Baba mungu azidikupa nguvu uzidi kupambana Ila ningeomba maranyengine ingetosha kusema utachangia ila using toa pesa mbele zawatu Mana minamini wewe usha jitoasana zaidiyahicho ulicho toa leo Kama nitakua nimeteza Katika ushariwangu utanisamehe Zanziba kanza mamlaka kamili
@RashidiAlly-cl7foКүн бұрын
Jana hiyo
@salyali7807Күн бұрын
Lini hii jamani
@RashidiAlly-cl7foКүн бұрын
Umeifanyia nini Znz?
@HajiYussuf-bv5eb4 сағат бұрын
Vp lakin wewe
@RashidiAlly-cl7foКүн бұрын
Siasa za shutma hazina nafasi kwa sasa,jiulize weye unayemshtumu Mazrui ukifanyika nini Znz?
@fanaualmazrui733Күн бұрын
Marhaba ametupig hapa hii yamiaka iliyopita huyu siee tena mazrui wa leo ccm wamesha muweka kiganjani zaman......
@elbattawy2864Күн бұрын
Kama ACT wataendelea kumkumbatia huyu jamaa basi ndio imeenda tena na awamu hii., huyu jamaa haelewi chochote amelewa madaraka hana hisia zozote kwenye chama cha ACT ni kama analazimishwa tu., ameshakisaliti chama kitambo