Mungu wangu!! Pole dada na Iman sister pili atakusaidia utapona urud kwenye hali yako ya kawaida,Sister pili Mwenyezi Mungu akusimamie
@ricco_junior2 жыл бұрын
Huyu Mody Masha Allah, Mungu Amuongoze, Yuko Na Huruma Sana, Na Allah Ailende Hio Familia Yote Pamoja Na Wewe Dada Pili
@athleticssportshub55052 жыл бұрын
Yoh, unafanya kazi nzuri SOBER HOUSE. A lot of love from Kenya. May God continue blessing you.
@yhasintakalenyula9702 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu tuhepushie mbali na hili janga...Na hawa wanatumia uwape wepesi waache.Pili Mwenyezi Mungu azidi kukubariki.
@shanimbaruku20712 жыл бұрын
Aamin
@salmasururu46222 жыл бұрын
Aaaaaaaamyn insha'Allah 🤲🤲🤲🙏🙏🙏🙏🙏
@webstersinje77122 жыл бұрын
Once you use once you loose,never choose,tuombeane Mungu haya mambo ya uraibu ni noma sana....Kunta...Kinte.
@eashaeasha97762 жыл бұрын
Wallah samahani nimejikuta nimecheka hapo alipo sema anamuacha mgonjwa kwenye foleni anachukua boda fasta kustua daaah
@waheedaw19532 жыл бұрын
Dada pili pole sana inshaAllah tukijaaliwa tuko pamoja na wewe inshaAllah
@hadharaalli52012 жыл бұрын
I love 💕 you dada pili upendo WANGU sijui nikuelezeeje mungu akulinde na Kila mtihan uzid kuwasaidia waadhirika na madawa ya kulvya
@salmahhamoud996610 ай бұрын
Pole dada angu mungu akutie nguvu kwenye kusaidia ndugu zetu
@sistertrashid24882 жыл бұрын
Yaani hili ni janga ila Dada pili mungu akusaidie Nina kaka angu muhanga natamani siku moja umsaidie atoke katika hili janga wallahi
@zettyhassani22442 жыл бұрын
Subhana allah
@petriciajohn12452 жыл бұрын
Hongera Da Pili kazi nzuri
@nooroman25352 жыл бұрын
MashaAllah Mudi ogera sana
@aishaamwalimu28872 жыл бұрын
Huyu Asha anamaneno ya kibabe, akikata moto akate2, M/mungu akujalie maisha marefu yenye hery Da Pili uweze kuwasaidia na wengine🙏.
@arafakiloli7492 жыл бұрын
Subhannahllah Yarrabi tuepushe na mitihani hii.
@jacquilinenoah9492 жыл бұрын
baba yetu mwenyewe baba yetu jina tu baba mshikaj yan kila tukikutana kila mtu na zake ashtuki😂😂😂
@irenebarakelimnene4895 Жыл бұрын
Dada pili Mungu akubariki jàmani 😊
@telaamtauta22272 жыл бұрын
Mwenyezi mungu atakulipa dada pili misana napoya mungu awalaani kabisaa wotee wanao leta madawa yakulevyaa
@MariamIbrahim-h7p4 ай бұрын
Mungu tunusuru
@azizamohamed76922 жыл бұрын
Subhanaallah
@mariamumaliki69802 жыл бұрын
Yani huyu kaka mungu amsimamie
@shanimbaruku20712 жыл бұрын
Aamin
@janeongala66842 жыл бұрын
Uyu dada anapenda unga mungu amponnye
@aishahussein9348 Жыл бұрын
Mungu atakulipa dada pili
@ruwaidaal-ismaily90992 жыл бұрын
Huyu mama chizi kweli Allah amuongoze mkaidi kupitiliza dah Allah Awalani wote wanao uza ungaa
@maidamwaipopo96032 жыл бұрын
Sio yeye hapo kavurugwa
@aishachambo86632 жыл бұрын
Baba wa hovyo sana kaaribu kizazi chake duh😢😢😢😢😢😢
@sabihahamadi22872 жыл бұрын
Mtihani yarabi tunusuru sisi na watoto wetu na watoto wa wezetu hili jannga ni mtihani kweli kumbe huyu ni mwanamke pole dada namuomba mungu kaka yangu azidi kukuongoza dada pili wewe ni mwanamke wa kuku ingwa
@alexlenkishon39882 жыл бұрын
Hongera Sana dada
@graciousmbise54642 жыл бұрын
Huy asha jaman et baba akate moto ss tunamajukum😭😭😭😭 mung anamuona
@binthkhamisi10972 жыл бұрын
MashaAllah..ilaa pole dda etu utapona tu
@rukiyyarukiyya63172 жыл бұрын
Mashaallaah
@maryamtanzania97432 жыл бұрын
Leo nimemsikiliza huyu nimewachukia wauza madawa kumbe yule mtoto wa wifi yangu ndo alikuwa anajisikia hv kwa hiyo hizi dawa nikuharibu watu tu
@salhashariff88082 жыл бұрын
Allah amuongoze amtoe ktk mitihan hii
@fauziaomary89032 жыл бұрын
SubhannaAllah mtihani huu YA'ALLAH
@kiehbhzh70442 жыл бұрын
Dada inabidi upate msaada serikarin ili uenderee uzudi kusaidia watu
@tozzaalexandar49052 жыл бұрын
Atari sana mungu amsaidie Asha
@mwanahamis54872 жыл бұрын
Subhana llah
@HusnaMakela2 ай бұрын
HBR dada ninashida kuhusu mwanangu takupataje kusudi unisaidiye
@gladnessnkya1169 Жыл бұрын
Mungu simana duh 😢
@nusrathmanyawa45012 жыл бұрын
Umenuna kisa unga au jamani wauza unga Acheni mnawaharibu watu daaaah!
@taturajabukhalfani79532 жыл бұрын
Anaeumwa aumwe atakaekufa afe daaa.,.😭😭
@fetychina3969 Жыл бұрын
😂😂😂dah!unga eti atakikata moto akate tu moto😅😅😅😅😅
@shanimbaruku20712 жыл бұрын
Pili Mungu akulinde wallah 🤲🌹
@bahatishabani13922 жыл бұрын
Huyu dada anaonekana angekuwa si mraibu angekuwa na akili sana coz anaonekana anajielewa
@maryamtanzania97432 жыл бұрын
Mdi mzuri jamani
@kiri58072 жыл бұрын
Hiyo yote ni hukumu ya Mungu . ukimfanyia mwenzio ubaya utazunguka mwisho unarudi kwako . Ona mxee kauzia watoto wa wenzake unga toka wanawe hawajazaliwa , mpaka wameyashuhudia ikisha huo huo unga wake wameanzishiwa wanawe kupitia marafiki anaowauzia . Mwache afe tu yeye kashauwa wengi .
@shailamunis98672 жыл бұрын
Subhaanallah!
@victorsanga22292 жыл бұрын
Duh, madawa mabaya sana
@roselambert67002 жыл бұрын
Ooh jamani inaumiza sana
@safiayussuf93082 жыл бұрын
Umeokoka kwa Unga. Ss unaishi na mtu? Hujuwi hiyo ni dhambi? Kuzini?
@Boaz222 жыл бұрын
Anataka cha mwisho,aisee,madawa ni mapepo aisee
@rahmasoliman4892 жыл бұрын
Mtihani kwakweli Dada vumilia Tu yataisha
@KhalidKhalid-ox4pg2 жыл бұрын
AISHA OMAN 🇴🇲MUNGU AWASAIDIE WAUPUKANE NA JANGA ILI YAANI MTIHANI MKUBWA
@hammerQ9542 жыл бұрын
Dah sister arosto ya mwisho mwisho hiyo hapo kwenye koo kunakua km kukavu hivi 😁 taya zinajaa mate ya hamu na hata yakishuka hayalainish koo na macho kama yanataka yatoe machozi , yanachomacoma flan kichwani ndo unakua huelewi kabisa kiasi cha kwamba unaweza mjibu mtu kitu chochote 🤦♂️Aisee M/mungu atusaidie 🙏🙏🙏 awatoe wote walioko huko 🙏🙏🙏
@Nimebarikiwa2 жыл бұрын
Na ww ni mmojawapo?
@kadijahajali39182 жыл бұрын
Wewe fanya uowe usizini mtihani huo hii mtihani mkubwa huo mbele ya mungu mungu anisuru na shida hizo
@khayratmhina37352 жыл бұрын
Nilijua wakiume
@rasjamal98542 жыл бұрын
Dada ayupo tayari kuwacha anataka cha Mwisho Mwisho
@ashuuuaisha91222 жыл бұрын
😀😃😀😃yaaaani mtihani aisee
@lovvy8542 жыл бұрын
Bora umunuliye ajiskie Raha Kwa mara ya mwisho ili aridhike rohoyake ndo awache na
@asiaoman30402 жыл бұрын
Jmn😢😢😢
@faithjonathan38452 жыл бұрын
Huyu dada msumbufu aisee na ni dizaini ya watu ambao hata wakisaidiwa bado wanataka kupewa zaidi. Ubataka kuvuta cha mwisho kwa hela ya nani mfano badala ushukuru kutolewa mtaani
@ashuuuaisha91222 жыл бұрын
Umemuingia sana huyu ndio maaana alalamika
@isihakambalawa37562 жыл бұрын
Akikata moto akate tuu
@munirachangawa29282 жыл бұрын
Innallillahi waina ilayhi rajiun.ni hatari hiii jamani nani kaleta huu uraibu.😭😭😭😭
@hadijamandanje61892 жыл бұрын
Tena ukute wanaouza hata hawajali wao wanafurahi kupata hela tu
@joyce557272 жыл бұрын
Nimeludi kuangalia tena baada ya kumuona leo asha alivo pendeza
@sharifahabsi50042 жыл бұрын
Subhanallah
@chimamyhamid2292 жыл бұрын
Dah mpaka analiya, yaani analiliya madawa ayseeeh
@taturajabukhalfani79532 жыл бұрын
Baba akikata moto yeye akate tu moto🤣🤣
@sabihahamadi22872 жыл бұрын
Asha asema baba yake akikata moto akate tuuu hana majukumu mtihani ili janga ni hatari
@maidamwaipopo96032 жыл бұрын
Dada pili mimi nataka namba yako plz
@lgdnce83092 жыл бұрын
sasa unga bado upo kweli suumepigwa marufuku jamani wasambazaji washikwe
@maidamwaipopo96032 жыл бұрын
inasikitisha mno
@fabylyimo3002 жыл бұрын
Huyo dada hawezi kuacha dada piki🇺🇸
@shanimbaruku20712 жыл бұрын
Ataacha kwa uwezo wa Mungu
@Mina.15 Жыл бұрын
Go watch her update 😅
@fahadfaraj64742 жыл бұрын
That is addiction
@froma37322 жыл бұрын
Hawa wanouza inatakiwa wakishikwa wazungushiwe tairi story imalizike ni watu hatari kwa jamii
@chantalharakandi25762 жыл бұрын
Msimpi
@kuluthummmetisha46302 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/aavVfpuBbah6fdE( bonyeza link hii ujue ndoto mbaya na jinsi ya kuziepuka karibu)
@aminakunja2772 жыл бұрын
Dahh yaraabiiii tustiri kwani huu Unga inakuaje mtu akigusa Mara 1 aachi upoje huu yani dahh Maana uyu dada analalamika kama kakosea ugali
@florencemlay93332 жыл бұрын
Angalia Narcos, Pablo Escobar, Elchapo on Netflix ndo utaujua huu unga vizuri 😢😢
@faithjonathan38452 жыл бұрын
Aisee dada Pili Mungu azidi kukupa moyo wa uvumilivu kusaidia hawa watu. Mir kwa hasira zangu huyu dada ningeshamwambia aobdoke akarudi zake mtaani aharibike tu. Ila watu kama wewe wenye subira ndio mnasaidia hawa wapuuzi warudishe akili. Halafu alivo mpumbavu eti yeye ndo ana majukumu. Dah😒
@jamiistoriestv42182 жыл бұрын
😭
@kiehbhzh70442 жыл бұрын
Duuh mtihani sn
@mrmindboom20582 жыл бұрын
Apewe methadone ndo muendelee na interview
@Antipasmsabaha1232 жыл бұрын
Hokoka utapona
@jacquilinenoah9492 жыл бұрын
hiki kiswahil cha wapi ww? sema okoka sasa unaposema hokoka ndio nn😂😂😂😂
@Antipasmsabaha1232 жыл бұрын
@@jacquilinenoah949 wewe mjua kiswahili kiziri mwambie hakuna maali pa msaada duniani mwambie nilicho taka kusema.
@Antipasmsabaha1232 жыл бұрын
Mungu ndie kila kitu sasa umwambie kwa kiswahili kizuri wewe ambaye haukoseaki kusema neno na hata mimi nataka unifundishe kuandika na kusema kiswahili, sio lugha yangu nahitaji msahada kwako.