Nasoro waga sikukubali lakini kwa hili nakuunga mkono sanaa mashabiki wa yanga tunakera sanaa kwa nini tunapenda vya bureee mkiambiwa buku tatu hamjitokezi uwanjani mnajazana vibanda umiza tuh njooni uwanjani acheni ushabiki mandazi
@Kuminamoja199511 сағат бұрын
Points sana nasoro
@omarkipotwile90527 сағат бұрын
"Leo watu wa Yanga cha kuwaambia mimi sina lolote la kuwaambia, dhidi ya watu wa Yanga kuwaambia" Dah
@braystuskibassa384212 сағат бұрын
Nassoro watakuchalua mashabiki huko maana utapigwa vijembe balaaa!😂
@ezekielmwakyagi933011 сағат бұрын
dogo leo umelitumia domo lako vzr
@atumwafilombe604611 сағат бұрын
Nalo neno nassoro mi nakupa Tano kabisa...halafu mashabiki wayangaa tunakuwa nawoga usiokuwa na maana twende uwanjani popote pale timu inapokwenda kucheza ili tuwarudishe wachezaji wetu kwenye mfumo plz mashabiki dar na sehem za jiran na dar twende kwa wingi jamaniiiiii
@EliasCosmas-qp6gn5 сағат бұрын
😂😂😂😂wewe nasoro 😂😂et Kuna jamaa kapiga cmu hakuna ticket za mtu kujitolea 🤣🤣🤣 yani 3000 mtu hana jmn
@FaidhaJumanne11 сағат бұрын
Jafeti ni koro lialia kabisaa unalazimisha nini wakati kashasema tukate tiketi twende uwanjani
@kassidpandu8667 сағат бұрын
Ali kamwe Aache kutembea jua kali kwa Hamasa yeye ndie kamsema Ahmedi ali kufanya hivyo