😭
@bintyommy6310
@bintyommy6310 Жыл бұрын
Ujumbe maridhawa kabisa jazakallah kheir
@salmayahya5827
@salmayahya5827 Жыл бұрын
Mashallah ujumbe mzur t
@ulfeenbaky6415
@ulfeenbaky6415 Жыл бұрын
😭😭😭 nmeshindwa kuvumilia kwa kwel............ MashaAllah Kaz mzr wafalme wawili kw pmj hongeren sna ....ujumbe mzr sna
@rukiaashraf2367
@rukiaashraf2367 Жыл бұрын
😭😭😭 Yaa Allah tunusuru naa huu mtihanii 😭😭😭😭😭😭
@bintyalliy-bo4qx
@bintyalliy-bo4qx Жыл бұрын
Hakika nimeshindwa kujizui😭😭😭😭😭 inasikitisha na inahuzunikasha ujana unatuhadaa tukishapata kipato tunasahau wazazi mashallah Allah awazidishie vipaj vyenu mzidi kutufaisha kwa hili na lengine pia nawapenda san Kwa ajili ya Allah
@IshakaSaid-ux3mv
@IshakaSaid-ux3mv Жыл бұрын
Nashd ikochudaa ikovizur mash allh new star hain mpinzan
@Ukorofi04
@Ukorofi04 Жыл бұрын
ujumbe umefika huwo akhuiy😔😭
@hamadkassim9875
@hamadkassim9875 Жыл бұрын
Ahsante sana kaka Khamisi k kwa ujumbe mzuri kutoka maeneo ya nyumbani
@AsyaKombo-qi6yn
@AsyaKombo-qi6yn 7 ай бұрын
Masha Allah jaman inatia huzun nimetokwa na machoz watoto tujitahid na wazaziz wet ili tupat radhi zao 😭😭
@sabihahamadi2287
@sabihahamadi2287 Жыл бұрын
Hadi nimelia asante ni kwa ujumbe mwenyezi mungu atupe roho za imani tuwapende familya zetu
@nawwarali7086
@nawwarali7086 Жыл бұрын
Mashallh 🥰umetukumbusha ujumbe mzito🙏
@juhudiyaislamiya2660
@juhudiyaislamiya2660 Жыл бұрын
Allah atakulipeni kwa ujumbe mzuri kwa jamii
@saidzubeir2111
@saidzubeir2111 Жыл бұрын
Mashallah mashallah kwakwel KAZI imenywa na imefnyika vyema Yani niyenye ujumbe wakutosha Kwa wenye fkra na akili timam , Yaan umekmata ndipo kbsa niwengi wanajisahau kwa dizain kma hzi .,....
@asraoman735
@asraoman735 Жыл бұрын
Nashid hii inatia huzuni😭😭😭
@ishakakhamis8313
@ishakakhamis8313 Жыл бұрын
Daaa Kama ingalikua binaadamu Sisi tunalia machozi yadamu Basi damuyangu ingaliniishia ,Niujumbe Mzito Sanaa Wazazi nidhahabujamani Tuliowakimbia Kwasababu tunamaisha Mazuri Hapoulipo chanzo niwa
@sulempemba1747
@sulempemba1747 Жыл бұрын
Kazi mzuri sana mpaka inatoa machoz
@alimussa3457
@alimussa3457 Жыл бұрын
Duh I cry with tear Kwa kweli ujumbe uliobeba iyo nashdi ni mzito. May Allah grant your guidance and keeping with good work. Congratulations all of them new star records. ❤
@hozzanaevarist5645
@hozzanaevarist5645 Жыл бұрын
Nawapënda
@RahilKhafidh
@RahilKhafidh 7 ай бұрын
Hakika ni mafunzo makubwa , Allah awalipe kila lenye kheri kwa elimu mnayoitoa kwa jamii ,❤ tuwapende ,tuwajali na tuwathamini wazazi wet kwan pepo ipo chin ya nyayo zao ❤🎉
@Mussaabdu
@Mussaabdu Жыл бұрын
Mashaallah ujumbe mzur San Allah awalinde wazaz wet na awape mwisho mwema
@Mussaabdu
@Mussaabdu Жыл бұрын
Amiiin
@ramadhanmakame1328
@ramadhanmakame1328 Жыл бұрын
Maashallah, kazi nzuri Khamis
@saidbeja8676
@saidbeja8676 Жыл бұрын
MashAllah kaka wazazi ndio kila kitu
@hashimsalim6554
@hashimsalim6554 Жыл бұрын
Mashaallah mashaallah mafundi mafundi hamjawahi kutuangusha ujumbe umefika watafakari wenye akili
@nassorhaji2637
@nassorhaji2637 Жыл бұрын
Maashaallah Baaraka llahu feeq
@UmmyLove-rw1gs
@UmmyLove-rw1gs Жыл бұрын
Mashaallah kaka yangu
@FatumaAli-p5e
@FatumaAli-p5e 11 ай бұрын
Mashaalah kwa ijmb mzur mung awajalie kher😢😢😢😢
@JokhaSalimKhalifa-ly4xv
@JokhaSalimKhalifa-ly4xv Жыл бұрын
Mashaallah ❤️❤️❤️ ujumbe mzuri sanas 🎉😊😊😊😊😊😊😊😊
@issakarim4413
@issakarim4413 Жыл бұрын
Hongera sana ndug
@zahoral-miskir8862
@zahoral-miskir8862 Жыл бұрын
MashaAllah kaz safi inatia huzuni
@najmailalismaily992
@najmailalismaily992 6 ай бұрын
Mashaall nimetokwa na machozi 😭😭😭😭
@ahlamoffice7654
@ahlamoffice7654 3 ай бұрын
Mashaa Allah❤❤❤😊😢
@wadhhatbby4196
@wadhhatbby4196 Жыл бұрын
Hakika mumesema na ujumbe umefika 😭😭😭
@fahadkhelef4307
@fahadkhelef4307 Жыл бұрын
Dah honger San
@engineerkhamis9275
@engineerkhamis9275 Жыл бұрын
Kwakweeli, Masha Allah
@nadirmalengo6822
@nadirmalengo6822 Жыл бұрын
New star record tunahitaj tutorial za mixing na mastaring mtuwekee KZbin ili tuweze kudaidika kwa pamoja
@muhammadrashidi7529
@muhammadrashidi7529 Жыл бұрын
Ni nzuri
@RasaPro-d7d
@RasaPro-d7d Жыл бұрын
Kazi nzuriiiii mashalah ❤❤❤❤❤😊
@shmyredabdallah7821
@shmyredabdallah7821 Жыл бұрын
MaashaAllah,, hakika Kama hujaridhiwa na wazaz maixha ka2 vyema hayawez kukiendea,, Allah atuhifadh ce na wazaz we2 inshaAllah,, tupate ishi nao vyemah,, MaashaAllah Akhy🥰🙏Allah akuzdixhien n akubarikin inshaAllah 🙏
@AishaAli-x8q
@AishaAli-x8q 4 ай бұрын
Mashallah wallah ndipo pakujifunza hapa😢
@abdallamahmoud4207
@abdallamahmoud4207 10 ай бұрын
Mashallah kazi nzuri ❤❤
@salimkombo7949
@salimkombo7949 Жыл бұрын
Kazi mzuri
@ZulfaJuma-h8u
@ZulfaJuma-h8u 25 күн бұрын
Mashaallah naomba mutulete ujumbe mwengine vpz
@ETt-r3e
@ETt-r3e 4 ай бұрын
Hii nyimbo inatufunza kwakweli mashaallah
@fadhilkhatibu9220
@fadhilkhatibu9220 Жыл бұрын
Khatari sana heeeee 😭😭😭
@mpembainc
@mpembainc Жыл бұрын
Message kwa kaka na dada zetu wanaokwenda mbali, Allah akiwajalia kipato wanatusahau sisi ndugu zao na wazazi wao pia. Wengine wanaondoka kwenda kusoma na Alhamdulillah wanasoma kweli, manake wanabadilika mpaka maisha yao ya zamani wanayaona kinyesi na kumdharau kila mtu huku atokako. Ndugu zangu, wazazi ndio nguzo maishani, hata wakiwa na hali gani haipaswi kuwadharau kwani bila wao tusingekua hapa tulipo. Allah awaweke wazazi wetu na wale waliotangulia awape makazi mema huko waliko. Na atujalie tuifunge Ramadhani tukiwa ni wenye afya njema aamin.
@zaychude5791
@zaychude5791 Жыл бұрын
Thank you bro
@sabrasalum9992
@sabrasalum9992 Жыл бұрын
Mashallah
@nassorkhamis7091
@nassorkhamis7091 Жыл бұрын
😭😭😭
@StellaMapenzi-o6v
@StellaMapenzi-o6v Жыл бұрын
😭😭😭😭😭
@HabibaAbeid-y5u
@HabibaAbeid-y5u 2 ай бұрын
Nasheed nzuri mashaallh 😊
@ibrahimammar7800
@ibrahimammar7800 Жыл бұрын
Wallah metuliza 😭😭😭😭😭
@HajraMohd-o5j
@HajraMohd-o5j 4 ай бұрын
Mashaallah npenda cna nashed zenuh❤
@bindauud6596
@bindauud6596 Жыл бұрын
Mashallah kazi kubwa hii
@aishashehdon2980
@aishashehdon2980 Жыл бұрын
Maa shaa Allah tabaraka llah.
@SafiaKhatib
@SafiaKhatib Жыл бұрын
Mpaka sasa wewenibingwa🎉
@jokhasalim4835
@jokhasalim4835 Жыл бұрын
Bismillah mashaallah 💖 💓 💛 ❤️ 💕
@NangobiZaitun-tr9sw
@NangobiZaitun-tr9sw Жыл бұрын
Subhuhanala, dunia imeisha 😭
@zuwenamuhammed5603
@zuwenamuhammed5603 Жыл бұрын
Very nice nasheed
@ZainabSallum
@ZainabSallum 6 ай бұрын
Mashaallahnapenda sana nashed zenu
@mudimaalim217
@mudimaalim217 12 күн бұрын
Mashaallah ujumbe nzur
@SaalAly
@SaalAly Жыл бұрын
Maisha Allah, safi sana
@FaridAbdulkarim-v3o
@FaridAbdulkarim-v3o Ай бұрын
Ndo yano nikuta mie mungu anipenguvu inshaalah
@SaidSaid-wq8gh
@SaidSaid-wq8gh Жыл бұрын
Safi Sana, mashallah
@Midoj950
@Midoj950 Жыл бұрын
Safi sana
@AminaHibraim-me6cu
@AminaHibraim-me6cu Жыл бұрын
Mashaallah ujumbe mzuri
@humuodalhadharmy5149
@humuodalhadharmy5149 Жыл бұрын
😢😢😢 Masha Allah
@hashirsaid9225
@hashirsaid9225 Жыл бұрын
Send more
@SalminSalmin-oe3ni
@SalminSalmin-oe3ni Жыл бұрын
dah mashallwah alwan
@OmanOman-um3sl
@OmanOman-um3sl Жыл бұрын
ما شاء الله
@Hirbe-c5r
@Hirbe-c5r Жыл бұрын
Mashallah 🥺🥺💯💯
@HaithamNajim
@HaithamNajim Жыл бұрын
Mashallah ujumb umefka😢
@suleim505
@suleim505 Жыл бұрын
INA MAFUNZO YA MSINGI SANA KATIKA MAISHA,, HONGERENI SANA KWA KAZI MZURI.
@AllyTelephone
@AllyTelephone 3 ай бұрын
Napend hii IL hakubali
@AbdallaHassan-fl5pl
@AbdallaHassan-fl5pl Жыл бұрын
Oh good.... I see ❤❤❤❤❤
@aliothman-ej4vg
@aliothman-ej4vg Жыл бұрын
Mashallah!!!
@kdonlymediya
@kdonlymediya Жыл бұрын
Kaz mzr cn
@sulesalimmakame1987
@sulesalimmakame1987 Жыл бұрын
Mashaallah
@musabwengo6685
@musabwengo6685 Жыл бұрын
😢😢😢😢🙏kazi nzuri sana
@aishaallyaishaally3220
@aishaallyaishaally3220 3 ай бұрын
Jaman wazazi ndio nguzo yetu😢
@adnanhullay
@adnanhullay Жыл бұрын
Nice work
@ahmedkharis9471
@ahmedkharis9471 Жыл бұрын
Masha Allah
@abdallahaboud6235
@abdallahaboud6235 Жыл бұрын
Asante kwa ujumbe mzuri
@timesuleyum-ts8dd
@timesuleyum-ts8dd Жыл бұрын
Nzur
Nasheed: WAACHE WACHEKE
3:26
NEW STAR RECORDS - PEMBA
Рет қаралды 1,4 МЛН
Sheikh Yusuf Abdi - Musinitupe Wanangu
6:15
Sheikh Yusuf Abdi
Рет қаралды 723 М.
Жездуха 42-серия
29:26
Million Show
Рет қаралды 2,6 МЛН
Wednesday VS Enid: Who is The Best Mommy? #shorts
0:14
Troom Oki Toki
Рет қаралды 50 МЛН
HARUSI YA KOBE
5:41
NEW STAR RECORDS - PEMBA
Рет қаралды 8 М.
ALWAN K ASHINDWA KUJIZUIA AMWAGA CHOZI
3:21
NEW STAR RECORDS - PEMBA
Рет қаралды 179 М.
Afaaizu Luheta - I miss you Mama(Official Nasheed Video)
4:45
Afaaizu Luheta
Рет қаралды 335 М.
ANNASHEED (Official video) : KIFO CHA BABA ALWAN K. & KHAMIS K
3:09
NEW STAR RECORDS - PEMBA
Рет қаралды 714 М.
FUMAU MSHAIRI - NAUMWA ( OFFICIAL MUSIC VIDEO)
4:23
Fumau mshairi
Рет қаралды 218 М.
Afaaizu Luheta-Aggash (Official Nasheed Video)
8:08
Afaaizu Luheta
Рет қаралды 1,3 МЛН
AL HAJ BIN YAZID KHAIRAT KHARITH  NASHEED -SOMENI- FULL HD VIDEO
3:49
Qaswida yenye mafunzo mema zaidi - Walia nini mwanangu
8:47
Mchomi TV
Рет қаралды 7 МЛН