Nay wa Mitego - Alisema (Official Video)

  Рет қаралды 2,385,646

Mr Nay

Mr Nay

Күн бұрын

FREE NATION RECORDS proudly presents ALISEMA by Nay Wa Mitego.
Audio Produced by - Mr LG, Love Touch,Aniwy lee
Video shot in Tanzania by director - DEO ABEL
ENJOY....

Пікірлер: 3 300
@merukidd9268
@merukidd9268 3 жыл бұрын
Kenya hatuwezi pata bingwa kama huyu. Much love from +254🇰🇪🇰🇪 Likes za WAKENYA ndani ya nyumba plz. 👇👇
@epifaniamponda5676
@epifaniamponda5676 6 жыл бұрын
kuwa mpinzani sio kupinga kila kitu 👏👏👏👏 like zenu Tafadhali hii ya mwisho naapa siombi tena
@glennluvai3306
@glennluvai3306 5 жыл бұрын
This Song does not only talk to Tz, But Africa, I can relate to everything in 254
@ismailchibonda5005
@ismailchibonda5005 3 жыл бұрын
Real bro
@jumah075
@jumah075 Жыл бұрын
True😥
@evanskaburu397
@evanskaburu397 Жыл бұрын
it true bro
@hillarycheruyot3905
@hillarycheruyot3905 Жыл бұрын
Very true
@bowattanga
@bowattanga Жыл бұрын
👍👍👍👍👍👍
@obbyjoseph4964
@obbyjoseph4964 6 жыл бұрын
mbona mim MBNA kila nikicoment spati like jaman nioneen huruma na mim!😁😁 Mr nay hii ngoma Kali kinoma ka shishi chili ya shishi nanhh!
@nickmbecknkinda5446
@nickmbecknkinda5446 6 жыл бұрын
Ney we nimkweli endelea kuwachana mungu atakulipa
@KUYALAI
@KUYALAI 6 жыл бұрын
Noma sanaaa babulai
@totoozebingwatshumani4642
@totoozebingwatshumani4642 5 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂
@kachungwakachungwa2608
@kachungwakachungwa2608 5 жыл бұрын
Kiukweli vijana yatupasa kutoegemea sehemu moja panapositahiri kusema hapana lazima tuseme na kwenye kusema ndio yatupasa sisi vijana ndio tunaotazamiwa huko nbeleni .asanteni Watanzania na wana wa Africa.
@missbartanzania688
@missbartanzania688 5 жыл бұрын
Obby Joseph 😹😹😹😹
@chambotz9352
@chambotz9352 6 жыл бұрын
Dah Ney big up sana Naamini Wimbo huu Utawafunza weng siyo kila cku nyimbo za Mapenzi,Waliyoipenda hii ngoma washushe like zao hapa
@chrissyesaya5385
@chrissyesaya5385 6 жыл бұрын
Safi
@mustaphaassenga8094
@mustaphaassenga8094 6 жыл бұрын
hatari sana kaka
@fundievergreenengineering3923
@fundievergreenengineering3923 6 жыл бұрын
John malechela au John Magufuli
@idebrantmbunda704
@idebrantmbunda704 5 жыл бұрын
Interesting track
@mmsfuzzsba3816
@mmsfuzzsba3816 5 жыл бұрын
True Boy 699 Huu ndo muziki wa Kiume unaokutofautisha na wengine, Big Up Nay True man
@mapozijamaldo5387
@mapozijamaldo5387 4 жыл бұрын
Ni 699 ao ni 966 ??
@abdulramadhan981
@abdulramadhan981 6 жыл бұрын
kwamara ya kwanza Brother Umetuliza akili nakutuletea Ngoma kweli sisi Patriots
@shedrakissangya2450
@shedrakissangya2450 3 жыл бұрын
Nandi
@gine9011
@gine9011 6 жыл бұрын
Duh Mimi mgeni kumbe na huku kuna kugongeana like !! Nacheka kihutu na Mimi sitoandika Tena ila #Alisema
@drkaswalala
@drkaswalala 5 жыл бұрын
Napendekeza huu wimbo uwe "wimbo bora wa mwaka" ~song of the year~
@rostinachadoli3668
@rostinachadoli3668 2 жыл бұрын
San
@charleskombe
@charleskombe 5 жыл бұрын
Kiuhalisia umeweza kuonyesha namna ambavyo sanaa inaweza kutoa elimu kwa wananchi hasa vijana ambao wengi wamekua na woga wa kutoa maoni yao kutokana na kutokuwa na uelewa wa haki zao pia. Big up Nay. Likes za kutosha kwa wanaosimama kama alivyoagiza Nyerere!
@petermoshi3877
@petermoshi3877 5 жыл бұрын
CHARLES KOMBE tatizo watu wasiojulikana ....😏😏😏 n.a. sehemu isijulikana🙂🙂 inafanya watu kukaa🤐🤐🤐
@abdallahsaid8489
@abdallahsaid8489 5 жыл бұрын
CHARLES KOMBE kwel
@omanmwajabumbeguoman8642
@omanmwajabumbeguoman8642 2 жыл бұрын
Ww mwana siasa halisi unaweza kaka yani ngoma zakoko zote ziko juu ila wanaonekana haooo wenye nyimbo za kipuuzi 💪💪💪💪💪komaa jembe hawakuwezi
@frankoeliya7388
@frankoeliya7388 Жыл бұрын
Chombo chakwelii
@FlorahSelemani
@FlorahSelemani 4 ай бұрын
@henrymabula2537
@henrymabula2537 6 жыл бұрын
mmmmmmm alisema Nyerere kama ume elewa gonga like twende Sawa
@viiswai3491
@viiswai3491 6 жыл бұрын
Pamoja san bro kazi nzur san
@henrymabula2537
@henrymabula2537 6 жыл бұрын
Mbona wacheka vp?
@deogratiusisdorymsuva9643
@deogratiusisdorymsuva9643 6 жыл бұрын
Kiboko
@mikijanuarh929
@mikijanuarh929 6 жыл бұрын
Atariiyongoma
@barakamakoko2282
@barakamakoko2282 6 жыл бұрын
Say xn true nay
@normanmoriasi49
@normanmoriasi49 Жыл бұрын
The only msanii who is not pregnant but keeps on delivering everytime...salute from 254 kenya
@jengamzugaofficial6289
@jengamzugaofficial6289 6 жыл бұрын
Kwa hapa sisemi tena aisee,mungu ndo anajua lawama zote kwa John
@RomanEmpirG
@RomanEmpirG 6 жыл бұрын
John malichala
@sylivanusbernard3325
@sylivanusbernard3325 6 жыл бұрын
Kitu iko wazi sana,hizi ndo ngoma inatakiwa tusikilize
@nellymollel4672
@nellymollel4672 6 жыл бұрын
+Mikael Charles hapan so malichala John alcohol
@hatibuhaule4699
@hatibuhaule4699 6 жыл бұрын
Ney hatari sanaaaaaaaa kweli ndio yule tunaye kujua
@awetumtengera1147
@awetumtengera1147 Жыл бұрын
Wimbo naupenda sana huu💚💚❤️❤️ ujumbe mzuri sana.
@HabilyTech
@HabilyTech 6 жыл бұрын
Kama nawew hujaona comment inayosema ngoma hii mbaya gonga like
@Gmafic
@Gmafic 6 жыл бұрын
Nay wamitego hebu fanya Remix na ROMA itakua kubwa zaidi ya hapa aisee.. Kama una support ifanywe rmx like hapa Nay atapita kuisoma hii na kufanyia kazi.
@rafiiayubu8596
@rafiiayubu8596 5 жыл бұрын
Bongo Updates itakuwa ni bonge la ngoma
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 5 жыл бұрын
na rostam hasaa, na yeye akafanye rmx ya rostam iliyopita nimesahau jina..
@colineljoseph5848
@colineljoseph5848 5 жыл бұрын
umesema kweli asee
@mussaramadhan8064
@mussaramadhan8064 5 жыл бұрын
Kwel asee ingekuwa poa
@only1tv264
@only1tv264 5 жыл бұрын
👮👮itakuwa bonge la ngoma asee
@milemo604
@milemo604 5 жыл бұрын
Wasani wengine wajifunzekutoka kwako mana mapenzi wanayo yahimba hayanaga mjuwaji na hayanaga mwisho wala mapya nimda wakuhamka From congo
@Locha_Media
@Locha_Media 6 жыл бұрын
Hii ngoma imeBALANCE kinoma noma.. umesimama pande zote mbili.. Big thumbs up 👍👍👍 Mr Nay
@harunfamily3278
@harunfamily3278 6 жыл бұрын
ngoma kali sana, umesimama katikati kusema ukwel (alisema nyerere)🔥kama umeikubar ngoma hii ngoga like twende sawa,,,,,thumbs up👍
@ronaldo3359
@ronaldo3359 Жыл бұрын
Msinielewe vibaya jamani. Jamii nzima ya Afrika ya Mashariki ipo siku tutakumbuka palikuwa na mwanaharakati aliyeitwa Nay Wa Mitego. Hatumshabikii sasa lakini akishaondoka ndo tutaanza kumposti kila mahali. Mungu akulinde Nay, mob Love from KENYA.
@benjatech91
@benjatech91 6 жыл бұрын
Naamini nay amekuja kivingine Sana basi kama unapenda mpee like ka haupendi pita tu...
@diamondplatnumznewsajm2053
@diamondplatnumznewsajm2053 6 жыл бұрын
Kama unamkubali #NAY THE THE TRUE BOY BC gonga like ya nguvuuuuu.
@gangilongaulimwengu6097
@gangilongaulimwengu6097 6 жыл бұрын
Jackson Platnumz IPO good
@user-ld9lz4dn3l
@user-ld9lz4dn3l Жыл бұрын
What a great song to listen to. A great inspiration for the African youth to stand up for their rights and keep the government in check.
@mlewaisavile9793
@mlewaisavile9793 5 жыл бұрын
kweli ww ni true boy.hii ngoma kali sana, kweli lawama zote kwa john
@kenzyken01
@kenzyken01 3 жыл бұрын
Ujumbe halisi💯.... Wimbo mwema... Nay mziki bora.....
@salharashed
@salharashed Жыл бұрын
Yani nay wewe jmn hasijui niseme nini jmn nyimbo zako uwa Zina nitoa machozi ila allah akulinde kwa kuitete Tanzania na afrika nzima naju meseji inawafikia wausika mwenye mungu akunusuru na mabaya yanayo kukumba
@lewiswanyama2596
@lewiswanyama2596 6 жыл бұрын
Daaaaah, nani kasikirza Mara ya pili Mara tatu kama mimi Yaani nmeielewa zaidi big up brother
@sureboysuya4036
@sureboysuya4036 6 жыл бұрын
Oyooooo
@johnsonmunisi3517
@johnsonmunisi3517 6 жыл бұрын
Lewis Wanyama daaah mi Mara Tatu na taendeleaaa
@lewiswanyama2596
@lewiswanyama2596 6 жыл бұрын
Johnson kla time naichek ikopoà mno
@itikadiackixon3617
@itikadiackixon3617 6 жыл бұрын
Lewis Wanyama kama Mara tano hv nmeirudia rudia
@lewiswanyama2596
@lewiswanyama2596 5 жыл бұрын
Cyo poa ikopoà mno
@melody_mike_mavoice
@melody_mike_mavoice 5 жыл бұрын
Am from KENYA BUT AM IN LOVE WITH NAYS SONG ITS EMOTIONS IS SUCH A UNIQUE ONE I SALUTE THIS IT TALKS ABOUT THE REAL LIFE ..Nay good job
@danielysaruni5686
@danielysaruni5686 2 жыл бұрын
Tanzania wanamziki kama huyu ni wachache sana hata hawazidi watatu GOD BLESS US
@paulfarijalah1726
@paulfarijalah1726 6 жыл бұрын
Iko sawa Hii ngoma kama ungekuwa unatoa ngoma kama hizi ingekuwa poa
@zenjonlinetv4953
@zenjonlinetv4953 6 жыл бұрын
Mr nay haukoseagi baba #966 kama unaikubalia song hii #ALISEMA GONGA LIKE HUKU UME PLAY
@abdulmasoko7241
@abdulmasoko7241 6 жыл бұрын
nice mzee baba @wamitego
@cleomachota351
@cleomachota351 6 жыл бұрын
K
@marystellanyambi1567
@marystellanyambi1567 6 жыл бұрын
kiboko
@marystellanyambi1567
@marystellanyambi1567 6 жыл бұрын
Team dully hii inaitwa mvua ya mawe mamae
@zenjonlinetv4953
@zenjonlinetv4953 6 жыл бұрын
@@marystellanyambi1567 imekunyeshea dadeq
@amoskamau1184
@amoskamau1184 5 жыл бұрын
Wakenya pitieni hapa... Africa mashariki tuna njaa ya uongozi mwema, maendeleo yasiyo umiza wananchi
@tonybosei4897
@tonybosei4897 5 жыл бұрын
I love his song. I don't know what it means but it's a great jam
@mathiusthomas7363
@mathiusthomas7363 5 жыл бұрын
RIP my beloved sister Aquilina Mungu atawalipa kwa wanayo yafanya sasa.
@adinannkurumbi5375
@adinannkurumbi5375 3 жыл бұрын
Amen.
@tumainishirima2941
@tumainishirima2941 2 жыл бұрын
Amen
@sanitoamericomualeia7998
@sanitoamericomualeia7998 Ай бұрын
We had Azagaia in Mozambique who was singing these kind of the musics. He was the messenger of the Mozambican citizens but we all cry for his death. In March 2023 he left us. RIP MANO AZAGAIA.
@swahibuamani1763
@swahibuamani1763 6 жыл бұрын
Vijana wamepewa madaraka wanatukana wazee,, like kama umeikubali
@abeidmdoejr8198
@abeidmdoejr8198 6 жыл бұрын
Mwanañgu kaa kimya...., Nimekuelewa Mr ney
@zakayoolekampuni8095
@zakayoolekampuni8095 11 ай бұрын
Hats ukifa leo @ney wa mitego, dunia tayar imepokea ulichowaambia pia ni funzo ❤❤❤❤
@abuymchina1879
@abuymchina1879 6 жыл бұрын
Cjawah kukupnga Ney najua huwa hubahatsh kwng mm hii ndio ngoma yng bora yafunga mwaka kutka kwko Ney
@johnjackson5660
@johnjackson5660 6 жыл бұрын
Kwa Mara Nyingine umerudi vizuri 😍😍😘😘 kama umeielewa Hii Ngoma like twende sawa
@samusonsamwel2567
@samusonsamwel2567 6 жыл бұрын
Ney ney mzee baba
@johnjackson5660
@johnjackson5660 6 жыл бұрын
This is so fantastic song
@rosemulumbilwa1296
@rosemulumbilwa1296 5 жыл бұрын
Walio kopeshwa pesa naho wote kwa John congratulations my president magufuli 👏👏
@dicksonisakwe3063
@dicksonisakwe3063 6 жыл бұрын
Sasa nimeanza kukuelewa,,,, hakika ni nyimbo nzur ya kuhamasisha vijana na kaz,,,, big up
@lawrencelyallah5090
@lawrencelyallah5090 6 жыл бұрын
Huwa si comment lakn kwa ngoma hili lazma nioneshe hisia zangu......hongera mkubwa Ney wa mitego
@yatoshaenocki6377
@yatoshaenocki6377 5 жыл бұрын
Guda sana
@abdallahalihamad7236
@abdallahalihamad7236 3 жыл бұрын
Kuwa mpinzani siyo kupinga kila kitu sote lengo.letu ni kujenga nchi yetu huu wimbo ni poa sana Nay ww ni mwamba
@princereagan1445
@princereagan1445 10 ай бұрын
Baba you are the true voice to the citizens of African, not only Tanzania. Much love brother ❤
@fakihmohd8506
@fakihmohd8506 6 жыл бұрын
MTU una dislike nyimbo hii kama unamaisha mazuri kumbe kama mm tu.....hemu tujuane tuloambiwa mchakamchaka na nyerere #ALISEMA
@omarymbalala6224
@omarymbalala6224 6 жыл бұрын
💪💪
@colymashe
@colymashe Жыл бұрын
Mapenda io bidii vijana at a Kenya wafaa kuchangamka azn kucheza kiwao,,,salute tu rais Wa kitaa
@dee7643
@dee7643 6 жыл бұрын
Like hapa nyingi kama umemuelewa kama Mimi
@sablinasaid8212
@sablinasaid8212 6 жыл бұрын
The true boy
@elbursewoi2902
@elbursewoi2902 2 жыл бұрын
A revolutionary kind of a song , listening it non_stop as my country Kenya is nearing its election period.🇰🇪 Thanks Ney for this piece _2021
@amekamek-ff7ms
@amekamek-ff7ms 5 жыл бұрын
This is true kweli ww ni ney wa mitigo huu mtengo ni nomaa ila muhimu sio kufungia fungia tu muhimu pia kuziba viraka vya uovu maana fungate ya uhuru wnaifaid wachache pamoja na cake of nation
@mathiaswambua7643
@mathiaswambua7643 6 жыл бұрын
Mr Nay Hapa Umenena Aiseee Bonge La Ngoma Iko Moto Sana Nimeirudia mara Mia.🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@barakamakoko2282
@barakamakoko2282 6 жыл бұрын
Good boy
@mtafutajihachoki5937
@mtafutajihachoki5937 6 жыл бұрын
Daaah Sikutegemea ney wa mtego kama Ungeachia ngoma Qlait
@ZachariaKoroso
@ZachariaKoroso Жыл бұрын
Spread that message also in kenya that is truth if you starnd for the truth you will always starnd alone may God be with you 🎉🎉🎉
@leemassawe8968
@leemassawe8968 6 жыл бұрын
Nampendaga sana ney cz haongeagi uongo kama umeelewa alisema nyerere like apo
@deusdeo3447
@deusdeo3447 5 жыл бұрын
Nkbl San nay
@fadhilisalmu723
@fadhilisalmu723 5 жыл бұрын
Sjawahi shiriki siasa hata Mara moja lakin huu wimbo ni mzur
@metrobert8604
@metrobert8604 5 жыл бұрын
Day! Poa Poa
@daudidenisi5392
@daudidenisi5392 5 жыл бұрын
Hatare blood Ney ludi tena Hombolo ukiamshe tuanze mchakamchaka
@agnessjohn8404
@agnessjohn8404 6 жыл бұрын
woyoooooooo kumekucha nay umeuwa nyimbo kali balaaa umetisha mzee baba
@loserianaugustino6717
@loserianaugustino6717 3 ай бұрын
2024 katika pitapita zangu nimejikuta nausikiliza more than 5 times...huu wimbo uliimbwa ukaimbika #trueboy
@ntawurusigajaphet5335
@ntawurusigajaphet5335 6 жыл бұрын
Kutoka +257, Burundi Ney wa Mitego umetishaa Kama na wewe umeipenda gonga like basi!
@ramadhaninyamranga5002
@ramadhaninyamranga5002 6 жыл бұрын
Daah huu wimbo umenigusa sana, choz kwa Aqwelina..
@makungwadominico3374
@makungwadominico3374 6 жыл бұрын
Ramadhani Nyamranga more than pain
@dullahkichindadullahkichin3531
@dullahkichindadullahkichin3531 5 жыл бұрын
Vp
@abdullyjohn8499
@abdullyjohn8499 5 жыл бұрын
Gusa baba yaga mbele kwa mbele nyimbo hii schoki kuisikiliza kama ile ya salam ziende kwao piga baba yaga nakukubaliiiii sana🙏🙏
@mohamedarbabu2007
@mohamedarbabu2007 6 жыл бұрын
Akizingua tuna mchana 😀😀😀oya gong like apa mzee
@songelaeljm4708
@songelaeljm4708 5 жыл бұрын
Bonge la ngoma yan
@christophmbilinyi7159
@christophmbilinyi7159 6 жыл бұрын
mungu akupe nguvu coz umebaki wewe tu mtetezi wetu kama unaniunga mkono gonga like mbaka imfikie Mr ney
@hillarycheruyot3905
@hillarycheruyot3905 Жыл бұрын
I do listen to Nay songs every morning.
@twahajsalim5975
@twahajsalim5975 6 жыл бұрын
my best hip-hop songs this year Alisema na parapanda
@youngkillermsodoki7664
@youngkillermsodoki7664 6 жыл бұрын
** Kuwa mpinzania sio kupinga kila kitu lengo ni moja kuijenga nchi yetu daah hapa bro umeimba la maana**
@tobyhoodonvevo8693
@tobyhoodonvevo8693 6 жыл бұрын
Young killer Msodoki 👍
@justinejoseph1701
@justinejoseph1701 6 жыл бұрын
CHAMA LA WASOMA COMMENT KZbin (CHAWACOYU)
@evanciaernest515
@evanciaernest515 6 жыл бұрын
Justine Joseph Hahaha umejuaje Na mm Nipo
@elishaadolph6768
@elishaadolph6768 3 жыл бұрын
mwendooo uleeeee
@johnbruno1043
@johnbruno1043 5 жыл бұрын
Umoja wa kusoma koment Tanzania,kukota,kama nawe upo gonga like yako hapa
@bennymochiwa4800
@bennymochiwa4800 4 жыл бұрын
UKKT
@godfreymbuko9139
@godfreymbuko9139 4 жыл бұрын
John Bruno wa
@thekingteco6420
@thekingteco6420 6 жыл бұрын
mama ananikubucha watoto bado wana suma kakimia usije ukakamatu tena. sawa mama iy ni ya muisho nawapa siongei tena . kama unakubari ney biga like
@amosjulius1523
@amosjulius1523 6 жыл бұрын
issa mbaluco mbaluco wewe ni mtanzania?
@godfreywebiro4058
@godfreywebiro4058 6 жыл бұрын
Dume biga balike kama boteee....hahaha huyu siyo wa nchii hii, burundi mojaa
@chibunews5642
@chibunews5642 6 жыл бұрын
Kuma mamaae . sijawahi kuwa shabiki yako ila hapa nimekuja . like zangu hapa kama wewe sio msenge
@omarymbalala6224
@omarymbalala6224 6 жыл бұрын
😂😂😂
@danielmadembwe5920
@danielmadembwe5920 6 жыл бұрын
san tuu
@edmundelias2673
@edmundelias2673 5 жыл бұрын
Huwa nakudisi sana bro! Kwa hii hii ngoma respect kwako bonge la ngoma. Hongera sana True boy.
@tamusanaamerra358
@tamusanaamerra358 5 жыл бұрын
Hii ngoma inatuhusu sana hapa 254..hongera kwa ujumbee huu Nay👏👏👏👏👏
@King_Shark360
@King_Shark360 6 жыл бұрын
huyu ndooo nay tunae mjua sio wa amsha popo kama ngoma ni kali gonga like
@shawwalmusa9234
@shawwalmusa9234 5 жыл бұрын
wambie hata sijasikia vibaya
@kasairamazani4437
@kasairamazani4437 5 жыл бұрын
Hey
@birehaissa2661
@birehaissa2661 5 жыл бұрын
Ngoma kal sn
@tzafricatv6562
@tzafricatv6562 5 жыл бұрын
Jonh Zur azura
@King_Shark360
@King_Shark360 5 жыл бұрын
@@tzafricatv6562 Kwa inst kingtiger
@eddyantonanton6570
@eddyantonanton6570 6 жыл бұрын
Mmmmmmh!! #966/ Mr.ney upo vizur San.. Asantee!! Mtaan tumekusikia. BiG APU kwako ..kama umeielewa hii song kama Mimi gonga like yako
@richardcareen5613
@richardcareen5613 6 жыл бұрын
hongera
@edwardouma1630
@edwardouma1630 2 жыл бұрын
I really appreciate Mr true boy this song is a lasting tz and African as a all
@t.boscojr.5718
@t.boscojr.5718 5 жыл бұрын
Mnaitaka vita?, hivi nyie mnaijua Vita?, Walijalibiana Congo Hadi leo wanajuta. 🤣🤣🤣🤣 very fun peace to everyone one love to y'all
@Locha_Media
@Locha_Media 6 жыл бұрын
Kaka yangu kabadirika kabisa .. akuna mwegine kama Mungu Gonga like apa kama una mkumbali jesu and god
@mborajoseph6792
@mborajoseph6792 6 жыл бұрын
Lve from 254
@japhettz4834
@japhettz4834 6 жыл бұрын
Kweli hii ngoma inasikitisha kiukweli
@davismaluli6512
@davismaluli6512 5 жыл бұрын
Lina Heri tumbo lililokuzaa ...mwanaume asili yake ni kiburi ,,,asante nay umejionyesha wew ni miongoni mwa wanaume ktk jamiiii.tetetetetete wengi wetu kimyaaaaaaaaa
@dayanamushi7956
@dayanamushi7956 6 жыл бұрын
Kama umeangalia hii video zaidi ya mala 10 gonga like hapa 🔥🔥🔥
@calvinjames4057
@calvinjames4057 5 жыл бұрын
dayana Mushi nimeikubali sana higoma da kiboko
@nestomtei
@nestomtei 5 жыл бұрын
Goodsonq
@khamisbakari4815
@khamisbakari4815 5 жыл бұрын
Ney on fire
@francism6675
@francism6675 5 жыл бұрын
Lawama zote kwa John
@boccabakari3150
@boccabakari3150 5 жыл бұрын
VP kamahii Itakuwa pow
@lazarodaudi1689
@lazarodaudi1689 6 жыл бұрын
Lawama zote kwa John 😛😛😛😛 nimekuelewa Baba 🗣🗣🗣🗣
@christopherkihiyo2964
@christopherkihiyo2964 6 жыл бұрын
John noma😂😂
@rednekamdango8487
@rednekamdango8487 6 жыл бұрын
nh nh nh mungu yupo naona watu wanaogopa kusema, sio kitaani tu hata maofisini pesa imekuwa ngumu nh nh nh lawama zote kwa john
@rednekamdango8487
@rednekamdango8487 6 жыл бұрын
nh nh nh mungu yupo naona watu wanaogopa kusema, sio kitaani tu hata maofisini pesa imekuwa ngumu nh nh nh lawama zote kwa john
@rednekamdango8487
@rednekamdango8487 6 жыл бұрын
ila john kama anayo akili timamu ajiandae, ila isiwe sababu ya kuwa kimya vijana tuamke tuanze mchakamchaka
@danielmakubowatz
@danielmakubowatz 5 жыл бұрын
safi sana mesej nzuri kweli sio kama wale wabana pua vichwa vyao vimejaa mashairi ya mapenzi tuuuuuuuu hawana wanachoweza kuimba zaidi ya mapenzi
@johnmatiko6134
@johnmatiko6134 6 жыл бұрын
dah naona huu wimbo jamaa kamkumbuka mungu!
@giftneymar4453
@giftneymar4453 5 жыл бұрын
Ney hapa nakupa bigup mkubwa wimbo nimeuelewa sanaaa yan Kama umeuelewa wimbo like tujuane
@nashonmarwa7567
@nashonmarwa7567 3 жыл бұрын
Sometimes huwa naangalia badhi ya nyimbo zako nabaku tu kusema we ni msanii. Maana msanii ni yule anae simama na tabaka tawaliwa (wanyonge) nawewe umethibisha hilo mara kwa mara huwa unaikosoa serikali. Viva@Ney
@josephkapondo2012
@josephkapondo2012 6 жыл бұрын
Nizambi kukaa kimya, nizambi kuto kemea.... kama umesikia hayo maneno gonga likes za kutosha
@emmauskivike7414
@emmauskivike7414 5 жыл бұрын
Huu wimbo najikuta nautazama mara kwa mara mpaka kuba wakati nausikia kama unaimbwa ili hali hakuna kifaa kinachoimba wakati huo, huu ndio usanii uliotukuka na wa level za juu ambapo naona hakuna mtu atakae weka kikwazo kwani ume balance pande zote. Nitegemee support ya wabunge hata raisi kwenye wimbo huu. Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni Mr. Elibariki (Ney wa mitego) umefanya kazi ya maana sana. Mungu akubariki na kukupa hekima zaidi katika utunzi wako na uthubutu wa kuwasemea wananchi.
@jackitairo5561
@jackitairo5561 5 жыл бұрын
Kweli uko pow huu wimbo
@davidisack1643
@davidisack1643 5 жыл бұрын
umetisha ney
@samuelsigallah8870
@samuelsigallah8870 5 жыл бұрын
Big up ney
@fellofeiboy454
@fellofeiboy454 5 жыл бұрын
Alisema ni ngoma kali from my favorite artist Mr nay (wamazese)....nataka kuifanya national anthem 254
@htwtv4657
@htwtv4657 2 жыл бұрын
With the shortage of fuel and rise in product prices, this song makes so much sense. Alisema is pure fire 🔥
@vivapac1232
@vivapac1232 6 жыл бұрын
Real hip hop Real history Respect broo nay wa mitego
@honestbaiki7534
@honestbaiki7534 5 жыл бұрын
Viva Pac123 big up ney
@neemaemmanuel6850
@neemaemmanuel6850 5 жыл бұрын
good song Nay, nimeikubali sana Alisema. nawe pia umesema tushindwe sie tu kusikia.
@sadickkhalid7060
@sadickkhalid7060 6 жыл бұрын
Ushaniloga ww team #966 kama mpo gonga like za kutosha na uweke comment zako hapa #freenation
@sadickkhalid7060
@sadickkhalid7060 6 жыл бұрын
Susan Gathoni thanx so much my best #Alisema
@shivobs4485
@shivobs4485 6 жыл бұрын
Ameturoga wote ngoma ipo kati
@Tino_Official_tz
@Tino_Official_tz 6 жыл бұрын
😂😂😂😂😂 watu mnapenda likes kuliko kazi. Au likes msosi huu na mimi nije na sahani yangu
@amirsab1158
@amirsab1158 6 жыл бұрын
Patamu hadi ndani kwa madam hayawani
@franktoneskorosov.4217
@franktoneskorosov.4217 3 жыл бұрын
For sure this song makes me crazy when am listening to it...but it focus on our daily life business..keep it up my nay wa mitego..
@jimmymarwamatjr491
@jimmymarwamatjr491 5 жыл бұрын
Good song Mr Ney... umewaambia ukweli waduwanzi. Ujumbe umewafikia... walivyo masakala watataka kuifungia hata hii
@senetormps2361
@senetormps2361 6 жыл бұрын
Hii nimeikubalii umenena point kama zoteeee gonga like twende sawaaa
@jacobmpiti6756
@jacobmpiti6756 6 жыл бұрын
Hata akisema wao ni wao sisemi nikatumiwa watu wasio julikana
@japharimandalafamily6868
@japharimandalafamily6868 6 жыл бұрын
Br br br br br amini kituulichokiachia nipendwa gonga like Kama umeielewa hi ngoma
@muyahamadimgazaa3194
@muyahamadimgazaa3194 2 жыл бұрын
I love this song from South Africa nakubalii ney
@baddestsmartdaddy8966
@baddestsmartdaddy8966 6 жыл бұрын
The first one to watch this kama uko na mr nay weka like yako hapa twende nalo
@zaituniyusuphjuma415
@zaituniyusuphjuma415 6 жыл бұрын
Ndiyo alisema vijana mchaka mchaka hakusema tulale sasa nivipi mkae tu usuburi kuletewa mchaka mchaka kwenye kazi ndo mpango mzima
@gaburica7307
@gaburica7307 5 жыл бұрын
Ney kwa hiyi ngoma umenigusa sana . Umeamua kuimba ukweli kuhusu nchi yetu unawaambia ukweli japo hawataki ukweli .
@kalejiseiph7540
@kalejiseiph7540 6 жыл бұрын
100% no weakness on this song. nakupa hongera zote
@pauljeremiah9205
@pauljeremiah9205 5 жыл бұрын
kama unasoma comments kama mm bonyeza like hapo chini.
@tzafricatv6562
@tzafricatv6562 5 жыл бұрын
Tisha Sana mpe neno muafrica ney umeionaje mwanangu hii ngoma? Like apo
@Wamikogo
@Wamikogo 6 жыл бұрын
Vijana wamepewa madaraka wanatukana wazee like 100 chap chap twende saw
@upendokwamimi19
@upendokwamimi19 6 жыл бұрын
Jamani vita ni mbaya, tuamke tufany kazi, ney safi.
@Wamikogo
@Wamikogo 6 жыл бұрын
kwl
Nay Wa Mitego  -  Bachela ( Official Music Video )
3:42
Mr Nay
Рет қаралды 1,2 МЛН
Roma - Zimbabwe [Official Music VIdeo]
4:45
VIVAROMA
Рет қаралды 4,3 МЛН
Fake watermelon by Secret Vlog
00:16
Secret Vlog
Рет қаралды 3,8 МЛН
小丑和白天使的比试。#天使 #小丑 #超人不会飞
00:51
超人不会飞
Рет қаралды 33 МЛН
Nay Wa Mitego Ft Atan - Acha Niongee (Official Music Video)
3:20
NCHI YA AHADI KALA JEREMIAH ft ROMA (official video)
4:47
OfficialKalajeremiah
Рет қаралды 3,1 МЛН
Nay wa Mitego alivyofukuzwa nyumbani na kuwa Kinyozi. (Part One)
33:57
Linex Feat.  Diamond Platnumz - Salima (Official Video)
4:32
Linexsundaymjeda
Рет қаралды 18 МЛН
Nay Wa Mitego(Mr Nay) - Saka Hela
3:45
Mr Nay
Рет қаралды 503 М.
Nay Wa Mitego  - Sauti Ya Watu (Official Music Video)
4:21
Mr Nay
Рет қаралды 3,3 МЛН