NDARO UNAENDA WAPI NA MKEWANGU

  Рет қаралды 326,613

Steve Mweusi

Steve Mweusi

Күн бұрын

Пікірлер: 483
@lamonochesi6383
@lamonochesi6383 2 ай бұрын
I'm watching this from Nairobi Kenya... Steve and Ndaro you'll break my ribs 😊😁😁😁
@JeffMusyoki-uk5rj
@JeffMusyoki-uk5rj 2 ай бұрын
Steve 😂😂😂😂banaa nawapeda sanaa🇰🇪🇰🇪mnatufuraisha aaaa
@angeljoseph8103
@angeljoseph8103 Ай бұрын
Kweli wanaiondoa stresss pia wanafundisha
@YUSSUFVUAIMKANGA-kr8on
@YUSSUFVUAIMKANGA-kr8on 2 ай бұрын
Hatari sana gari LEFT HAND Dah muhimu mchongo uende😅😅😅😂😂😂🇹🇿💪
@PaterneMoke
@PaterneMoke 2 ай бұрын
Mu congo kama Mupo apa kwa steve weka like yako🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@AloyzeMartin
@AloyzeMartin 2 ай бұрын
Wakwanza mm
@RiverSms
@RiverSms 2 ай бұрын
Tuko baba tupeni like
@BarakaShabita-gc9db
@BarakaShabita-gc9db 2 ай бұрын
Chisekedi
@katembomuhiwa9956
@katembomuhiwa9956 2 ай бұрын
Wa Congo tupo wengi
@PatricienneChançard
@PatricienneChançard Күн бұрын
Tupo😊
@AzamDjimmy-w9h
@AzamDjimmy-w9h 2 ай бұрын
Steven na Ndaro nawa kubali sana muna ni vunjaga mbavu sana , mimi niko mu kongo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@FrancisMuthini-x8d
@FrancisMuthini-x8d 2 ай бұрын
Ndaroooooooooo amecheza kama yeyeeeeeee 😹😹😹😹😹😹😹😹😹
@OscarDzombo
@OscarDzombo 2 ай бұрын
Hawa jamaaa moto sana ,jifunze kukaa nje usome mazingira😂😂😂❤ 🇰🇪
@shebbylovemsafi903
@shebbylovemsafi903 2 ай бұрын
🇿🇦🇿🇦🇧🇮🇧🇮❤❤ Steve na ndaro nawapakubali sana
@elongabazibuhe
@elongabazibuhe 2 ай бұрын
Mosala kitoko makasi batu nangai nalingi bino makasi
@InukaUangaze-s3y
@InukaUangaze-s3y 2 ай бұрын
Mjini yataka ujanja weeh kweli nawapenda ❤❤❤❤❤❤❤😂😂😂😂😂😂
@Princebktanzania
@Princebktanzania 2 ай бұрын
Mnaachia comedy nzuri sana kupewa tuzo aaaaaa❤❤❤
@jamesmunzu6414
@jamesmunzu6414 2 ай бұрын
hii mbaya walai wnafaa kupewa tuzo
@Princebktanzania
@Princebktanzania 2 ай бұрын
@jamesmunzu6414 😂
@bonfacemunoru
@bonfacemunoru 2 ай бұрын
Steve walai ni chizi kweli😂😂😂
@JaphetOs
@JaphetOs 2 ай бұрын
Mim Nina oni kwako Steve unaonaje ufanye comedy na brother k😂😂😂😂
@NemesKisasa-d8l
@NemesKisasa-d8l 2 ай бұрын
😅😅Ukiachana na comedy kusema kweli Steve hana akili timamu 😅😅
@SidiMariam-ph7cc
@SidiMariam-ph7cc 2 ай бұрын
😂😂😂😅
@africatanzaniatours
@africatanzaniatours 2 ай бұрын
Yaan yaan uyuu jamaa stive anazingua, yaan ni kichaaa huyu
@StevenBiseko-o4e
@StevenBiseko-o4e 2 ай бұрын
mko vzr sana ety
@OsmundaMtega
@OsmundaMtega 2 ай бұрын
Haha 😅😅
@Dafetty
@Dafetty 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂 ata mie naona
@cmpbukavuofficial553
@cmpbukavuofficial553 2 ай бұрын
afu nyinyi nisiwabane tu. nimepata cheko mpaka chozi imetoka. 😂😂😂❤❤❤ from DRC
@GamitoPatricioEdmarques-sp1uy
@GamitoPatricioEdmarques-sp1uy 2 ай бұрын
Nawakubali sana🎉🎉 from Moçambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@TausRaj
@TausRaj 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂duuuuu hii vichwa viwilii puuuuuuuu
@BarackaShantel
@BarackaShantel 2 ай бұрын
Steve kala kibao Cha ukwel bila kutegemea dah big up kaka ndaro kwa kibao chako saf
@JoaoTomásCaneta
@JoaoTomásCaneta 2 ай бұрын
Ndaro na mweusi wanachekecha sana 😂😂😂😂😂
@vincentcosmas9822
@vincentcosmas9822 2 ай бұрын
Kazi nzuri! Japo ilipaswa kuishia tu kwenye kuhama na si kudaiana!
@daudamir-o9n
@daudamir-o9n 2 ай бұрын
Daah! Ni bonge la idea mkuu mnajua
@JeanPompidou-b5j
@JeanPompidou-b5j 2 ай бұрын
Leo niko wa kwanza...nipeni likes zangu from congo🇨🇩🇨🇩🇨🇩❤️
@FideleShukuru-l2h
@FideleShukuru-l2h 2 ай бұрын
Mumetish sana wap Tim ndaro weka like ❤❤❤❤❤❤❤
@khadijabonface
@khadijabonface 2 ай бұрын
Ndarooo 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌ulienda makaburini kufanya nn 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@jovinmahende
@jovinmahende 2 ай бұрын
Ndaro umecheza uwalisiaa knoumaa😂😂
@OnyangoFelix-z5i
@OnyangoFelix-z5i 2 ай бұрын
eih steve na ndaro mnanimaliza aise.kutoka 254
@YohanaCharles-x4t
@YohanaCharles-x4t 2 ай бұрын
Hiiii, kaka ndaro na stevu ni nzr sanaaa
@mpjozzegalvanize4926
@mpjozzegalvanize4926 2 ай бұрын
Sema hii style ya kuhama nimeikubali 😂😂😂
@AndrewFundi
@AndrewFundi 2 ай бұрын
Wa tatu nipe like kumi tu 🎉🎉
@Licious623
@Licious623 2 ай бұрын
nakupenda steve ❤❤
@djvaraneondebut1730
@djvaraneondebut1730 2 ай бұрын
Steve mtu wg nakupenda sana sana ❤❤❤❤
@JamesSimon-p2x
@JamesSimon-p2x 2 ай бұрын
Ahsante
@CarlosFulgence
@CarlosFulgence 2 ай бұрын
We ndo wa kwanza tz nzima kudaiwa kodi 😂😂😂😂🎉🎉🎉❤❤
@PaulMzaliwa-lu5kz
@PaulMzaliwa-lu5kz 2 ай бұрын
Kama unamkubali Ndaro na Steve likes yangu comments
@FransVyenya-t2w
@FransVyenya-t2w 2 ай бұрын
Nawakubar sana ndaro na Steve wanaweze nainjoy sana nikiangalia vichekesho vyao
@Johnsontweve12
@Johnsontweve12 2 ай бұрын
Ww ndaro ni noma sana Hii mbinu ni nzuri sana hata kwenye majumba ya kupanga
@saidsaidimpemba4756
@saidsaidimpemba4756 2 ай бұрын
Ndaro ndo kaweka harufu kwenye ushuzi kama ulikua aujui duuuuuh 😂😂😂😂😂
@Awoshy
@Awoshy 2 ай бұрын
😂😂😂😂wallah nimecheka Kumbe siku zote tusikia harufu na amekaa kimya tu🙌🤣😂😂😂
@youngplatla
@youngplatla 2 ай бұрын
Steve ww n mwendawazimu😂 kweli
@Wamwakera254
@Wamwakera254 2 күн бұрын
Ni wewe tu enterprises campan 😂😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
@GeoffreyChumba-x7u
@GeoffreyChumba-x7u 10 күн бұрын
So nice 😂😂😂 mbavu do twavujwa uku😅from Nairobi kenya
@SAFEGUIDECONSULTANCY
@SAFEGUIDECONSULTANCY 2 ай бұрын
UBAYA UBWELA STEVE AND NDARO
@HidayaMgeni-b8t
@HidayaMgeni-b8t 2 ай бұрын
Stive nakupenda siwezi ishi bila ya ww tena ukidance ndo unanimaliza 🤣🤣
@rulebudodo2301
@rulebudodo2301 2 ай бұрын
Steve ndio mchekeshaji pekee mwenye subscribers wengi mnooo KZbin. Hongera sana Steve.
@BakariBoi-w4b
@BakariBoi-w4b 22 күн бұрын
Oya stive unaweza snaaa hawakuwezi bongo hukooo😂😂😂
@AmiriJuma-v1u
@AmiriJuma-v1u 2 ай бұрын
Oya Steve mweusi asilimia mia 😂😂😂😂 nakukubal kama unamkubal naww gonga like hapa ❤
@Janvier-y4r
@Janvier-y4r 2 ай бұрын
Ndaro na Steve nyinyi niatari😂😂❤
@AmigoDrummer
@AmigoDrummer 2 ай бұрын
Mmetisha
@jacomolo5758
@jacomolo5758 2 ай бұрын
anyone from kenya piga like hapa kwa ndugu zetu watanzania kazi nzuri KE KE approves
@GodfreyNjagi-g6b
@GodfreyNjagi-g6b 2 ай бұрын
aisee watanzania kwa comedy noma niko kenya lkn nawakubali wanangu
@Boniphacetz-w9x
@Boniphacetz-w9x 2 ай бұрын
Ila steve na ndaro miyeyusho sana
@bonifacepatrick5077
@bonifacepatrick5077 2 ай бұрын
😂
@AllyBabu-kr6lg
@AllyBabu-kr6lg 2 ай бұрын
Stiv iyo ticha konde kuicheza unaiwezea balaaaaaaaaaaaa 😅😅😅😅
@dannyosolo2752
@dannyosolo2752 2 ай бұрын
Fadhili za Mwenyezi Mungu kwenu wote❤❤😊😊😊
@AllyMickson
@AllyMickson 15 күн бұрын
Nabapenda sanaaa
@VictorAmerco
@VictorAmerco 2 ай бұрын
Yani mm ninavio wakubali 🎉🎉🎉nipo moçambique nawapenda sana❤❤
@ThomasMmary-r7w
@ThomasMmary-r7w 2 ай бұрын
Kazi nzuri Steven mweusi 😅👍
@josephelias3004
@josephelias3004 2 ай бұрын
Washa Gari tuondoke na yeye ndio dereva😂😂😂
@KhadijazabronMwajombe
@KhadijazabronMwajombe 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂🎉🎉🎉Aki nimependa mupango WA ndaro😂😂😂😂😂
@KumbukaChares
@KumbukaChares 2 ай бұрын
Oh kaz nzuri sana hongera sana
@Nkingi-pm9dm
@Nkingi-pm9dm Ай бұрын
Ila Steve bwa nakupenda kutoka Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@FelisterKerubo-xq1ui
@FelisterKerubo-xq1ui 2 ай бұрын
Steve umeoa,unioe Mimi nimekupenda bure
@jacobmatuku6408
@jacobmatuku6408 2 ай бұрын
😂😂
@josekioko3960
@josekioko3960 2 ай бұрын
Steve mambo vipi..ulisema unyoi hio nywele
@TausRaj
@TausRaj 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂 Ila ndaro ilo shitiii la blue
@FidelSimon-yy6vl
@FidelSimon-yy6vl Ай бұрын
Mini wakwanza kutoka Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩 mnipe likes zangu
@jamesmunzu6414
@jamesmunzu6414 2 ай бұрын
kwa mara ya kwanza nimeona ndaro akiwa mstarabu 🤣🤣🤣🤣 ata mwenye nyumba akaogopa kuchukua kodi
@JonasiStephano-x9u
@JonasiStephano-x9u 2 ай бұрын
Nakukubali sana kaka kigoma tunakukubalisana
@ChenchiKing
@ChenchiKing 2 ай бұрын
Ila Hivi Vichwa Jamanii❤🎉🔥🔥🔥
@KIB-JSANLEY
@KIB-JSANLEY 2 ай бұрын
Aidiya nzuri sana ndaro anakuwaga mjanja sana😂
@fubufilmskaliua
@fubufilmskaliua 2 ай бұрын
Nakubali sana 😂😂😂😂😂😂😂❤❤
@ashamwanganzi6400
@ashamwanganzi6400 2 ай бұрын
😂😂😂😂ila ndaro mcheshi yuko smart san kiakil aisei😂😂😂
@ElikanaMganda
@ElikanaMganda 2 ай бұрын
Pamoja sana wazee mnawakilisha🇹🇿🇹🇿
@neemaamos2061
@neemaamos2061 2 ай бұрын
😂😂😂 huy ndo lafik sasa
@glorymanga3650
@glorymanga3650 2 ай бұрын
Kazi nzuri sanaa❤
@DanielShomunda
@DanielShomunda 2 ай бұрын
Hapo sawa bro 👏👏👏
@bamsBeywamakaz
@bamsBeywamakaz 2 ай бұрын
Daaa 🎉🎉 noma sanaa
@Orgenenoire195
@Orgenenoire195 2 ай бұрын
😂😂😂😂 dahhhh nyie mnajuwa sana
@halima2382
@halima2382 2 ай бұрын
😂😂😂❤❤nawapenda muno
@alicksango9878
@alicksango9878 2 ай бұрын
Love this❤
@ShedrackBishaza-qd4vq
@ShedrackBishaza-qd4vq 2 ай бұрын
Mumetisha sana wap Tim ndaro weka like ❤❤❤❤
@HessySkopah
@HessySkopah 2 ай бұрын
Steve keep it up bro,,,we enjoy your videos.
@Nashoni1996
@Nashoni1996 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂 mmetisha kweli😂😂😂 mmeweza
@Youngblackog-l7v
@Youngblackog-l7v 2 ай бұрын
Ilastive utaniuwa 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 0:34
@DishaniDisha-zm2gm
@DishaniDisha-zm2gm 2 ай бұрын
Kazinzuri sana Mr steven mweusi
@glorymanga3650
@glorymanga3650 2 ай бұрын
Kazi nzuri❤
@Sophia-b2o7t
@Sophia-b2o7t 2 ай бұрын
Hawa jamaa lazima wageukane 😂😂😂
@abubakaryChakx
@abubakaryChakx 2 ай бұрын
Kazi Safi brothers
@SabinaLuisJonas
@SabinaLuisJonas 2 ай бұрын
Nawapenda sana stivi na ndaro 😊😊😊😊😊😊❤❤❤❤❤
@ramaahke512
@ramaahke512 2 ай бұрын
Hapo kwenye ushahidi sasa 😂😂😂😂
@christianmwami8323
@christianmwami8323 Ай бұрын
Ndaro una enda wapi na mke wangu, ndo title ! sasa mbona si one muke huyo 🤔🤔😂
@LailatAbdullah-w9d
@LailatAbdullah-w9d 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤ nimecheka hadi nimepaliwa
@Awoshy
@Awoshy 2 ай бұрын
Ndaro ntakushtaki kumbe ni wewe umetia harufu kwenye ushuzi jamani 😂😂😂😂
@WilondjahusseinprinceMulassiny
@WilondjahusseinprinceMulassiny 2 ай бұрын
Ndaro nastive nakibara bawape mahuwayenu❤❤❤❤❤
@BrianotienoOchieng
@BrianotienoOchieng 2 ай бұрын
Brian from Kisumu watching.Aki Steve na Ndaro msizeeke aki
@haruniblackson1318
@haruniblackson1318 2 ай бұрын
😂😂😂, ila Steve we noma bhn🔥🔥🔥, ila akili timamu huna😂😂😂
@hatangafelix5598
@hatangafelix5598 2 ай бұрын
😅😅😂😂😂nimepata mbinu za kuhama na madeni 😂😂😂
@OsadyMoses
@OsadyMoses 2 ай бұрын
Tatzo lakupanga nyumba na 40years 😂😂😂😂😂
@showloveteam
@showloveteam 2 ай бұрын
ebana stive nampenda bulee 😍😍😂 huu jamaa ndo Simba wao kwl😂😂😂
@barakapaul6685
@barakapaul6685 2 ай бұрын
From Kumamoto Japan we love you so much ndala and Stephen 🙏
@JescaAugustino-m9h
@JescaAugustino-m9h 2 ай бұрын
😂😂😂 mnanipa rahà aiseeee
@Knoxx-melodie
@Knoxx-melodie 2 ай бұрын
Ndaro anajuwa sanaa na Steve pia apewe mauwa yake…….hii combination yenu inaitaji kutowa movie kbs 😂🤣🤣🤣
@abubakaryChakx
@abubakaryChakx 2 ай бұрын
Kazi Safi Sana brothers
@RaphaelErasmus
@RaphaelErasmus 2 ай бұрын
Leo mmetisha sana🔥🔥
Леон киллер и Оля Полякова 😹
00:42
Канал Смеха
Рет қаралды 4,7 МЛН
It works #beatbox #tiktok
00:34
BeatboxJCOP
Рет қаралды 41 МЛН
coco在求救? #小丑 #天使 #shorts
00:29
好人小丑
Рет қаралды 120 МЛН
LEO STEVE KAYAKANYAGA KIMEUMANA DOGO SELE
13:13
Steve Mweusi
Рет қаралды 47 М.
UTACHEKA STEVE MASELE CHAPOMBE KIMEUMANA
13:35
Steve Mweusi
Рет қаралды 495 М.
WE  UNAUZA AU NDARO STEVE MWEUSI UMESEMAJE
18:27
Steve Mweusi
Рет қаралды 390 М.
NDARO NA STEVE KUMBE MAFUNDI UTACHEKA
14:02
Mweusi Family
Рет қаралды 626 М.
NUNA tu ila Leo hauli STEVE MWEUSI 😂 umeyakanyaga kaka NDARO aje kukusaidia
8:47
FILMS BONGO INSTA CLIPS RECAP
Рет қаралды 133 М.
NDARO NA STEVE MWEUSI WAROHO UTACHEKA
13:28
Ndaro Tz
Рет қаралды 636 М.
NDARO NA STEVE WALIVOUMBUKA UTACHEKA
18:16
Ndaro Tz
Рет қаралды 272 М.
ASKAR FEKI
7:22
Joti TV
Рет қаралды 673 М.
STEVE NA NDARO WALIVO VURUGA NDOA UTACHEKA
16:04
Ndaro Tz
Рет қаралды 1,1 МЛН
Леон киллер и Оля Полякова 😹
00:42
Канал Смеха
Рет қаралды 4,7 МЛН