Kazi bora na njema kama hii inayouinua ukuu wa Mungu wetu juu na juu sana unakosaje angalau views hata 500k mpaka sasa? Kila mmoja amuambie mwenzake kuna 100% purity ya injili inamiminwa hapa. Good work of Gospel servant of God bro Paul. Maintain this purity sir.🎉🎉 MN.