Kenya wale wanamkubali Ney please likes hapa tuone
@officialkamdudu11 ай бұрын
like unazipeleka wapi kenge wewe ? aimbe Ney like upewe wewe. acha ushamba wewe 😏
@malikaAmina-o8s11 ай бұрын
@@officialkamdudu Siku hizi watu wamevumbua njia haramu za kupata likes😂
@Sasaka25410 ай бұрын
@officialkamdudu 😂😂😂 aimbe Ney like zipewe yeye.. haki yamungu 😅
@officialkamdudu10 ай бұрын
@@Sasaka254 wana chembechembe za ushoga hawa watoto
@Trixie0310 ай бұрын
@@malikaAmina-o8s very true
@ndabhiloleyesamwel994511 ай бұрын
Ukimtongoza demu leo na gesi inaisha leo,,,na kabra haujakaa vizur na Kodi inaisha leo,,,,😂 nipeni like zangu
@officialkamdudu11 ай бұрын
like unazipeleka wapi kenge wewe ? aimbe Ney like upewe wewe. acha ushamba wewe 😏
@petronillamocheche982611 ай бұрын
Sura nzuri lakini tabia paka shume😢
@magzeeee11 ай бұрын
I relate asee
@earthishardtv11 ай бұрын
😂😂😂😅😅😅😮😮
@tembarooney789911 ай бұрын
Kenyan
@Tipaptz3 ай бұрын
Duuh kama unamkubali huyu mwamba gonga like 😢😢😢😢❤❤❤❤❤❤ wangap tunataka nay awakikishe bunge mwaka 2025
@FlorahSelemani9 ай бұрын
Mambo magumu nchi hii😅
@adedechrisgone479211 ай бұрын
Our Tanzanian friends. You have delivered this to us in Kenya. Hot and cold at the same time.
@felisterwilson925911 ай бұрын
This is what is happening in Tanzania right now!!
@kibetkeiyo11 ай бұрын
Nyinyi ndio wale mlipata E Kiswahili
@adedechrisgone479211 ай бұрын
@@kibetkeiyo I wonder why you imagine so, but if it pleases you, Yes!
@kibetkeiyo11 ай бұрын
@@adedechrisgone4792 kwa sababu huelewi matumizi ya kinaya
@petronillahosoro482811 ай бұрын
@@kibetkeiyowacha makasiriko na msanii,yeye tu ni ujumbe anaputisha
@collinskenya363011 ай бұрын
Wasanii wote ni chawa wa serikali kasoro Nay wa Mitego🔥🔥🔥, Kenya tupo locked hapa,touch💪💪💪💪💪
@ramadhankwilasa237111 ай бұрын
😅😅😅😅 Wewe umeamua kuweka wazi sasa
@mohakitsao191811 ай бұрын
Waunguza kaka iyo ni siri
@DennisMuti-ls3ys11 ай бұрын
Ile kitu hamjui ni kuwa huu jamaa anatusi si wakenya
@collinskenya363011 ай бұрын
@@DennisMuti-ls3ys matusi vitu kawaida ,sisi hatuabudu viogozi wasipofanya walioahidi,tunawatusi vilivyo
@bonnymakuke315311 ай бұрын
Na roma2
@Kiyanmoyzer11 ай бұрын
Hizi ndio nyimbo sasa zakusikiliza watu wenye akili timamu
@TumainiKisoma11 ай бұрын
Sio we zombie😂
@onesmojustice234811 ай бұрын
😂😂😂😂😂@@TumainiKisoma
@daglasmomanyi763111 ай бұрын
Kenya my country
@WemaMohammed-e9x3 ай бұрын
Bro mungu akupe maisha marefu ni kweli akunaga chozi la mnyonge linalodondoka Bure mungu atawalipa watanuka laana
@Wakulimahub11 ай бұрын
Hii song kali sana aisee, jamaa kampiga nyoka kichwani moja kwa moja Kila atakaye like hii comment atakuwa ananikumbusha nije kuitazama tena👀
@mrsinia306411 ай бұрын
😂😂 au cyo
@OnesmoMpangwa11 ай бұрын
ᴘᴀᴍᴏᴊᴀ ᴋᴋ
@OnesmoMpangwa11 ай бұрын
ᴘᴀᴍᴏᴊᴀ sᴀɴᴀ
@abeddyjuma410311 ай бұрын
Wewe ndio nyoka umepigwa kichwani
@BaronKavashia11 ай бұрын
As a Kenyan this is the truth and its bitter but he spoke the mind of 53 million Kenyans #inauma Also I understand the insults from my fellow Kenyans. Hio yaonyesha ukweli wauma sio? #amani
@newtonmutea11 ай бұрын
He spoke nothing. We are good in kenya. Speak for yourself not the 53 million you allude to
@MidahRosa11 ай бұрын
Stop being delulu😏
@rashidibrahim408311 ай бұрын
as a kenyan, you should be ashamed of yourself.
@undergroundgoat471711 ай бұрын
speak for yourself.uselss man
@BaronKavashia11 ай бұрын
@@rashidibrahim4083 I am ashamed of being a Kenyan at this point. You are right on that one atleast
@mondigugo439211 ай бұрын
Mwanetu wewe roho yako inatakiwa ukaishi TALEBAN maana uwogop kabisa tusemeeee mzeee big up
@RahelPetro-ro3yn3 ай бұрын
Wasanii muigeni ney maana tunajifunza kitu ❤❤ mungu akulinde naakuepushe na maadui wasije wakakufanyia baya 😘
@nicholasmuli77511 ай бұрын
Asante Nay kwa huu wimbo maana huku Kenya 🇰🇪 tunavumilia kua Wakenya Ruto you have made us a laughing stock to our neighbours with your Taxes on everything umezidi bwana Zakayo na ni mwaka tu umemaliza tunaumia hivi je iyo miaka mitano au kumi Kenya yetu utakua umeifanya iko vipi
@OFFICIALSEMAH11 ай бұрын
Wapi uko from Kenya Moore 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Tanzania 🇹🇿🇹🇿 naomba like Za ney wa nitego
@mikearon266611 ай бұрын
Zile shida waTZ wanapitia ni sawa na zetu huku Kenya.
@chingaboy114910 ай бұрын
Ujuaje wallai nikweli 😢mateso yamezidi
@LizyDavoice3 ай бұрын
Safi Sana ney bungen Kuna kuhusu mtetez Wa watanzania mpaza saut wetu mungu akuweke
@clkangwengwe794211 ай бұрын
90% positive comments and mostly from kenya
@johnmwambasi229911 ай бұрын
KAMA NAWE UNAAMINI KUWA HUU NI WIMBO WA MWAKA 2024,NIKUONE KWA LIKE.
@officialkamdudu11 ай бұрын
like unazipeleka wapi kenge wewe ? aimbe Ney like upewe wewe. acha ushamba wewe 😏
@michomichael41119 ай бұрын
Ni bonge la wimbo
@ErnestNgoye-bx9td8 ай бұрын
Nyimbo Kali sana
@bagdonenoch508811 ай бұрын
Naaminia kamanda 😎, huyu mwamba kweli🫂. Kama waikubali nipe LIKE mzee 😂 😂
@elishapeter68873 ай бұрын
Kazi nzur brow ney wamitego wew Ni jasiri Sana mungu akulinde uishii zaidi ya uzee itabidi miaka kadhaa mbele ugombee uraisi Tanzania
@exsonmwakalobo886511 ай бұрын
Nakubali sana kaka mkubwa mimi tu ombi langu mungu asikupungukie kukulinda bro sisi watu wako tunakupenda sana
@igiranezablaise439911 ай бұрын
Ma fans wa Nay kutoka burundi🇧🇮 dondosha like tujuane
@officialkamdudu11 ай бұрын
like unazipeleka wapi kenge wewe ? aimbe Ney like upewe wewe. acha ushamba wewe 😏
@aboubakarirakoze761111 ай бұрын
Pamoja Sana
@jenahando274711 ай бұрын
@@officialkamdudu kwani kulikuwa na haja ya kumtukana mwenzio. Kama hutaki kumpa like si usepe kimya kimya!
@officialkamdudu11 ай бұрын
@@jenahando2747 sometimes inabidi utukanwe ili uache ushamba
@igiranezablaise439911 ай бұрын
@@jenahando2747 achananae mwanangu👊 watu kama hao sio frexh kujibizana nao. pingine sio wazima🧠
@malikaAmina-o8s11 ай бұрын
"Wananchi hawasikilizwi wanalia na Mungu wao💀."Men that hits hard
@TynaKabuka-w8i3 ай бұрын
Munguu akuongezee ujasilii uwee na msimamoo wakusemaa na zaid y hayoo..pengen tutailinda nchi yet
@ansigar199711 ай бұрын
Hongera sana Nay Wa Mitego kwa utunzi mzuri wenye uhalisia ktk maisha tunayoishi.
@besteva49911 ай бұрын
Mziki kama huu nikuwupa sapotii kwamusani anaye imba vyakuereweka kama huu mwamba ney wamitego big up ney hapa bongo nawa kubari ww na roma ❤😂😂❤❤❤❤ wana manzese show love here❤❤❤❤
@eddieoduor11 ай бұрын
Kenya nchi yangu....aibu ya Jumuia kweli !!! Nay umegonga ndipo!!! Ipo siku....ipo siku...
@Aksantimulirifreddy5 ай бұрын
Nyimbo hii ninge penda wana wa RDcongo waufate vizuri. Congo wezi ni wengi sana tena ni viongozi. Hiyo inaleta utata kwenye maisha ya mkongomani. Wa dada wengi wanajiuza, vijana hawana makazi Na tena wasomi ni wengi bila makazi.ooooooh Congo RDC😭😭😭🥳🥳😭😭😭
@mligosandrah78513 ай бұрын
Walivyo wabishi sasa si tunajionea mengi🤣🤣 dollar n kupanda tu Fc Haina mana
@patrickambale458211 ай бұрын
This is what differentiate Nay from others. Everyone can listen and understand the message. Your songs will inspire many generations to come. Keep on speaking on our behalf Big bros. Big up and much love from +254🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@omaribrahim890011 ай бұрын
This song talks about real things that society is suffering from. Kenyans should understand their real situation
@JameswisdomBanda11 ай бұрын
Walia rudia hii nyimbo tujuwane kwa likes 👍
@hassanbaruti401711 ай бұрын
Mara ya 5 naisikiliza
@Lumegilemukata11 ай бұрын
Mara ya 10 sasa
@officialkamdudu11 ай бұрын
like unazipeleka wapi kenge wewe ? aimbe Ney like upewe wewe. acha ushamba wewe 😏
@LucasGabriel-o3p7v11 ай бұрын
Mm mara 20
@ngambikomsu6411 ай бұрын
Nimemsikiliza mara 9 Ney anajua, anajua, anajua tena
@TumboMaka-y9d3 ай бұрын
True boy ndo msanii ambae niliapa pindi nikija dar lazima nionane nae lakn bado sjamuona ww ni mwamba big up
@alexmathias662011 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉 oya true boy lete Mambo mda umepita sasa tunataka nyundo nyingine Lin itatoka najua basata kwa sasa macho kwa you tube kumsubilia True boy kua anakuja na lipi 😂😂😂😂😂😂😂 sihami bongo kwa sitahili hii aise
@richardagama686211 ай бұрын
mwamba kadondosha dude tena,,,yaani hapo nchi inayoitaja braza ni tz tu hamna ingine,asante sana #Nay kwa kuendelea kuwasemea wanyonge🔥🔥🔥🔥
@jeanbaraka100811 ай бұрын
HUYU Jamaa ni hatari sana yaani mrithi Bora wa Professor JAY Tanzania... NAY unafaaa SANA.
@WolfBoy-u3c3 ай бұрын
Hahahahah wambie mr Nay napenda vitu vyako sana ila na mimi natamani kuwa kama wewe naomba connection
@digitalworld557711 ай бұрын
Nani amesikia “kuna mabinti wasomi na wanategemea uchi”🙌🏽🙌🏽
@Create-d6i11 ай бұрын
Masocialite and university girls chasing wazee sponsors such a sad country our 254. Air bnb ndio zao kuchinjwa kila siku.
@emmanuelryoba569711 ай бұрын
ni hapa hapa bongo wasanii wote ni chawa kasoro TRUE BOY❤🔥❤🔥💪
@lengoniankid714911 ай бұрын
Jamaaa kaimba kinaya kama ushamuelewa nipe like😂😂😂😂
@bsmonline848211 ай бұрын
Huyu jamaa 😂😂😂
@SalumMfaume-on2ks11 ай бұрын
unajiamin kinyama
@officialkamdudu11 ай бұрын
like unazipeleka wapi kenge wewe ? aimbe Ney like upewe wewe. acha ushamba wewe 😏
@lengoniankid714911 ай бұрын
@@SalumMfaume-on2kskabisa
@lengoniankid714911 ай бұрын
@@officialkamdudukenge tena haya pole boss
@RashidSaidi-u7d4 ай бұрын
Nakupa 100 to 100 Hapo ni kweli hata kenya tuko hivyo tuu ubinafsi
@shaniceshijedi808311 ай бұрын
Hahaha wakenya pigeni like hapa tumepigwa kitu kizitoooo waaah
@KhabilMtumwa9 ай бұрын
Gonga like
@quintinmbwaiki12689 ай бұрын
kaka saluti kwako umetumia akili nyingi sana kwenye huu wimbo
@nelsonsharenya960011 ай бұрын
Nimeuskiza huu wimbo,kaka upo juu,Kenya my country,enyewe ulitusorora kweli
@teamallyracing178011 ай бұрын
Nani huyo
@danielmauti218011 ай бұрын
Kenyana give Nay 57m likes the guy is a gem,pure literature.
@margaretmwajuma925311 ай бұрын
Hiyo nchi kupata kazi ni utata....kuna matata kibao! I love the lyrics🎉🎉
@richardntelika757111 ай бұрын
Pure Truth, Kenya is the whole story, Appreciated Mr Nay for speaking this 😢
@salimkheri11 ай бұрын
ametunasa hapa😅
@echoesOfCreation-f2w11 ай бұрын
I also think this is kenya
@aliceogeto924011 ай бұрын
@@echoesOfCreation-f2w ni tz govt
@josephlyakurwa11 ай бұрын
I think it's a story of entire Africa
@254AfterDark11 ай бұрын
this is not even about kenya
@Zadig_Le_Juste11 ай бұрын
I'm not Tanzanian but this guy is very intelligent.He has a critical spirit .Love you from 🇧🇮
@SalimuomaryMashaka3 ай бұрын
Ww ndie msanii Bora wa hip hop hapa bongo wa muda woooote
@rqquotes957411 ай бұрын
Huwezi kuielew kama utaisikiliza mara moja, ubunifu mkubwa sana umefanyika🎉💯
@ramadhankwilasa237111 ай бұрын
Kabisa unatakiwa umakini mkubwa sana
@AnuarySuleymani11 ай бұрын
Sahihi kabsaa hii n tz baba
@ShabaniNtegwa11 ай бұрын
Kabisa
@Princekivufiesta4 ай бұрын
Hiyo nchi ni Congo 🇨🇩, " wana inchi wana lala Mika na raisi ana lala mika, wote mwizi wana mjua, ila wanaogopa Ku mshika" Vraiment rien que la vérité, courage mon artiste préféré .
@DavalsonMarlony11 ай бұрын
mr nay big up Sana 💪 broo ukiimbaga za kbembeleza nono iz ndyo kia dikoo
@MashakaLumwecha3 ай бұрын
Yaan wakizingua. Kuwachana kawaida tena hapo umewasamehe saaaan!
@Karolk-wt8ib11 ай бұрын
Mi ni mkenya na huu ni ukweli . Lakini hapo Kwa single mothers umekosea nobody wants to be a single mother but mambo mingi inachangia yenye huwezi ukaelewa . Asante sana Nay kwa kuona shida zetu .Tuombeeni 😢
@@youngmasta5444 hizi shida hazipo huku tu, ndo maana ya sanaa inagusa kote
@kevinkyalo933111 ай бұрын
Kenya, Kenya, Kenya, Kenya, Kenya, Kenya, Kenya our country
@siddyoneonlinesi543311 ай бұрын
Tanzania ndio wanatabia hii Kenya raha mnakula
@NGAWIPA248 ай бұрын
Daaaaahh japo nimekuwa wa mwisho kuiona hii nyimbo ila basi NAWAOMBA mnipe basi japo like kumi tu jamani
@SindarubazaCherejiyo5 ай бұрын
Nay pa moja sana
@Usam.Ally012 ай бұрын
Nchi gani hiyo. Jamani . Mbone kama nchi hiyo ni 🇨🇩. Any Congolese here.
@wingstarmsanii986211 ай бұрын
Hiii Kali Kenya respect rais wa mitaa ney wa mitego go baba
@Blaq-i11 ай бұрын
Napenda tz hiphop wanavyo angazia maswala yanayo athiri jamii. Kenya tujifunze. Much respek Nay
@eunicejune584911 ай бұрын
Nani ukasema wewe ni mkenya hata kiswahili yako Ina onyesha tu wewe ni m bongo my friend hiyo rispek yako ni respect not that one you are addressing us with I'm sorry I rest my case😊😊
@lakasid386011 ай бұрын
@@eunicejune5849acha ujuaji na wewe kwan Mombasa hawaongei kiswahili kizuri? Hata hivyo Mombasa ilikuwa pwani ya Tanzania ndomana wanaongea kiswahili kizuri sio kama yale makenya ya sheng kutoka Nairobi
@godwinmwakibibi27411 ай бұрын
Nisipokoment kwa ndugu yangu ntakuw mnafiki Asante kwa massage! Tunaijua hyoo!
@FabianEric-i8c3 ай бұрын
True boy ...... Rais wa kitaaa amesema kweli safi @The street President. Hongera kwa ili chupa. Umeongea kwa niaba yetu Wananchi
@nasarostudio200811 ай бұрын
Nimesikiliza nyimbo zangu nyingi hii umetisha saanaaaaa, hii ndo inaitwa fasihi, Ngoma Kali kuliko zote ulizowahi kutoa, big up sana, ufundi mwingi mnooooooo🎉🎉🎉🎉
@spiritedroamer11 ай бұрын
Nimepata jibu! Huko ni Kenya.
@margaretmwajuma925311 ай бұрын
I cant stop replaying this song! Hongera sana kwa ngoma kali tena sana
@dennissamora7293 ай бұрын
Hii nyimbo imenitoa machozi. Ney umetisha
@holyjoemusiq380511 ай бұрын
Am a Kenyan but this is the bitter truth......Nay you are on point
@jojigeorige105611 ай бұрын
Hii imeendaaa kabisa! Ileeee number 1 trending... 🎉🎉
@tithomhagama11 ай бұрын
Hii ngoma ngumu sana ina kila Kitu🔥 na ujumbe umewafikia walengwa pamoja sana #Nay
@saidbabaali908210 ай бұрын
Nay hiyo inchi naona ni hii yetu +254 n dis track bt ni moto sana tumekubali mzee baba bigup
@nakurutoday11 ай бұрын
as Kenyans , we received this song with both hands. It's speaking on our behalf. Thanks. (Unfortunately, I don't know how to express myself in Swahili for you people to understand. I know kingereza kwenu ni kizungumkuti)
@nakurutoday11 ай бұрын
@@AK-op1oz you have a very low sense of humor
@shekinahrwabyo815011 ай бұрын
Wewe ni mtata kama wimbo wenyewe. 😂😂😂
@peterliseche768711 ай бұрын
Hii ni utata kizungumkuti
@DanielChaula11 ай бұрын
Wewe ni kiswahili mtupu😂😂😂
@derrickmutuma718511 ай бұрын
We did not. This song better reflects Tz than Kenya.
@kuluthumuzalari11 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤, Magu tutakukumbuka sana,Maana siku hizi Nchi yetu kila kitu O.
@jabirkombo548311 ай бұрын
Mkumbuke
@sadathahmada906611 ай бұрын
Rais wa Kitaa, hujawahi kutuangusha wananchi wako wa mtaa. #TrueBoy
@vinyoxy50573 ай бұрын
🔥
@petroe78502 ай бұрын
Uko saw mwamba Mungu akulinde kwa majukumu yako
@MasanjaSamweli-b3r10 ай бұрын
Hiyo nchi wasanii wotee ni machawa wa serikali isipokuwa mmoja tu🤣🤣🤣🤣 nipeni like Kwa hili jamani
@RobaahKauruo11 ай бұрын
True Boy in the Building.Mr Nay salute ma bradda.Love and Respect from MERU KENYA 🇰🇪🇰🇪🇰🇪. Wameru wenzangu Muugeni.Nay to the World.Alafu MR T TOUCH drilled the BEAT
@vi3ayo162211 ай бұрын
Meru si ipo arusha na Kenya inapatikana😂
@RobaahKauruo11 ай бұрын
@@vi3ayo1622 Wameru Wa Tz wanazungumza lugha ganii? Wameru Wa Kenya Ni Kimeru
@iangitonga892711 ай бұрын
Ikwega Master
@mauricejuma146811 ай бұрын
Fala hii ambia babako na watu wa kwenu wamsupport mimi hapa namskia Bien nikiwa jaba
Ata Kwetu Tanzania ni hayo hayo..ndiomana Ney kaamua kuimba
@amosjulius79359 ай бұрын
Yap!.. ORIGINAL VOICE OF NATION Yani Goma halichoshiii kisikikiza Bana...NY..Tupia Maweeee hata wakikataa kutoaa Shoooooow KZbin Ipooooooo🎉🎉🎉🎉🎉...Yani Ni Utataaaaaaaa#
@muddytzmk333911 ай бұрын
Umetumia akili nyingi Sana ila hio inchi nimeshaijua na wewe Kama umeijua gonga like hapa👎
@stanleymanya43810 ай бұрын
😂😂
@giftladis9 ай бұрын
Nchi yngu jamanii imeanzwa kuchekwa 😭 MUNGU angalia nchi yanguu 🇨🇩
@THE-HIGHWAY-VOICE9 ай бұрын
si siri tena io inchi ni yangu..kenya na siogopi kusema io inchi ni kenya..
@AbuodSeleman3 ай бұрын
😅kwa kisimu kazi😂😂😂😂😂
@Peter-hb5cn3 ай бұрын
😅daaa
@Jenniejws11 ай бұрын
Rais wa kitaa haujawahi kuzingua ila salute kwako na ujumbe umefikaa✌️🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@johnbekker781911 ай бұрын
Big up for spitting out the truth about our Kenya. Only the big guys are deaf, can't hear a thing
@weizsymo625711 ай бұрын
Wakenya mnamatatizo ya hakiri,hii nyimbo haiwahusu. Mmesikia anaongelea nchi jiran mkajiweka hapo? Hiyo inaitwa tafusida.jifunzen kiswahili
@Gladnessmichaell-kr1tm3 ай бұрын
Hatariiiiii tuliorudia kuckiliza mara mbili tujuane❤
@jaymapepefatma593611 ай бұрын
Together we can This is love from Moçambique 🇲🇿🇲🇿
@zarohjuma215111 ай бұрын
Damn am just loving the song it’s so beautiful and truth spoken of! True Boy in the building is back! 254 we lovin yah
@Sarakasiworld11 ай бұрын
Khaligraph Jones look at what you did .. you don’t throw stones and you live in a glass house .. we need an artist in Kenya like fuckin Nay .. pure genius .. pure truth .. Kenya in the abyss ..
@rexxsimba11 ай бұрын
We have him already ... His name is **King Kaka** ... Go and listen to track ... "WAJINGA NYINYI" ...
@mghendipato11 ай бұрын
Trust me this has nothing to do with the OG, Nay has been doing this ever since, he has mastered the art of painting the status quo in his musical lyrics, his message is about what is currently happening in most of the African Countries Kenya & TZ included
@newtonmutea11 ай бұрын
Stop simping
@GabrielJuma-h2d11 ай бұрын
Kenyan artist are fake cowards pussies tribal thick in head no nothing but to sleep in bed with the corrupt politicians.
@Create-d6i11 ай бұрын
@@rexxsimbathank you. Wajinga sisi i remember it so well.
@hassansemwali84703 ай бұрын
kaka ney mungu yupamoja na ww imba muziki
@kilatyaerick11 ай бұрын
This guy never dissapoints....he delivers msg..
@wainainawangai253911 ай бұрын
Just crying for my country Kenya, truth hit right. Thanks Nay.
@japhetthoya11 ай бұрын
Wow!!! Wat a song. Naukubali from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@Sandarya-w2q3 ай бұрын
Kaka angalia basata wasije fungia nyimbi yetu big up brothers
@NGABO-f3q11 ай бұрын
Kutoka Burundi🇧🇮 nakuamini sana Mr. Nay. Heshima yako juuu. Hauimbii Tanzania tu Bali East na Africa nzimaaa🎉🎉
@dianawangechi10111 ай бұрын
Ruto has made Kenya the punching bag among our neighbors
@GabrielJuma-h2d11 ай бұрын
Stop your lies here it’s not only ruto, he is doing what the other big thief has been doing the Uhuru Kenyatta the con, tribal, corrupt, the thief and murderer, so close you big baggy mouth and once in your life talk the truth they the kalenjins and the Kikuyus have made Kenya the worst country ever in the planet and that’s the truth and you will never agree, you will say am racist. Remove Kikuyus and kalenjins in all sectors of public service and Kenya will be great
@maryamhussein422711 ай бұрын
Shame on him, he has failed us
@ramadhanmkoka44411 ай бұрын
Huyo msanii ambae yuko against others ni nani?
@lenardkatundu190611 ай бұрын
I really wish you understood Nay's song coz he's not singing about Kenya. Unfortunately most african countries are governed the same.
@atutweve416011 ай бұрын
NOT KENYA, HE ALWAYS SINGS WELL ABOUT OUR COUNTRY,,,, HE TALKS FOR THE WHOLE NATION OF TZ 💪🏿💪🏿
@Malon-M711 ай бұрын
Me As Kenyan 🇰🇪 I can feel the vibe in this songs juu najua ni Kenya tunachanwa fire 🔥
@princefeisla369211 ай бұрын
Kabisa hio ni Kenya inachapwa
@barakaboniphace406711 ай бұрын
Wapi huko??
@bonfacenderitu552311 ай бұрын
He is not talking about Kenya but literally Tanzania it's called sarcasm
@antonymuoki11 ай бұрын
@@bonfacenderitu5523 Poetry ni ngumu kuelewa kaka. Skiza verse 2 after chorus.
@DannioArts11 ай бұрын
This is sarcasm, he is talking about Tanzania
@Mkombozi2553 ай бұрын
Thanks mr true boy,tulihitaji huduma yako muda huu🫶🏼god bless you
@honorenihorimbere79211 ай бұрын
As a burundian, I stand by the side of Ney. Let's sing and say the truth maybe one say the sun with shine ✊🇧🇮❤🇹🇿
@belak99911 ай бұрын
Kiingereza 😢😢
@lawrenceomondi137611 ай бұрын
Yet Burundians are in their numbers in Nairobi; looking for greener pastures.
@kitalefriends544711 ай бұрын
Shukran Nay. Kwa kuzungumzia yanao tuhusu humu. Hio nchi ni KENYA 🇰🇪. Chakula bei juu ila pombe ni expensive. Quick summary of the song: 1:05-2:42. Unatongoza dem kenya🇰🇪 anakwambia gas imeisha.😂 2:09-2:15 elimu ni utata na ukiwa na elimu kupata kazi 🇰🇪 lazima uwe na connection. Alafu 0:55-0:56 huyo jamaa anakunywa maji anafanana na Guardian Angel😂😂1:38-1:48 manzi wa kibera ana represents mabinti wadogo ku date wazee. President Ruto haskilizi maoni ya wa🇰🇪😂😂kuchana veve na kubet ndio kazi ya vijana😂😂. Pongezi Mr Nay👏👏 you've nailed 🔨it. Hii ndio aina ya miziki tunayotaka sio kaveve kazoze😂😂😂 welcome back again to Kenya.
@juniormugambi992111 ай бұрын
Anafanana rayvanny kuliok guardian angel
@EdwardSamson-uf1ee11 ай бұрын
😂😂😂😂🙌
@aaa64sa1311 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂🎉
@moamed123811 ай бұрын
2024 level made it congratulations 🎊 👏
@HassaniUlenge-j5j4 ай бұрын
Uko vizuri nay endelea kusemea wananchi kwa njia ya muziki uenda nchi ikapona
@dieumesikuli512411 ай бұрын
Iyo inchi ni Drc 🇨🇩, nay iii ni hit ya kweli 🎉❤
@FutureJr-o6r11 ай бұрын
NIMECHELEWA LAKINI NAAMINI AMUWEZI NINYIMA LIKE KWASABABU YA RAISI WA KITAA @NEY WA MITEGO NEY TRUBOY
@pede_bway4711 ай бұрын
Bongo ndo maisha yetu mwenye nacho abakie kuwa nacho😭
@dastandeogratius11 ай бұрын
Nn
@anuaralmas862011 ай бұрын
Like zinakusaidia nn
@denisobaga146311 ай бұрын
Like itakuongezea chakula mezani
@wanjohijoshua581411 ай бұрын
Aki bro mbona when we say that truth,we ended up to be the tangent??? Respect man ✌️🤘👊💯
@UsStepha-qd2ke11 ай бұрын
Napenda sana iyi nyimbo from congo RD 🔥
@msumaritz59493 ай бұрын
Na kuna mama kahaba na mpumbavu atakuita mbwa mpuvu unaebwekea ndege!!!!🙏🙏🙏