No video

NDACHA AVUNJA AHADI NAKUTHALILIKA MBELE YA HALAIKI YA WATU.

  Рет қаралды 43,748

KENYA DAWAH TV

KENYA DAWAH TV

Күн бұрын

Пікірлер: 170
@sheikhsaidonlinetv6045
@sheikhsaidonlinetv6045 4 жыл бұрын
Huu ndio ukafiri tena wa wazi kabisa, Nashkuru Allah kwa kuzaliwa katika uisilamu
@AhmadSalim-dm4uk
@AhmadSalim-dm4uk 23 күн бұрын
Maashallaah mashekhe zetu Allah akulipeni kila lenye kheri Wallah hakuna hoja itakayo jengwa na mcristo ikakosa majib kwa muislam Alhamdulillaah kwa neema ya uislam
@aminachowa1123
@aminachowa1123 5 жыл бұрын
Mashallah mashekhe wetu,bibilia yao na hawaijui mtihani mkubwa
@alwaysthink0220
@alwaysthink0220 5 жыл бұрын
Dasha Sema nyuma yangu maneno ifwatawo. ASH HADU AN LA I'LL AHA ILA ALLAH WA ASH HADU ANA MUHAMMAD RAUL ALLAH
@alwaysthink0220
@alwaysthink0220 5 жыл бұрын
Jamaani mfahamisheini ndasha. Ana tafutwa na Mr matiang interior minister na IG kututhibitisha Yale aliye Sema (Ahadi ni deni ajwe tu) afalu Onyango pia mfahamisheini. Au sisi wafwasi wa daawa Kutoka Maricani tuta mfwata na FBI aje kutu jibu Maricani.
@hafsachepngetich1413
@hafsachepngetich1413 3 жыл бұрын
Allah awajaalie afya.umri mrefu yenye barka masheikh wetu inshallah
@nancysakwa2810
@nancysakwa2810 5 жыл бұрын
Ewe mwenyenzi mungu nionyeshe njia iliyo bora ili siku ya mwisho utakapo niita, niuone ufalme wa mbinguni, Amen
@suleimanomar1096
@suleimanomar1096 4 жыл бұрын
Je? Unakubaliana na ndacha anaposema mariamu sio mamae yesu?? Na Kama unakubaliana nae, naomba unifahamishe ni nani kamzaa yesu
@ukhtysakinaa7664
@ukhtysakinaa7664 5 жыл бұрын
Masha Allah yani rahaaaa ila ka short kweli jamani Uislam raha c raha, rahaaaaaaaaaaaa
@faizasaid8262
@faizasaid8262 4 жыл бұрын
Ukhty Sakina A kabisa
@zamzamahmed5718
@zamzamahmed5718 4 жыл бұрын
Raaaahaaaaaaaa Alhamdulilah
@AshaMahamudu-ty8eo
@AshaMahamudu-ty8eo 6 ай бұрын
Mashallah ndacha akisilimu atapendeza
@jashisham6280
@jashisham6280 5 жыл бұрын
Assalam aleikum warahmatullah wabarakatu Mashekhe zangu Allah swt awa zidishie kushikamana kwa ajili ya Allah swt na Mtume Mohammed sw
@kenyadawahtv90
@kenyadawahtv90 5 жыл бұрын
Amin...wasia nzuri
@tanishaabdul9725
@tanishaabdul9725 5 жыл бұрын
Mashallah kijana mdogo Allah akuzidishie
@kenyadawahtv90
@kenyadawahtv90 5 жыл бұрын
Amin
@tanishaabdul9725
@tanishaabdul9725 5 жыл бұрын
But mbna fupi hyo clip Sheikh
@bahatihadijabahati7456
@bahatihadijabahati7456 5 жыл бұрын
Mashaa Allah masheikh wetu nawaombea kila la kheri in shaa Allah
@kenyadawahtv90
@kenyadawahtv90 5 жыл бұрын
Amin sote
@biggyydail2658
@biggyydail2658 5 жыл бұрын
Huyo ni mjanja tu ,lakini ya kushangaza wakristo hawasomi kitabu yao wanategemea hao waizi
@kenyadawahtv90
@kenyadawahtv90 5 жыл бұрын
Wanafwata tu
@benjaminkabui7338
@benjaminkabui7338 5 жыл бұрын
Eeeh waislamu wangapi hawasomi quran.. wala hawajui kiarabu....mi huniambii kitu..
@hilalhilal8400
@hilalhilal8400 4 жыл бұрын
@@benjaminkabui7338 waislamu wanafundishika na wanaelewa wakiambiwa. Je wewee
@kijanahodari2080
@kijanahodari2080 5 жыл бұрын
AIBU KUBWA NDACHA,USICHEZEE WAISLAMU WEWE, WAKIRISTO HAMUNA VIONGOZI WALA DINI,Tuekeeni full debate
@hamishasan7737
@hamishasan7737 5 жыл бұрын
Alhamdulillah allah awakinge maalim zetu na maadui
@kenyadawahtv90
@kenyadawahtv90 5 жыл бұрын
Amin
@kitkatpleasesubscribe6720
@kitkatpleasesubscribe6720 5 жыл бұрын
Hamis Hasan, My dear brother *PLEASE* you must also watch my very important videos in my *Playlists*
@jamalcali7299
@jamalcali7299 5 жыл бұрын
Mashallah.,sheikh's you are doing a great job,clip was too short Please can we have the full clip for that particular day if it's possible.Shukran.
@AliMohamed-w3b
@AliMohamed-w3b 20 күн бұрын
Alhamdulillah Ndacha amesilimu❤
@kitkatpleasesubscribe6720
@kitkatpleasesubscribe6720 5 жыл бұрын
My dear brothers *PLEASE PLEASE PLEASE* add English subtitles 😊 *Jazak"Allahu Khairan*
@abdilatifhashi9659
@abdilatifhashi9659 5 жыл бұрын
Huyu hakujua waisalamu ni wasomi
@rilkabuya6519
@rilkabuya6519 3 жыл бұрын
Waislam takbiriiiiiiiiii
@mjitenaziofficial3035
@mjitenaziofficial3035 Жыл бұрын
Daah Leo Nime fika hapa Kuamini kumbe Ndacha ndo ule ule anaye hiteteya Dini ya Christo Mungu akubariki sana
@alimwatajiri4083
@alimwatajiri4083 5 жыл бұрын
Huyo mchungaji amechanganyikiwa
@farhathamdansalum9725
@farhathamdansalum9725 3 жыл бұрын
Huyu Ndacha anapotosha wakirsto kwa kweli
@shifaazawadi4438
@shifaazawadi4438 4 жыл бұрын
Waislam raha sirahaa
@boontujimmaa9462
@boontujimmaa9462 3 жыл бұрын
Uislamu Raha
@ukhtysakinaa7664
@ukhtysakinaa7664 5 жыл бұрын
Ndacha leo kachanganyikiwa, mpelekeni polepole mpaka mumuingize ndani ya Uislam dini ya haqi
@cabcal754
@cabcal754 5 жыл бұрын
Asalam Aleikum May Allah reward you all for the good work. Brother wapi full version/clip ya hi debate..
@kitkatpleasesubscribe6720
@kitkatpleasesubscribe6720 5 жыл бұрын
Cab Cal Wa'Alaikumu s-Salam My dear brother/sister *PLEASE* you must also watch my very important videos in my *Playlists*
@nailahsaeed837
@nailahsaeed837 4 жыл бұрын
Mashallah Shekh Allah akubarik walai umempa Dasha shindano inayo mfaaa
@asmaaabdalla9372
@asmaaabdalla9372 5 жыл бұрын
Dacha dacha Hapo huko kanisani Hapo umepampana na walimu wakisawasawa usionge Kama ulivyo ongea kanisani
@asmaaabdalla9372
@asmaaabdalla9372 5 жыл бұрын
Dacha kazi yake asha soeya kuongea uongo kanisani kuita sadaka bila uongo kanisani sadaka zawatu😂😂😂😂
@asmaaabdalla9372
@asmaaabdalla9372 5 жыл бұрын
Mungu WA wakristo Kumbe anaenda kusheherekea harusi msiba wakristo😀😁😁
@nooordubem2802
@nooordubem2802 5 жыл бұрын
Na imagine wakristo nao wanawaamini tu kina Dacha kuwapoteza na wanaona tu ukweli wenyewe..
@AAA-zu1vy
@AAA-zu1vy Жыл бұрын
Yn uong anaye utumia kanisan anataka ku utumiya kweny muhadhar
@kelvinkamau3174
@kelvinkamau3174 Ай бұрын
Waislam huwa hawaelewi swali,wakristo wakatai maryamu ni mama wa yesu.Ameuliza ni wapi yesu kamuita maryamu mama yangu
@nooordubem2802
@nooordubem2802 5 жыл бұрын
Wakristo kweli mnashangaisha zaidi! Mnajifanya mnajua kusoma ilhali nyie ni vipofu wa macho na nyoyo ,na hayo ni kwa ajili ya hasira zake Allah juu yao...inna lillahi wa inna illaihi rajiun!
@kitkatpleasesubscribe6720
@kitkatpleasesubscribe6720 5 жыл бұрын
Nooor Dubem , My dear brother/sister *PLEASE* you must also watch my very important videos in my *Playlists*
@nooordubem2802
@nooordubem2802 5 жыл бұрын
@@kitkatpleasesubscribe6720 okay my brother, i'd like to in shaa Allah..thanks so much,am grateful
@ev.charles
@ev.charles 5 жыл бұрын
Ninyi si ni wasomi,sasa nionyeshe mimi katika Qur'an aya yenye Mungu anasema mwenyewe Mimi ni muumbaji.Hilo ndilo swali langu, na usinionyeshe reported speech.
@nooordubem2802
@nooordubem2802 5 жыл бұрын
@@ev.charles ww ni kafiri mkubwa kwa sababu hata hayawani ama shetani anajua Mungu ndiye Muumba wa mbingu na ardhi na vyote vilivyomo ndani yavyo...hata mtoto wa miaka mitatu anajua hilo..ww ni kiumbe cha wapi kisichofahamu hilo???!!!....hatima yako moto kama hujui Mungu ndiye muumbaji,loooh!..hata hili swali lako sio swali wala haliitaji aya popote pale,lakini kwa vile ww kafiri nitakuacha hivyo
@kitkatpleasesubscribe6720
@kitkatpleasesubscribe6720 5 жыл бұрын
Nooor Dubem *Jazak'Allahu Khairan*
@hatibusuleish7273
@hatibusuleish7273 4 жыл бұрын
Mashaallah.... Sheikh Yahya nataka hiyo continuation ya io part
@SukariSukari-sq9tf
@SukariSukari-sq9tf 20 күн бұрын
Ndacha hajui bibilia hyo ni aibu lkn anabaki ubao kusomewa na watu kuona ukweli.
@rkenea4262
@rkenea4262 5 жыл бұрын
huu ni msiba mkubwa kweli ndacha amesema ati nn kweli
@jnrhassan4629
@jnrhassan4629 5 жыл бұрын
Asalamu aleykum ya sheikh yahya .nisalimie huyo kidume Cha Allah .rafiki yangu sana .
@AbdillahBakar-qx9sr
@AbdillahBakar-qx9sr Жыл бұрын
Kaaaa😂😂😂😂 mtihan kweli Ili ndacha ni bwabwa kwel kumbe anakataa kua yesu mamake sio Maryam..ndacha kichwa boga bungubungu
@jaffarumar708
@jaffarumar708 5 жыл бұрын
Masha-Allah masheikh ni Rahaaaaaa...mbona fupi”Ama kidogo ndo kina Utamu”
@kenyadawahtv90
@kenyadawahtv90 5 жыл бұрын
Tutaweka full inshaAllah
@jaffarumar708
@jaffarumar708 5 жыл бұрын
Insha-Allah Ustadh harakisha,na sio Tafadhali😀
@twahir75
@twahir75 5 жыл бұрын
Alhamdulillah mwalimu wetu na mashekhe wako ngangari.....lakini video fupi jamani twaomba full majadala Insha'Allah ☺️☺️
@kitkatpleasesubscribe6720
@kitkatpleasesubscribe6720 5 жыл бұрын
twahir75 , My dear brother/sister *PLEASE* you must also watch my very important videos in my *Playlists*
@kenyadawahtv90
@kenyadawahtv90 5 жыл бұрын
Tutaweka mjadala wa week inshaAllah
@josedynamik3040
@josedynamik3040 4 жыл бұрын
Sheikh anatohoa kijisehemu cha video kuwadanganya,,angali full video ujue ukweli aliwajibu,,Hakuna mahali Yesu alimwita Maria "mama" He called her woman instead
@emanuelkyomo3772
@emanuelkyomo3772 Жыл бұрын
@@josedynamik3040 sasa inamaana Basi hicho Biblia sio kitabu kama kwa kiswahili wanawaandikia maneno mengine na Kiingereza wanaandika mengine tusikilize kipi huo ni msiba
@hamadamabali2895
@hamadamabali2895 4 жыл бұрын
Ndacha kichwa yake si mzuri
@AAA-zu1vy
@AAA-zu1vy Жыл бұрын
Astakafilullah 😂😂😂😂
@ismailyusuph740
@ismailyusuph740 5 жыл бұрын
Ukitaka kujua hawa ndugu zetu katika ubinaadam hupenda ushabiki kuliko ukweli’ huwaoni hapa wakimkemea Mwalimu wao Ndacha Kwa kuvuka mipaka na kusema Mariam si mama wa Yesu’...Na Ndio ukweli ulivyo hata katika kitabu chao..! Hii kauli Ndacha itakuadhibu mpk mwisho usipokiri kufanya kosa....!...ALLAH yupo na anakuona unapochupa mipaka...! UTAENDA KUWA NDAFU Yaani Zaidi ya CHIPS..!
@hassankazungu1436
@hassankazungu1436 3 жыл бұрын
Mashallah
@MohamedHassan-tf3kn
@MohamedHassan-tf3kn 5 жыл бұрын
Aki Dacha amedhalilika kweli pole Maskini. ...
@japharynduko6139
@japharynduko6139 5 жыл бұрын
kweli wakristo mfungue macho na mfuate kweli mmepotezwa na wachungaji wenu
@h.alshidhani8971
@h.alshidhani8971 4 жыл бұрын
Kenya Dawaah, nina marekebisho kidogo. Ni KUDHALILIKA👍 sio Kuthalilika ❌
@omaryissagumbi5242
@omaryissagumbi5242 Жыл бұрын
Wakiristo hawanawiongozi ila matapilituu wallah dini yakweli ni uislam tuu mwenyezimngu alivyo sema
@jumjumsaid3552
@jumjumsaid3552 5 жыл бұрын
Bibilia ishasema wachungaji wao wamewapoteza mmoja wao ni huyu
@kenyadawahtv90
@kenyadawahtv90 5 жыл бұрын
Hakika
@alicesamson6316
@alicesamson6316 3 жыл бұрын
Mashaallah
@mariamkassim5539
@mariamkassim5539 4 жыл бұрын
ما شاء الله،
@frankmpembu2505
@frankmpembu2505 2 жыл бұрын
Waislamu mtaacha lini uongo 😂😂😂😂 huo mdahalo mmeweka fupi😂😂Mimi nimeuangalia Mwanzo hadi Mwisho. Ndasha kawauliza, Wapi Yesu anamuita Maria Mama "Yangu",, hilo swali hamkujibu😂😂weka ndegu Mwanzo hadi Mwisho alafu uone Ndasha aliporudi jinsi alivyo wafundisha😂😂😂
@hamisimuhammad6225
@hamisimuhammad6225 2 жыл бұрын
Kweli wakristo hamna kitu
@najmasalimsalim2741
@najmasalimsalim2741 5 жыл бұрын
Wallah nimsiba hata ukiangalia unajua wazi anapotosha wenzake coz amekuja nakanzu yemwenyewe
@kenyadawahtv90
@kenyadawahtv90 5 жыл бұрын
Msiba iliyopitiliza
@setholivier4862
@setholivier4862 4 жыл бұрын
Why is too short?? You should put all along, so we can understand what he was talk about
@saidgande1806
@saidgande1806 5 жыл бұрын
Mwambieni Ndacha aache uongo!
@kenyadawahtv90
@kenyadawahtv90 5 жыл бұрын
Khabari anayo
@AAA-zu1vy
@AAA-zu1vy Жыл бұрын
Shid bil uong me na on hawez faul😂😂😂😂😂
@bilalissack7573
@bilalissack7573 4 жыл бұрын
🤣🤣 amevuliwa nguo
@bakarikalama6099
@bakarikalama6099 5 жыл бұрын
Ndacha yuko Kazi ni tu. Anatia cku lakini hana haja ya kutetea ukristo
@kenyadawahtv90
@kenyadawahtv90 5 жыл бұрын
hakika
@bakarikalama6099
@bakarikalama6099 5 жыл бұрын
@@kenyadawahtv90 hilo jikafiri halina haja ya kutetea u kafiri wake bali pesa tu
@absameosman9113
@absameosman9113 4 жыл бұрын
Eti nn? Yaani sheikh ustad Qasiim anaonyesha ndacha andiko n amevunja ahadi...... Takbiiir
@danielmahela2436
@danielmahela2436 4 жыл бұрын
Hiyo biblia labda freemason bible Au king version(biblia ya katoliki) lakini sio complimentary bible ambayo kwa imani ya ndacha ndio anatumia kwa hiyo ndacha yuko sahihi waislamu mnajua nn
@salehesengiyanka5397
@salehesengiyanka5397 4 жыл бұрын
NDACHA MBONA UNATOA AHADI ZA UONGO ILA KUMBUKA NA HILO NI DHAMBI, WW SILIMU TU UWE MWISLAMU USIKATAE, ndacha hiyo n aibu sasa apo wanafunzi wako unawafundisha nn wakati ww n muongo wa ahadi
@absameosman9113
@absameosman9113 4 жыл бұрын
Jameni ndacha baado hajasilimu wah basi n mwongo sana
@minaminaa1669
@minaminaa1669 5 жыл бұрын
SubhanAllah yani waksrto msiba ndacha msiba 😃
@kenyadawahtv90
@kenyadawahtv90 5 жыл бұрын
msiba kweli
@minaminaa1669
@minaminaa1669 5 жыл бұрын
mbona hakusilimu na alijibiwa? ama aliona mashekh hawana jibu
@omarchuo2178
@omarchuo2178 Жыл бұрын
Muendelezo uko wapi
@user-wd4xs5hi4h
@user-wd4xs5hi4h 5 ай бұрын
najivuniya kuwa muislam
@musanike3079
@musanike3079 2 жыл бұрын
Link ya full video tafadhali
@MoherZO
@MoherZO 3 жыл бұрын
TAKBIIR
@HamiduNnitolela-pg1ew
@HamiduNnitolela-pg1ew 11 ай бұрын
😱😱😱😱😱😱😱
@zaitunsuleimanramadhan4294
@zaitunsuleimanramadhan4294 3 жыл бұрын
Unadanganya wakristo. Nitafute ni kufundishe
@jashisham6280
@jashisham6280 5 жыл бұрын
Ndasha wewe danganya wakristo wenzako sio sisi Waislam
@AAA-zu1vy
@AAA-zu1vy Жыл бұрын
Kbs
@ramazecha2877
@ramazecha2877 2 жыл бұрын
Hyu ndacha ni mnafiki tu
@shifaazawadi4438
@shifaazawadi4438 4 жыл бұрын
Takbriii !!!!
@dawaliside7988
@dawaliside7988 Жыл бұрын
Ndacha achapwa 1000 kwa bila.
@mimahmimah8793
@mimahmimah8793 5 жыл бұрын
Na amevaa kanzu mwenyewe
@chrispinimwakilongo2661
@chrispinimwakilongo2661 4 жыл бұрын
ww hiyo siyo kanzu ni gunia mbona hamuelewi utofauti wa kangu na gunia
@johnmnonjela9809
@johnmnonjela9809 4 жыл бұрын
Yaani hata kufikiria hujui,,ndasha alisema wapi Yesu alimwita Mariamu Mama yangu....kofia kubwa lakini kufikiri ni zero rudi shule ukasome we bado Mdogo kifikra sheikh wangu
@suleimanomar1096
@suleimanomar1096 4 жыл бұрын
Ndacha alikana mariamu sio mamake yesu, Sasa wewe sijui unateta nini
@muslihmohd9420
@muslihmohd9420 3 жыл бұрын
Sasa kama yeye ni mfuasi wa Ndacha atuambie yesu alizaliwa na nani
@hassanmedia4107
@hassanmedia4107 4 жыл бұрын
Wameandikwa Kazi na kanisa la kisabato duniani dhamira Yao kuvunja Uisilamu badala ya kushughulika na kueneza Dini Yao ya kikiristo. Mtaeza wapi Dini ya Mungu ya UISILAMU
@rayaali7551
@rayaali7551 3 жыл бұрын
Wewe ndacha chezea na haoo haoo zombi nyenzioo sio wasomi wenye akilizao na msimamo wa dini yaoo na kitabu chaoo unafikiri waislaam wanakurupuka tuu ni wasomii sio wacheza kwaya na mingoma yenu hiyo na kuchezeana vichwa makanisani mwenu hukoo
@sheyosquad5755
@sheyosquad5755 5 ай бұрын
Mama yangu..mama maana yake woman
@caponegaming2230
@caponegaming2230 5 жыл бұрын
Sheikh there are videos that have been blocked over copyright issues.. Tunawezazipata aje
@kenyadawahtv90
@kenyadawahtv90 5 жыл бұрын
Vedio gani izo brother?
@godisgreat1845
@godisgreat1845 4 жыл бұрын
Kwa hiyo aliezaliwa na Nani Ndacha umechemsha hapo
@aminachowa1123
@aminachowa1123 5 жыл бұрын
Video haikuisha sheikh ama
@kenyadawahtv90
@kenyadawahtv90 5 жыл бұрын
utapata full lesworry
@josedynamik3040
@josedynamik3040 4 жыл бұрын
Huyu sheikh anatohoa tu kijisehemu kudanganya watu,fwatilia full video utaona Ndacha alirudi kuwajibu,,, Jesus called her woman not mother,,,waongo hawa
@suleimanomar1096
@suleimanomar1096 4 жыл бұрын
Bro, then Jesus must be going to hell, coz he never respected his mom. Anyway,what do you call your mom???
@godisgreat1845
@godisgreat1845 4 жыл бұрын
Mimi nambie I huyu ndacha anatafuta abiria wa kuingia nao motoni ila yeye na wafuasi wa kafiri ndacha msipo mkataa na mkadhani huyo ana fundisha neno la Mungu shetani huyo
@bahatihadijabahati7456
@bahatihadijabahati7456 5 жыл бұрын
Huyu chizi nilikuwa nasikia kidacha nikawa nahamu kumjua n Nina kumbe Ni huy kafiri mkubwa inalilahi waina Lilah rajuhun
@kenyadawahtv90
@kenyadawahtv90 5 жыл бұрын
hhhhh
@ukhtysakinaa7664
@ukhtysakinaa7664 5 жыл бұрын
😂😂
@alexchege1004
@alexchege1004 4 жыл бұрын
Mbona mimi nimepata jina woman sio mama kwa holy bible wacheni ushabiki hilo jina hakuna
@kombokai9796
@kombokai9796 4 жыл бұрын
Kumbe uyo ndacha hana kitu huijui Ata iyo biblia
@saidabae7101
@saidabae7101 5 жыл бұрын
😂😂😂
@zulficarbacarsuale6877
@zulficarbacarsuale6877 3 жыл бұрын
Mimi siamini cama wacristo wanahakiri.
@user-qz2yd5wm2m
@user-qz2yd5wm2m 4 жыл бұрын
Hawa wakristo majuha.
@Ibrahim-qw4qr
@Ibrahim-qw4qr 5 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣 mchungaji....
@gshdhvdhf8283
@gshdhvdhf8283 4 жыл бұрын
Kushindana na elimu ya waislam ni kushindana mola mwenyewe na utoeza
@remigimtenga7608
@remigimtenga7608 4 жыл бұрын
Amesema Mama yangu sio Mama tu.Ndacha hajavunja ahadi hapo mnadanganya.Kunatofauti kubwa kati ya Mama yangu na Mama.
@muslihmohd9420
@muslihmohd9420 3 жыл бұрын
Kwani wewe ukiwa nyumbn na mama yako unamwita vipi Unamwita mama yangu au unamwita mama tu
@emanuelkyomo3772
@emanuelkyomo3772 Жыл бұрын
Mbona unaanza ujanja ujanja kijana.,,🤣🤣🤣🤣🤣 Kwanini unataka kuuficha ukweli na ukweli unaujua
@yassinmohamed8241
@yassinmohamed8241 4 жыл бұрын
Hahaahahaha
@sawikifadhili148
@sawikifadhili148 4 жыл бұрын
Hata kama nimechelewa ila kama wew Muslim gonga like 👇👇👇
@Andaybuidingworks
@Andaybuidingworks 4 ай бұрын
post yote
@abdinasirmohamed2238
@abdinasirmohamed2238 4 жыл бұрын
😅😂😅😂😅😂🤣🤣🤣🤣🤣
@muslihmohd9420
@muslihmohd9420 3 жыл бұрын
Uislamu ni imam sio kuahd kitu ukipata ndio usilimu,wewe kama unataka kusilimu lazima ukubali miyoni,hatuna lazima asilimu maana pia jehhannamu kuna makazi yanatakiwa watu ila afadhali Allah kaonyesha kuwa waislamu ni watu aina gani,yani hapana cheza na sisi.
@charokazungu1655
@charokazungu1655 2 жыл бұрын
Maliza clip ww wacha unafiki
@rammeysrambo887
@rammeysrambo887 5 жыл бұрын
Hyo ni comedy kma kweli mbnona hukupost jibu la ndacha acha kupost video nusu
@josedynamik3040
@josedynamik3040 4 жыл бұрын
Waislamu waongo,,kutohoa vijisehemu kutudanganya
@shimuld6721
@shimuld6721 5 жыл бұрын
Sio uta silimu utakuwa murtadi neno silimu yaani kusilimu ni kuwa muislam
@josedynamik3040
@josedynamik3040 4 жыл бұрын
Waislamu acheni uongo,, mbona mmekatizia hapo ilhali Ndacha alirudi kuwajibu,,, mwataka kumdhalilisha ila hamtaweza,,soma biblia ya kiingereza Jesus called her "woman" not mother
@sokakilumbi9293
@sokakilumbi9293 4 жыл бұрын
Jose Dynamik ha ha ha ha kwaiyo bibilia ya kiswahili ni ya uongo na ya kiingereza ndio ya ukweli?? kweli nazidi kuamini kuwa bibilia sio kitabu cha mungu!!
@chrispinimwakilongo2661
@chrispinimwakilongo2661 4 жыл бұрын
huo mdahalo nimeona mwanzo mwisho mbona mnakatakata yani ninyi waislamu shida sana ndacha hamumuwezi kabisa maana hiyo aya mbona aliipangua ndo mumeamua kukatakata musiba mkubwa
@espoirshabashaba2254
@espoirshabashaba2254 4 жыл бұрын
Naamini kuwa waislamu hawajuwi maandiko kwa kweli, Kwa nini mnashindwa kumalizia hiyo video, mimi nimeimalizia yote hiyo, waislamu elimu yenu ndogo hata mjifariji. Soma hilo andiko kwa kingereza,Yesu hakumwita mariamu mama yake hapana, ila alitumia neno mama likimaanisha "Woman" na siyo mama yangu"my mother" someni hiyo. Najuwa mlitambuwa fika mtadhalilika wenyewe kwa hao kondoo wenu mnao wadanganya na ndo maana mkakatia video hii njiani. Kama nyie ni vidume kweli kwa nini hamkuimalizia?
@johnmnonjela9809
@johnmnonjela9809 4 жыл бұрын
Lengo lake kuwadanganya waislamu wenzake...lakini si ajabu Kwani uislamu unaruhusu kusema uongo akili zao ndogo
@alraident8068
@alraident8068 4 жыл бұрын
Siku ya tatu kulikuwa na harusi katika mji wa Kana ulioko Galilaya. Mama yake Yesu alikuwapo 2 na Yesu pamoja na wanafunzi wake walikuwa wamealikwa pia. 3 Divai ilipowaishia, mama yake Yesu alimwambia, “Hawana divai.” 4 Yesu akamjibu, “Mama, mbona unanihusisha kwenye jambo hili? Wakati wangu bado haujafika.”
@sawikifadhili148
@sawikifadhili148 4 жыл бұрын
Wakristo mnajidangany
@shubebunyesi542
@shubebunyesi542 Жыл бұрын
Kuna mambo ya kijnga duniani kwaiyo wewe unamwita kila cku mama yangu au mama nyie kondoo
@musaanis6786
@musaanis6786 Жыл бұрын
Kweli imekuumaa!
@mwanahalimamwachili9679
@mwanahalimamwachili9679 5 жыл бұрын
Allah Akbar, Huyu alikuwa atafuta njia ya Kusilimu,maana Kavaa Top Yake Vizuri kaongezewa Kofia Maa Shaa Allah. Hongereni sana Ma Sheikh Mungu awazidishie.
@saidmzee2554
@saidmzee2554 2 жыл бұрын
Haya makafiri Kila ciku tunayashinda kwenye hoja hayana elimu haya makafiri yakina ndacha bora tu wasilimu
HATIMAYE NDACHA KUSILIMU, AWEKA UKWELI WOTE HADHARANI
5:14
Advent Sound TV
Рет қаралды 14 М.
NDACHA AKITHALILIKA BAADA YAKUSHINDWA NA HOJA ISIOLO
30:29
KENYA DAWAH TV
Рет қаралды 40 М.
Bony Just Wants To Take A Shower #animation
00:10
GREEN MAX
Рет қаралды 7 МЛН
PASTOR NDACHA ASHIDWA KUJIBU SWALI LA MUSILAMU KATIKA MJADALA ISIOLO TOWN
16:31
YUSUF DA-WAA KENYA 0728830597,0736253243Whassapp
Рет қаралды 50 М.
WAKRISTO WAGADHIBISHWA NA MANENO YA ASKOFU NA WAKADAI NI MPINGA KRISTO
24:19
MDAHALO MKUBWA KAYOLE MATOPENI 22/4/2019
33:28
KENYA DAWAH TV
Рет қаралды 27 М.