Asante Symo, kwa vile umesema unaeza kumuulizia km Kenyatta National Hospital yaeza mtibu. Hata labda hawatamlipisha.
@HannnahKimani5 ай бұрын
😢😢 woiye she has pass through alot aki we need to support her aki
@VeronicaDunbar5 ай бұрын
I've just googled n found out that fistula can be cured. This is Very good news. I saw a documentary, but I don't remember them saying it's treatable or curable. And thank you Symo for offering to help huyu msichana wetu. Mungu akubariki Sana Symo. Pia dada abarikiwe na aponywe na Mungu wetu wa huruma zisizo na mwisho. Amina.
@anastasiawanjiku5 ай бұрын
This is so touching oh Lord have mercy on your daughter! Too much pain and suffering 😢😢😢
@JackOdero-xk2rr5 ай бұрын
It shall be well Gladys. Lazima Mungu asifike kupitia kwako Gladys na shenanigans ataibika. Support inakuja. Pole sana mrembo.
@SamuelKuria-kr5lx5 ай бұрын
Pole Sana mungu akusaidia
@karolkarondo88134 ай бұрын
Poverty is the worst demon. This lady has gone through so much😢😢😢
@lydiakariuki57895 ай бұрын
This story is very emotional and touching 😢 😪 💔 😊
@charitykawirambaabu9747Ай бұрын
Woiyee 😢😢mungu saidia watu wako,, please simo make sure that lady gets help
@monienjeri30425 ай бұрын
😢😢49:...pole sana Gladys... Wenye walikudhulumu malipo ni hapa nduniani.... Wenye wana uliza bona alivumilia hilo si swali, sometimes bk grd na kukosa plan b....
@mukamiwaite70955 ай бұрын
This beautiful lady needs deliverance. She has gone through hell.
@VeronicaDunbar-q5v2 ай бұрын
Sio kila mtu anajua mambo ya deliverance. Mungu na amsaidie tu, hata kwa maombi. Na tukubali kumtumikia Mungu kwa kumsaidia huyu mwanawe. ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@tesstrizzah79005 ай бұрын
I lack words this is too painful, I shed tears Gladys all will be well through the power of Jesus christ
@PaulNjugunaKimani5 ай бұрын
I have listened to many of these stories but this is the worst, very painful. No justice for the poor in Kenya.
@nxjjfj49235 ай бұрын
So 😭😭😭😭 pple go through alot😢😢 pole sana dada GOD is faithful 🙏🙏
@annkaranja-me8vm5 ай бұрын
Pole sana our God is faithful and He's working on your behalf and He's going to restore everything
@VeronicaDunbar-q5v2 ай бұрын
Gladys Ndamei Sengei - ndie guest wa Symon.
@susannjoki-bl6mu5 ай бұрын
May God give her comfort waah am so sad
@TruthSeeker83565 ай бұрын
She has fistula. Jamaa hospital buruburu does the surgery for free
@VeronicaDunbar5 ай бұрын
Fistula hutokea ikiwa kiungo cha siri cha mbele, cha kukojoa, kimeshikana na kiungo cha nyuma cha haja kubwa. Sijui km watu wengine huzaliwa hivi au la. But, wengine huipata wakinajisiwa. Ambapo, watapata majeraha yanayosababisha hii fistula.
@lucylinekendimugambi55 ай бұрын
Pole sana mummy,
@cathysiriyamachozimuchiri32365 ай бұрын
Symo saidia huyu msichana
@susannjoki-bl6mu5 ай бұрын
Poverty is so bad may God remember her
@janekimemia41405 ай бұрын
Very sad indeed.God have Mercy on her
@LucyMaina-mu2td5 ай бұрын
God,how does people took humanity or mercy,Lord have mercy to Gladys
@lucymaina35085 ай бұрын
Uuuu mungu wangu musaidie mungu wangu
@teresiahnjeri54575 ай бұрын
Mimi siwezi fumilia kichapo naenda kwetu n huyo mtoi nikakunywe unji uko,mm hata pengine dio sipatagi bwana juu kuvumilia apana
@judywairioko39845 ай бұрын
😢😢😢hujaskia venye kwao kuko
@teresiahnjeri54575 ай бұрын
@@judywairioko3984 but mwishowe alirundi,angerundi kitaboo kuliko kungonja kifo n madhara
@TabithaKariuki-yj9lk5 ай бұрын
@@judywairioko3984Lakini ata Kwa bwanake hakuna kitu ..hapewi pesa Na juu yake anachapwa 😢
@monienjeri30425 ай бұрын
Angeenda aje kwao na 50 bob, ukiona mwanamke akivulimia usiwai blame, ju kuna siku itafika ajitoe
@teresiahnjeri54575 ай бұрын
@@monienjeri3042 kwn mwishowe alienda anje,vitu zingine n watu kujitakia ,hata km mnashinda kiasi gani kwenyu n kwenyu,,afadhali kudeal n jaa kuliko kudeal n ugonjwa,ss ona vile anatuseka n hio ugonjwa
@VeronicaDunbar-q5v2 ай бұрын
Hio labda ni condition ya fistula. Ambapo mikojo hutika anytime bila control. Tafathali Mungu mponye na hilo na yoteee. Mola Maulana, tafadhali mponye na umuinue zaidi ki mali na hali. Brother yake aitwa Musa Julius Sengei. Please, watu wajuae alipo, muambie arudi wakasaidiane na sister yake. Na tujue, mla nawe, hafi nawe, ila mzaliwa nawe. Julius tafuta dadako. Anakuhitaji.
@cathysiriyamachozimuchiri32365 ай бұрын
😢😢so sad Mungu saidia hii family
@PaulNjugunaKimani5 ай бұрын
These stories of young women giving themselves are too many. How can one stay with a killer husband simply because her mother or parents are poor? .
@eunisonc74945 ай бұрын
My own sister has lived with an abuser, not for lack of our support but because she 'loves him too much ' 😢. It has reached a point of ignoring her even when she cries to us for help
@annekamau67385 ай бұрын
Lord have mercy
@HannahNgendo-hm8eq5 ай бұрын
Symo unafaa kupin number kwa comment ama unaweka kwa screen
@annmumbi36845 ай бұрын
Its so sad God intervene for her, she has gone through fire
@AnnNjau-ss2qt5 ай бұрын
Symo don't forget she also needs deliverance..try to connect her with a real man of God
@Harun_kiba5 ай бұрын
😢😢😢😢so sad gen z representing
@Edgybhthjklew5 ай бұрын
Isikue huyo babako alikasirika na akasema kitu vile alikua akipiga mamako ju ulikataa akuuze 😢😢😢😢😢.Again mbona bwanako alete wanaume wakudhuru c angekuacha tu kwa nyumba vile alienda after hicho kitendo some men are worse than animals alifaindika aje sasa ???😢😢
@MaryJay-m5x5 ай бұрын
No problem yote twa sikia
@rahabgichuhi78155 ай бұрын
First of all she needs to register with NHIF. The card will help her get treatment.
@monienjeri30425 ай бұрын
How will she ad she ain't capable... aiii, 😏
@PaulNjugunaKimani5 ай бұрын
This family never trys treatment. The mother died at home with no treatment. What's up with the area leadership? There seems to be too much ignorance and high levels of poverty.
@LucyMaina-mu2td5 ай бұрын
She had no money to pay for Nhif card
@kezzybett11425 ай бұрын
Hey symo
@FloraWAnjiru-u4d5 ай бұрын
Jesus watu wengine ni mashaitani
@judykamau875 ай бұрын
So sad. Aki.
@JackOdero-xk2rr5 ай бұрын
The people who mistreat house gals have caused a lot of hell in the lives of these young ladies. Why take someone’s child n you can’t afford even to treat her well or afford to pay her?
@Edgybhthjklew5 ай бұрын
It's soo sad 😢
@JackOdero-xk2rr5 ай бұрын
@@Edgybhthjklew haven’t heard such a sad story. Some Humans are so evil🥲🥲😭😭😭😭
@queentiger98275 ай бұрын
😢😢
@susankaburu45275 ай бұрын
Huyo ata hufai ku muita bwana yako
@PaulNjugunaKimani5 ай бұрын
Wewe symo ni std 3 not form 3....sad😂😂
@davidndungu5105 ай бұрын
You are soo poor at asking questions, repeating same thing making and loosing concentration