STEVE KAMFATA DEM MBAGALA KISA NAULI KWA MGUU

  Рет қаралды 425,964

Steve Mweusi

Steve Mweusi

Күн бұрын

Пікірлер: 352
@SelemaniIddy-nc1n
@SelemaniIddy-nc1n 6 ай бұрын
Steve nakuombea kwa mungu akuzidishie maarifa ufike mbali unajuwa sio pouw nakukubali sana ww na ndaro 👍👍👍👍👍👍
@stephenzerozero
@stephenzerozero 6 ай бұрын
Ningekua Tanzania ningefanya KAZI na Steve ako na heshima kuliko wasani wote .I like him . Nani amewai muona Steve kaongelea mwenzie vibaya .you are best of the one than that diamond and other screps
@KIB-JSANLEY
@KIB-JSANLEY 6 ай бұрын
Lik🎉
@Tyughcdrbdt
@Tyughcdrbdt 6 ай бұрын
Unachoongea n kweli kabisaa
@SitaniRongo
@SitaniRongo 6 ай бұрын
🎉🎉🎉
@jumanneyassini
@jumanneyassini 6 ай бұрын
Kwel bab
@SayyidyDotto
@SayyidyDotto 6 ай бұрын
​@@KIB-JSANLEYuugff😅
@Kisholongakisalya
@Kisholongakisalya 6 ай бұрын
Ila mweusiiii mmhh shida wallah.Team mweusi 2juane all the way from somalia
@PacifiqueSumaili-xg5xk
@PacifiqueSumaili-xg5xk 6 ай бұрын
Toka nchini DRC 🇨🇩, nawafwatilya Steve na staff nzima.
@samanyaswai
@samanyaswai 6 ай бұрын
Jana nimewapita mbagala kumbe ndo mlikuwa mnaitengeneza Congratulation
@Msindo.Famiry.Korogwe
@Msindo.Famiry.Korogwe 2 ай бұрын
Aah, ww ndy yule ulie vaa singrendi nyekundu labda..usidanganye watu.
@bigimbaruhaimable25
@bigimbaruhaimable25 6 ай бұрын
Stive stive much love from kigali rwanda 🇷🇼 bro😂😂😂😂😂😂😂
@JonasSimao-pt9yf
@JonasSimao-pt9yf 6 ай бұрын
Gosto muito do seu trabalho Steve🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@ELKANAMUSTO
@ELKANAMUSTO 6 ай бұрын
Much love from Uganda congragulation Steve
@RiakAnyar
@RiakAnyar 6 ай бұрын
Napenda kazi yako, nafwatilia huku USA
@mremajuma
@mremajuma 6 ай бұрын
Tanzania Namba 1 best comedian 😢😂
@AminRound
@AminRound 6 ай бұрын
Wa mwishoo mm naomba like zanguu
@damagemweusi
@damagemweusi 6 ай бұрын
Kama ya Leo KWELI kakupendeza Angusha e like yako ya upendo kama wa Kwanzaa n
@InnocentAmpire-hp1yp
@InnocentAmpire-hp1yp 6 ай бұрын
Wa kwanza Naomba like 👍 zangu 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@thadeobinga
@thadeobinga 6 ай бұрын
Brother nakubali kuliko yan we ndo msanii wangu wa dhati
@KIB-JSANLEY
@KIB-JSANLEY 6 ай бұрын
Like🎉🎉
@ANAFI_S_KILETE
@ANAFI_S_KILETE 6 ай бұрын
Steve nd comedian bora🇹🇿
@Bizbabillon
@Bizbabillon 6 ай бұрын
Bora atawewe alikuwa anapokea simu me nilipo tuma tu nauli hakupokea tena simu mpaka leo ni miezi sasa😢
@Jurbeg
@Jurbeg 6 ай бұрын
Ndyo uache uzinzi 😡
@chunaamina878
@chunaamina878 6 ай бұрын
😂😂😂
@SalmahAbdallah13
@SalmahAbdallah13 6 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@GibsonNtamamilo
@GibsonNtamamilo 5 ай бұрын
Uzinzi ni sehemu ya Maisha​@@Jurbeg
@abuuqamar58
@abuuqamar58 5 ай бұрын
We acha tu
@SingoeiJapheth
@SingoeiJapheth 6 ай бұрын
Wakenya MPO🇰🇪🇰🇪
@KIB-JSANLEY
@KIB-JSANLEY 6 ай бұрын
Nipo saika like 🎉🎉man🇰🇪
@EliciaTango-x2x
@EliciaTango-x2x 6 ай бұрын
Nimeipenda
@SAIDINAPANJA
@SAIDINAPANJA 6 ай бұрын
Leo nimekua wa kwanza naomba like zenu
@ChenchiKing
@ChenchiKing 6 ай бұрын
Wakwanza Mim Naombenii Likes Za Team Steve❤🎉
@Garikamedia
@Garikamedia 6 ай бұрын
Wewe sio wakwnz dg
@ChenchiKing
@ChenchiKing 6 ай бұрын
@@Garikamedia Tuliya Diih
@elijahmbindyo3702
@elijahmbindyo3702 6 ай бұрын
Much love from Kenya jirani steve
@AmaniNkurunziza
@AmaniNkurunziza 6 ай бұрын
Msaz steve mweus nakubali😂😂
@BensonKinoti-mk6tv
@BensonKinoti-mk6tv 5 ай бұрын
Nakupenda sana Steve mweusi mkiwa na ndaro ❤❤ watu wanipee like apo pia
@SamuelMwangu-t5h
@SamuelMwangu-t5h 6 ай бұрын
Upwiru mbaya sana, unatesa asikwambie mtu, mi nakuelewa steve😂😂😂😂
@teddyanalubowa8188
@teddyanalubowa8188 6 ай бұрын
Steve you making people happy big up Steve ❤❤❤
@msostenes2079
@msostenes2079 6 ай бұрын
Umejitahid sawa ila kuna sehemu umefail yaan dar unakimbia umbali wote huo,hilo shati lingekua limeloa vby sana jasho
@OloserianAisee
@OloserianAisee Ай бұрын
Ndaro nakukubali sana wewe na Steve muwe na maisha marefu ndgu yangu
@SamuelWafula-rp5ol
@SamuelWafula-rp5ol 5 ай бұрын
Nakubali sana comedy za stive sana
@AbubakarRajab-oo6or
@AbubakarRajab-oo6or 6 ай бұрын
❤❤❤❤❤hio Kali nakubali
@user-muttywhyner
@user-muttywhyner 6 ай бұрын
❤❤❤..umetupea funzo brow😊😊😊
@PaulinaOctavian
@PaulinaOctavian 6 ай бұрын
Nauli nakula na siend
@mremajuma
@mremajuma 6 ай бұрын
Steve naomba utoe movie tele😂😂
@Makofia_killer
@Makofia_killer 6 ай бұрын
Nouma sana kizazi zaidi kwenye tasnia ya comedy
@franklukazula
@franklukazula 5 ай бұрын
❤ nakufatiliya from Malawi ❤Burundi wew noma
@CharlesMsafiri
@CharlesMsafiri 6 ай бұрын
Mungu aibariki kazi ya mikono yako
@mikestar433
@mikestar433 6 ай бұрын
Wa Kwanza Leo nipewe likes 🎉🎉🎉
@FootballSkillssoccer-uu4vh
@FootballSkillssoccer-uu4vh 5 ай бұрын
Nakubali broo steve🎉
@OmanOman-ru4eu
@OmanOman-ru4eu 6 ай бұрын
Mm wa mwishoni like jmn
@ChumaJiduru
@ChumaJiduru 5 ай бұрын
Hahahahahahahha brooo Steve nakukubali san Dunia nzima hamn mwingne wengne wanaiga TU jaman daah mmmmmmmh muuuh ndaro kucheka TU kuoaga aaaaah,
@naftalibett3046
@naftalibett3046 2 ай бұрын
Steve pna much love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@reubenmutembeimeme4038
@reubenmutembeimeme4038 6 ай бұрын
Kenya Kuna wale CBC huita Gen-Z hao vichwa mbaya huwa hawatumi fare.
@mremajuma
@mremajuma 6 ай бұрын
Ningekuwa na pesa ninge nunua dunia😂😂❤❤❤
@JumaaWashe-u5u
@JumaaWashe-u5u Ай бұрын
Steve mpango mzima nakukubali brathees
@MellowBoytz-tc9er
@MellowBoytz-tc9er 5 ай бұрын
Jama anafanya vizur anakaa hadi trending
@JacquesBaruani
@JacquesBaruani Ай бұрын
Steve wewe ni mwamba kwelii nakubali kazi yako
@Shiva-wo8yh
@Shiva-wo8yh 6 ай бұрын
Kenyans 🇰🇪 let's gather here
@MpareMtukaz-tf7uh
@MpareMtukaz-tf7uh 5 ай бұрын
Steve kak me talent nnayo naomb unisaidie
@awadhrajabu1403
@awadhrajabu1403 6 ай бұрын
Hi Movi Imegusa Wengi Wanwake Sio Watu Wa Kuwaamini Wao Wanawaza Pesa Akila Kwako Elfu Kumi Na Mwenzio Elfu Tano Na Kwingine 20 Wameona Ndio Mitaji Izo Tabia Zipo
@JudithJudy-hz6wr
@JudithJudy-hz6wr 6 ай бұрын
Yaani macho yangu yamekwama kwa hao watu wako hapo kando
@VictorOkemo
@VictorOkemo 6 ай бұрын
🇰🇪🇰🇪🇰🇪 tunawapenda sana
@collinssinclair
@collinssinclair 6 ай бұрын
much love from Nairobi Kenya #Collins Sinclair.
@FabriceMuzungu-x7w
@FabriceMuzungu-x7w 5 ай бұрын
Demu ange play song ya zuchu sijii😂😢😢
@ElizoKemkem
@ElizoKemkem Ай бұрын
Steve bana mtu wa watu pia uko na utu kakangu❤
@SimonKayuni
@SimonKayuni 5 ай бұрын
Saf Sanaa nimeipenda
@LorikuLaiza
@LorikuLaiza 6 ай бұрын
Umetisha kaka
@DianaDianakarembojefwa
@DianaDianakarembojefwa 5 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂weeeee steve wwe aky
@StanleyMaina-n1s
@StanleyMaina-n1s 5 ай бұрын
Wakenya mpo🎉🎉🎉❤❤
@habariyaostudiomedia8699
@habariyaostudiomedia8699 6 ай бұрын
Much love from kawajense
@ArmindoAugusto-s6q
@ArmindoAugusto-s6q 6 ай бұрын
Safi sana stevo❤❤
@EliaPetro-c9w
@EliaPetro-c9w Ай бұрын
Kaka mm nakukubali sana ukiwa ww na ndalo mnatisha sana
@kingdaenisbkevin
@kingdaenisbkevin 6 ай бұрын
Steve kabisa😂😂😂
@francisluziga4420
@francisluziga4420 5 ай бұрын
Steve ,Ndaro, na atanas oyaaa mjanua,, mindevu na bailam waigize matajiri wa freemason wanaweza kinoma
@simonmusembi
@simonmusembi 5 ай бұрын
Ukiona nyani mzeee ujue kakwepa mishele mingi,,,madevu😂😂
@NYONGS99
@NYONGS99 6 ай бұрын
Welcome to Kenya broo
@Danboy.Mfalme-mo1wg
@Danboy.Mfalme-mo1wg 6 ай бұрын
Mimi mgeni hapa wapi like zenu jamani 😊
@RacheleMitima
@RacheleMitima 5 ай бұрын
Steve mungu akuzidishiye utowe zamigi sana
@peternduva-yv7mw
@peternduva-yv7mw 6 ай бұрын
Hiyo Kukimbia yote Steve hatoki jasho? Next time sweat ndaro, au siyo 😂😂😂😂😂
@BonifaceMatayo
@BonifaceMatayo 2 ай бұрын
Hongera sana kaka stive
@Gasperser-iz7jx7ly3r
@Gasperser-iz7jx7ly3r 6 ай бұрын
Jinga wew 😂😂😂😂
@Marionwanjiru-s8f
@Marionwanjiru-s8f 6 ай бұрын
Nipewe like team fulus mpo
@Jamalybella
@Jamalybella 6 ай бұрын
Tupo
@kennedykiprop2375
@kennedykiprop2375 4 ай бұрын
Ulikuwa umekula Nini Steve kumbe 😂😂😂😂😂😂
@starlonejadamskp8224
@starlonejadamskp8224 2 ай бұрын
Sana stiveeee😂😂😂
@ShukuruKakulemadirisha
@ShukuruKakulemadirisha 5 ай бұрын
Nakubali Steve kwakweli
@BenadetaSandu
@BenadetaSandu 6 ай бұрын
Unyama sanaaa
@HotaeOfficial
@HotaeOfficial 6 ай бұрын
Broooooooooooo❤❤❤❤❤
@MrRamaFrederick
@MrRamaFrederick 6 ай бұрын
Mr rama❤❤❤
@LeialaAbasi
@LeialaAbasi 6 ай бұрын
❤❤❤ I love this guy
@SalumMayunga-en9nf
@SalumMayunga-en9nf 5 ай бұрын
Ongera stive.najua sana ndugu
@Danboy.Mfalme-mo1wg
@Danboy.Mfalme-mo1wg 6 ай бұрын
Mtu asiguze comment yangu huwa na faint nikishautiwa 👇 from eldoret poa place 😊
@Mazengo-pt4nv
@Mazengo-pt4nv 6 ай бұрын
Steve we muongo buzaa unaenda mbagala ndio utokee taifa we muongo blo😂😂 tandika au kwa kilungule ndio njia blo😅😅
@JohnDee-q3d
@JohnDee-q3d 3 ай бұрын
Steve Yaani 🤣🤣🤣🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇹🇿🤣🤣
@FanuelMhonjwa-fm1oe
@FanuelMhonjwa-fm1oe 6 ай бұрын
Kazi Poa sana ila aziza ukauzu kuombwa ty elf2 ya Boda 😅😅
@EITHANKEKENYA
@EITHANKEKENYA 6 ай бұрын
Wakwanza ni Mimi lakini mtu yeyote asijaribu kurusha mikono hapo Eti analike😏🌚
@VexMaizoOfficial
@VexMaizoOfficial 6 ай бұрын
🧭🤳 😂😂😂 from Msumbiji 🇲🇿 Mozambique mkoani Cabo Delgado mjini Pemba CarioCa
@DamarisWangiri-wf1wy
@DamarisWangiri-wf1wy Ай бұрын
Steve uko na mambo😂😂😂😂😢
@cyamatareealexis1373
@cyamatareealexis1373 6 ай бұрын
Heehhh Sasa Stivo unavyogipiga parfum na unakimbia mita elfu saba utamfikia mlembo na Bado harufu nzuri na jasho hhehehhhhhh unakipata mjomba polen
@NikundanaSuzane
@NikundanaSuzane 5 ай бұрын
Mungu agusaidie steve
@Judithkadzo-t6q
@Judithkadzo-t6q 5 ай бұрын
😂😂😂😂😂wapi leke za sitive jamani
@JamesKereth-zb8cb
@JamesKereth-zb8cb 6 ай бұрын
Kumbe perfume mnapuliza na shingoni 🤣🤣🤣
@EliasMsese-f1y
@EliasMsese-f1y 6 ай бұрын
Steve hanaga akili hata kidogo😂😂😂
@malietamaliet
@malietamaliet 6 ай бұрын
😂😂😂umejichanganya ungemalizana nae uko uko kwake nae we mjinga japo nikuigiza
@NYENJENDEU
@NYENJENDEU 6 ай бұрын
🎉🎉team steve
@BensonMinja-bn8qo
@BensonMinja-bn8qo 6 ай бұрын
Nenda kamstaki Kwa Hamad kijicho😅😅
@Emmykamba
@Emmykamba 6 ай бұрын
Utafikiriiii umeona demu😂😂😂😂😂
@RacheleMitima
@RacheleMitima 5 ай бұрын
Nawa pili naomba liké zangu kwenyi
@Mustafamusa-i9h
@Mustafamusa-i9h 5 ай бұрын
Nakubal kaka
@Faru808
@Faru808 6 ай бұрын
Yani sikumoja utoke buza mpaka chamaz acha uongo
@HamisiAthumani-q8y
@HamisiAthumani-q8y 5 ай бұрын
Sana kaz njema kaka
@JoramYusuph
@JoramYusuph 6 ай бұрын
Wakwanza mm naombeni like zangu
@EliasJohn-lc8nu
@EliasJohn-lc8nu 6 ай бұрын
Yan nikutumie 12000 afu yakutolea iwe 6000 Atari sanaaa
@joe_l-n3o
@joe_l-n3o 6 ай бұрын
Kila mtu anasema wa kwanza huku😂😂
@MigomgoMigali-ky1jl
@MigomgoMigali-ky1jl 6 ай бұрын
Hii imenitokea juzi awa wanawake wa nitumie nauli washenzi kweli 😅
ILA STEVE ANAZICHAPA NA DEM ENHEE
12:31
Steve Mweusi
Рет қаралды 37 М.
LEO STEVE KAWA MJANJA KWA BAILAM
11:53
Steve Mweusi
Рет қаралды 331 М.
How to treat Acne💉
00:31
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 108 МЛН
Support each other🤝
00:31
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 81 МЛН
coco在求救? #小丑 #天使 #shorts
00:29
好人小丑
Рет қаралды 120 МЛН
NINA MIMBA YAKO STEVE TOZI UNASEMAJE
9:30
Steve Mweusi
Рет қаралды 474 М.
STEVE ANATAFUTA SIFA MBELE YA MADEM
8:13
Mweusi Family
Рет қаралды 257 М.
WEWE SIO BOSS STEVE (PART1)
11:57
Steve Mweusi
Рет қаралды 190 М.
STEVE BODA BODA KAFATWA NA BOSS
12:18
Steve Mweusi
Рет қаралды 273 М.
WAPANGAJI WA STEVE NA NDARO
14:01
Ndaro Tz
Рет қаралды 431 М.
ENHEE STEVE KANASWA LEO
10:09
Steve Mweusi
Рет қаралды 286 М.
DOMO ZEGE NDARO NASTEVE WANA DUKA WAMEFIRISIKA
16:05
Mweusi Family
Рет қаралды 409 М.
EEHE HAMADI KIJICHO NDARO NA STEVE KUMEKUCHA TENA
22:16
Steve Mweusi
Рет қаралды 449 М.