Zenji yetu, kazi zetu na wasanii wetu zenj forever
@alirajab38826 жыл бұрын
Hongera sana jitadi kutupa mambo mazur zaid
@AliHassan-xr3yb6 жыл бұрын
Bin sef nakukubali Sana yaani ila samahani nikuombe kitu Mana sijui Kiko kwenye uwezo wako au vipi Mana nimezowea kukuona kwenye Mambo ya kwetu tu Zanzibar kuanzia tarab mpaka movie za kwetu Sasa Mimi bin sef naomba movie moja ya bongo inaitwa zawadi yangu ya jb part two nimemiss Sana hongera kwa kazi nzuri mungu akubarik from katar
@khamisali61594 жыл бұрын
Unafundisha sana
@momadesuali66834 жыл бұрын
Ah ipo wap zanzibar wapo wapi wasanii wetu imebak story
@nuuzuli51766 жыл бұрын
Hahahaha wallah nampenda Mashaka na vituko vyake😂😂😂
@ahmadbinally41462 жыл бұрын
Mhh
@is-hakayussuf99813 жыл бұрын
Nakubali kazi zako binseif kama itaeezeka tutafutie muvi ile ya marehemu halikuniki na sekembuke inaitwa *kizungu* naipenda lkn sin pakuipat na km utaipat nitafurahi san Asante
@shaabanmasoud48273 жыл бұрын
Mbona ipo humu
@rahimaally98386 жыл бұрын
Hahaha napenda michezo ya mashaka ukiangalia unafurahi hasa