KIMEUMANA,DR SULLE ALIVYOSAHAU AYA YA BIBLIA MBELE YA MCH,NDACHA VIFUNGO VYA QURANI NA BIBLIA VYA...

  Рет қаралды 5,794

Maks Media

Maks Media

Күн бұрын

Пікірлер: 28
@Chrishenryson-beats
@Chrishenryson-beats 7 ай бұрын
Wamejibiwa vizuri sana hao waislam uchwara. Tena wamejibiwa kwa vifungu zaid ya kimoja. Waislam wanakaza kichwa ila hoja zimenyooka sana. Wangeelewa wanachoambiwa hapo kila mstari ni point ❤❤❤
@binseif2216
@binseif2216 7 ай бұрын
Alhamdulillah waislamu tunakitabu kimenyooka na wakristo wenginwanasilimu mpka ulaya yanauzwa makanisa nakubadili mskiti
@LudyJuma-t7z
@LudyJuma-t7z Ай бұрын
Injili inapenya kwahakika kila pahali ,hallelujah God is good
@DakorTrony
@DakorTrony 6 ай бұрын
Dr. Sule wa majini hana kitu. Majini na shetani hawawezi shinda nguvu za mungu
@majaliwamsigwa6206
@majaliwamsigwa6206 7 ай бұрын
Ila hukumu ya Mungu itakuwa juu yenu kwa kuwapotosha watu nyie watu,Dawa ni kumkiri tu huyu Bwana Yesu atasamehe yote
@Mrlover8435
@Mrlover8435 7 ай бұрын
Mungu atakuongoza
@abelmoturi52
@abelmoturi52 7 ай бұрын
Wapi andiko Mungu akaumba kwanza roho
@singanoatanasi1994
@singanoatanasi1994 7 ай бұрын
jaman walimu wa kiislam msije kulalamika siku ya kihama hizo hoja mnazo kazania kumkataa YESU KRISTO mtazionea haya mkijua ukweli siku io kweli ni wapinga kristo aisee
@KhamisMdzomba-w6h
@KhamisMdzomba-w6h 7 ай бұрын
Hatumkatai Yesu ila tunakataa madai ya wakristo kwamba Yesu ni Mungu na mwana wa Mungu
@abasingaruka1872
@abasingaruka1872 4 ай бұрын
Sule acha kulazimisha na vitu ambavyo havikusaiidii, Inaonyesha unapinga vitabu vya Mungu na vitabu vyako we vipi,
@peacemwesiga
@peacemwesiga 21 күн бұрын
Sule lazima asahau kwasababu hamna ukweli katika uislam .na ndio maana anaomgea kauli zake za kichwani mwake Eee Yesu mrehemu
@binseif2216
@binseif2216 7 ай бұрын
Mungu yesu kapigwa kofi😂😂
@binseif2216
@binseif2216 7 ай бұрын
Wakristo wanadharau,Ndacha akisahau andiko waislamu hawacheki,lkn Dr sule akisahau wao hucheka yaani ujue kuwa wapo kishabiki
@RoseMuniss-y5q
@RoseMuniss-y5q 5 ай бұрын
Asa apo waliocheka mbona waislam
@JacksonMustapha-cw2mh
@JacksonMustapha-cw2mh 7 ай бұрын
Nyie simnadai kuwa yusu nimwanadam ww kafe jalafutuon kama utafufuka fikilieni
@binseif2216
@binseif2216 7 ай бұрын
Am proud to be muslim
@MakameSilima-y4f
@MakameSilima-y4f 3 ай бұрын
muungu amme umbwa
@binseif2216
@binseif2216 7 ай бұрын
Yaani wakristo wajinga sana,wanapiga makofi yesu kumponya mtu kwa uwezo wa Mungu😂😂😂wanaamini huyohuyo Mungu ndo yesu mwenyewe
@RoseMuniss-y5q
@RoseMuniss-y5q 5 ай бұрын
Bas tuonyeshe wewe kwenye quruani wap Mohamed alpo ya au akamfufua mtu au akamtoa mtu Pepo au Jin...leta aya
@JacksonMustapha-cw2mh
@JacksonMustapha-cw2mh 7 ай бұрын
Waisilamu niwaulize swali mhamed ninan ?
@SaleheKijazy
@SaleheKijazy 7 ай бұрын
Ni mtume wa watu wote. Lkn yesu ni wa izraeli tuu.
@kombomakame9541
@kombomakame9541 7 ай бұрын
مُحَمَّدٌ رَسُولُ اللَّهِ ۚ وَالَّذِينَ مَعَهُ أَشِدَّاءُ عَلَى الْكُفَّارِ رُحَمَاءُ بَيْنَهُمْ ۖ تَرَاهُمْ رُكَّعًا سُجَّدًا يَبْتَغُونَ فَضْلًا مِنَ اللَّهِ وَرِضْوَانًا ۖ سِيمَاهُمْ فِي وُجُوهِهِمْ مِنْ أَثَرِ السُّجُودِ ۚ ذَٰلِكَ مَثَلُهُمْ فِي التَّوْرَاةِ ۚ وَمَثَلُهُمْ فِي الْإِنْجِيلِ كَزَرْعٍ أَخْرَجَ شَطْأَهُ فَآزَرَهُ فَاسْتَغْلَظَ فَاسْتَوَىٰ عَلَىٰ سُوقِهِ يُعْجِبُ الزُّرَّاعَ لِيَغِيظَ بِهِمُ الْكُفَّارَ ۗ وَعَدَ اللَّهُ الَّذِينَ آمَنُوا وَعَمِلُوا الصَّالِحَاتِ مِنْهُمْ مَغْفِرَةً وَأَجْرًا عَظِيمًا(48:29 Quran) Muhammad ni Mtume wa Mwenyezi Mungu. Na walio pamoja naye wana nguvu mbele ya makafiri, na wanahurumiana wao kwa wao. Utawaona wakiinama na kusujudu wakitafuta fadhila na radhi za Mwenyezi Mungu. Alama zao zi katika nyuso zao, kwa athari ya kusujudu. Huu ndio mfano wao katika Taurati. Na mfano wao katika Injili ni kama mmea ulio toa chipukizi lake, kisha ukalitia nguvu, ukawa mnene, ukasimama sawa juu ya ubuwa wake, ukawafurahisha wakulima, ili kuwakasirisha kwa ajili yao makafiri. Mwenyezi Mungu amewaahidi walio amini na wakatenda mema katika wao msamaha na ujira mkubwa.(48:29 Quran)
@kombomakame9541
@kombomakame9541 7 ай бұрын
Muhammad ni Mtume wa Mwenyezi Mungu. (48:29 Quran)
@binseif2216
@binseif2216 7 ай бұрын
Ukitaka kumjua Muhammad nanani soma Quran na bible lile andiko (kisha nikaona mbingu zinafunguka nikaona farasi mweupe na aliepanda kavaa mavazi meupe na upanga mkali na kwenye upanga huo pameandikwa mkweli mwaminifu)fatlia history ya Mtume SAW
@binseif2216
@binseif2216 7 ай бұрын
Ufunuo wa Yohana
Koleksi Kuliyyah Ustaz Azhar Idrus : Masa Muda | 4K
1:50:45
Ustaz Azhar Idrus Official
Рет қаралды 2,1 МЛН
Cheerleader Transformation That Left Everyone Speechless! #shorts
00:27
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 16 МЛН
小丑教训坏蛋 #小丑 #天使 #shorts
00:49
好人小丑
Рет қаралды 54 МЛН
Koleksi Kuliyyah Ustaz Azhar Idrus : Makcik Tanya Ustaz Jawab | 4K
1:54:38
Ustaz Azhar Idrus Official
Рет қаралды 537 М.
#LIVE DR.SULLE  NA MCH.NDACHA/JE, YESU NI MUNGU? (DAY ONE
6:22:01
ISLAAH ISLAMIC TV
Рет қаралды 35 М.
Je Majini ni Dini gani? Sheikh Mbogo Tz Vs Mch Ndacha Kenga
54:25
DAAWA ONLINE TV
Рет қаралды 48 М.
Cheerleader Transformation That Left Everyone Speechless! #shorts
00:27
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 16 МЛН