FUMAU MSHAIRI - NAUMWA ( OFFICIAL MUSIC VIDEO)

  Рет қаралды 119,308

Fumau mshairi

Fumau mshairi

Күн бұрын

ARTIST - FUMAU MSHAIRI
SHAIRI-NAUMWA
SHOT BY @HANS_ABDALAHAH
DIRECTOR @BRAIN_UJAZO
ASSISTANT DIRECTOR @DOLPHIN_MSHISHI

Пікірлер: 188
@Shafikimanga7
@Shafikimanga7 3 ай бұрын
Haya ndio mapinduzi ya sanaa iliyodharaulika na kuona imepitwa wakati. Hongera kwa kutupa burudani sisi wapenzi wa tenzi na mashairi.
@nurkintv5815
@nurkintv5815 3 ай бұрын
hakika
@NuruAlly-s9x
@NuruAlly-s9x 17 күн бұрын
Tuko pamoja kaka fumau
@MamaRasool-bs6im
@MamaRasool-bs6im 8 күн бұрын
Hongera kaka hili shair zur mno
@user-ce3ev9mm1l
@user-ce3ev9mm1l 3 ай бұрын
Wananchi Kila Kona tunaupiga mwingi .wapite mbali
@taslimpluscargo6753
@taslimpluscargo6753 2 ай бұрын
Huyu serikali wanatakiwa kumpa ulinzi watu wasije wakamdhuru,ni talent muhimu sana kwa taifa hasa ktk ishu ya kukuza kiswahili...jamaa ni hatar na ana super intelligence and very high thinking and creative
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 Ай бұрын
MAASHAALLAH HAKIKA HIZI NDIZO LADHA HALISI ZA PWANI NA KIELELEZO CHA KIFASIHI YA MSWAHILI, KIELELEZO CHA USTAARABU WA MTANZANIA TULICHOKIKOSA KWA MUDA MREFU... HATIMAYE MWISHO WA VIGODORO, VISINGENGE.... NA MARUSHA ROHO YANAYOHARIBU MILA NA TAMADUNI ZETU NCHINI TANZANIA UMEFIKA.
@fumau_mshairi
@fumau_mshairi 3 ай бұрын
Nakukaribisha Kutazama Video Yangu Mpya kzbin.info/www/bejne/e5PUnGpqmNqsgZosi=vgFmE4sGS4PN5AVK ARTIST - FUMAU MSHAIRI SHAIRI-NAUMWA SHOT BY @HANS_ABDLAHAH DIRECTOR @BRAIN_UJAZO ASSISTANT DIRECTOR @DOLPHIN_MSHISHI
@fatmamohammedy8778
@fatmamohammedy8778 3 ай бұрын
hongera sn kaka angu hila umenistua san duuh utswauwawat na presh jpo up kazin
@fatmamohammedy8778
@fatmamohammedy8778 3 ай бұрын
una ujeuli ww jmn
@user-fi4qy9se4r
@user-fi4qy9se4r 3 ай бұрын
Hongera brother from kenya
@user-og6jy1lq7w
@user-og6jy1lq7w 3 ай бұрын
🇹🇿🤲👏🤝👏🤲🇹🇿
@yusufuheri6524
@yusufuheri6524 3 ай бұрын
Inshallah
@abdulsattar8580
@abdulsattar8580 3 ай бұрын
😢😢😢Mungu Azidishe juhud zako sie weng Weeh Ndo rol model we2 Kaka
@HashimSalim-qj7zn
@HashimSalim-qj7zn 3 ай бұрын
ILA HUYO MTT NI MZUIRI HEBU FUMAU FANYA KWELI AWE NDIO MAMA YETU HUYO
@AbdulazizKarabu
@AbdulazizKarabu Ай бұрын
Congratulations mshairi waeza mungu akizidishie
@bakaribakari9694
@bakaribakari9694 3 ай бұрын
Tuachanee na Shari tuzungumziee Huyu video queen 👸 kwanzaaa oyaaaaaaaa weeeee
@HassanHassan-ix7cj
@HassanHassan-ix7cj 3 ай бұрын
😂😂😂😂
@abuuswabr1781
@abuuswabr1781 3 ай бұрын
Kazi murua ♥️♥️♥️♥️
@GhaniaNassor
@GhaniaNassor 3 ай бұрын
Umewezaa maashaallah
@PeterNdondo
@PeterNdondo 3 ай бұрын
Pambana ata nimeipenda stahili hii
@user-iy2jn1vp4f
@user-iy2jn1vp4f 3 ай бұрын
Amenifanya nirudie tena fani yangu ya utunzi wa tenzi na mashairi
@SanguyaKeiya
@SanguyaKeiya 3 ай бұрын
Please keep doing 🙏
@jumamohamed3168
@jumamohamed3168 27 күн бұрын
Shairi limenifanya moyo wangu upate utulivu .
@amanisalum1638
@amanisalum1638 3 ай бұрын
Mapenzi Hujayajua,Mapenzi Yatakuua Kwa Jina lake Muumba, Shairi Nalifungua. Sihitaji Kuyaremba, Wengi wasije Ungua. Mahaba Ukiyabumba, Afya Itakupungua. Mapenzi Hujayajua, Mapenzi Yatakuua. Ugonjwa Umetangaza, Famau Hujashikika. Sifaze Umesambaza, Kumridhi Muhibaka. Twahofia Kutuliza, Pindi Atapo Geuka. Mapenzi Hujayajua, Mapenzi Yatakuua. Dunia Ina Mifano, Fanani Jitahadhari. Punguza zako Nong'ono, Utamu huwa Shubiri. Kaulize Tangamano, Kwa Mzee Madawiri. Mapenzi Hujayajua, Mapenzi Yatakuua. Fitina Umeijenga, Jicho huna peke Yako. Wakware watamlenga, Wapite na jiko lako. Ukisha uzue ngenga, Wamekulia Vya kwako. Mapenzi Hujayajua, Mapenzi Yatakuua. Nakusihi zindukana, Mapema Hujachelewa. Wapenzi hufarakana, Hubani hawapo sawa. Wanajuta Kujuana, Penzi Limeota Mbawa. Mapenzi Hujayajua, Mapenzi Yatakuua Hizi Beti zimetosha, Hadhari Kuifikisha. Chunga Lisije Kuisha, Fedheha ukajivisha. Twawatakia Maisha, Ya Furaha na Bashasha. Mapenzi Hujayajua, Mapenzi Yatakuua. Amani Salum Seif Dsm 0713717343
@saleherashid2262
@saleherashid2262 2 ай бұрын
Kweli beti zimefika,na zangu naongezea, Niwaondoe mashaka, fumau yupo Sawia, Si kua limemfika,janga la kuendelea, Ni mchezo wa filamu,sanaa yake kukuza. Kayasema kwa undani, mahaba yalomsibu, kafikiri akilini,si kwa kusoma kitabu, Kasema yamaishani,yalosemwaga na babu, Ni mchezo wa filamu, sanaa yake kukuza.
@KhadijumaKhadijq
@KhadijumaKhadijq Ай бұрын
Asante kska
@FatumaAmina
@FatumaAmina 3 ай бұрын
Mashallah ila nilishituka sana uko vizuri kaka
@user-ql2hc7zt6b
@user-ql2hc7zt6b 3 ай бұрын
Umeua mwamba
@VenanceBilakupenda
@VenanceBilakupenda 3 ай бұрын
Kazi nzuri
@Hgd-jk6lh
@Hgd-jk6lh 2 ай бұрын
Mashaa Allah, ,wananchi tumpe sapot kijana wetu❤❤❤
@bonniventuresylivester3133
@bonniventuresylivester3133 3 ай бұрын
Mwananchi una hatariii
@ShajuMusic
@ShajuMusic 3 ай бұрын
Noma sana 🔥🙌💐
@madammubiruhamsin5205
@madammubiruhamsin5205 3 ай бұрын
kipaji kikubwa sana hiki hongera sana
@HemedMnyambwa
@HemedMnyambwa 3 ай бұрын
Ubufu wa sanaa huu Kongolee sanaaaa Allah akupe afya njema, azidi kukupa misamita ya vina zaidiiiii
@user-dq1lm2be2u
@user-dq1lm2be2u 2 ай бұрын
Kwakweli yanga kila kona tunanga'ra🎉
@WahidaKombo-w4o
@WahidaKombo-w4o 3 ай бұрын
Hongera sana nilishtuka nilidhani unaumwa kweli nakupenda kwa kazi yako hii noma bro
@allymaranya426
@allymaranya426 3 ай бұрын
Nmkufatampka hukuuuuuuu Imenichm hatr kaka wajua😢
@BensonMpomo
@BensonMpomo 2 ай бұрын
wewe ni wetu lazima tukusapot
@binkumbesa4181
@binkumbesa4181 2 ай бұрын
Duh ni kweli, kila kitu kinaweza kukutoa ukisimamia ubunifu na kuchapa kazi. Mdogo mdogo jamaa anasonga mbele na Mashairi. Hongera sana
@kulwabundala359
@kulwabundala359 10 күн бұрын
Mashaallah❤❤❤
@AAs-qw7fs
@AAs-qw7fs 3 ай бұрын
❤❤❤ nimependa jmn kz nzur broo Mungu akufanyie wepesi katika kz zako
@aishaidrisa4388
@aishaidrisa4388 3 ай бұрын
Nice fanya akue kweli uyo mke😂❤
@jafariabdillah8585
@jafariabdillah8585 3 ай бұрын
Ongera sana kwa kipaji na sanaa nzuri
@bernardlongidu3758
@bernardlongidu3758 12 күн бұрын
Mashaallh kaka ake❤
@SalumKiroba
@SalumKiroba 23 күн бұрын
Nahc nimetumbukia ktk kisima Cha mahabbbat, naona navyojifia nawe ndo Wang msaadddat, sekunde zimeshasalia nife Kwa yako mawadddat ... Hii ingekuwa poa sana...
@user-lv4tl3ep3l
@user-lv4tl3ep3l 3 ай бұрын
Kibamba family kaka unajua Allah akuongozee
@fatumajuma9388
@fatumajuma9388 2 ай бұрын
Famau unaupiga mwingi bro ongera zako ❤❤ Nkupnda tu bure kutoka 🇰🇪🇰🇪
@eligahafandi2092
@eligahafandi2092 3 ай бұрын
Mpenzi wa utunzi huu,natokea pwani ya Kenya
@AlenJastine
@AlenJastine 3 ай бұрын
Kweli ww jini Mahabaaaa😊
@kulwabundala359
@kulwabundala359 10 күн бұрын
Woow
@SalimSeif-hw7rb
@SalimSeif-hw7rb 3 ай бұрын
Uko poa sana
@ElizabethZacharia-o3j
@ElizabethZacharia-o3j Ай бұрын
mwenyezimungu akufungulie lkilanjia iliofungwa kakaangu❤❤❤
@mutwali166
@mutwali166 3 ай бұрын
❤umeua rafiki yangu
@bornventurenatembeya9744
@bornventurenatembeya9744 3 ай бұрын
Hongera kaka fumau. Napenda ughani wako kwa mno
@HilaliMussa
@HilaliMussa 3 ай бұрын
Wasanii bhn,watu tunakupa pole kumbe ni shairi😅😅 unyama sana kaka💥💥💥💥
@AngelPascal-ye7kp
@AngelPascal-ye7kp 3 ай бұрын
Asante na karibia
@hawakorobeh7003
@hawakorobeh7003 3 ай бұрын
Mashaallah mashaallah mashaallah 😍🔥
@maulidiisihaka852
@maulidiisihaka852 3 ай бұрын
Mwamba 🎉
@RamadhaniHaji-wn3dd
@RamadhaniHaji-wn3dd 3 ай бұрын
Bravo. Umeweza sana hii Mr Fumau mshair
@FucianeBulemo-nd4wc
@FucianeBulemo-nd4wc Ай бұрын
Kwa hiki kizazi kukuelewa ni vigum ,ila qaswida pia inakufaa
@harujimajali7240
@harujimajali7240 3 ай бұрын
Walumbi tumeibeba hii kaka🎉
@yusufuheri6524
@yusufuheri6524 3 ай бұрын
Mashaalah ya salam ya salam
@isaacwandera9002
@isaacwandera9002 Ай бұрын
safi saana. ubunifu wa hali ya juu
@isaacwandera9002
@isaacwandera9002 Ай бұрын
Kazi safi sana. Taking ushairi to another level
@NordeenGharib
@NordeenGharib 3 ай бұрын
@fumau mashairi maa sha allah
@Bahati-vc8fo
@Bahati-vc8fo 3 ай бұрын
Mashaallah
@user-bg6yr1lu5v
@user-bg6yr1lu5v 3 ай бұрын
Atokei noma sana
@FatmaAbdulhalim
@FatmaAbdulhalim 2 ай бұрын
Daaaah umenishitua mbrooo kumbe mapenziii hongera
@mohammedokwisya3291
@mohammedokwisya3291 3 ай бұрын
Kongole our mentor
@moorzaheernyika8001
@moorzaheernyika8001 3 ай бұрын
Kazi nzurii broh,, Tena na-turn on notification ili niwage wa kwanza kuckia vitu hvi hadhiiiim
@user-wc5pk2ob8q
@user-wc5pk2ob8q 3 ай бұрын
Nzur
@malengaWetuTv2699
@malengaWetuTv2699 3 ай бұрын
Sky is free for us to fly
@AfriHerbal
@AfriHerbal 3 ай бұрын
Kaz nzr
@abuuhafswamunsheedu5790
@abuuhafswamunsheedu5790 3 ай бұрын
Doooooh Fumau
@MariamHarunah-zk1sn
@MariamHarunah-zk1sn 3 ай бұрын
❤❤❤❤
@abdulhatupoi5574
@abdulhatupoi5574 3 ай бұрын
Pole sana kaka😂
@Salima-nz1qd
@Salima-nz1qd Ай бұрын
❤penda sana KAZI nzuri broo,
@saudakitimla2352
@saudakitimla2352 Ай бұрын
Anh Mashallahhhhhh tenz ndo hizi buana
@Joseph-57
@Joseph-57 3 ай бұрын
Keep it up brother 💪
@JeremiaJohnsonmkane
@JeremiaJohnsonmkane 3 ай бұрын
Umekaha vizur kwakwel
@Salima-nz1qd
@Salima-nz1qd Ай бұрын
Nimeikubali iyoo😍🥰🥳🔥
@HusseniHassan
@HusseniHassan 2 ай бұрын
namkubali sana juhudi nakipaji chako natamani siku napanda uringoni wewe uwe hamasa yangu mpinzani aogope
@daktariwamoyo
@daktariwamoyo 3 ай бұрын
Kali sana
@nyenyeonlinemedia9543
@nyenyeonlinemedia9543 16 күн бұрын
CONGRATULATIINS FUMAU Nisipo kupa like&subscribe sifanyi poa wallahi.
@muleereuben5197
@muleereuben5197 3 ай бұрын
😢noma aiseeee fumau
@MahmoudMaluyo
@MahmoudMaluyo 8 күн бұрын
بارك الله فيكم
@user-yu7uv6ws9h
@user-yu7uv6ws9h 3 ай бұрын
Kali
@aminamwivita7690
@aminamwivita7690 25 күн бұрын
Congratulations keep it up good job ❤
@user-yz8mc3he7q
@user-yz8mc3he7q 3 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤
@AyubuJuma-b2x
@AyubuJuma-b2x Ай бұрын
Asante sana mungu akupe ihsaani na afya tele
@aminasaid4174
@aminasaid4174 3 ай бұрын
Doctor wa mashahiri
@HappynesJames
@HappynesJames 3 ай бұрын
Mashallah ❤❤
@ShamsaTwaha-zo7vs
@ShamsaTwaha-zo7vs Ай бұрын
Hkk we mrangi umetisha sana
@PaulinKalekezi
@PaulinKalekezi Ай бұрын
Hongera xana kijana fumau kazi nzuri xana.
@naimamagwala1368
@naimamagwala1368 3 ай бұрын
Big up Broo ila umetushtuwa the Mwalimu Nyerere
@Munshid_Rajab
@Munshid_Rajab 2 ай бұрын
Nzuri mashallah❤❤❤
@Dk-Tz
@Dk-Tz Ай бұрын
Respect
@ramsostopthisbullshitmanal4002
@ramsostopthisbullshitmanal4002 Ай бұрын
Good job
@ZakiruMwamba
@ZakiruMwamba 3 ай бұрын
Good job
@user-wk2uw9sm2n
@user-wk2uw9sm2n 3 ай бұрын
Mashallha ❤❤❤❤❤❤
@Eliza-cp1mb
@Eliza-cp1mb Ай бұрын
Mungu akuzidishie uzima
@teophilmbalamwezi
@teophilmbalamwezi Ай бұрын
Mwananchi umetisha sana
@user-ic8mc3bd8l
@user-ic8mc3bd8l 2 ай бұрын
Kazi nzuri ❤❤❤
@shamilasudi5660
@shamilasudi5660 2 ай бұрын
Mashallah ila umejua kunishtua🎉
@HappynessLimo
@HappynessLimo Ай бұрын
Nakupenda nioe bure tu
@AshaMwamba-g3l
@AshaMwamba-g3l Ай бұрын
Nimeipendaaa iyooko
@shabanihugo8332
@shabanihugo8332 Ай бұрын
Kazi nzur
@JinaMakame-vq8mq
@JinaMakame-vq8mq 2 ай бұрын
Hongera😂napendaa sana tenzii
@iampreetie
@iampreetie 3 ай бұрын
unaweza fumau✌️💛
@jmstudio1157
@jmstudio1157 3 ай бұрын
nemeielewa kinomanoma fumau🔥🔥🔥
@AllyJuma-e6c
@AllyJuma-e6c 2 ай бұрын
Yang oyeeee wew ndie ❤
FUMARISON MJEJE - KUPENDWA RAHA
3:53
UnitalentShow
Рет қаралды 133 М.
WILL IT BURST?
00:31
Natan por Aí
Рет қаралды 44 МЛН
The_Threee_Sisters_Set_Apart
1:51
Pure Malawian Seventh-Day Adventist Songs
Рет қаралды 5
BALAAA LA FUMAU MSHAIRI HARUSINI, HIKI NI KIPAJI HATARII...
6:17
Fumau mshairi
Рет қаралды 73 М.
JINA LA MTOTO _ Kachara/Naomba/Kigwaru
13:59
Jufe Film Production
Рет қаралды 134 М.
🔴#live:FUMAU MSHAIRI WA YANGA AWALIZA WA MAMA KWA SAUTI HII
22:15
WILL IT BURST?
00:31
Natan por Aí
Рет қаралды 44 МЛН