Huyu ndio Ney wa mitego nayemjua Mimi. Kama umwelewa jamaa gonga like twende sawa #AMKENI
@CasmiryNikata-e3j Жыл бұрын
Kichwa cha huyu jamaa ni zaidi ya dhahabu, yani kuna mijitu inajiita misomi kumbe mavi matupu ila kichwa hiki kina fikra za juu sana, zaidi ya wenye phd, big up Ney wa mitego Mungu akulinde na uishi miaka buku.
@shahadaushindi7745 Жыл бұрын
Tumchangie nay, jamani tusiishie kumsifia tu sisi sote hata elfu 10, 10 tu wote tuliokoment humu. Kazi, hii ni nzuri mno. Watu wamekalia upuuzi tu hawa ndiyo wasanii wanaohitajika. Mzalendo ni msema kweli kwa ajili ya nchi yake. Nay hana ubinafsi amezaliwa kwa masilai ya taifa lote. Sio hao wanaimba kusifia upuuzi tu. Wasanii ni Roma na Nay wanastahili kiwa washauri wa raisi
@selphersimiyu10 ай бұрын
Mungu mpe huyu msani maisha marefu my top mentor like za 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@Trolley2023 Жыл бұрын
Hii wimbo inatuhusu sana huku Kenya kuwaliko Tz...rais mtalii,wabunge akili ndogo, meli lazama ila hakuna anayeona. Afrika mashariki tuamke!!!!
@lvanyDaniel_pw7kk Жыл бұрын
Ambao tume rudia zaidi ya mala 10 huu wimbo tujuane 🙏🏿
@fredbasil361 Жыл бұрын
Dah😢
@godwinvicent Жыл бұрын
2po mzee kwanza tumekusanyika saiv tunasikiliza jamaa anajua
@RojazTz Жыл бұрын
✌️vidole viwilijuuu
@kingandreki7979 Жыл бұрын
🔥🔥✊🏿
@methodkihoo9826 Жыл бұрын
😥😥
@nairobitv6161 Жыл бұрын
Hii ngoma nimeikuta inapigwa kwenye daladala. Abiria wote kimya ... Wengine wakionesha nyuso za kuuzunika....duu. Ney for Hip hop
@maburukimazima805610 ай бұрын
Kulingana na Sauti nzito Ya Raisi wa kitaa hafai kuimba nyimbo za kuburudisha yeye ni special mtetezi wa wanyonge Big up the True boy much love from Kenya.
Wapi waimba MAPIANO mje mjifunze nyimbo hapa big up brother ney japo ninahofu juu ya usalama wako ,,,nakukabidhi mikononi mwa bwana ameen
@selemankahabiemmanuel8807 Жыл бұрын
hiyo ndo maaan ya kujitoa muhanga long time ney kajitoa ssdaka kwa lolote
@digonzakeimbe8435 Жыл бұрын
Hata na Mie nahofia Hilo😔😔Namuombea lkn..
@JuniorMassy Жыл бұрын
Daaa❤ pamoja sana
@zachaamaster5378 Жыл бұрын
#kweri kabisa sio Wana bwabwanya ovyo to kama wanaugua vifafa
@izmoo1835 Жыл бұрын
Kwel kabisa
@maishacenter-eastafricatv3976 Жыл бұрын
Ndiyo maana mnaambiwa muwage na akiba ya maneno, wewe Nay ulikuwa ukimpinga Sana huyo John, sisi tunawambia Africa hakujawahi kuwa na kiongozi kama Magufuli na hatutegemei kumpata soon!! Any way go on, keep shining
@YollamMllayoWaVailet3 ай бұрын
Much love Nay npo hku kwenye Nitasema kama nawee upo kwenye ngoma mpya ya Rais wa kitaa gonga like zakutosha toka Malawi Nitasema tuu
@KasigwaMakubo-fo5ud Жыл бұрын
Wimbo mzuri na wenye wa maana halisi ya maisha yetu ndani ya nchi yetu Tanzania.Big up @Ney
@evodiusmwombeki9247 Жыл бұрын
Wakola muno
@rabielkaaya3764 Жыл бұрын
🤝🤝
@maase2023 Жыл бұрын
Huyu wimbo hana ila ana mashairi ya uchochezi tu kwa kuwa hana kitu kingine cha kumtangaza
@stivenjiduki6606 Жыл бұрын
Huu wimbo wa hatarii zaidi ya hatari wakifika watanzania 150 tu wenye roho kama ya ney nchi inakombolewa🔥🔥✅
@HamisiPazi-m5p Жыл бұрын
Mmmmh ney we nouma
@dianasimon9131 Жыл бұрын
Kabxa
@MbonimpayeEssau-fh1xb Жыл бұрын
Hakika,anawakilisha vema nafasi aliyo nayo kama Muimbaji mwenye Akili
@hadijambapa956 Жыл бұрын
Sana sema tumezidi uoga
@DianaMlongwa-oq5vt Жыл бұрын
Hakika
@topaztz7601 Жыл бұрын
ishi Miaka Mingi Mzee Baba, Hii ndio Hiphop tunayoitaka Uhalisia mbele, hakuna kukumbatia mavi liwalo na liwe.. ishi miaka mingi..🇹🇿
@HabibuMaingu10 ай бұрын
Muziki wako utaishi vizazi na vizazi. Hata siku ukipumzika tutaongea sifa zako kinaga ubaga bila kutafuta kukusafisha. Historia itakukumbuka kama msanii asiyejipendekeza kwa viongozi na ambaye alijitenga na watesi akasimama upande wa haki. Mungu akubariki sana na atakayekutafuta kwa shari waziwazi au kisirisiri laani ikawe juu ya kichwa chake na familia yake. Nayaomba yote hata katika Jina la Yesu, amina.
@moshidongo Жыл бұрын
Kuna Wanamuziki halafu kuna Mr Nay wa Mitego is just another level! ✊🏼🇹🇿
@teddyemmanuelyemailteddyemmanu Жыл бұрын
Kabisa
@TausiKiyungi-ec4qz Жыл бұрын
Kabisaaaaaaa
@AllyManjonjo-nw1ri Жыл бұрын
Ulimmchukua tujifuuunze au tupate kuhema,Ney true boy umenikosha mnoo
@burumeglobal Жыл бұрын
Akili ndogo inaongoza akili kubwa... Punch line...huyu jamaa yuko vizuri... Wapi like za Nay ....
@MaddieMoreno-i7i Жыл бұрын
Huyu kaka Ndo mfano wa KIOOO CHA JAMAIII 😍😍🙏🏽🙏🏽🙌🏽😱😱😱😱🙏🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽
@stevenkapenulo474 Жыл бұрын
Watoa tuzo za nyimbo msiwe mnaogopa kuwapa tuzo watu kama hawa wanaoongelea ukwl,msikalie tu amapiano zenye zimejaa ujumbe wa mapenzi tu nay ww ni mwamba sana👏👏
@musasamwel5544 Жыл бұрын
Uhakika
@hamismohamed3541 Жыл бұрын
Hawawez kaka coz hata hao wenyewe ni mamluki tu hapo
@fredpaulo5816 Жыл бұрын
Watoe Tuzo kwanza cjui mpka kesho kma itakuwa bdo haijafungwaa
@barakaelkaaya40 Жыл бұрын
Kabisa...umenena
@RuthKuria-qs9vq Жыл бұрын
Tatizo la wa Africa ukimponda mtu ukweli anawa adui yetu
@dennisngugi9727 Жыл бұрын
I have realized that what is ailing tz ails Kenya too. Bad leadership will cost us dearly. Nay continue speaking what we can't because we don't have a platform like yours. From Ke with love
@neemagabrieli-ff4mq Жыл бұрын
Wee kwa ukweli kua makini kaka ney wamitego kingine tukisikia chochote kibaya kimempata ney ujue ni serikali juu roho za wauma mno tupo na ww kaka big up ney
@grangerbenjamin42413 ай бұрын
Waliorudi hapa baada ya kusikiliza nitasema tujuane maana ndio kama kasema amkeni tena 😊🙌
@EmanuelJeremiah-xo4cx3 ай бұрын
Aisee nmetoka kule nmekuja hapa aisee
@kiloloonlinetv3021 Жыл бұрын
Maana halisi ya Mwanamziki sio msanii!! Mwanamziki haitakiwe uwe msaninii!! Big up unazidi kudhihirisha maana ya True boy❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥 Iko fire sanaaaaaaaaaaaa
@hijrabakari3124 Жыл бұрын
❤
@KomanyaLupimo-ld8bq Жыл бұрын
😂
@jacksonngusi4122 Жыл бұрын
Nmemkubali huyu mwamba
@MathewYohanaMathew-gy7wk Жыл бұрын
Uko vizur sana
@chachasemberimwita7859 Жыл бұрын
Raisi wa mitaaa....he knows each and everything happening in the streets..."Media za bongo zimestuck hazina tena ubunifu, hazikuzi presenter wake,angalia Nani maarufu, na hao maaruf sasa..." STRONG PUNCH LINES...Hongera Ney.
@dorcusjidinga4624 Жыл бұрын
Na hao maarufu sasa kma machangudoa apo kaguswa mwijakuu na baba levo
@muksinimbaruku1233 Жыл бұрын
@@dorcusjidinga4624kina Maulid kitenge pia
@pckfoundation3710 Жыл бұрын
AMBAO mnakubali Kama huu wimbo Ni number one east africa tujuwane
@stewartdyamvunye-wz6rn10 ай бұрын
MRISHO MPOTO! Jibu wimbo huu. Ukijibu vema huenda ukajisafisha doa ulokwisha jiwekea!
@esthermakola9041 Жыл бұрын
Njoo huku Kenya 🇰🇪 , tunahitaji wimbo kama huu kwa viongozi wetu.. #wake up call to the African leaders
@evanslangat2701 Жыл бұрын
kwa hio hali ni ngumu kila mahali cc hapa kenya ndio tunaaribu zaidi 😢😢😢maandamano sio suluhisho🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@geofreymwambega4134 Жыл бұрын
Mungu wa mbingun akulinde ,wimbo umezungumza uhalisia wa maisha yetu ya watanzania ,kwel nay ni rais wa kitaaa big up
@ThomasMagoti-it4ty Жыл бұрын
Amiin
@MchungajiPasteur Жыл бұрын
Nay we huogopi gusema ukweli kabisa nakwamini sana endelea na kazi yako
@RamCharan-m9b Жыл бұрын
salute mr president naomba mungu ndoto ya watanzania juu yako iwe kweli mungu akulinde na hasadi mkuu ipo siku utakuja kuliongoza taifa hili weka nia hakuna linaloshindikana kwake mungu
@HASSANALYZAHORO-r8s Жыл бұрын
On my side let Ney wa mitego move on drops such a song at all ❤❤❤❤ ndo nyimboo tunazo ziitaji au nazo zipenda Kama mzalendo
@mathewmakwaya-zh3bk Жыл бұрын
Rais Maguful Alisema Anapenda kusema ukweli,Huyu Mwamba ni pacha ake Magu,,, katika kusema ukweli!! ,,, Mimi wa kwanza kukuombea uishi miaka yote Broo✍️😍
@ZAGARO90 Жыл бұрын
Uyu njo mwana muziki uwache wengini wama piano nanyimbo zakichoga na umalaya.Big up brother ney tunakuskiliza kutoka Canada.Inabidi upewe heshima kwa nyimbo zako❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@agogomgagagigigogo Жыл бұрын
Hata umsifieje ndg yang na hakuna asiyemsifia hata wasiojua mziki huwa wanamsifia kini cha kujiuliza tulimuunga mkono lini ili awe na jina na pesa kuwazidi akina Mondi,hawa ndo walipaswa wawe matajiri kini cc eti tunawakubali kwny comment tu kini kununua kazi zao hapana afu tunajifanya tunamkubali kati ni unafiki tu ,ambao tunawaponda kila uchao wanazidi kuwa matajiri kwa amapiano hizohizo
@stuartMhina Жыл бұрын
👍👍👍👍💪🏿💪🏿✌️
@MkaliWagoka-bz6im Жыл бұрын
Wengi wetu hatupendi Muziki wa kufundishaa,,Tunataka matusiiii,,,Saluti Sana kwako Ney
@vuvuzelajordankhasindu296310 ай бұрын
Weeeee, TZ inatishaaa zaidi kwa wasaaniii. Nashindwaaa kabisaaa kuamua nani mkali, wote tena wote nasema ni wakali. Mwanzo hawa wasani wa Hiphop wanatisha zaidi. Message za ukweli. Long Live TZ. Peace.
@Ambagaye Жыл бұрын
Huyu jamaa mkorofi sana. Ila amwemwaga kweli tupu bila kupepesa macho.
@YusufYusufkushoka-pc7hq Жыл бұрын
Nyimbo inaelimisha sana, rais wakitaa tupo nyuma yako kaka, wewe ndo mtanzania halisi, ni mfano wa kuigwa, hakika ni hazina ya Tanzania 🇹🇿 Mungo akulinde ndugu yetu
@MwazambaMicro-pi4fj Жыл бұрын
Nimependa,kazi ya Mungu haina makosa kumchukua magu ikimpendeza Mungu achukue na Hawa waliosalia🎉
@lizzyshirima3601 Жыл бұрын
me nangoja miujiza ya mwamposa
@2116-n Жыл бұрын
Tuliorudia baada ya mwamba kuitwa Centro tujuane❤❤
@NeemaAloyce-ie3kk Жыл бұрын
Kazi ya Mungu haina makosa ikikupendeza chukuwa na hawa mkataba wa bandari usiishie bara peleka na Zanzibar hii imeenda tumpe maua yake🌹🥀🌷🥀🌹
@ismu112 Жыл бұрын
Zanzibar mbona kitambo au hufuatilii umejaza chuki
@jobcapri232 Жыл бұрын
Tupo wengi pamoja Na freenation for life ni nassib toka Mombasakenya
@budaboss8109 Жыл бұрын
Jaman kama umeskiza huu wimbo zaidi ya mara 1 gonga like 2pac wa bongo huyu hapa
@christituskikoti5234 Жыл бұрын
Yaantarifa zako za,kukamatwa,zimenfanya nije niangalie hii ngoma ila,Nay we,Unajua,ukiachana na kujua hupend unyonge Nakukubali sana akuna uichoongopa apo big up sana Nay
@alexmwinuka4280 Жыл бұрын
Nimeipenda hiyo na "Mama ikikupendeza kuhusu mkataba wa Bandari isiishie Bara peleka na Zanzibar " Big up 🤴 Mr Nay natrue boy
@Benskytv200 Жыл бұрын
Kaka nitafute kabla ujaenda basta jumatatu mm naingia mfungo kwaajili yako ❤❤❤❤ so much bro umefanya nilie na uwimbo nta upiga geto kamavip waje wafunge geto langu
@Benskytv200 Жыл бұрын
Wafunge tutapiga geto na kwenye mabajaji yetu Ngoma kitaaa imeenda sana Basata Tcra mmechelewa sisi walengwa wimbo tunao
@Benskytv200 Жыл бұрын
Amkeniiiiiiiiiiiii kitaaa NI balaaaa nipo nawanangu hapa mzumbe mbeya ishu n bandari na hii Ngoma nyie acha tu wana kitaa wamechoka kinoma
@raiderking4637 Жыл бұрын
Tumekubali Ngoma tunamchukia huyo raisi hatari Yani hata wakikufungia umetusaidia kufikisha ujumbe✊🏿
@mangushaban9214 Жыл бұрын
Hii imeenda. Bro piga kazi nakubali sana 🔥🔥
@williamouma82639 ай бұрын
Huyu mwamba ni Tupac Shakur wa Africa,namkubali sana, jamani Nay wa Mitego wakenya wanakubali misitari yako.Hongera sana more love from Kenya.Njoo upige shughuli Kenya
@mzeerajab36296 ай бұрын
Tanzani uchawa unajeng nyumba ila haki wanakuua
@EliaPundugu-cz4lj Жыл бұрын
Wimbo mzur unaozungumzia maisha yetu hongera sana mwamba nakukubqli sana Rais wa mtaa.
@ChristianSokorot-n6x Жыл бұрын
Unapambana kwa ajili ya wa Tanzania,mungu akulinde Nay,Basata kukuita sijakubaliana nao
@isumba Жыл бұрын
Respect Nay, utakumbukwa sana kwa uzalendo wa kweli kwa Taifa letu Tanzania. True Boy unalitendea haki jina lako. Chotara wa Kinyakyusa na Kichaga, respect sana brother
@ramzanrehman72546 ай бұрын
Bro Bravo hawo waingine hawaku ezii ww ndio jeshi kamili salute you ndugu yangu more love and one love
@shokajr9714 Жыл бұрын
Nimesikiliza mara 8 hii nyimbo. Kiufupi Nay wamitego ndio msanii bora zaidi waHiphop kutokea bongo achana na hao tunaowaita Malegend wa hiphop hawana msaada wowote kwenye kusemea Rasiliamali zetu na kuwakosoa Viongozi wetu. Nay hatuna cha kukulipa ila ikatokea wakakuua sisi tunatachanga pesa Nchi nzima kwa ajili ya familia yako . Mungu akuweke sana kaka ❤
@abdullundenga3517 Жыл бұрын
Wa kwanza roma wa Pili nay wa mitego
@asherysadock6389 Жыл бұрын
et ikipendeza chukua na hawa
@shokajr9714 Жыл бұрын
@@abdullundenga3517 wakwanza Nay kaka hamumunyi maneno na wala haogopi mtu yaani huyu jamaa ni mwanaharakati wakweli kabisa
@petertungu2313 Жыл бұрын
@@asherysadock6389yaani wafe😂😂😂😂😂😂
@marandoruzali1946 Жыл бұрын
Tena bonge la msanii mwenye kuona mbali
@chrisskariuki8665 Жыл бұрын
Kenya wana Erick Omondi, Tz tuna nay wa mitego💥💥
@FrankyTravis-iy2pr Жыл бұрын
Oyaaa mwamba anajua sana sema basi2 tz tunapenda nyimbo zakipuzi kusisapoti nay ajengewe sanamu
@leonardedson3604 Жыл бұрын
Viongozi wa nchi yetu ni wezi,wabinafsi,mafisadi na wanatamaa kama mafisi, ovyoooooo.. Brother ingia bunguni ukawachane live.
@ShimboPastory Жыл бұрын
Huu wimbo umegusa hisia za watu wote kasoro viongozi wetu. Shukrani kwa kusema ukweli bro Ney.
@pauljoseph919 Жыл бұрын
Miongoni mwa wasanii wachache wanaotunga nyimbo zenye ujumbe bila kuogopa Big up Sana Nay
@neemagabrieli-ff4mq Жыл бұрын
Kama mnamkubali ney kama mimi like hapa wadau👍👍👍👍👍
@khalidlubao1980 Жыл бұрын
Ana baya 💯💯💯
@Yonamnyanduli Жыл бұрын
Nimekuelewa mwamba
@bukurunestory35409 ай бұрын
Naaanzia wapi kutosikiliza Ngoma kali ya karne kama hii, Hongera sana Ney wa Mitego, unitendea haki Sanaa ya Music
@jacoballoys9980 Жыл бұрын
"Kazi yako haina makosa ikikupendeza mchukue na HAWA" Aisee this song is lit
@shahadaushindi7745 Жыл бұрын
Nay we ni mzalendo wa kweli, nyimbo za Diamond, hazina.maana lakini ndinzo zinapigiwa promo duuh. Namba one msanii bora.
@wilfredelimeleki4543 Жыл бұрын
sioni sababu ya kuufungia huu wimbo.Kama kasema ukweli,shida ipo wapi? serikali msipende kusifiwa tu ,ukweli ni kwamba,anaeongoza nchi uwezo mdogo
@kisasasam4947 Жыл бұрын
Mziki kioo Cha jamii,huu ndio mziki natamani wanamziki wa Kenya waamkie,,I salute you Mr nay
@binjmwinyirain1133 Жыл бұрын
Umenifuta machungu ya kuondokewa na magufuli leo. R.i.p magufuli today I've finally agree that you have gone. Rest in peace Father kazi ya mungu Haina makosa. Ney kanifuta machozi kilio changu kimeskika. True boy💪💪💪. Anyways karibuni Simba day.
Wale watu wasiojulikana wako wapi mbna siwaoni au Mjomba kaondoka nao
@chesterbrand6723 Жыл бұрын
Hata isipoingia trending ujumbe umefika... We love you Brooh great Job....
@mwitadaniel4081 Жыл бұрын
Wimbo mzuri sana. Uzalendo gani mnatufunza baada ya kumaliza kidato Cha sita kwenda jeshini. Rudisheni masomo ya uzalendo na usomi wenye Tija. Big up True boy
@fabianalfredy5557 Жыл бұрын
UZALENDO ufundushwi unakuja Kwa hisia za upendo unaopokea kutoka ktk utawala na mamlaka ya nchi
@iddygondwe234 Жыл бұрын
sana mzee alafu watoto wetu wakike wanasumbuliwa na kulazimishwa kufanya ngono
@AnuwaryHussein-xu9rb Жыл бұрын
Daah! Hatar nchi inakoelekea tunaumia wanyonge wao wanakula bata kwa mlija bora mpaze saut tuokoe tanzania
@lilianeerica3318 Жыл бұрын
Ikikupendeza chukuwa na hawa😢😢😢😢wajinga wanawaongoza wenye akili ila kweli jmn🔥🔥🔥🔥🔥🔥❤🇧🇮🇧🇮
@isaacamani145 Жыл бұрын
Alafu utaskia tuzo imeenda na amapiano. Ukweli ndio hautakkani Africa. Love from coast Kenya 🇰🇪
@mangodfrey9991 Жыл бұрын
Tuzo Tena hapo ni basata kufungia na kuhitajika osterbay
@NemyNemo Жыл бұрын
Hahaha
@IssaSadick-dq7pu Жыл бұрын
🤔🤔yaan kwa hii nyombo hawatasubli ujzke watakuuwa na wakuZke 😭😭😭 Kama lakhdube
@lvanyDaniel_pw7kk Жыл бұрын
Sija wahi ku comment kwenye wimbo wa msanii yoyote toka nazaliwa huwa naishia kutazama ila huu wimbo ume nigusa sana piga kazi brother kazi nzuri yenye uokozi wa nchi yetu❤❤💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪🙏🏿
@johnstoneambula5920 Жыл бұрын
Huo ni ukweli kabisa kaka na ukweli unauma.
@frolensidominick-ec1mc Жыл бұрын
Mpe Maua yake Ney🎉🎉
@Arnaud-JallenNsabiyumva-mj1nr Жыл бұрын
I'm from Burundi but trust me this song is for all African Countries ,⚡🇧🇮 big up xana Ney right kama all Presidents wangeusikiliza vizuri . Nay kwel True Bwoy , au sio jamani???
@rashidymussa1320 Жыл бұрын
Sure
@ahmadbilal3855 Жыл бұрын
True spesal for all Africa country
@rev.barakamwamsojotv9489 Жыл бұрын
You went so far for sure
@upendoreuben4617 Жыл бұрын
Dah ! This song.. balaa nimesikiliza mara 6 .. and way keep it up brow hata waseme nn ukweli utabaki ukweli na massage sent ... Big up.. I love the song
@lukasphilipo5721 Жыл бұрын
Uyu jamaa anajiamini sana aise noma sana💪💪💪
@joelmwando6791 Жыл бұрын
❤❤Tamu sana. Ni sawa tu na Zakayo Wetu apa Kenya 🇰🇪 .
@glorybashile8149 Жыл бұрын
Toka congo drc nakukubali bro pull up 🔥🔥🔥🔥
@jeremiahevodius925 Жыл бұрын
Uyu ndo mtanganyika wa kweli mwenye uraia wa tanzania tunaitaji watu kama awa wanao sema kweli kwa ajili ya nchi yake mimi namuhunga mkono ✊✊✊💪💪💪
@majaliwawilson9372 Жыл бұрын
Ilitakiwa wasanii wote waimbe haya kwapamoja wataelewa nakusikia Nini tunataka hatutaki nabandali yetu waoneshe mfano kwaza kec zote tushinde ndipo tuelewe
@jeremiahevodius925 Жыл бұрын
@@majaliwawilson9372 ewa wangeungana kwa pamoja kufikisha ujumbe kwa njia ya music
@stephenmusa3359 Жыл бұрын
Rais wa Kitaa. Tunakutambua hapa Kenya . Your an inspiration to this generation . The voice to the voiceless
@bushsutimeline766 Жыл бұрын
Afrika tuna matayizo this song isn't for TZ only but all African big up ...Ney wamitego much respect bro
@mpakaiwe10 Жыл бұрын
Kama una amini mkoloni hajaondoka Afrika ame badirisha tu mfumo wa utawala gonga like tusonge mbele. AMKENI❤❤❤❤
@hilarymark7583 Жыл бұрын
One man standing! Hii ni sanaa iliyokosekana hapa nchini na sasa inafanywa na mtu mmoja tu
@BakarJuma-bh8wv Жыл бұрын
Wawili roma
@shakilayusuf7802 Жыл бұрын
Shukran Nay kwa kuwakilisha maoni na kupaza sauti za Wa afrika wanyonge hususan hapa kwetu Kenya.Umetoa picha kamili ya hapa Kenya,huo ndio usanii,endelea kuwa kioo chetu ,Umri mpevu nakuombea.Zidi kugonga ndipo kwa ujasiri na ukunguru usikinyemelee daima.
@ThomasMwinuka-kg5kz Жыл бұрын
Pamoja sana Nay wanakuweka ndani sisi ujumbe tumepata naumewafikia naniukwer yan hawaelew hata nyuso zao wafiche wapi ccm wezi jaman
@braysonsimon5047 Жыл бұрын
hii ndo maana halisi ya sanaa big up brother
@erickherman8224 Жыл бұрын
Mwanaharakati Wa kweli hajakimbia nchii keep moving Ney
@sacdiyamohammed134 Жыл бұрын
🔥 🔥 🔥 😊 Mara 10 na sichoki 😮
@SaidaAbdallaah-j2t3 ай бұрын
Mungu akuweke t jmn Ney tunakupendaa sana ney, km unamtu anamkubali km gonga like yk❤❤❤❤❤❤
@neymariontv477 Жыл бұрын
ney ni kioo cha jamii kama mnakubali nipeni like kutoka burudi
@MrCheluget Жыл бұрын
"kazi yako haina makosa, ikikupendeza chukua na hawa" "bongo akili ndogo inaendesha akili kubwa" 🔥👏Talanta kali sana! Endelea na ukweli. 💪
@ommarizoable Жыл бұрын
Kina steve nyerere ndo wanaendesha wasomi
@elishamagulu4255 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂
@nyamhangajames620 Жыл бұрын
Big up bro upewe maua yako💯💐💐 Na watanzania tuamkeni jaman
@mrpathfinder1007 Жыл бұрын
Huna baya Nay... Tunajivunia sana kuwa na ww kwenye hii nchi 🇹🇿💯
@embmacrofinance2695 Жыл бұрын
Wew ndo unapaswa kuwa rais wa nchi,,,na siyo wa mtaa ,wafundishe hao viongoz mashati.sis ndo maboss zao tumewapa ajira,, leo wanavimba..ni ujinga with zero brain.
@therencechow5656 Жыл бұрын
Nakubali ukweli usemwe bwana 🇧🇮🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸
@JuniorTZ-bm6rs Жыл бұрын
Daaah unyama mwinqi zaidi ya mbuqan mamae😂😂😂😂, kama imekuqusa gonga like tujuane
@filipejohnchuma1985 Жыл бұрын
Não consigo ficar 4 horas de tempo sem escutar a música viva Ney 👊 mais força 💪🇲🇿🇲🇿 peço pelo menos 10 likes para Ney 🔥
@jtzsafaris9730 Жыл бұрын
Wale ambao tupo na Ney ngonga like apa Huyu ni zaidi ya Mnyama 🍁🤝
@musamulongo Жыл бұрын
Nay wa mitego big up sana this song manze umetok reality .
@Buniaiturirdctv Жыл бұрын
Huyu bwana siku wakisema wamuue tutamuenzi maisha yote, hawatomkomoa watakuwa wamejikomoa wenyewe.. CCM wasenge sana
@lucygodfrey4871 Жыл бұрын
Wakimuua tu au wamteke au wamfunge tutajua tu ameongea point God bless ney Ameen🙏
@thieryniyonkuru5023 Жыл бұрын
Basata kama wameufungia maana yake dawa iliingia vizuri sana.
@jumaraha Жыл бұрын
True boy in the building -👍 bip up bro...wapi lyk za 254🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@WinnieMakundi Жыл бұрын
Yani unajua mpk unaboaaaa big up tanzaniaa tungepataa watu kumi km ww daaah inchi ingekuwaa mbali sanaaa ❤❤