NDACHA VS SASAKA | NANI NABII WA ULIMWENGU MZIMA KATI YA MTUME MOHAMMED NA YESU | LIKONI 30 DEC 2022

  Рет қаралды 53,569

AKASHA PRODUCTION TV

AKASHA PRODUCTION TV

Күн бұрын

Пікірлер: 142
@DenloveChristopher-qj8uv
@DenloveChristopher-qj8uv Жыл бұрын
Ndacha unajua sana, yani unajua zaidi, Mungu wa mbinguni akulinde. . Endelea kuwapa ELIMU wamjue kuwa Yesu ndio kila kitu. .
@AsAs-ji1vx
@AsAs-ji1vx 2 жыл бұрын
Yesu alitumiwa ulimwengu mzima na akuna kupinga Asante mwalimu Ndacha
@husseindiaby5097
@husseindiaby5097 Жыл бұрын
Ndio Manabii wote wametumwa na Mungu kwa ajili ya ulimwengu Lakini kwa vipindi tofauti
@reubenmulatya1184
@reubenmulatya1184 Жыл бұрын
Mwalimu pastor mteule Francis Ndacha, tafadhali tuma Barua Embu Dallas uwanyamazishe waislamu makafiri wasilolijua Dini ya kweli mbele za Mungu baba Na yesu Kristo Bwana wetu🙏Barikiwa Sana Na Mungu akulipe kila la Heri🙏🙏🙏
@SudyZongo-yv2he
@SudyZongo-yv2he Жыл бұрын
Kabla hujasema waislamu hawajui dini ya kweli pekua biblia Yako yote kama utakuta màhali inasema ukristo ni dini
@reubenmulatya1184
@reubenmulatya1184 Жыл бұрын
@@SudyZongo-yv2he hata sitapekua bibilia Bali kuran Na vitabu vya kislamu zinadhihirisha kuwa, muislamu kamili anaamini asili ya wakristo Na wayahudi kuwa Ni Dini mbili za Allah.kitabu kikubwa Kwa Dini ya uislamu kiitwacho hapali Na haraku UK 223. Soma maandiko ndugu Na uachane Na bibilia sababu hauijui. Me nmekutolea Kwa Mujibu Wa vitabu vyenu. Je, wewe ndio unajua kuliko wenye waliandika kitabu hiki? Hata Mohammed Sio mtume Wa Mungu Basi. Nko Na ushaidi Wa kutosha. Asalaaaam Alleeeeikum waramatuhi, wabarakatu🙏
@reubenmulatya1184
@reubenmulatya1184 Жыл бұрын
@@SudyZongo-yv2he sory Kuna typing error occurred "iyo Ni haramu Na halali"
@aliroro9344
@aliroro9344 Жыл бұрын
😂😂😂wewe Nbie wapi mungu amesema ukrsto ni Dini 😂
@chimamy6071
@chimamy6071 2 жыл бұрын
Mungu akubariki mtumishi ndacha na uzidi kutoa njia ilio takatifu na imayo paswa kufatwa
@milikaekal8623
@milikaekal8623 2 жыл бұрын
Ubarikiwe sanaaa mtumishi dacha nimebarikiwa sanaaa
@salimalmahrizi395
@salimalmahrizi395 2 жыл бұрын
Kama baraka kutoka kwa Allah asahau,kwani Allah anambariki aliemuamini tu.Allah akupe Oxgen ya bure kisha unamshirikisha na Kiumbe alichoumba Yesu.
@salimobeid1470
@salimobeid1470 3 ай бұрын
Sh ishaka umefika kwa Allah na Allah ni shahidi
@Beau-filsSafari
@Beau-filsSafari 8 ай бұрын
Mungu akutiye nguvu mtumishi wake past Ndacha
@athumanmpagama6259
@athumanmpagama6259 2 жыл бұрын
Mungu wa mbinguni amemdhihirisha mwana wake yesu kwa ulimwengu mzima hii aipingiki kabisa🙏
@salimalmahrizi395
@salimalmahrizi395 2 жыл бұрын
Na kwanini Mungu mwenyewe hamjui mwana wake .na Yesu mwenyewe hajasema kwenye vitabu vyooooote kuwa yeye ni mtoto wa Mungu au Mungu.
@Hussayn21
@Hussayn21 Жыл бұрын
Wapi Andiko Yesu Anasema haya maneno???!
@mukanyemeraclaudine984
@mukanyemeraclaudine984 Жыл бұрын
Mungu akubariki sana mimi nirifrahisana kwakuona unajuwa mahandiko kama vire Nimekuombeya Mungu akubariki sana nakuzidishiye
@Pauline-y4o
@Pauline-y4o Жыл бұрын
God bless you guys ndacha Na walimu wakiislamu,, atleast MTU afanyapo uamuzi wakumfuata Mungu atakuwa amepata mafudisho kamili...nigeomba Pia wachungaji wawe wakitufuza Bibilia vizuri Kwa utaratibu
@saphinalutaha9077
@saphinalutaha9077 Жыл бұрын
Mashalla shekhe mungu akujarie
@issaidi
@issaidi 2 жыл бұрын
Masha’Allah sasaka Allah akujalie mwisho mwema kaka yangu umefundisha vizuri sana
@DrNelsonJohnMuhirwe
@DrNelsonJohnMuhirwe 7 ай бұрын
Ndacha uendeleye kubarikiwa
@FatumaIdd-v6z
@FatumaIdd-v6z 2 ай бұрын
Weslamu hajui k2 kabisa
@MeshackKraveri-k5t
@MeshackKraveri-k5t Жыл бұрын
Mungu akubariki ndacha
@QURAISHRASHID
@QURAISHRASHID 10 ай бұрын
Mashallah
@samutykuntathebantu8402
@samutykuntathebantu8402 Жыл бұрын
Waislamu wenzangu ndacha ni Hatari kwelikweli
@ZayyanaBamuni
@ZayyanaBamuni Жыл бұрын
Ni hatari kweli maana ukimfata upotovu wake motoni
@samutykuntathebantu8402
@samutykuntathebantu8402 Жыл бұрын
@@ZayyanaBamuni we pereka ujinga mbali
@SelinaAkhwaleameeeeen
@SelinaAkhwaleameeeeen 11 ай бұрын
Ameeen
@MussaMohamedMohamed
@MussaMohamedMohamed Жыл бұрын
Inna lillah wa inna ilah raaj'uun Ndacha endelea kudangany vipofu wenzio,,,
@HakizimanaSamson-d5q
@HakizimanaSamson-d5q Жыл бұрын
Mungu saidhia 52:12 nduguze tu wesiramu waondhoe mikononi yaibirisi shetani Mungu wandhoe
@JanuarioBernardo-it7lz
@JanuarioBernardo-it7lz 10 ай бұрын
Ndacha uko saii katika maneno ya MUNGU
@stemlute
@stemlute 2 жыл бұрын
Mohamed ni mtume wa watu si wa Mungu
@salimalmahrizi395
@salimalmahrizi395 2 жыл бұрын
Kwanza elewa maana ya Mtume. Mtume ni yule alietumwa na Allah kwa watu.kuwahubiria yaliotoka kutoka kwa Allah.
@stemlute
@stemlute 2 жыл бұрын
@@salimalmahrizi395 Mohamed hakutumwa na Mungu, ni watu walimtuma tu, soma kitabu vyema, alipakwa mafuta na nani? Watu ndio walimtuma na Alla tu alikuwa shahidi.
@salimalmahrizi395
@salimalmahrizi395 2 жыл бұрын
@@stemlute rudi ukapate elimu iliyobora sio bora ilumu. sikiliza mihadhara mara kwa mara ujifunze.
@salimalmahrizi395
@salimalmahrizi395 2 жыл бұрын
@@stemlute waislamu hawapakwi mafuta wala kubatizwa kwa maji. maana yesu mwenyewe hakubatizwa.
@stemlute
@stemlute 2 жыл бұрын
@@salimalmahrizi395 mohamad afunzwa na wakristu wawili kuhusu injili, torati na zaburi wakisaidiwa na kanisa la Roma katoliki Ili waongeze mgawanyiko katika Kristu. Catholics wawili ni Waqara ibn nawfal ambaye alikuwa cousin ya Khadija bint khuwaylid ambaye alimuoa mohamad na kumpa pesa na kumthamini katika hii shughuli.
@yussfallow6048
@yussfallow6048 2 жыл бұрын
Ndacha ime kuwa mtihani kwa islamu subuhanillah
@flaviakezimana4596
@flaviakezimana4596 Жыл бұрын
Niko naelewa kwamba ma islamu hawana loho mutakatifu kwa mana kilakitu wanatafusili kimuwili. Ulimwengu kati ka kiloho inamanisha wasiyo amini
@IsaacNzai-e7s
@IsaacNzai-e7s 10 ай бұрын
@IsaacNzai-e7s
@IsaacNzai-e7s 10 ай бұрын
Waisilamu wengi wanaishi katika ulimwengu wa kimwili Hio ndio shida yao tu
@ulimwengumombelwa7346
@ulimwengumombelwa7346 Жыл бұрын
MashaAllah
@barakafondo8090
@barakafondo8090 Жыл бұрын
Ndacha juu sana
@kennedymanyonge6170
@kennedymanyonge6170 27 күн бұрын
Scholars wanasema makkah is the centre of the earth , Ndacha anakataa ati haiwezi kuwa wafuasi wake wanapiga makofi. Jameni nilikuwa mkristo lkn haki ikifuata Ndacha anatumia uongo kuliko ukweli.
@lajumaofficial3629
@lajumaofficial3629 Күн бұрын
Ndacha anasoma maandiko,ninyi mnasikiza scholars
@jaafaralsadiqchannel1906
@jaafaralsadiqchannel1906 2 жыл бұрын
Thumbs up for the Muslim preacher.
@SelinaAkhwaleameeeeen
@SelinaAkhwaleameeeeen 11 ай бұрын
Ndugu zangu munapotea ishieni Kwa yesu
@mukanyemeraclaudine984
@mukanyemeraclaudine984 Жыл бұрын
Ningependa unifunze namimi nikuwe kujuwa kamawewe
@reubenmulatya1184
@reubenmulatya1184 Жыл бұрын
Mwalimu pastor mteule Francis Ndacha tafadhali tuma Barua Embu uwanyamazishe waislamu wasilolijua Dini ya kweli .Na kama inawezekana. Nisaidie namba yako.
@saphinalutaha9077
@saphinalutaha9077 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂uialam ndo Dn ya kwel
@JamesOdhiambo-wu2pj
@JamesOdhiambo-wu2pj Жыл бұрын
Ndacha watibu
@davidlintari8504
@davidlintari8504 Жыл бұрын
Hakuna mtu ajui Muhammad sio mtume wa mungu, alitumwa na adui wa jibril
@salomemaraga6086
@salomemaraga6086 Жыл бұрын
Wewe mwalimu ndachu siku iyo utaambia Mungu Kwa Nini ulisema Yesu si mwana wake
@kennedymanyonge6170
@kennedymanyonge6170 27 күн бұрын
Wakristo wako na tabia ya ubishi na ushabiki, utawasikia wakristo walio nje utawasikia wakipiga kelele mwalimu wa kiislamu akitoa darasa ,,,hiyo inaonyesha ubishi na ushabiki. Ndacha amedanganya wakati wamesoma kitabu cha wafilipi baada ya kusoma jiepushe na umbwa kuna comma. Then watendao mabaya🧏. Ndacha akitoa darasa anachangia ushabiki na kujipiga kifua hana lolote.
@banyankirubusamarc1727
@banyankirubusamarc1727 Ай бұрын
Sasaka umekutana na mwalimu,mwalimu ndacha kwa mada ya alie tumwa ulimwengu muzima, alisha kujibu ,wewe ukaja kubweka tiyali yeye alisha maliza kukujibu, teeena vizuli akaeleza mutume wa ulimwengu muzima kabisa, sasaka we toka, tena waislam lengo yanu ni kupotosha tu.
@stellakajuju-gj7fq
@stellakajuju-gj7fq Жыл бұрын
Ndacha ndacha umewafunza vyakutosha
@SunguraShabani
@SunguraShabani Жыл бұрын
Nabii wa ulimwengu mzima mohammed afu asitabiriwe hata na nabii wowote kuweni serious kwanza waislam Nabii aliye tumwa na Mungu hawezi kufa kwa sumu
@elijahnjoroge3526
@elijahnjoroge3526 Жыл бұрын
Hawa watu kuelewa ni ngumu vichwa maji wanakataa ukweli iliyo wazi Yesu kwa dunia
@samutykuntathebantu8402
@samutykuntathebantu8402 Жыл бұрын
Waislamu wamekatakata hii video lakini bado ndacha amewapiga kiboko haha
@MárioCristovão-d4y
@MárioCristovão-d4y Жыл бұрын
Ata mufanyaje yesu ni mtawala wa ulimwengu mzima nyinyi Bora mubadilike nyinyi majini
@official_mario1987
@official_mario1987 2 жыл бұрын
❤️📌
@EdithThomas-t3q
@EdithThomas-t3q 4 ай бұрын
Ww ndacha naweka hela kwenye kibubu zikitimia nakuita Tanzania Kwa gharama zangu
@LovelyComputerChip-cj4wz
@LovelyComputerChip-cj4wz Жыл бұрын
Nnakupongeza kwa kuandika mada vizuri sio kama wengine eti ndacha kasilimu huko mombasa😅😅
@On_the_african_road
@On_the_african_road Ай бұрын
waislamu huwa na confidence ila hawana hoja,,,,,watupu weupe kama dheluji
@proximal2303
@proximal2303 Жыл бұрын
proverbs 8:22 -30
@pascal-x7r
@pascal-x7r Жыл бұрын
Ndyo maana ndacha anawasumbuw kwa kujieleza hko
@kathungumumbiri1225
@kathungumumbiri1225 Жыл бұрын
Soma yohana 3;16
@aliroro9344
@aliroro9344 Жыл бұрын
😂😂Yani Wakristo ata Bibiliaa awaiyamni ila wanaamni ma pastor wao 😂 msibaaaaa
@MaryanDavid-jo2fs
@MaryanDavid-jo2fs Жыл бұрын
Ndacha anajua ukweli ila shida yake ni moja mshindani
@jaafaralsadiqchannel1906
@jaafaralsadiqchannel1906 2 жыл бұрын
That muslim guy has more educative points. Huyu sheikh anahoja the Ndacha man is crazy he always talks about majini yenye humsumbua.
@a_melly
@a_melly Жыл бұрын
Muhammad alikua binadam ambaye Issa alisema atakuja na kujifanya ka mimi!
@salomemaraga6086
@salomemaraga6086 Жыл бұрын
Isaiah 45:23 Jesus said " I have sworn by Myself, The word has gone out of My mouth unrighteousness,and shall not return,That to me every knee shall bow,Every tongue shall take oath.
@rhiophiri6857
@rhiophiri6857 2 жыл бұрын
watching you from Lusaka zambia, to be frank enough, the Muslim preacher man has by far more educative and convincing points than his counterpart ndacha,it seems like sir ndacha francis is forcing falsehood across
@stemlute
@stemlute 2 жыл бұрын
Nope, the word of God is truth. Mohamad is just a canal man, a warlord. Islam is a branch of Christianity started by the Romans to derail Christianity and Judaism to falsify the fact that Jesus is the son of God, God came down as man.
@samutykuntathebantu8402
@samutykuntathebantu8402 Жыл бұрын
😂😂😂you sound dùmb ndacha is the cream dela cream
@PeterMwilapwa
@PeterMwilapwa Жыл бұрын
Du' dacha we ni hatari sana
@salomemaraga6086
@salomemaraga6086 Жыл бұрын
John 1:34 John the Baptist bears witness that Jesus is the son of God,John 11:27 Martha calls him the son of God .usilinganishe Yesu na mitumi ,Yesu Ako juu ya hao Mitumi yote
@richardkiarie7445
@richardkiarie7445 Жыл бұрын
The children of Israel are bantu people Mombasa bantu people lost tribe of house of Israel
@richardkiarie7445
@richardkiarie7445 Жыл бұрын
Bantu people of Israel
@richardkiarie7445
@richardkiarie7445 Жыл бұрын
Are*
@milikaekal8623
@milikaekal8623 2 жыл бұрын
Mohamendi ni mtume wa warabu peke yake
@salimalmahrizi395
@salimalmahrizi395 2 жыл бұрын
na Yesu ni mtume wa kondoo wa wana wa Israel sio wewe .Yesu alikuwa Myahudi wewe ni ....
@samutykuntathebantu8402
@samutykuntathebantu8402 Жыл бұрын
​@@salimalmahrizi395 😂😂pole Mohammed mwanzo sio mtume
@KingTigerjr
@KingTigerjr Жыл бұрын
Wewe soma biblia Na Quran alafu bind Na uchambue
@Hussayn21
@Hussayn21 Жыл бұрын
Listen to learn don’t act like a fan this is not football where we have teams! My brother take your time and read your book and ask for guardians from Almighty God
@AbdishakurMohamedAbi-qz1ht
@AbdishakurMohamedAbi-qz1ht Жыл бұрын
Ndacha kazi n kelele tu Akuna kitu anajua Quran n mouthing tu ako nayo
@proximal2303
@proximal2303 Жыл бұрын
wee sasaka kwani hujaskia kitu hapo ?
@richardibrahim5609
@richardibrahim5609 Жыл бұрын
Eti yesu mchawi, huyu shekhe vipi🤣🤣
@IsaacNzai-e7s
@IsaacNzai-e7s 10 ай бұрын
😂😂
@loysamwel6308
@loysamwel6308 8 ай бұрын
Ata howoro niwenu
@deetz255
@deetz255 2 жыл бұрын
Mazingee ampate uyyu
@SudyZongo-yv2he
@SudyZongo-yv2he Жыл бұрын
Napata tabu Sana kama Mungu aliumba wanadamu wakamkosea akawatumia mitume hawakuwasikiliza eti Ili awasamehe akamtuma mtoto wake auwáwe ndipo awasamehe Sasa mbona kama Mungu mwenyewe anàfànya dhulma kumuonea mtoto wake ambàe Hana makosà yoyote?
@saphinalutaha9077
@saphinalutaha9077 Жыл бұрын
😂😂😂😂 yan awa ingekuwa masih yupo enz iz wagempga mtume wetu wakamuweka msaraban il wasamee ewe dhambi zao
@RECOLONIZE_RIGHT
@RECOLONIZE_RIGHT Жыл бұрын
mtume wa mungu hawezi mnajisi mtoto! lakini mtume was shetani, anamuona mtoto wa miaka 6 na yeye akona 50 anameza mate... *HAIWEZEKANI KAMWE*
@saphinalutaha9077
@saphinalutaha9077 Жыл бұрын
😂😂😂 aliowa iyo ya kunajs unaijua ww aliowa na mungu akamlidhia 😂😂😂
@aishaabdi2059
@aishaabdi2059 2 жыл бұрын
Ndacha mikutono yako mengi lazima utaje uchawi yani lazima utoke katika mada unazidi kuwapoteza wenzako majini munayo yatowa kanisani huwa yametoka wapi wakati uchawi hakuna kwenu
@salimalmahrizi395
@salimalmahrizi395 2 жыл бұрын
hana hoja zozote .anapenda kufanya comedy watu wacheke tu.ushaona amewaingiza wangapi kwenye imani yake?
@a_melly
@a_melly Жыл бұрын
Kwa ufupi anasema haezi abudu binadam ambaye anaeza rogwa na binadam mwenzake!
@angelmurru5139
@angelmurru5139 Жыл бұрын
Ni Kwa sababu Muhammad Alisilimisha MAJINI yakawa Waislamu,,
@remirezaqim
@remirezaqim Жыл бұрын
@@angelmurru5139 SABABU NIVIUMBE KAMA SISI TOFAUTI HATUWAONI ILA WAO PIA WANASTAHILI KUABUDU MUNGU WAKO WAOVU WAKO WAUMINI KATIKA MAJINI
@saphinalutaha9077
@saphinalutaha9077 Жыл бұрын
​@@angelmurru5139muwe na akil kla kiumbe radhma kmsujudie mungu na wanao sujudu ni waislam na malaika mbiguni ndo mana ata majn yanasujudu
@salomemaraga6086
@salomemaraga6086 Жыл бұрын
Nini Maana ya UL mwengu wewe ,muslimu ?
@perismunyua9706
@perismunyua9706 2 жыл бұрын
I need someone to show me the name prophet Muhammad in the bible, since Jesus in mentioned alot of times in there holy book,I believe there is alot our brothers should learn from the whole prophecy of christ before birth and after ,???
@issajumamwinyi6191
@issajumamwinyi6191 2 жыл бұрын
Never!!
@abeidkhamis6130
@abeidkhamis6130 Жыл бұрын
Here are verses prophesizing about Muhammad john14:16,john15,26,john16:7-8,John 16:13-15, Deuteronomy 18:18, Isiah 60:1-7, Isiah 21:13,Isiah 29:12,Habakuk 3:3 if you are wise bro. you gonna find the truth Qur'an 61:6,
@issajumamwinyi6191
@issajumamwinyi6191 Жыл бұрын
@@abeidkhamis6130 muhammad can never be in the Bible....forget your false teachings from false teachers like muhammad... 1. Dont just cherry pick john14:16,,,,read vs 17 the Spirit of truth. The world cannot accept him, because it neither sees him nor knows him. But you know him, for he lives with you and will be[c] in you... was muhammad a spirit?? the world didnt accept him, because it neither saw him nor knew him?? 2. john15,26 “When the Advocate comes, whom I will send to you from the Father-the Spirit of truth who goes out from the Father-he will testify about me. "Whom I will send"......was muhammad sent by Jesus? because prophets are sent by God...that makes Jesus God according to your reasoning...thanks!! 3. john16:7-8 But very truly I tell you, it is for your good that I am going away. Unless I go away, the Advocate will not come to you; but if I go, I WILL SEND HIM TO YOU. 8 When he comes, he will prove the world to be in the wrong about sin and righteousness and judgment AGAIN. "I WILL SEND HIM TO YOU'....>>> JESUS IS GOD.....BECAUSE PROPHETS ARE SENT BY GOD. 4. John 16:13-15, SAME AS ABOVE!! 5. Deuteronomy 18:18, Isiah 60:1-7, Isiah 21:13,Isiah 29:12,Habakuk 3:3 IS ABOUT JESUS>>>>> JESUS (NOT MUHAMMAD) said to them, “This is what I told you while I was still with you: Everything must be fulfilled that is written about me in the Law of Moses, the Prophets and the Psalms.” - Luke 24:44 The scambag muhammad can never and will never be in THE HOLY BIBLE!! WACHANA NA USHETANI UISLAMU BRO...NJOO KWA YESU!!
@abeidkhamis6130
@abeidkhamis6130 Жыл бұрын
@@issajumamwinyi6191 Allah has said it already if any person chooses/prefer infidelity (kafirun) than being submissive to will of his lord his heart is sealed for not seeing or accepting the truth even if you bring him the dead and miracles to prove him about the truth, so you confirm being rebellious to your lord commandements and accepting Paul as Jesus a.s prophesized in John 5:43 read this passage.
@abeidkhamis6130
@abeidkhamis6130 Жыл бұрын
What i'have seen in you people you don't need the truth to guide but you follow your desires,that is why you don't want to listen to any proof provided to the prophecy of muhammad.disbiliever existed before the coming of Jesus and continue as you are nowadays, you people who claim to be Christians thing maybe singing the name of Jesus every corner is that being his follower? No.And you think Jesus taught Christianity? Here is the founder of Christianity 1corinthians 4:15-7. Because he taught to be calling Jesus Is the lord,while him warned you in Mathew 7:21-24.jesus in peace be upon him said any who will put in mind and follow my teaching will look like a wise so the question is that Christianity is it Jesus'teachings? Or Jesus a.s taught the submission to the will of the almighty God whom he claimed to his messenger in John 17:2-3. You people have eyes but don't see the scriptures and meditate. Call on Whatsapp+254763724862
@saphinalutaha9077
@saphinalutaha9077 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂 mtume Mohammed anafaa asilumia100 sema kla mtume anakaz yake
@ukweliwauislamu9590
@ukweliwauislamu9590 2 жыл бұрын
Sasa mwenye ameroga na amerogwa nani anakosa ? Huyu ndacha hana lolote bali ubishi tu ..
@a_melly
@a_melly Жыл бұрын
Hauelewi hoja lake! Muhammad anarogwa na Yesu kamsaidia
@perismunyua9706
@perismunyua9706 2 жыл бұрын
It's completely open but natural human being cannot understand, study the book of Enoch it explains the bible as whole and fate to ather religions
@annk9141
@annk9141 2 жыл бұрын
Hallo, where can I get the book of Enoch
@Djanjeeroo
@Djanjeeroo 2 жыл бұрын
Ndacha anakataa kukua mwislamu kwasababu ata aibika na hana lolote 😊
@salimalmahrizi395
@salimalmahrizi395 2 жыл бұрын
Allah ameumba peponi na motoni .sote tukiingia peponi nani ataingia motoni.mwachieni Ndacha moto.
@GoldenJr2330
@GoldenJr2330 Жыл бұрын
Bado mpo gizani ipo Siku mtakumbuka maneno ya ndacha
@GoldenJr2330
@GoldenJr2330 Жыл бұрын
Bado mpo gizani ipo Siku mtakumbuka maneno ya ndacha
@Djanjeeroo
@Djanjeeroo Жыл бұрын
@@GoldenJr2330 sahau hilo. Moto tumemuachia ndacha sisi
@saphinalutaha9077
@saphinalutaha9077 Жыл бұрын
Ndacha umepotosha sana watu
@husseindiaby5097
@husseindiaby5097 Жыл бұрын
Hii Mada haina Mashiko Manabii wote wametumwa kwa ulimwengu wote lakini kwa kipindi tofauti
@hassankajembe4118
@hassankajembe4118 Жыл бұрын
Unamkuta mkiristo amesoma ana digree lakin akili za kuzaliwa hazijakomaa anasema yesu ni MUNGU wengne wanasema yesu ni mwana wa MUNGU!!!?hovyo sana
@andikadirali9738
@andikadirali9738 Жыл бұрын
MashaAllah
NDACHA APANDISHA HASIRA KUSKIA YESU ALIRONGWA
1:38:42
Tawfiq Islamic Preachers Of Kenya
Рет қаралды 11 М.
MAZINGE VS NDACHA | JE YESU NI MWANA WA MUNGU  | DEBATE YA TANGA | FULL CLIP
1:56:25
Hilarious FAKE TONGUE Prank by WEDNESDAY😏🖤
0:39
La La Life Shorts
Рет қаралды 44 МЛН
Хаги Ваги говорит разными голосами
0:22
Фани Хани
Рет қаралды 2,2 МЛН
NDACHA AWAHUBIRIA ALISHABABU MOTO UMEWAKA.
20:17
GOSPEL CORNER
Рет қаралды 55 М.
very interesting debate between ndacha and yussuf wambugu
2:50:44
BURHAN DAAWAH
Рет қаралды 2 М.
Je Majini ni Dini gani? Sheikh Mbogo Tz Vs Mch Ndacha Kenga
54:25
DAAWA ONLINE TV
Рет қаралды 55 М.
Pastor Ndacha vs Ex-Pastor Ibrahim WOKOVU (Part 2)
1:39:36
Ibrahim XP
Рет қаралды 16 М.