Nay Wamitego - Mama (official Music Video)

  Рет қаралды 991,920

FreeNation Rec Label

FreeNation Rec Label

Күн бұрын

Пікірлер: 1 500
@belkamsafi6703
@belkamsafi6703 3 жыл бұрын
Ngoma kali na ina ujumbe mzuri shida ya wasanii wengine ni waoga ndo tatizo true boy kaongea kila kitu humu💥💥💥💥💪
@swaumsheh6170
@swaumsheh6170 3 жыл бұрын
Nyimbo iko poa sana ongra ney
@fidelskikonga393
@fidelskikonga393 3 жыл бұрын
Kweli kabx
@inversedelcruise676
@inversedelcruise676 3 жыл бұрын
hii ni bonge la wimbo , kama unakubali nay wa mitego ametubu na kurudi kundini like na tusonge mbeleeeeee
@peterkichochi7510
@peterkichochi7510 3 жыл бұрын
Huyu jamaa angezaliwa USA angeutwa 2pac square. He is very creative nigga and very thoughtful nigga deep. Be blessed Ney
@simontamba1285
@simontamba1285 3 жыл бұрын
Tru
@emanuelkyomo3772
@emanuelkyomo3772 3 жыл бұрын
Mmmh kaka Pac alikuwa mwisho kka
@mohameeddoaan2296
@mohameeddoaan2296 3 жыл бұрын
Kabisaa
@ebbyminja8184
@ebbyminja8184 3 жыл бұрын
This meaning of Hip Hop
@jumashimba9620
@jumashimba9620 3 жыл бұрын
Good song
@dullahbinam1607
@dullahbinam1607 3 жыл бұрын
Jiwe kali mno pia lina ujumbe..kama vp gonga like twende sawa
@nasrahsamwely6871
@nasrahsamwely6871 3 жыл бұрын
Basata MUNGU anawaona mxiiuw 😏😏😏😏kwahiyo wanataka je? Wasanii waimbe nini??? Alafu mbona hapo Ney hajamtaja mtu??? Pole Sana Ney,, mwanzo nilipata wasiwasi maana kichwa chako sometimes ni Chenga😂lakini kwa hapa umeuaa af Ngoma kali kinoouma 💯💯💯💯💯💯❤️❤️❤️
@aminaahmedmohd3148
@aminaahmedmohd3148 3 жыл бұрын
Kwa kwel m mwenyew nilishaingia wahka mana kichwa kibovu sema yuko vizuri
@rizikikitoki3348
@rizikikitoki3348 3 жыл бұрын
Wanataka watu waimbe mapenzi tu
@HusnaSalum-p1q
@HusnaSalum-p1q 12 күн бұрын
Mapenzi na vyupi nje Tanzania 🔥 so nyimbo zenye ujumbe
@HusnaSalum-p1q
@HusnaSalum-p1q 12 күн бұрын
Mapenzi na vyupi nje Tanzania 🔥 so nyimbo zenye ujumbe
@ogindiii1465
@ogindiii1465 3 жыл бұрын
Ndugu zangu watanzania inasikitisha sana kusikia wimbo mzuri kama huu unafungiwa, what's is democracy to you?,can you guys wake up, Congrats baba yaga one love from Nairobi 🇰🇪
@irenemsumba6776
@irenemsumba6776 3 жыл бұрын
Hata Mimi nashangaa sana eanataka nyimbo za mapenzi 😂😂😂😂😂
@taufikihamisi6385
@taufikihamisi6385 2 жыл бұрын
Uku TZ tunatawaliwa na viongozi wanaotumia mabavu
@drizzlesly6009
@drizzlesly6009 3 жыл бұрын
Nay imebidi atumie mbinu nyingine kuiachilia hii ngoma ivyo ivyo..he ia determined🔥🔥
@salimswahibu3779
@salimswahibu3779 3 жыл бұрын
Naandika uchochezi tuu wewe mwenyewe nay mnafki ...ungemuimbia before na uko kumpenda imba nakupenda sio wote tunampenda ...kaa kwa kutulia na mkae mkijua njia ya wanafiki ni jahannam tyu
@andrewjames8551
@andrewjames8551 3 жыл бұрын
Kama umegundua kama Kaka yake Ibra aliyekimbia akaacha mke na watoto ni Roma gonga like..
@mrpcharles5696
@mrpcharles5696 3 жыл бұрын
Msenge
@amedeuslyimo2315
@amedeuslyimo2315 3 жыл бұрын
Tundulisu
@shabanirashidi3947
@shabanirashidi3947 3 жыл бұрын
Hahaaaa mkatolik
@sulemanimwasunga954
@sulemanimwasunga954 3 жыл бұрын
@@mrpcharles5696 l
@issamkali7648
@issamkali7648 3 жыл бұрын
Huniukwelitu
@ahmuhally4430
@ahmuhally4430 3 жыл бұрын
Jamaa katisha kwelikweli 💯💯💯 kama umekubali gonga like
@nadiahussein5079
@nadiahussein5079 3 жыл бұрын
Nyimbo Kali kinoma noma inabidi ipewe tuzo basata mnakwama wapi jaman
@rizikimasemo6553
@rizikimasemo6553 3 жыл бұрын
That's why I like Ney wa Mitego he is a great thinker Haya mama mpe majibu kijana wako
@hildpaul7823
@hildpaul7823 3 жыл бұрын
Mama tunaomba majibu pls
@makwayalaurent9085
@makwayalaurent9085 2 жыл бұрын
This is the guy that we need in this country a person who can speak his mind out without any hesitation love us so much
@Tiwiniankid
@Tiwiniankid 3 жыл бұрын
Nahisi itakua basata wapewa rushwa ndo maana walikuwa wamekubania🤣🤣🤣🤣gonga kma wakubaliana nmi🔥🔥💪🏻💪🏻
@joharishabani2893
@joharishabani2893 3 жыл бұрын
Ngoma tamu hatar nimemkubali. Sana huyu kaka.
@joharishabani2893
@joharishabani2893 3 жыл бұрын
Kumbe haya bna
@deoshirima9458
@deoshirima9458 3 жыл бұрын
@@yusufmwangichannel6692 kwan amemtaja baba ni nan au tafsir binafs
@yusufmwangichannel6692
@yusufmwangichannel6692 3 жыл бұрын
@@deoshirima9458 kuna watu wamesoma wana akili komavu
@chazadamas7286
@chazadamas7286 3 жыл бұрын
@@yusufmwangichannel6692 sasa uyo baba wewe umejuwaje kama nimagufuri. Kwani umesika amesema hayati magufur
@maulidsaid9448
@maulidsaid9448 3 жыл бұрын
Hahahaha jamani kama huu wimbo hujauona kasolo yeyote nipe like japo kumi tu
@saidiabumaryamsaidi6893
@saidiabumaryamsaidi6893 3 жыл бұрын
iko poa
@maulidsaid9448
@maulidsaid9448 3 жыл бұрын
@@saidiabumaryamsaidi6893 🔥🔥🔥
@alchristianyacjosephe2408
@alchristianyacjosephe2408 Жыл бұрын
Sana
@KelvinYondan-zg3sm
@KelvinYondan-zg3sm Жыл бұрын
😛😛
@michaelkilifi8978
@michaelkilifi8978 3 жыл бұрын
Hao basata waangalie vizuri bro hawakutaki uimbe coz ngoma haina tatizo, big up bro ngoma kali, all the way from 254
@yusufmwangichannel6692
@yusufmwangichannel6692 3 жыл бұрын
Makosa makubwa ni kumdhalilisha raisi Mama Samia kwenye hio video
@buchosafm9289
@buchosafm9289 3 жыл бұрын
Kamdharirishaje...nini maana ya uigizaji...ingekuwa hivo aliyecheza movie y yesu angefungiwa na wakristo
@yusufmwangichannel6692
@yusufmwangichannel6692 3 жыл бұрын
@@buchosafm9289 sheria ya ali act movie ya yesu sio sheria ya Tanzania
@mbwanakhamis9634
@mbwanakhamis9634 3 жыл бұрын
@@yusufmwangichannel6692 ss hpa hbu tufafanulie kamzalilisha kivipi yani??
@yusufmwangichannel6692
@yusufmwangichannel6692 3 жыл бұрын
@@mbwanakhamis9634 akuonyeshe sura mwanamke akajulikana ni nani na amemtaja ayati John Pombe Magufuli kama Baba akisema kua eti Baba alikua mkali ila ameondoka na amekuachia nchi
@marypetermbaga1348
@marypetermbaga1348 3 жыл бұрын
Katika nyimbo ambazo ney kaimba kiustaarabu bila yakuongea neno lolote baya no hiii Kama upo pamoja Mami gonga lak Kama zote tuwe pamoja
@evancepatrice1114
@evancepatrice1114 3 жыл бұрын
Ila Ney lini utaludi kama 2016-2018 nakumbuka uliachia hiti juu yahiti kusema nimemis zile ngoma alafu nakuibia sili kukaa kimia mda mlefu ndo kunakupotezea mashabiki naomba uanze kuachia jiwe juu ya jiwe🔥🔥🔥🔥🔥
@rodgerthegreat9192
@rodgerthegreat9192 3 жыл бұрын
More likes to this comment please
@momoirazivye3363
@momoirazivye3363 3 жыл бұрын
Mama tunakupenda san
@juliusmushi6428
@juliusmushi6428 3 жыл бұрын
Maneno mazuri ila jifunze kutofautisha l na r
@swalehesalumu5394
@swalehesalumu5394 3 жыл бұрын
Idea ni kubwa Sana ila jamaa kaifanya kwa udogo mnoo
@deusimorata7734
@deusimorata7734 3 жыл бұрын
Hawa BASATA wana jambo lao 2 mbn nyimbo iko ppwa
@MagrethMallya-we8ui
@MagrethMallya-we8ui Жыл бұрын
Rais wa kitaaaaa❤❤❤❤❤ kaujumbe ka nguvu kabisa👏👏👏Ney haki umewapa joto hawa watu.
@mosamossile9113
@mosamossile9113 3 жыл бұрын
Uyu jamaa muacheni Tu Amumuwezi uyu kiumbe ni kichwa sanaa Big up brother Nay wakimara baruti Docha🇿🇦🇿🇦🇹🇿, Ul watching from South Africa Cape town wynbebrg
@eunicemakoye1135
@eunicemakoye1135 3 жыл бұрын
🙏🙏🙏🔥🔥🔥🔥❤️❤️
@mosamossile9113
@mosamossile9113 3 жыл бұрын
@@eunicemakoye1135 bless
@tatumwanga9102
@tatumwanga9102 3 жыл бұрын
Kazi ya fasihi ni KUELIMISHA,KUBURUDISHA na KUSISIMUA.Ubora wa sanaa unabebwa na ubunifu wa msanii.Utunzi wa mashairi kuntu yenye kufikirisha/kutafakarisha kwa mlaji(hadhira) ni dalili tosha kuwa sasa sanaa yetu imevunja ungo.Viva Emmanuel Elibariki(Ney wa mitego),umedhihirisha ukomavu ktk sanaa bro.
@Bigenergyteam250
@Bigenergyteam250 3 жыл бұрын
Mana kweli sana respect to may wamitego it's love from rwanda
@kayekekayeke3514
@kayekekayeke3514 3 жыл бұрын
TRUEEEEEEEEE BOOOOOOOOOOY NASIKILIZA HII PINI TANGU SAA 7 MCHANA INANOGA MASIKIONI BALAAA!HUU NDIO USANII SASA Don tell me what you understand but let Ney sing what he meant to us......Ni noma hii nyimbo BIG UP NEY
@athumaniguni3182
@athumaniguni3182 3 жыл бұрын
yes ngoma kali huyu ndio mwanaharakati
@singidaone5628
@singidaone5628 3 жыл бұрын
Basata kama watamfungia huyu mwamba mungu awalaani #Nay4life
@stenvibe9589
@stenvibe9589 3 жыл бұрын
Tiar washaifungia 😂
@abdulikadirnarrel2751
@abdulikadirnarrel2751 3 жыл бұрын
Basata wimbo huu ndo mnaufungia mbn ngom ipo bomba
@elizabeththomas2460
@elizabeththomas2460 3 жыл бұрын
Ngoma kari basata mnauwa wasanii wetu jaman
@fungojasili1096
@fungojasili1096 3 жыл бұрын
Wamefungia ila wamefanya kuchange account ili ngoma itufikie
@mohamedothman9769
@mohamedothman9769 3 жыл бұрын
Walaniwe mara ngapi
@mzunguromesi2770
@mzunguromesi2770 3 жыл бұрын
BASATA wakifungua tena huu nyimbo watakua awafai mana huu nyimbo aina shida yoyote bonge moja la song
@roselynngallo1872
@roselynngallo1872 3 жыл бұрын
Wameelewa mama aliyeongelewa hapa we hujaelewa?
@dashcombokinondoni1992
@dashcombokinondoni1992 3 жыл бұрын
Fanyeni Ngoma iende trending number 1
@evalinejoshua6854
@evalinejoshua6854 3 жыл бұрын
Wangekua wale waimba matusi wangewaruhusu kuitoa hi ndio TANZANIA nakupenda kwa moyo wote
@luqash_luqman9744
@luqash_luqman9744 3 жыл бұрын
Video vixen ni #Mama #Samia #sulluhu ama 🤣🤣 ngoma kali sna
@kelvinebens5239
@kelvinebens5239 3 жыл бұрын
Aseeeee we jamaa nakubali ubunifu wako hujawai kunifelisha big up bro🤝👊🏽
@aishaaisha4549
@aishaaisha4549 3 жыл бұрын
Big up ney wamitego hii nyimbo ina maana kubwa sana ♥️♥️♥️♥️♥️imenigusa yastaili upewe tuzo
@fabiandasilver7760
@fabiandasilver7760 3 жыл бұрын
Only the smart will understand and read between the lines.... lyrics totally deep🔥🔥🔥 Nay mkali✍
@gordononyango2650
@gordononyango2650 3 жыл бұрын
Ney wa mitengo mwanamziki mbunifu sana kwenye sanaa ya mziki , kutumia wimbo kupitisha ujumbe kwa mwenye anafaaa big up man
@simontamba1285
@simontamba1285 3 жыл бұрын
Saana
@djpdaprince2233
@djpdaprince2233 3 жыл бұрын
Hiii imefunika zote Nay🙌😂 nakubali from 254
@hilarismwita5498
@hilarismwita5498 3 жыл бұрын
Kwa hii sanaa ney umetixha mama-mh.samia suluhu. Baba-hayati magufuli. Shangazi-halima mdee na wenzake. Ibra-roma mkatoliki
@SAMWELI1995
@SAMWELI1995 3 жыл бұрын
Anastahili kushikiriki AFRIMMA B.E.T @Nay🔥💯
@Hodariaudiovisuals
@Hodariaudiovisuals 3 жыл бұрын
Nakuelewa sana.Mwache Magufuli Apumzike kwa Amani
@muzihiljabili8090
@muzihiljabili8090 3 жыл бұрын
Kama unamkubali uyu mwamba tujuane🤜🤛
@kelvinmfilinge8707
@kelvinmfilinge8707 3 жыл бұрын
Duuuuuuu
@yohanabundala9162
@yohanabundala9162 3 жыл бұрын
Hakuna msanii ninaempenda zaidi kuliko Nay, Ngoma za masela Basata mnakalilishwa vitu. MBONA WIMBO SAFI2
@Waya_tz
@Waya_tz 3 жыл бұрын
Mbona me cjaona kosa lolote kwenye ngoma Kwan basata wanashida gani na ney??? TRUEBOY IN A BUILDING (FREENATION) 👏✍️👏
@yusufmwangichannel6692
@yusufmwangichannel6692 3 жыл бұрын
Kosa ni kumdalilisha raisi Mama Samia alimchukua mwanamke akamfanya kama Mama Samia na hakumuonyesha sura watu wakamjua ni nani alie act kwenye hio video
@godlistenmtui3267
@godlistenmtui3267 3 жыл бұрын
@@yusufmwangichannel6692 sasa na wew mbona mtu mzima na akili za kitoto. Sasa hapo basata wamefungia wimbo au video??
@mafiosoismail7475
@mafiosoismail7475 3 жыл бұрын
@@godlistenmtui3267 tatizo hawapendi kuambiwa ukweli mwamba na ndo maan hatuelei kisa unafk huu na kupakana mafuta kwa mgongo wa chupa, ngoma n Kali na ujumbe ushafka na sanaa imeplay part yake ewalaah 🤜🤛💪💪💪🎙️🎤🎧🌙
@jerrythefifagoat124
@jerrythefifagoat124 3 жыл бұрын
Kosa nikwamba anamsema samia na magufuli
@julianafedrick3591
@julianafedrick3591 3 жыл бұрын
Kunakosa kubwa sana .....usijifanye hauelewi
@shadrackdamiani1418
@shadrackdamiani1418 3 жыл бұрын
Mbona nyimbo iko poa tuu ,🙏🙏💖anaye sema hapana naye kenge tuu
@omegajuliasi5437
@omegajuliasi5437 3 жыл бұрын
Nilickia et basata wameikataza hii ngoma. Sasa wao wanataka wasanii wote waimbe mapenz tu?? . This is hip hop. Ney nitafute Kuna zawadi yako 🔥💪👏👍
@yusufmwangichannel6692
@yusufmwangichannel6692 3 жыл бұрын
Hii video ndio imemdalilisha raisi Mama Samia
@godlistenmtui3267
@godlistenmtui3267 3 жыл бұрын
@@yusufmwangichannel6692 elewa kitu kimoja ndugu basata wamefungia wimbo yaan mashair sio video. Sasa hapo rais amedhalilishwa wapi au umeuona rais hapo kwenye video?
@yusufmwangichannel6692
@yusufmwangichannel6692 3 жыл бұрын
@@godlistenmtui3267 ndugu yangu kama hauna akili kuna watu wana akili kukuliko. Na mbona alificha sura ya uyo mwanamke? Na Mama alikua anamuimba ni Mama yupi? Na uyo Baba aliekua anamuimba hapo akisema Baba sasa amekuachia nchi na Mama tunakuamini alikua anamaanisha ni Baba yupi?
@rescotv8804
@rescotv8804 3 жыл бұрын
@@yusufmwangichannel6692 we jamaa ndezi kinoma
@lodrickmwambene3722
@lodrickmwambene3722 3 жыл бұрын
Bongo hawapendi kuambiwa ukweli wanapenda unafiki na nyimbo za matusi ney ni watofauti Tanzania kumwelewa
@FlorenceGacheri-nk2dt
@FlorenceGacheri-nk2dt 6 сағат бұрын
Huyu si aweraisx au vp lakc ha fro 💖💪🙏 yushy sliver
@jumajembe8392
@jumajembe8392 3 жыл бұрын
🙏🙏🔥🔥 Much respect for you!!! Nakuelewa Sana Brother, ningependa Sana Kama mngeungana na Roma daaaah sijui ingekuwaje!!!!!!!!!!!
@dyinaoulo
@dyinaoulo 3 жыл бұрын
Yaniii Iyo Ngoma safii,basata hamna hayaaa,,nyimbo mbovu hamfungii laniwenii,,,Ney gooooo🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪👏👏👏👏❤️❤️❤️🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🤣👏👏
@shaqdizo7678
@shaqdizo7678 3 жыл бұрын
One of the best song 💯..ALIYEIFUNGIA HII HUKO BASATA..KUMA LA MAMA YAKO..
@dangotesam9845
@dangotesam9845 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@emmanuelmosha2278
@emmanuelmosha2278 3 жыл бұрын
Bonge la wimbo, hao jamaa hawapendi kuambiwa ukweli wanakimbilia kufungia ila ukweli ndio huo, Mama tunakupenda sana, big song ujumbe umewaunguza🔥🔥🔥
@johnziro526
@johnziro526 3 жыл бұрын
Kazi nzuri kuliko wote walioimba mama ya samia napenda kazi zako brother from Kenya county 003
@josesombo764
@josesombo764 3 жыл бұрын
Kilifi sio mkali
@mnkondejr9174
@mnkondejr9174 3 жыл бұрын
Acha wafunge si tunalo Tayari Mimi ni mkaguzi wa Basata wa kujitegemea nyimbo haina makosa kabisa
@amashaubamba4038
@amashaubamba4038 3 жыл бұрын
Nyimbo kali sana haina ukakasi hata kidogo thanks trueboy 🙏🙏👏🏽👏🏽
@mtahogarashid8488
@mtahogarashid8488 2 жыл бұрын
Nyimbo nzuri sana inatia huzuni
@jumajembe8392
@jumajembe8392 3 жыл бұрын
Ngoma inaujumbe mzito Sana Much respect to you Mr Ney!!!!!☠️☠️☠️☠️☠️
@johnnyagawa863
@johnnyagawa863 3 жыл бұрын
Shangazi halima wamekataliwa kwenye familia na kwenye vikao wanauzulia litafakalini hili kama umenielewa wanaccm wenzangu like kubwa moja tu apo chini
@noelfrank4078
@noelfrank4078 3 жыл бұрын
Mbona nyimbo aina shida🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@stevewesco7566
@stevewesco7566 3 жыл бұрын
C ndo apo nashangaa nn shda
@abdulialiy5411
@abdulialiy5411 3 жыл бұрын
Ww hujuwi kama kampiga majungu Hayati Magufuli
@husnasaidihasani7172
@husnasaidihasani7172 3 жыл бұрын
@@abdulialiy5411 watu hawaelewi wanaangalia hapa tu, dahh wasanii hawa
@abdulialiy5411
@abdulialiy5411 3 жыл бұрын
@@husnasaidihasani7172 kweli kamzihaki Marehemu Magufuli ila mwenye upeo mdogo hawezi kugunduwa
@ziongodfirst1868
@ziongodfirst1868 3 жыл бұрын
@@abdulialiy5411 acha ufungiwe kabisa Magufuli apumzike salama tu kamsema Sana kwa mafumbo katumia Kama mashairi ya wasakatonge Ila mwenye Ubongo wa nzi hawezi elewa
@MN-zk5bt
@MN-zk5bt 3 жыл бұрын
Kama unamkubli Nay gonga likes hapo tujuane big up my bro nice song from South Africa
@samshirima7683
@samshirima7683 3 жыл бұрын
Safi sana mwamba ngoma ipo vizur
@abdulikadirnarrel2751
@abdulikadirnarrel2751 3 жыл бұрын
Ngoma nilikua naisubir san gonga like km kwel unamkubal true boy
@hajilove5592
@hajilove5592 3 жыл бұрын
Ik vzl kbc
@allykazoa7065
@allykazoa7065 3 жыл бұрын
Yani Basata Bhn Asa nyimbo Inamatatizo gani Akiimba Matusi mnamfungia Nako Kaimba Vizuri Mnaleta Usinichi Sasa mnataka muimbiwe Nyinyi.Mm Na like Hap a Ili goma bonge la goma Nay Miaka mia bob
@amigodossantos4129
@amigodossantos4129 3 жыл бұрын
My Tanzania is always on Fire every second day 🇹🇿🎉🎹🎷🎸🎤natafuta goma haha
@mpinno2180
@mpinno2180 3 жыл бұрын
Bonge LA wimbo wewe si mnafiki hujawahi imbaga nyimbo enzi za baba you are tru ney.Ila Huyo uliyefanya nae!!!!
@CAPTAIN_GALAXY13
@CAPTAIN_GALAXY13 3 жыл бұрын
Huyu mwamba siku zote anaongea ukweli hata kama basata wameifunga kama unamkubali na ngoma itapigwa kila kona twende na likes👍 hapa 🔥🔥
@kreamagdfsa1697
@kreamagdfsa1697 3 жыл бұрын
Safii sana
@achouraachoura5763
@achouraachoura5763 3 жыл бұрын
Sasa kwanini ifungiwe
@CAPTAIN_GALAXY13
@CAPTAIN_GALAXY13 3 жыл бұрын
@@achouraachoura5763 sijasema ifungiwe boss.. Soma comment vizuri
@goodluckmichael401
@goodluckmichael401 3 жыл бұрын
Likes 50 zinanitosha ila next song ntaomba 100🙏
@anordmwamlima5716
@anordmwamlima5716 3 жыл бұрын
Kazi nzur good idea ,,,,,,I always appreciate you bro
@wilbardshayo8835
@wilbardshayo8835 3 жыл бұрын
mziki uende uku ney rudisha mziki we love you mama more likes
@kelvindanda6052
@kelvindanda6052 3 жыл бұрын
Yani nyimbo ilifaa ipewe TUZO eti ndio wanaifungia Hii Basata inabidi wapewe watu wanao jua Mziki nasio wakurupukaji tu jaman likes za nay wamitego jimbo kali ya mama plz
@hamisiharuna3099
@hamisiharuna3099 3 жыл бұрын
Wewe kafuta yasiyo faa
@samuelezequiel7612
@samuelezequiel7612 3 жыл бұрын
@@yusufmwangichannel6692 kosa liko wapi kazi ya Sanaa hiyo..
@yusufmwangichannel6692
@yusufmwangichannel6692 3 жыл бұрын
@@samuelezequiel7612 sana na sheria ni kitu kimoja. Kwenye sana lazima ufuate sheria
@kreamagdfsa1697
@kreamagdfsa1697 3 жыл бұрын
@@yusufmwangichannel6692 Makosa ya kwaida tu ila wao wameyachukulia kwa uzito kwani kuna ubaya wowote kutoa mfano wa rais nnilipo sikia basata wemeipinga hii nilijua mambo 2 kaimba matusi aidha kasharusha dongo kwa serekali
@thegreatindustrious3789
@thegreatindustrious3789 3 жыл бұрын
@@yusufmwangichannel6692 hakuna kosa hapo hao wanalinda legacy yawenda zake
@yahayahussein8240
@yahayahussein8240 3 жыл бұрын
Basata wanajikuta ndo wenye nchi. Ngoma Kali ihiii na Aina makosa bhn True boy Mama 3ddy
@dezideliusandrew2139
@dezideliusandrew2139 3 жыл бұрын
Nay unajua baraa...💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥👏👏👏👏👏
@yusufsamwellugendo9757
@yusufsamwellugendo9757 3 жыл бұрын
Mpaka uwe matured kiakili ndo utaelew alkuw anamaansh nn hyu mjamaaa........kuhus ujumbe umeelewk sana
@filbetterwilson6983
@filbetterwilson6983 3 жыл бұрын
Kama umekuja kusikiliza baada ya basata Kufanya nayo gonga like
@superauto445
@superauto445 Жыл бұрын
Best of the best songs in the world love you so much ney wamitengo all the way from COMOROS 🇰🇲🇰🇲🇰🇲🇰🇲🇰🇲🇰🇲
@davidwalalason7630
@davidwalalason7630 3 жыл бұрын
Fvcc basata, kudos to Nay wa Mitego, this song is dope much love and respect....💪💪💪💪
@jaycolldigital7163
@jaycolldigital7163 3 жыл бұрын
kenya tunashangaa!!! awa BASATA wanataka aje na sanaa...nay sema iko sawa kabisa .like za kenya basi.
@palagway5914
@palagway5914 3 жыл бұрын
Kweli ukoo mmoja,Ila sio ki2kimija wanangoja uteleze iliwakupige chini😜🇹🇿🇹🇿🇹🇿 palagway like zangu hapa.
@r24media
@r24media 3 жыл бұрын
Mjukuu wangu Ney nimekuelewa kupita maelezo.Huu ndiyo muziki👊
@victorboniface5640
@victorboniface5640 3 жыл бұрын
Hii ndo sanaa yenyewe.. Big up bro🔥🔥🔥
@mrpcharle9055
@mrpcharle9055 3 жыл бұрын
Waliokimbia waliyapinga maendeleo yafamily baba hakupenda ujinga mama Kaz iendelee
@samiaarimkonekonko5096
@samiaarimkonekonko5096 3 жыл бұрын
Wanamuoneatuu mwimbo mzurituu unaujumbe🙏🙏🙏🙏😪😪😪❤️❤️❤️
@pdelpie474
@pdelpie474 3 жыл бұрын
Daaah, hawa ndo watoto wa magufuli wenye ushujaa kama wake❤ #Tz
@manyuhandumbaro9618
@manyuhandumbaro9618 3 жыл бұрын
Mbna ngoma Kali tyuuu uhu ndyo usanii ...jamaa katumia TAFSIDA BHANA
@starridge3615
@starridge3615 3 жыл бұрын
Kama ushamuelewa Nay tupitia likes hapa... WCB4life
@rashidykihunga3962
@rashidykihunga3962 3 жыл бұрын
Aaaaiiise siji nikugongee nyanya au nikugongee buku. Umetisha balaa .
@ismailsaimoni1894
@ismailsaimoni1894 3 жыл бұрын
Hip hop is still alive True boy in the building umeua mzee.
@mokhancarlitotz
@mokhancarlitotz 3 жыл бұрын
Hii Nchi Mpk Sometimes inaboaaa VIVA BABA YAGA VIVAA ngomaa kaliiiiii
@DJZeZe254
@DJZeZe254 3 жыл бұрын
God Bless Tanzania,Much luv from Kenya🇰🇪🔥👊 Dope Song.....
@biharusussi8233
@biharusussi8233 3 жыл бұрын
Wimbo mzur na unamafunzo mengi. Basata acheni wimbo uendelee banaaa😎
@josesombo764
@josesombo764 3 жыл бұрын
Basata hapa mimi sioni tatizo na kama ni ukweli ngoma mnataka kufungia basi hio kwenu itakuwa ni chuki na kukosa utu. Ney kaongea mambo yaliyopo na kwa wengi walioogopa sasa wamepata muwakilishi. Hivi nani hajui kuwa baba alikuwa mkali na hangependa mtu akosee? Usinyakaze sema leo na mwisho wewe sema. Big up bro Ney all the way from Kenya 001
@mariamramadhani3860
@mariamramadhani3860 3 жыл бұрын
Nyimbo ins mafumbo muelevu tu anaelew big up kaka
@rashidtabu2546
@rashidtabu2546 Жыл бұрын
Honestly this guy is real! Ney your another hope of hopeless people of Tz Keep the fire 🔥 burning
@abubigguyabu2907
@abubigguyabu2907 3 жыл бұрын
Kutoka ,🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪likes za Nay ziko wapi
@leonardrafael4304
@leonardrafael4304 3 жыл бұрын
Huku hapakuhusu
@ambitiousmsanii3385
@ambitiousmsanii3385 3 жыл бұрын
@@leonardrafael4304 🧠🧠🧠🤷🤷
@jacklinemassawe5907
@jacklinemassawe5907 3 жыл бұрын
Nice song japo nimetaman huyo mama ageuke wallah nikama ni yeyeee nimempenda bure
@tanzaniakwanza9564
@tanzaniakwanza9564 3 жыл бұрын
Mimi ni shabiki ndakindaki wa Magufuli lakini sijaona kama kuna sababu ya msingi ya kuufungia huu wimbo. Tanzania ina watu wenye akili tofauti na mitazamo tofauti maadam hajatukana.
@otto6475
@otto6475 3 жыл бұрын
Shangazi Halima na wenzake wanasemaj??
@hamidujumaa2894
@hamidujumaa2894 3 жыл бұрын
Sema nn ney hapa nimekuewa Sana bonge LA ngona ila hawa basata xizan kama wanauelewa huu mziki hiz ndiyo nyimbo tunazotakiwa kusikiliza jaman tatzo pale basata niwazee watupu
@abdulmohd6880
@abdulmohd6880 3 жыл бұрын
Magufuli endelea kuchezea adhabu za Mungu, Mungu mbariki sn raisi wa watu kipenzi ch watu mama Samia... Big up sn baba yaga ngoma n 🔥..
@amanicollence5837
@amanicollence5837 3 жыл бұрын
Huu wimbo ni mzuri sana na mimi binafsi sijaona alipokosea msanii Nay wa mitego
@saulstephen4924
@saulstephen4924 3 жыл бұрын
Tulioelewa Mama anayezungumziwa hapa gonga like nying
@ilhamisa2301
@ilhamisa2301 3 жыл бұрын
Mama Samia
@ilhamisa2301
@ilhamisa2301 3 жыл бұрын
Hapo anazungumziwa mama samia
@youngbreezy6615
@youngbreezy6615 3 жыл бұрын
We love you mama samia Mungu akupe maisha marefu na afya njema , we love good music keep winning Nay
@Ken-pChance
@Ken-pChance 3 жыл бұрын
Hii inafaa 20m views....fire Nay/Ney ....me ni king wa Kenya......chapa likes
@jacksonenock5231
@jacksonenock5231 3 жыл бұрын
Ngoma kali imejaa ujumbe mzuri hongera sa jembe letu Nay .
@michaelclive7630
@michaelclive7630 2 жыл бұрын
Tz artists have a unique poetic style of delivering a message to their govt
@emmnzey713
@emmnzey713 3 жыл бұрын
Hivi kosa ndani ya huu wimbo ni lipi; hembu nisaidieni mimi sio mTZ , kiswahili changi of cause hakiko vizuri
@danielmakala90
@danielmakala90 3 жыл бұрын
Siwapend basata,,mbona song🔥🔥👊
@mrgardendesignerluta4667
@mrgardendesignerluta4667 3 жыл бұрын
Hi nyimbo ni nzuri ..hapana shaka Mama ujumbe umemfikia
@musashaweji4835
@musashaweji4835 3 жыл бұрын
Halima mdee na wezake 😃😃😃basata wakahaki waifungie Ila broh bonge ngoma
@olaolacocacola9242
@olaolacocacola9242 3 жыл бұрын
Jua halizibwi kwa ungo na ukweli siku zote huishi milele, MABABA WADOGO WAMEUFUNGIA WIMBO BORA
@goodlucktemu3149
@goodlucktemu3149 3 жыл бұрын
waliogundua uo ushungi wa mama like apa😁
@hunterdee7929
@hunterdee7929 3 жыл бұрын
Nakufananisha na DAX wakatai nasubilia ngoma ya MAMA ya dax pia. ..ngoma imesisma.
@yusufathman2478
@yusufathman2478 3 жыл бұрын
Kama umeelewa true boyy piga like apa..
@hamisimmwete4149
@hamisimmwete4149 3 жыл бұрын
Basata bhan asa huu wimbo waliufungia kwa kipi or nao watak kiki tyu mbon wemb hauna maneno makalii pia ngoma kalii
Nay wa Mitego Ft Raydiace - Nitasema(Official Music Lyrics)
3:26
Nay Wa Mitego ft Mtafya - Baba (Official Video)
2:45
Teknolojia Tv
Рет қаралды 49 М.
GIANT Gummy Worm Pt.6 #shorts
00:46
Mr DegrEE
Рет қаралды 134 МЛН
Bike Vs Tricycle Fast Challenge
00:43
Russo
Рет қаралды 111 МЛН
Watermelon magic box! #shorts by Leisi Crazy
00:20
Leisi Crazy
Рет қаралды 98 МЛН
BROTHER KEY NA MPOKI  KIKAO CHA WAPANGAJI
35:43
BONGO LAND
Рет қаралды 59 М.
Profesa Jay ft Alikiba Calling
4:19
KASULU HOUSE OF TALENT
Рет қаралды 83 М.
Nay feat Diamond   Muziki gani part2
4:36
FreeNation Rec Label
Рет қаралды 1,2 МЛН
Nay wa Mitego alivyofukuzwa nyumbani na kuwa Kinyozi. (Part One)
33:57
Misso Misondo - Yatapita tu (Official Music Video)
3:48
Misso Misondo
Рет қаралды 389 М.
Nay Wa Mitego -  Rais Wa Kitaa (Official Music Video)
3:55
Mr Nay
Рет қаралды 2,6 МЛН
Rostam Feat Ferooz - Hujambo Mwanangu (Official Audio)
4:35
Stamina Shorwebwenzi
Рет қаралды 1,4 МЛН
Nay Wa Mitego Ft Linah Sanga - Mshua(Official Music Video)
4:09
Kontawa feat Nay wa Mitego : Champion (Official Video)
3:28
kontawa
Рет қаралды 3,9 МЛН
GIANT Gummy Worm Pt.6 #shorts
00:46
Mr DegrEE
Рет қаралды 134 МЛН