Nasikitika kuona mtt wa kiume akiomba like Tena kwa wanaume wenzeke" ww n mwenzetu nn unakuwa omba omba mnaacha kusapot Kaz naomba like" nyie ndo joti? Had wanawake nao naomba like naomba like mtawaomba hao hao mm bando langu nanunua kwa pesa yangu huwez niomba like kenge yyt yule povu ruksa
@oberdmwangasama691311 ай бұрын
@@PaulinaSemindu-ob3de vp unateseka??
@abubakarmwachuo133711 ай бұрын
Nangaaa😂😂awashee radio kol🤣🤣
@Barawani111 ай бұрын
Nishai mkali wao Leo wa kwanza kukomenti
@simonandrew148911 ай бұрын
Big Up Mr Joti Nice Job
@Mumewangu8 ай бұрын
Kama na wewe unafikiria wale waliotiwa katika Buti watapataje kupumuwa weka like
@suleislim451911 ай бұрын
Ule mtama umekubali aisee
@PaulinaSemindu-ob3de11 ай бұрын
Emolo kajiongeza kukimbia😂😂
@agnesjohn938211 ай бұрын
Kumbe ni nyinyi washenzi,eee ni sisi mkuu 😂😂😂 jot umepatikana na mke kashabandika sufuria wewe una enda jela 😂😂😂😂 hii kali
@saidmasengo798811 ай бұрын
Wazee wa Kama unampenda jot/nishai gonga like hapa mpo wapi😂😂😂😂😂
@officialkamdudu11 ай бұрын
like unazipeleka wapi kenge wewe? acha ushamba 😏
@saidmasengo798811 ай бұрын
@@officialkamdudu WE MSENGE SITAFUTI MKE HAPA!!!😂😂Acha shobo nyang'au wewe Kila comment unajibu KAMA PUNGA VIPE😂😂😂😂🖕🖕🖕
@aboubakar8811 ай бұрын
Nanga + joti ni💥
@mohammedkidody561811 ай бұрын
Joti my legend🔥🔥🔥
@queenandchill9111 ай бұрын
AFANDE NISHAI MTOMBANGILE KITWANGO MIKAZO MIGUNO umepatikana leo wallahi 😂
@CollisBill-mu3zp11 ай бұрын
Nishaiii 😂😂😂😂 Aisee ili jina linafuraisha sana
@samsonnangai128611 ай бұрын
Jiongezeee
@chrisbee787611 ай бұрын
Uyuu rasta amezingua
@AliMuhammad-v3b10 ай бұрын
Mwana Wa mtombangile kitwango
@Jaydannychawaboy.11 ай бұрын
Nishatokea jamani nipeni like zangu basi hata tano tuh ❤❤❤❤❤❤😢😢😢😢😢❤❤❤❤❤❤❤❤😂😂😂😂😂😂
@RahmaRaoul11 ай бұрын
Wa kwanza leo naomba like ❤
@officialkamdudu11 ай бұрын
like unazipeleka wapi kenge wewe? acha ushamba 😏
@Shadia54411 ай бұрын
Nimewahi na miee nimekuwa wa 62😂😂😂😂 yaani daah hawa ASKALI WA MCHONGO😂😂😂
@maryamconstantine223211 ай бұрын
Wameyatimba alisikika whozu akiimba😂😂😂😂😂
@raymondtv547911 ай бұрын
😂😂😂😂 naam kazi nzuri
@mathayomwashambwa123811 ай бұрын
Blaza blaza...kiingeleza kidhuliiii
@geraldndosi208311 ай бұрын
Afande ana Rasta
@RamadhanSalum-tv26 күн бұрын
Joti malinyi tunakubali sana kazi yako😂😂😂😂😂
@khadhiriramadhan598411 ай бұрын
hii really kabsa jot askari watz
@babaqaira908011 ай бұрын
Kazi nzuri brother
@FranceThomas-ug2ed11 ай бұрын
Kweli mkubwa umetisha joti
@MsumbiAutoSpareParts11 ай бұрын
😂😂😂😂 nnje ya kituo ila nishai daah 🙌🏾
@abubakarkizinga352811 ай бұрын
Nimependa! umefanya kitu Cha tofauti just like that.
@NiyonizigiyeJanvier11 ай бұрын
Anatafta riziki jamani😂😂😂
@faidhacute11 ай бұрын
Nanga 😂😂😂 yan ananichekesha kabla hata hajaongea yan matendo tu
@GervasiMwacha4 ай бұрын
He! Mama Junior!! Ooooh ok kumbe!
@joshuanzitabungi551010 ай бұрын
😂😂😂😂nishai ana kutana nayo kabisa 😂😂😂😂😂
@royalshavin-dy6hu8 ай бұрын
weka like apa kama ww ni MTANZANIA🇹🇿
@sarastephano34097 ай бұрын
Walah nimecheka sana😂😂
@apollobupolo98849 ай бұрын
Mmh kwa yanga hii😀😀😀
@abdullahabdulla969711 ай бұрын
Kama na ww unaangalia upo kitandani Kama mm weka like yako hapa
@djumajay285711 ай бұрын
Afande nishai leo mmh wllh bado ungali number one 😂😂😂😂
@Newage.designbuild9 ай бұрын
Mi naomba subscription tu wadau
@OmbenYotham2 ай бұрын
❤ kw nn w kenya Hatuw comment❤ Tuna wapenda sana❤❤❤
@jumasalim455410 ай бұрын
Nanga unajua kaka…nimeanza kukufatilia zile scene zako na shafii. Unajua had unajua tena
@koniasalingo216511 ай бұрын
Kazi nzuri
@mussaramadhani48409 ай бұрын
Kapewa ela ya moto😅😅
@salimumohamed161910 ай бұрын
Kz nzr joti sema Ina bidi muwe serious Sana askali gani ana Rasta hivyo Bora angekaa kanyinyi hapo inge pendeza vzr
@titolugoe-q3z3 ай бұрын
Hapo ishu comedy wawe serious vp?
@jaxmkada679710 ай бұрын
Tuhumiwa tenaaa😅😅😅😅😂😂😂😂
@JumaMfano11 ай бұрын
Joti number one ❤❤❤
@GodenBMDaniel6 ай бұрын
Hii Kali sana
@paschalpeter343911 ай бұрын
Jiongezeeeee😅
@ahmedsdk673611 ай бұрын
Huo mtama nimeupenda haswaa 😂😂😂
@mambomganizi11 ай бұрын
😂😂😂😂 mm nimepangiwa nje ya kituo
@DizzoOg8 ай бұрын
Noma san
@nickvon764011 ай бұрын
Wakwanza🔥🔥🔥
@edgermwaitenda753911 ай бұрын
Nanga on fireeee
@JohnDoe-hy5hh11 ай бұрын
Kwa mlio mikoani hiyo sehemu aliyoigizia joti ndo panaitwa leaders club.