Joti ur the most crazy comedian in Tanzania u always crack my ribs dammnn😂😂😂😂😂
@naibyusuph49282 жыл бұрын
😁😁😂
@eunicejohn55202 жыл бұрын
Jot unatakiwa ujengewe sanamu lako kabisa 🙌🙌
@mustafaseif8332 жыл бұрын
Du
@faudhiasalum72792 жыл бұрын
Kiboga 👌🏽👌🏽👌🏽👌🏽
@nemesapollo48462 жыл бұрын
😂😂😂jua linazama Kwa upande wangu 😂😂joti
@nadyasalim79562 жыл бұрын
hahahaa
@nemesapollo48462 жыл бұрын
@@nadyasalim7956 ni htr sana joti
@nadyasalim79562 жыл бұрын
@@nemesapollo4846 yeah joti kiboko
@jacquilinenoah9492 жыл бұрын
😀😂😂😂😂😂😂
@elizabethkibombo81512 жыл бұрын
Jmni mambo ya Joti sio mabaya hata chembe 👍👍👌👌❤️❤️🔥🔥🔥🔥
@asnate84932 жыл бұрын
Joto kuna siku utaniua 🤣🤣🤣much love from Italy 🇮🇹
@ibrahimwali44572 жыл бұрын
Nimekubali kwa mahari tulio kubaliana magetoni 😂😆
@TamuzaKale2 жыл бұрын
Kumbe ulijipanga kabisa... Sio kwa sapraizi hilo... hehehe
@agripinamgema36562 жыл бұрын
Yaani uyo mwamba atakunyonga na icho kikaptula🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@emanueledwin56852 жыл бұрын
Jaman leo sijachelewa sana,nipeni like hata kumi
@ElinaCedric-m4v19 күн бұрын
Kucheka uchek wew like tukupe sisi
@abdallamohammed60592 жыл бұрын
Jua linazama daah ww joti noma xan kk 😂😂
@mashiassenga88492 жыл бұрын
Kiboga jamani ingekuwa watu wanalamisha kuolewa hivyo wwewwe nishida😹😹😹😹😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@lilianalmas59112 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣Mwamba Leo kapatikana Kwa kiboga but bro joti you are the best 👏👏
@angelmbuya92362 жыл бұрын
ILA ilo nyonyo leo kimekuzidi kimo 🤣🤣🤣👌
@kekiplus1andonly2 жыл бұрын
😂😂😂😂😂kila mtu aitaka pambana 😂😂😂😂
@barakaaman65062 жыл бұрын
Mwamba bin omary😂😂😂😂😸
@hebronsdaughter16612 жыл бұрын
Jua linazama🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@yasminoluoch1692 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣 my tanzania favourite comedian 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@roseallen71982 жыл бұрын
Nakigoma pia kiboga wee nomaa sana best pikipiki kaicha wapi😂😂😂😂😂
@abuyunusmohamed69612 жыл бұрын
Joti muogope mungu wacha kuekti kama wanawake unapata laana ya mungu unawafurahisha freemason
@mzembemakini35328 ай бұрын
We koma
@RehemaIbrahim-h3t3 ай бұрын
Ka chiz😅😅😅
@levinaringoma2 жыл бұрын
Nimeacha ma G-string kama 65 hivi......joti umenimaliza😂😂😂😂😂🇰🇪🇰🇪 na ane kupaka makeup 👌
@minormine44172 жыл бұрын
G-String ndio nini? Mimi mzee sijaelewa
@francisfrancis13422 жыл бұрын
Sema hii Kali aisee, nimeipenda sana ila joti🙌🙌🙌🙌😂😂😂😂
@googleus49032 жыл бұрын
WEWE NI NGULI NA BINGWA WA HIZI KAZI KAKA JOTI, HUJAWAHI KUHARIBU WALA KUTUANGUSHA MASHABIKI WA COMEDY AFRIKA MASHARIKI NA KATI... NAJIVUNIA KUWA MTANZANIA NA MUAFRIKA KUPITIA WEWE. VIJANA WANAPASWA WAJIFUNZE KUTOKA KWAKO HASWA... MUNGU AENDELEE KUKUSIMAMIA UZIDI KUTUBURUDISHA👍🙌
@yahyayazidi67672 жыл бұрын
Kisa kaigiza kama mwanamke hii sio Sawa kama mwanaume uwez support hii
@nadyasalim79562 жыл бұрын
Tunampenda Joti hajawahi kukosea we love you
@googleus49032 жыл бұрын
@@yahyayazidi6767 JOTI HAJAKUBIPU, KUKUTEXT, WALA KUKUPIGIA SIMU KUOMBA SUPPORT YAKO MZEE BABA... HAYA NI MAIGIZO, TENA VICHEKESHO VYA KUFURAHISHA. MWANAUME GANI UNAZUNGUMZIA MAANA MIE MWANAUME NA NASUPPORT NA INA MANTIKI.. KAMA UNAMTUMIA TU MTOTO WA WATU HUNA MPANGO WA KUMUOA NI HERI UMUACHE LABDA BAHATI YAKE IKO KWINGINE KULIKO KUMCHELEWESHEA MAISHA
@gaspermganda68142 жыл бұрын
Kwa mahari tuliyo kubaliana maghettoni 😂😂😂😂
@allyomary92582 жыл бұрын
Nimemkumbuka sopa daah cjui yuko wapi kumbe mwamba ndugu yang kabisaa bin omary 😂😂😂
@kusuniahnurdini77412 жыл бұрын
Aweeee hakuna kama wewe salut😂😂😂😂😂
@considerregnaldykumburu60142 жыл бұрын
We joti ww,nakupenda yani kunamda nasahau kabisa Kama ni mwanaume nakupenda Sana da kiboga
@hamzaame32662 жыл бұрын
namm hua nasahau kweli kua huyu ni wakiume
@bestsuma58262 жыл бұрын
Love how Kiboga's brother is dancing
@faudhiasalum72792 жыл бұрын
Upo Nyonyo ilo ndo Nyonyo 🤣😂😂🤣🤣🤣🤣la da kiboga 🤣🤣
@hazimamohammed13402 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@HassanAlJabri2 жыл бұрын
Daahhh....hii mwishoo...kabambee ..Kiboga huna mchezo...jua saa kumi na mbili unusu🤣🤣🤣🤣🤣
@thomaslandwhale2 жыл бұрын
Hahaha hawakuwezi joti... salute 🤣🤣
@shadymbuki872 жыл бұрын
Kwani anashindana na nani?
@thomaslandwhale2 жыл бұрын
@@shadymbuki87 comedian kibao bongo but what he's doing is something many have failed..Each and every Friday he upload a video which many of the comedian can't do that. He's one of the well known Tanzania comedian in East and Central Africa.
@yasodishonest97922 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣cheza jua limezama ww mwenyewe kalidhia si kwa mibao ile
@peterswai3912 жыл бұрын
Naakuona rais wa comedy TZ God bless more brother
@wairimumosha96552 жыл бұрын
😅😅😅😅si kwa kujipanga uko kiboga
@nemesapollo48462 жыл бұрын
Mwamba, Mwamba,Mwamba, njoo Mwamba 😂😂😂
@darvie76532 жыл бұрын
Hahahah jotii jotii jotii nimeita mara tatu na mara afutatu 😂😂😂🤌were bac tenaaa
@mwanaishamkindi77632 жыл бұрын
Mwamba m nampenda jmn🥰🥰🥰🥰
@julytito38912 жыл бұрын
😅😅😅😅mwamba kakutanana mkubwa ake mwamba 💃💃💯💯mwamba Kama unarisasi yeye kiboga Ana mabom ya nyuklia
@jensennashon61472 жыл бұрын
😀😀😅😅😅😅kwa upande wangu jua linazama
@agathahumbe70042 жыл бұрын
Lukas mungu anakuona🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤸🤸🤸🤸🤸🤸
@hamadiabdallah39062 жыл бұрын
Jua lishazama kwa upande wangu 😂🤣🤣🤣🤣
@TALLUBOY2 жыл бұрын
MUNAJUA SANA upo siliasi sana jot unatumia bajet kubwa sana #AVATASTAR255 👽
@jumanneshawa33752 жыл бұрын
Joti huna akili unatupasua mbavu hivi hivi kweli wewe ni KING
@athmanywaomary32042 жыл бұрын
Aaah! Si madada wote mngekua hivi.. au basi! Acha tu..! 🤣🤣🤣🤣 #FromKenya💯💯
@_blessedann2 жыл бұрын
Kiboga is my best character 😂😂😂😂😂🙌🏽
@rayakhaled10372 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣daaa joti kibokoo
@charlesrichard72702 жыл бұрын
Mwamba kama mwambaaaaaaa 😂😂😂😂
@dainesgeofrey28922 жыл бұрын
Thank you Joti somehow you make me happy 🤣🤣🤣🤣🤣
@amosikondo7782 жыл бұрын
Hahahahaaha jua linazidi kwenda kwangu
@saimpemba30642 жыл бұрын
Kaz nzr joti
@Conshamusic2 жыл бұрын
JOTI IS GENIUS COMEDIAN ALWAYS 💪🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@mansourally912 жыл бұрын
😂😂😂😂 JOTI UNAUWAA MBAV ZANGU AISEE 🙌
@fathimamct2322 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂Ndowa HiI niliwahi kuishuhudiw moto wa mwaka 90 mama wa miaka 40 kamleta Kwa shekhe Ili aolewe wakati anaongea na shekhe yule mama mtoto kakimbiya mbio akamfukuza hakumpata 😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣 wamama wa siku hizi baazi Yao wanajitowa ufahamu 😂😂😂😂😂
@sostentulian41922 жыл бұрын
Ila mwamba yuko vizuri sana 😅😅🤣🤣🤣🤣
@najmaabood61272 жыл бұрын
Nimechekaaaa kwa sauti🤣🤣🤣🤣joti wee balaa
@hazimamohammed13402 жыл бұрын
Yaaani na mimi adi machoziii yamenitokaa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@benhamza56492 жыл бұрын
This is next level. Heshima Kama hupewi, force it!
@ashajose1252 жыл бұрын
Daah aisee biharusi mbabe
@dangotee50512 жыл бұрын
Ndoa imisha ivo😅😅😅😅😅
@binthkhamisi10972 жыл бұрын
Tobaa mke anabutyua huyooo siyo kwa mingumu hyo ya kifua na hiyo miluzi mpk qatar tyumeamshwa na miluziiiii.....😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@joelmlavi4002 жыл бұрын
unanitisha na uo mwilii na wakati naulazaga ndani mwenyew.. 🤣🤣🤣
@lulumussa64582 жыл бұрын
Joti wako wapi wakina SOPA na KKPANDE,,, Hawa watu walikuwa wanaweza sana japo ata iih team uliyonayo sasa iko poa sana,,,,, SOPA ,,,, KIPANDE
@jeniffermasha25402 жыл бұрын
Napenda Hilo dera Na mtandio aliovaa kiboga
@hamisahodari92292 жыл бұрын
Ety Dua hakun m nimejipng na vitu vyangu...shenziii sanaaa...🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@Amina-xc8tl2 жыл бұрын
Jamani daa kiboga ww huzeeki wallah🤣😂
@zuleikhakhamis33032 жыл бұрын
Kiboga jiandae na Risasi 7 kutoka kwa mwamba mn umelazimisha ndoa kiboga risasi zinakuhusu😂😂😂😂🙂
@hildamsuya45692 жыл бұрын
Sema mwamba hana ile midevu. Ana kipili pili tu. So hana hasira kali
@hazimamohammed13402 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@mwajumahemed75822 жыл бұрын
Kwa mahari tuliyokubaliana magetoni😆😂😂😂
@meshackaloyce96622 жыл бұрын
Jamani jot wa moto🔥
@nadyasalim79562 жыл бұрын
Joti mwisho hawamuweziii
@cedricmaina45232 жыл бұрын
Nimejipanga, niko na vitu vyangu... Fyuuuuuu, vipi huku tena? “Nimemaliza” 🤣🤣🤣🤣
@khalidshoo78472 жыл бұрын
Huo mwili c naulaza ndani mwenyew 😂😂😂
@kiehbhzh70442 жыл бұрын
mtaan pambe🎉🎉🎉
@jumaseleman55252 жыл бұрын
Joti,pamoja na timu yake duu ni noma sana
@khadijahali68562 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂kiboga hubahatishi kazi nzuri sana tu
@aminasubira65912 жыл бұрын
Manake kwanza nchekeee😂😂😂😂😂💃💃💃👌
@glorylema56522 жыл бұрын
Hakuna namna sa hvyiii mwendo mdundooo
@faidherkanyenda74292 жыл бұрын
🤣🤣🤣ngoja niandae na me kikoc changu tumfwate job kwake
@adelinatate97042 жыл бұрын
Yaani the best, kiboga umeua hahahhahahah
@telaamtauta22272 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂utaisoma kaka mke huyooo 😂😂😂😂
@tiffanyakramJr8142 жыл бұрын
Wabongo bana kusahau dakk zero tu RISASI 7 🤗
@aishamohamedibiyu14472 жыл бұрын
Kiboga Binti mbarouk 🤣🤣🤣🤣
@stenciahmndeme22172 жыл бұрын
Jamn unajua sanaA brother 💪🙏
@JasminiJamsoni Жыл бұрын
Kwa mahar Mulio kubariana geto😂😂😂❤❤
@shsjjdjhd96242 жыл бұрын
Kiboga we kibokoo😂😂😂
@saeedmjahid18582 жыл бұрын
Nishai nakukubali mbaya sana 🔥
@mchemargaret35002 жыл бұрын
Sa kumi na mbili yaelekea sa moja😂😂😂❤️
@mustafampande1732 жыл бұрын
Namkubari sanaaa mwamba
@nunuuali53162 жыл бұрын
Daaaah mwamba huo uchezaji sasa😀😀😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃
@abumahirali71492 жыл бұрын
hii ni nzuri sana big up Joti.... dah u made my day nimechekaaaa sana
@morrismsemo19962 жыл бұрын
Dah joti...😂😂😂 yani mwamba kanuna akijikuta na yeye ana mzuka ule ule yani safi sana...😂😂🤙🏾
@aproh_online49702 жыл бұрын
mahali tuliyo kubaliana magetoni😂😂
@paulally93042 жыл бұрын
Mwamba kawa mpole kweli leo🤣🤣
@alfeshhassan41812 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mshenzi sna joti et kw mahar tlyokbaliana mageton🤣🤣🤣
@kelvinokelo79922 жыл бұрын
Joti,Andunje,Nishai,Kiboga🔥🔥🤣🤣🤣
@wallasfoundation23892 жыл бұрын
Umesahau Babu aka Mtombangile kitwango wa mikazo😃😃
@jovithaanatory10672 жыл бұрын
Wanaume wengine wanatakiwa kufanyiwa hivo😁😁😁😁😁😁
@ukhutymamuu74702 жыл бұрын
Kiboga binti mbaruku 😆😆nimecheka mie🤣🤣🤣🤣
@heyumi23402 жыл бұрын
mtihan 🤣🤣🤣🤣
@fatemafatema85812 жыл бұрын
Joti ww noma aiseee nimechk kiseng dua hakun nimejipang nina vtu vyng uwiii jmn hii ni moto san🤣🤣🤣🤣😆
@iddyngaiwa2 жыл бұрын
Kiboga unaupiga mwingi🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@hellenrichard1872 жыл бұрын
Kama familia haijaelewa somo linabadilishwa tu hakuna namna yani ndoa lazima ifungwe🤣🤣🤣🤣🤣
@chiefbebe30012 жыл бұрын
Hongera sana joti umepata nyomii kitaaa chote kimeitika umetishaa tena umetisha tenaa #JotikingofcomedyTZ