NAY WA MITEGO : WIMBO WA AMKENI AMENITUMIA ROMA, MIMI NI FREEMASON

  Рет қаралды 190,757

EastAfricaTV

EastAfricaTV

Күн бұрын

Karibu kujiunga na group letu la What's app kwa Habari, Matukio, Burudani
BONYEZA LINK 👉👉 chat.whatsapp....
Subscribe hapa : bit.ly/2UBtyaG
Tufuate Kwenye Twitter : bit.ly/2UFkrWH
Like Ukurasa wetu wa Facebook : bit.ly/2XbYro5

Пікірлер: 180
@rashidkihunga2938
@rashidkihunga2938 Жыл бұрын
ALIE IPENDA NGOMA HII GONGA LIKE ZAKE NEY HAPA
@johndavid_video6506
@johndavid_video6506 Жыл бұрын
Nikweli huu wimbo kila mtu anaupenda ❤❤❤
@marrowog8975
@marrowog8975 Жыл бұрын
Sio kila mtu.. mimi sikubali assa nyimbo kama hizi ...muimbaj hajazingatia kazi ya fasihi
@stvuahawengehunamaanawew
@stvuahawengehunamaanawew Жыл бұрын
we huna akili kwel
@eliastemba8656
@eliastemba8656 Жыл бұрын
NAOMBA LIKE ❤ KWA WANANG WOTE WANAOMKUBALI NEY WA MITEGO 🔥🔥🔥
@stvuahawengehunamaanawew
@stvuahawengehunamaanawew Жыл бұрын
Mungu akulinde San ney wa mitg amkeni wa tanzania
@mmjj1574
@mmjj1574 Жыл бұрын
Jembe mojabalaa
@luciampogole614
@luciampogole614 Жыл бұрын
Endeleeni kushirikiana ney na roma mtuokoe watanzania tuna maisha magumu sana
@directoreagle26rongc
@directoreagle26rongc Жыл бұрын
hakika wewe ndiye msanii namba 1 unayestahili kuwa juu ya wasanii wote Tanzania 🇹🇿 najua unapitia magumu katika hizi harakati hakika unastahili pongezi kubwa sana brother much respect Mr ney @mr_ney 👑💪
@sakayomameo6178
@sakayomameo6178 Жыл бұрын
nakubali sana
@jannetramadhan-uz1xu
@jannetramadhan-uz1xu Жыл бұрын
Hata wakiufungia ndotushaamuka tayar😂
@hatibuallywaziri
@hatibuallywaziri Жыл бұрын
Nimerudia nyimbo mara 20 hadi sasa wewe ni fire sijasoma ila nimeelewa kazi yako brother √√√
@deboraamani1945
@deboraamani1945 Жыл бұрын
mungu akulinde wewe na familia yako naakulinde tenanatena wewe nimsema kweli sijaonakosa hapo japo mm sio msomi hakuna kosa kama ukifungiwa wimbo basi watanzania tutakua hatuna sauti kwanchi yetu
@reginamanyangu7258
@reginamanyangu7258 Жыл бұрын
Muhim ujumbe umefika kaka saut ya watu tupo nyuma yako
@blackkid7377
@blackkid7377 Жыл бұрын
mtangazaj anauliza kila swali la msingi yuko pro sana
@Mr.Protas
@Mr.Protas Жыл бұрын
wasanii wengi wamebaki kuimba mapenzi na mapiano tu badala yakutoa vitu vyamana kama nay na roma ili watu tuelimike na tujue n kitu gani kinaendelea katika nchi yetu ila song la broo linaukweli mtupu ajaficha kitu na wala ajasema uongo na siku zot ukweli unauma sana kuliko uongo
@OrleenTeketamphande
@OrleenTeketamphande Жыл бұрын
Hapo kwel Ney ukienda BASATA uendi kupongezwa 😂😂😂😂 Amkeni maua yako utapewa na sisi
@FaithfullNsajigwa-o2q
@FaithfullNsajigwa-o2q Жыл бұрын
Ivi hii selikari inataka tu nyimbo za kinamondi nyege nyegezi ndo tuskilize mi kwa nnavyo jua wasanii wapo ili kutujuza tusiyo yajua au kutupa ujumbe unao faa kama uo wa nei ila basata ni washamba na wapumbavu sana wanafungia vitu vya msingi ili twendelee kuwa mapoyoyo wa nchi tusiamke au sio nakubali ney we mkali wapi roma leta laza
@siujisiniorlangu
@siujisiniorlangu Жыл бұрын
Andika nyingine iitwe laleni tusikie kelele zingine
@kulwajohn-dl3oe
@kulwajohn-dl3oe Жыл бұрын
Bro tuko pamoja sana na endelea kututetea maana sisi tukisema atusikiki😂😂 nakukubali sana❤
@ndilibangokaruhawe9335
@ndilibangokaruhawe9335 Жыл бұрын
Basata watulazimishe kusikia nyimbo za matusi
@RamaBinige-zv1km
@RamaBinige-zv1km Жыл бұрын
nakubali Kaka achana na wale wanafikii , mi nimeikubali Sana, utawasiki wanaopenda kusifiwa watakavyo toa mapovuu ili vyeo vipandee, utawasikia
@isaiahisaac7240
@isaiahisaac7240 Жыл бұрын
Daaah Nay nmejikuta Nacheka ,nakubali sanaa kusema kuna kmstali cha Roma. toa ngoma mzee
@MarsianoFlorian
@MarsianoFlorian Жыл бұрын
Nay nakubali sana hujawahi kufanyaga jabo ndog hi Ngoma amkeni inaujumbe mkubwa sana
@josephpila23
@josephpila23 Жыл бұрын
Wewe babukubwa Kaka
@rashidkihunga2938
@rashidkihunga2938 Жыл бұрын
ME NASEMAGA NEY NA LOMA NIZAIDI YA WABUBGE WACHACHE BUNGENI.HATETEI UGAR .KWA NEY %10000
@KinDanger-dw5sj
@KinDanger-dw5sj Жыл бұрын
Gramei da sua musica repito 10 veseis por dia viva ney wamitego. napenda sana muziki wako nasikiliza mala 10 kwa siko viva ney.
@elvokizabro
@elvokizabro Жыл бұрын
Mpeni mauwa yake brother ney amiya congo uhimbetu tuhuze inchi tugawane mahera
@MalasiHonorina
@MalasiHonorina Жыл бұрын
Wame ufungia ila tusha uskia chefu 🤣🤣
@VenasPaschal
@VenasPaschal Жыл бұрын
uyo ndo mwamba waache kumuomea musema ukweli Bora tuenjoy2 na raisi w2 wa kitaa anasema ukweli
@Patrickpallangyo
@Patrickpallangyo Жыл бұрын
kakaa sema nao wakiifungia hii ngoma tunaaandamana na ndo chanzo chakujuwa unayo yasema ni kwel
@newlightmoviesproduction3598
@newlightmoviesproduction3598 Жыл бұрын
Unazo akilingi brother umejibu vyema unaistali sana bro nay Mungu akubariki from usa .
@elibarikkiakyoo
@elibarikkiakyoo Жыл бұрын
Ila spendi watangazaji wa hv
@ginalizamalamso4451
@ginalizamalamso4451 Жыл бұрын
Love so much ney wetu tunaomba ujue tupo tuonao kupenda na kukuombea🔥🔥
@sappyjr4543
@sappyjr4543 Жыл бұрын
Mlio fungua video kwa sabab ya neno FREEMASON tujuane hapa....😂😂
@jacktonetiibuza9970
@jacktonetiibuza9970 Жыл бұрын
Wanaharakati wangu bomba ni wewe na roma . Keeeep it up your exerenceeeee evry day
@GasparMacha-sm3xk
@GasparMacha-sm3xk Жыл бұрын
Dogo Ney wewe ni MASTER UNATISHA....AMKENI ni kibao namba 1 kweli hakuna ubishi
@IbrahimdavidMaganga
@IbrahimdavidMaganga Жыл бұрын
❤❤❤ mwanangu mmi nakubar sanaaaaah
@awesoapollo8608
@awesoapollo8608 Жыл бұрын
Naweza kuamini sababu maneno Yale ya mule mengi ni Kama akili ya Roma
@storyboymusic5572
@storyboymusic5572 Жыл бұрын
Namkubali sanaaa huyo jamaa yeye ni 🔥 🔥 🔥
@japhethcharles5791
@japhethcharles5791 Жыл бұрын
Duuh,jamaa ni jasili inatisha sana ,watu wamejitoa kweli kweli,we only live once ,hata range iyo ni halali Yako ,Si kwa moyo huo mzeee
@KoseiRokoi
@KoseiRokoi Жыл бұрын
Wimbo wa nay Amkeni iko visuri sana
@ibrahimmovic2575
@ibrahimmovic2575 Жыл бұрын
Big up broh this is more than a song 👍
@Gallus-c5z
@Gallus-c5z Жыл бұрын
Mambo 1:09 1:11 1:13 1:14
@Gallus-c5z
@Gallus-c5z Жыл бұрын
Mambo
@NelsonMalima-ec1dg
@NelsonMalima-ec1dg Жыл бұрын
Nelson Malima Sunha Chitego kongwa Tz nimeikubari hata Ndugai mh spika mstaafu alishatabiri kua ipo sikunchi itauzwa ndo haya Sasa yanatimia
@salamsabdullah-st9pt
@salamsabdullah-st9pt Жыл бұрын
Wimbo mzuri Sana ney WA mitego
@NelsonMalima-ec1dg
@NelsonMalima-ec1dg Жыл бұрын
Nelson Malima Sunha Chitego kongwa Tz nimeikubari hata Ndugai mh spika mstaafu alishatabiri kua ipo sikunchi itauzwa nda haya Sasa yanatimia
@faidhasultan6010
@faidhasultan6010 Жыл бұрын
Sanaa watanzania wenye mapenz ya kwel na nch yetu tu Nakupenda sana msema kwel wetu
@Angelvancey-sj3nw
@Angelvancey-sj3nw Жыл бұрын
Uwezo binafsi mungu akupe uzima @baba yaga
@ismaillusingu8320
@ismaillusingu8320 Жыл бұрын
safi
@JacklineShauri-yv8qr
@JacklineShauri-yv8qr Жыл бұрын
Basata achen mauzauza huy mwamb anapgania haki y mtanzania
@pascomassawe1258
@pascomassawe1258 Жыл бұрын
@SethAlex-of5yt
@SethAlex-of5yt Жыл бұрын
mungu aenderehe kukupaa maisha marefu buuroo
@afianzele7571
@afianzele7571 Жыл бұрын
did you just say "buuroo"😂😂😂
@edgaribrahimovic6054
@edgaribrahimovic6054 Жыл бұрын
Kiukwer Ney nlikua simkubar lakn nyimbo mbili au tatu hizi nimelewa nkaona nae n msanii nae weza msikiliza lakn so kwa ktambo maana kwanini msanii n mtafti uwezi kila siku uisemee serikar tu afu ai mati lakin saiv yuko serious kwann kotoitaj kitu kimoja ni vile mtaani kuna mambo mengi bola kusemea hayo lakin kwa sasa kalenga palepale kwenye mshono🙋🙋🙋
@Emmagmayemba
@Emmagmayemba Жыл бұрын
Unahoji vizuri hongera
@tundamapunda8317
@tundamapunda8317 Жыл бұрын
Amewachana nch inapotea sana😂😂😂😂😂😂 duuuuu
@mohamedimkenda3030
@mohamedimkenda3030 Жыл бұрын
Kutumia vibaya ulichoruhusiwa kutumia , ni sawa na jani kurudisha lilikotoka
@NshimiyeKarimNshimiyeKarim
@NshimiyeKarimNshimiyeKarim Жыл бұрын
Mzee yani wewe mungu tu .wewe ndo magufuli mwenyewe.
@ElizabethDickson-c5y
@ElizabethDickson-c5y Жыл бұрын
Endelea kushusha vitu Hakuna zaidi yako brother
@RickSengwaji-qx6nu
@RickSengwaji-qx6nu Жыл бұрын
Haisaidii ney anamaxhabik hats wimb ukifungiwa tunaweza kumchangia
@ibrahimurichard377
@ibrahimurichard377 Жыл бұрын
unatangaza kwenye TV station kubwa but bado huwezi tamka neno DIAMOND
@SebastianThomas-b4q
@SebastianThomas-b4q Жыл бұрын
Ninamuelewa sana huyu jamaa,tna Toka kitambo
@charlesjackson-zx5zg
@charlesjackson-zx5zg Жыл бұрын
Tuko pamoja mwamba
@HamisiSwalehe-cv3pw
@HamisiSwalehe-cv3pw Жыл бұрын
❤️❤️❤️ wimbo tunaupend san
@vidi558
@vidi558 Жыл бұрын
Ney Yuko powa sana
@2donbinIsaya-xt2gy
@2donbinIsaya-xt2gy Жыл бұрын
Wow nice goma zuri sana kabisa yani Mungu Akulinde sana Kaka Nye
@2donbinIsaya-xt2gy
@2donbinIsaya-xt2gy Жыл бұрын
Ney 🔑 Unafunguwa Masikiho ya watu na Taifazima la African
@ladislausmoris9638
@ladislausmoris9638 Жыл бұрын
Tuko P1 Bro!!!!
@joesay2548
@joesay2548 11 ай бұрын
Wewe ni mkuu all the love from Kenya naipenda mziki wako saaaaaaaaaaaaaaana
@tumainialexbaggio5714
@tumainialexbaggio5714 Жыл бұрын
Justin king pro Nakubali wimbo wa Amkeni na upewe mauwa Yako Basata wahache usenge maana una hongea mambo ambayo yapo
@tumainialexbaggio5714
@tumainialexbaggio5714 Жыл бұрын
Big yes
@tumainialexbaggio5714
@tumainialexbaggio5714 Жыл бұрын
Big yes
@tumainialexbaggio5714
@tumainialexbaggio5714 Жыл бұрын
Big yes
@tumainialexbaggio5714
@tumainialexbaggio5714 Жыл бұрын
Big Yes
@tumainialexbaggio5714
@tumainialexbaggio5714 Жыл бұрын
Big Yes
@SelemanHamad-xv2zz
@SelemanHamad-xv2zz Жыл бұрын
Babaake amefunika
@marthamyeule444
@marthamyeule444 Жыл бұрын
Aendelee kuwa mzarendo mungu hamuachi mja wake
@TonySadick
@TonySadick Жыл бұрын
Mdogo wangu Ney wewe Ni Namba moja huna mpinzani na unaimba kitu haki mungu akubaliki ndiyo uzalendo WA nchi achana na wanao imba mpenzi ❤
@edisonsebasitian-th3zy
@edisonsebasitian-th3zy Жыл бұрын
Niko nyuma Yako kaka tuchati
@shaabanlukanga3681
@shaabanlukanga3681 Жыл бұрын
Hii Ngoma Imetisha Natamani Siku Moja Ingepigwa Bungeni Big Up Kazi Iendelee
@KiliyaniMahanganile-xv5mi
@KiliyaniMahanganile-xv5mi Жыл бұрын
Tume kubali we mwamba fatilia tujue Nini kinaendelea
@amiry601
@amiry601 Жыл бұрын
Ney wewe ndo raisi wa kitaa MI Nakukubari mwamba
@LEMPURISMOISAN
@LEMPURISMOISAN 8 ай бұрын
Nay Wewe nimoto maze wakenya tunakuhitajii
@rukiaiddyyahaya9506
@rukiaiddyyahaya9506 Жыл бұрын
Hhahaha nimecheka roma mbona anakataa
@sailasnasary2748
@sailasnasary2748 Жыл бұрын
Ngoma ikosawa jamaa namkubali kama ninavyo mkubali roma
@ThomsonnyDonny
@ThomsonnyDonny Жыл бұрын
God bless u nay viongozi wanafiki
@YahyaMwanjela-jc4sj
@YahyaMwanjela-jc4sj Жыл бұрын
Asante,kwa,kutuwakilisha,bro,tumeamka,
@mwambakamata2030
@mwambakamata2030 Жыл бұрын
Bhudagala
@farajamwachiko1175
@farajamwachiko1175 Жыл бұрын
Ney ni mwamba, nakubali bro hauna kazi mbovu,
@JacklineShauri-yv8qr
@JacklineShauri-yv8qr Жыл бұрын
Big up san bro, nmeikubali san
@LEMPURISMOISAN
@LEMPURISMOISAN 8 ай бұрын
Kuja tutakupa uraiya kanya utuzemee neno Moja tu
@AidaniKapinga
@AidaniKapinga Жыл бұрын
Unyam ni mwingi rais wa kitaa nakubal sana rais
@eric01235
@eric01235 Жыл бұрын
tunakuhitaji Kenya kaka, kuja nasisi utunasue
@JulaiSteve
@JulaiSteve 11 ай бұрын
Tunakubal bab yaaga
@NkwiroPadon-pg6pp
@NkwiroPadon-pg6pp Жыл бұрын
Bro unanifulahisha kwakwer
@joesay2548
@joesay2548 11 ай бұрын
Nay sichoki kuchanga babake
@MeshdCitygentle
@MeshdCitygentle Жыл бұрын
Ney ni jembe
@ramaboy2390
@ramaboy2390 Жыл бұрын
Bro umetisha nakukubali mwanao kutoka Kenya
@JafaliHezron-uu4od
@JafaliHezron-uu4od Жыл бұрын
Mwanangu,ana,jua,sana,na,mwelewa
@akidahamad142
@akidahamad142 Жыл бұрын
Mkali wa Tanzania nakukubali sana bro
@Jescah-bi9sf
@Jescah-bi9sf Жыл бұрын
Ney hongera Kwa kuniwakilisha
@pacentyb2663
@pacentyb2663 Жыл бұрын
Ney je t'aime fort mon grand
@josephdismas-wh4nk
@josephdismas-wh4nk Жыл бұрын
nay asemee 2 watanzania
@freddywizzyTz255
@freddywizzyTz255 Жыл бұрын
I priciate my brooo!!!!
@babudingi-gd7pz
@babudingi-gd7pz Жыл бұрын
Mwamba ney
@DissieDouglass
@DissieDouglass Жыл бұрын
Mungu amsimamie mwamba
@BahatiRichard-w9z
@BahatiRichard-w9z Жыл бұрын
Ney mwamb san dua moja
@halimaseiph4641
@halimaseiph4641 Жыл бұрын
Ndani ya dey 5 inavyu milion na
@wingstarmsanii9862
@wingstarmsanii9862 Жыл бұрын
Viongozi hawapendi ukweli,wanapenda kusifiwa na vitu za kiufala
@charlessombo
@charlessombo Жыл бұрын
Congrats from this side
@Meshacklushanga
@Meshacklushanga 7 ай бұрын
Nakukubali Sana broo
@jacktonetiibuza9970
@jacktonetiibuza9970 Жыл бұрын
So super
@BarakaMalunda
@BarakaMalunda 11 ай бұрын
NY ndie mtetezi wetu
@KimaroRashidi
@KimaroRashidi Жыл бұрын
Wape yaoo wajierewe
@OmaryMondo
@OmaryMondo Жыл бұрын
Kwer huu wenye duuuud
БЕЛКА СЬЕЛА КОТЕНКА?#cat
00:13
Лайки Like
Рет қаралды 2,8 МЛН
小路飞嫁祸姐姐搞破坏 #路飞#海贼王
00:45
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 7 МЛН
Nastya and balloon challenge
00:23
Nastya
Рет қаралды 70 МЛН
Nay Wa Mitego - Wapi Huko (Official Music Video Lyrics)
3:31
Mr Nay
Рет қаралды 1,2 МЛН
ROMA FT ABIUD NINAIMAN
3:44
KASULU HOUSE OF TALENT
Рет қаралды 14 М.
Nay Wa Mitego -  Rais Wa Kitaa (Official Music Video)
3:55
Mr Nay
Рет қаралды 2,6 МЛН
Stan Bakora : Nay Wa Mitego Ni Wa Ovyo😄
6:05
Stan Bakora
Рет қаралды 128 М.
БЕЛКА СЬЕЛА КОТЕНКА?#cat
00:13
Лайки Like
Рет қаралды 2,8 МЛН