Who’s here in 2024🇹🇿❤️👋I can’t believe this was 5 years ago😩Hapa tungeshasema baba sukari mbna aliyeificha angesema kaweka wapi😂😂😅Nakupenda Tanzania🇹🇿🥺❤️
@warlexnyamba26016 жыл бұрын
Kama unaipenda ichi tz gonga like apaaaa
@salimaamir55616 жыл бұрын
Naipenda ila umbea na kiki umewatawala.sana
@habarimtaani22546 жыл бұрын
Kama unajivunia kuzaliwa Tanzania Na nizawadi ya pekee gonga like twende sawa👍
@jonaskitendya38595 жыл бұрын
Habari Mtaani saf sana tz
@christinetimothy58056 жыл бұрын
Huu wimbo nimeusikiliza mpaka mwili umesisimuka. Naipenda nchiyangu Tanzania, najivunia kuamtanzania. Mungu ibariki Tanzania. Amen
@niccokashaija366 жыл бұрын
Ni noma hadi machozi ya furaha
@comfortomar60834 жыл бұрын
Same here
@florianmtunzi98994 жыл бұрын
Ata mimi asee
@sagalat24623 жыл бұрын
Daah I'm proud to be in Tanzania I'm proud to be Tanzanian Lady
@charlesudoya93966 жыл бұрын
Kama umemuona joel lwaga sema amen.
@leonliam47166 жыл бұрын
Amen
@filberthabashi33666 жыл бұрын
Jux umeuwa saaana kwa sauti yako,, ya chombeza,,,, hyeeeeeeeee,, gonga like kama umependa sauti ya jux
@lucytarimo16886 жыл бұрын
Filbert Habash kauwa kabisa jux
@filberthabashi33666 жыл бұрын
Lucy tarimo wapi jamani
@nectahussen66676 жыл бұрын
Saut kama yote
@sarahsarahzabron-nv7ii10 ай бұрын
Katisha kinoma San ❤
@salim_clev90446 жыл бұрын
Sitaacha kuipenda TANZANIA popote niendapo. Hakika TANZANIA ni urithi wa WATANZANIA amani na mshikamano ndio nguzo na sifa yetu ukarimu na upendo kwetu ndio chombo chetu, hakika wasanii wetu watanzania wenzetu mumefanya kitu kikubwa sanaa na hatuna budi kuwapongeza sanaa sanaaa sanaa munajuwa sanaa na munaweza sanaa tunawakubali miaka yote. MUNGU IBARIKI TANZANIA, MUNGU WABARIKI VIONGOZI WETU, MUNGU TUBARIKI WATANZANIA.
@dennisgeorges6895 жыл бұрын
in kenya.....i love the song....Mungu abariki Tanzania
@gradnessrojas8343 Жыл бұрын
Karibu TANZANIA 🇹🇿 na pia na penda Kenya pia
@arafazakir17635 жыл бұрын
Kazi nzr asante boss ruge tutakukumbuka kwa mengi sana mungu akufanyie wepec ktk kabur lako ...amiin
@olivervenance17763 жыл бұрын
😭😭😭 I’m crying every now and then I hear this song. I love this country more than anything I can say 🇹🇿
@kapange444 Жыл бұрын
ungeipenda nchi yako usingeandika kingereza
@GloryMapunda Жыл бұрын
Kabisa unakurudisha kupigania nchi
@rynrahhi64276 жыл бұрын
Duh.. wangapi tunakubali jux kafunika 😍☝️
@khalfantvmansour87656 жыл бұрын
Love my Tanzania tena sana from Zanzibar khalfan nch yngu ndo urith wangu love you our president magufuli so much
@melinaerickndelwa39624 жыл бұрын
Waaaaaaaaaaaaaw nimependa sana jux na Joel lwaga walivyoimba kwa hisia GOD bless Tanzania and all Tanzanian people
@TM.Sullusi6 жыл бұрын
Nchi yangu ni urithi wangu, so good. I love u Tanzania
@talhamohamed75214 жыл бұрын
huu wimbo ni mzuri sana, unapaswa kutangazwa. Naipenda sana nchi yangu Tanzania. Good job
@chanxart6 жыл бұрын
Joel lwaga and jux and weusi killed it🦅
@dutuwilliamАй бұрын
Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿 nakupenda daima hakika hii ndiyo nchi ya uzao wangu na uzao wa Babu zangu hakika ni nchi ya baraka zangu Mungu ibariki TANZANIA
@gracemubofu86883 жыл бұрын
I just feel the Tanzanian spirit # proudly Tanzanian 🇹🇿
@edinajames86406 жыл бұрын
MUNGU IBARIKI TANZANIA MUNGU TUBARIKI WATANZANIA TANZANIA URITHI WANGU TANZANIA NCHI YANGU +255
@vigiliajungulu55296 жыл бұрын
A powerful voice from Joel lwaga
@jacobkadege76584 жыл бұрын
I Love my country Tanzania 🇹🇿 “God Bless Tanzania 🙏🏻”
@emfamily24284 жыл бұрын
long live Tanzania, let peace be with us God be with y'all my Tanzanians
@prosperpuro17122 жыл бұрын
Nikiwa kama mtanzania naupenda sana uwimbo tue kitu kimoja nautazidi kutufanya kua kitu kimoja siku zote nautazidi kuishi daima vizazi na vizazi nakupenda tanzania nakupenda Tanzania ❤❤❤❤❤❤
@dayanapastor23224 жыл бұрын
Najivunia kuzaliwa Tanzania🇹🇿🇹🇿🇹🇿 kila ck naomba mungu azidi kututunza sote,, na Rais naye tumepata Mungu atutunze Nakupenda nchi yangu 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿💕💕💕💕💕💕💕
@pilikasimu15935 жыл бұрын
Najivunia kuwa mtanzania ,naipenda Tanzania yangu mungu aibariki nchi yangu ni uhai wangu nitaitunza nchi yangu ,weka like hapa km waipenda tz yetu
@shedadiabdul65854 жыл бұрын
Yaani Allah nakushukuru Kuzaliwa Tanzania nchi yangu 🇹🇿 💚❤️ najihisi rahaa kuwa Mtanzania Asante Wazazi wangu Allah ashukuliwe na nyinyi Kuzaliwa Nchi yetu Nzuri na tamu saana.Ilove you Tanzania
@abrahamrwezaura71585 жыл бұрын
This is the best kuliko ngoma zote za taifa.inaamsha hisia.Aliyetunga ni genius
@djb2kzer06 жыл бұрын
Kama ume ipenda chours gonga like apa
@samuelsulle73493 жыл бұрын
I love you Tanzania 3yrs now listening this song
@vediantazvedastus61076 жыл бұрын
nchi yetu nzuri watu wake wazuri ila baadhi ya wanaopewa mamlaka ya kutuongoza baadh yao wanatukwamisha nakupenda nchi yangu mi sion ajabu kufa kwa ajir ya nchi yangu nakupenda nchi yangu
@jumong-gameplayer4 жыл бұрын
Asante sana, nasikia Amani sana kwa ajili ya huu wimbo, unahisia sana, love you TanzanaA
@masakakambesha4521 Жыл бұрын
Ukiusikiliza huu wimbo ukiwa mbali na Tz lazma umwage machozi🇹🇿. RIP RUGE
@GeradinaJohn11 ай бұрын
Oooo hivi kwel et clouds tv sio
@esterrahma1476 жыл бұрын
my country😘
@Swahili_Wisdom4 жыл бұрын
It's 28 October 2020 Election day. Naipenda hii nyimbo inasisimua Vjana Tujue Nafas yetu tuijenge bila woga Tz tunayoitaka
@JacksonLazaro-mm3qs6 ай бұрын
Naipenda nchi yangu kama tupo pamoja 2024 like hapa 🇹🇿🇹🇿💙💚💙💙
@Cinemalitics4 жыл бұрын
Yaani hii ngoma kwangu imekuwa obsession nasikiliza kila siku Nchi yangu thaman yangu ya pekee nakupenda Tz
@theodoltheophil7858 Жыл бұрын
Nchi yangu 🇹🇿
@zuhramsuya81944 жыл бұрын
Allah ilinde nchi yangu dhidi ya corona, I love you Tanzania.
@winfridaqares36924 жыл бұрын
Joeeeeeeeeell 😍😍😍😍😍 nadhan I broke the replay button kwa weusi wanavyo Imba😂😂😂
@lucasyenza1523 Жыл бұрын
Hongeren san huu wimbo unasisimua san hakika nyinyi ni wazalendo wa nchi yenu Tanzania🎉
@ikomangtapasila92893 жыл бұрын
The Tanzanian song is one of good song in the world👍🙏🙏
@MatridaGodfrey-xf1zn5 ай бұрын
2024 but still the best song ever ❤ i love Tanzania 🇹🇿 i love Africa may Lord bless our continent (AFRICA)
@ritharugangila9653 жыл бұрын
Zawadi ya pekee...better days are always coming ..to make them awesome...love ue tzz..one love forever more dan alwaiz ..am juc summing them up ..ILy Tz
@asiazuberi97226 жыл бұрын
Japo npo ughaibuni lkn penda sna nchi yangu#TANZANIA😍😍
@ufgvhhuv76616 жыл бұрын
Asia unishindi mimi mamii
@selenganyagawa13584 жыл бұрын
Our nation 🇹🇿🇹🇿🇹🇿, no like you. So unique.
@deosullah78992 жыл бұрын
I love the Tz🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@agnettakamugisha49842 жыл бұрын
Tanzania Nakupenda kwa moyo wangu wote 🥰🇹🇿🥰
@malembwemuwawa49026 жыл бұрын
Sijui lini nitaacha kuangalia video huku nasoma na kuandika comment
@nasrenasry43926 жыл бұрын
I love together Tanzania
@farajamwasumbi7966 жыл бұрын
Kama mimi
@ndolimanaamani12366 жыл бұрын
U cant say Tanzania all stars while there is no diamond .
@flavianakomu76744 жыл бұрын
hahaha adcted my dear
@florianmtunzi98994 жыл бұрын
@@ndolimanaamani1236 ili n swala la nchi sio mtu mm1,,this is Tanzania
@kapange444 Жыл бұрын
watanzania tupende nchi yetu,kiswahili,tamaduni.siku zote mi napenda kuona tanzania yenye furaha
@maxmilliankibura10476 жыл бұрын
Dah huu wimbo mzuri mpaka bas, Mungu awabariki vjn
@paschallameck57066 жыл бұрын
weusi najua tunakomeaha #joh makin #Niki Wa pili...Tz nchi yangu
@hildakalumwa10666 жыл бұрын
My Tz... i see u my star @goldentz.
@florenciamassaka2 ай бұрын
Joel lwaga ❤❤❤
@andrewmallya64556 жыл бұрын
NAIPENDA TANZANIA YANGU...MUNGU TUBARIKI WATANZANIA WOTE..ENDELEA KUTUPA AMAN NA UPENDO
@neemajoanlife3 жыл бұрын
Naipenda nchi yangu. ...proudly Tanzanian
@momo-lt2yv5 жыл бұрын
I love so so sooo Much my Country 😙😙😙😙 proud to be Tanzanian kichaga kidogo nimekisikia 😁😁
@monicamumbi37996 жыл бұрын
Joel rwaga umetisha
@ambanikiboti79636 жыл бұрын
Jux fund sana
@laurentchimbirani59905 жыл бұрын
Lwaga balaaaa
@castoljmwalyego37785 жыл бұрын
Ahsanteee,,, nyimbooo nzuriii... Uzalendooooo kwanzaa... Swahil to the world...
@omarymbinga6652 Жыл бұрын
najivunia kua mtanzania am proud to be tanzanian
@official_aminiprezda21376 жыл бұрын
l love you Tanzania
@mwishoslimu49446 жыл бұрын
Bonge la ngoma🔥🔥🔥🔥 jux kakiwashaaaaaaaaa mnooo #AfricanBoy
@samweldamian80983 жыл бұрын
Nchi yangu,ni uhai wangu;thamani yake tuitunze.MUNGU IBARIKI TANZANIA,MUNGU IBARIKI AFRIKA. MUNGU WALINDE NA UWAONGOZE VIONGOZI WOTE
@jelasnkoma42403 жыл бұрын
Well organized Song R.I.P Ruge🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@taucmbonia99244 жыл бұрын
Najivunia kuwa mtanzania halisi♥️♥️♥️naipenda nchi yng🙏🙏🙏🙏🙏
@abdulkillya26555 жыл бұрын
Tanzania yangu, nchi yangu niko hapa 2020 na miaka mwingne ijayo tukijaaliwa uzima, nitailinda nchi yyangu🇹🇿
@lususmg21 күн бұрын
Jux ame mimina sana vocal🎉🎉🎉🎉🎉
@warlexnyamba26016 жыл бұрын
so happy to be the first to comment on this...
@fadhilikapasi80556 жыл бұрын
Kama unampenda lwaga gonga like
@victorsir-nga77086 жыл бұрын
tunao ipenda tanzania na tuna umoja na ushieikiano kwa pamoja tuseme Tunakataa kuwa kaa kwa bosi kaa wa mawingu
@kelvinobbasy201111 ай бұрын
Ruge keep resting brother, we are celebrating your legacy. Tanzania ni urithi wetu, tuitunze❤
@official_aminiprezda21376 жыл бұрын
my lovely country
@mkalisimbatv19156 жыл бұрын
i dont know Swahili lang but huu ni wimbo mzuri sana
@starniceofficial54924 жыл бұрын
Aliyerudi apa 2020 tujuane Kama unaipenda tz
@OfficialMutrah11 ай бұрын
Still 2024 niko apa
@khadijambuya7945 жыл бұрын
Ila uo mlenda umenikumbusha sna home sweet home🇹🇿
@christmasmachele55896 жыл бұрын
Joel lwaga 😊😊😊
@bashirumadodi82104 жыл бұрын
Proudly tanzanian....
@EddyEdyuseEddyOneTv6 жыл бұрын
Great Tanzania proud of my country
@kimweritz63643 жыл бұрын
Mungu ibariki 🇹🇿 Mungu ibariki Afrika
@simplylightness4 жыл бұрын
Love this song so much ....jux voice😩proudly Tz
@dianamkita65713 жыл бұрын
Mungu zidi kuibariki nchi Yetu Tanzania
@MomaDeduАй бұрын
9.dec.2024 tuonane kileleni Tanzania yangu🎉
@zuhuramohamed34244 жыл бұрын
I love you Tanzania!!
@josephmtalemwa76154 жыл бұрын
Tunaoisikiliza 2020 tujuane
@vailethchaula30455 жыл бұрын
Iam so proud of TZ
@laurentchimbirani59905 жыл бұрын
Jux&JoelLwaga balaaaaaaaa 💪💪💪💪
@lysonrichard30956 жыл бұрын
Kam ww n mtanzania hebu gonga like hapa
@jacklineolambo43952 жыл бұрын
What a beautifull and inspiring song.....
@emmanuelamassawe52103 жыл бұрын
Jamani naipenda hi nyimbo yani sijui niielezeeje yani dah namkumbuka magufuli jamani
@adammussa2730 Жыл бұрын
I love tanzania
@muhammedyussuf84065 жыл бұрын
Jay melody nakukubali san kipaji haswa
@johnjulius30845 жыл бұрын
Tanzania inchi yangu na wewe, 2019 leo like
@faithbernard46653 жыл бұрын
Unfogortable tanzania song
@amirimasunda17806 жыл бұрын
daaaaa kma Nawe umehic umelengwa na machoz kma Mimi gonga like
@ireneanania971411 ай бұрын
@Jux na enjoy sana voice yako uwiiii❤
@JELSONMAUKI6 ай бұрын
Lameck ditto ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@alfredbee79674 ай бұрын
Wimbo mzuri xn unazungumzia uzalendo wa kwel ttzo watawala wameshindwa kutambua kwamba nchi yetu ni zawadi ya pekee tunayotakiwa kuitunza kuliko vitu vyote maeneo mengi ya nchi hii wameshauza Kwa wageni viongozi weti wana tamaa icyokuwa na mfano