NDEGE YENYE KASI ZAIDI DUNIANI "BLACKBIRD" INAPIGA PICHA 100,000 KWA SAA

  Рет қаралды 97,575

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 254
@ViniciusOfficialtz
@ViniciusOfficialtz 3 ай бұрын
Team Russian gonga like 😂
@amanmalima940
@amanmalima940 3 ай бұрын
Yesu Ndiye njia ya kweli na uzima ya kwenda mbinguni hebu mwamini Yesu na UOKOKE na Ulithi uzima WA MILELE na uende MBINGUNI.(Yohana14:6, Warumi10:9-10).
@AyubuRashid-j7g
@AyubuRashid-j7g 2 ай бұрын
Mimi napenda ukristo lakini kuna sehem unanichanganya
@peterdeus6093
@peterdeus6093 Ай бұрын
Iv izi akili mnazitoaga wapi, watu wanamaada nyingine wew unakuja na mambo ya dini, kaanze na jirani yako
@venancerutta6875
@venancerutta6875 3 ай бұрын
Kwa ufupi marekan miaka hy bomu la hytomic kapiga japan mpaka sasa ni visiwa marekani kama taifa inaweza kuiondoa nchi yeyote ktk ramani ya duniani
@vladimirputn1809
@vladimirputn1809 3 ай бұрын
Miladi wamekutuma marekani utudanganye hatudanganyiki tunaipendaurusi kuliko wali🇷🇺💪🏼💪🏼💪🏼💪🏼
@martinisadru9899
@martinisadru9899 3 ай бұрын
Huo ndio ukweli, zamani urusi alikua bado kwa technology, ila kwa sasa amekua kidume kwenye technology.
@PUTINN365
@PUTINN365 3 ай бұрын
Nakukubali mwamba hatudanganyiki viva putin
@eng.makolal1367
@eng.makolal1367 3 ай бұрын
Jifunze kuandika kwanza.
@fredducaunt
@fredducaunt 3 ай бұрын
​@@PUTINN365😂😂 kichwani upepo tu Sasa wamedanganya nn
@HassanLamata
@HassanLamata 3 ай бұрын
Rudia kusoma upya historia ya kweli kaka Soviet ndo ilikuwa tishio Dunian kwa tecnolojia shida WENGI hhatuna historia ya kweli tumedanganywa kwa muda mrefu sana ​@@martinisadru9899
@MsokaDibron
@MsokaDibron 3 ай бұрын
Asante kwa ku2juza, wamarekan ni hatar kubwa
@muhsinmwamkunja9702
@muhsinmwamkunja9702 3 ай бұрын
Marekani katumiwa mapupo tuu yakawa yanachukua data karibu na ikulu na watu hawajajitamba
@shabanidaruweshi-jw5jy
@shabanidaruweshi-jw5jy 3 ай бұрын
Ayo tv sasa anataka kujiharibia kutudangnya watazamaji
@hamidamussa-sy4fm
@hamidamussa-sy4fm 3 ай бұрын
Ayo tv yuko vizuri sana sio kama sns
@magigesabai8674
@magigesabai8674 3 ай бұрын
Marekani yuko mbali sana ni ngumu kumuangusha ni Mungu pekee mwenye uwezo wa kumuangusha miaka mingi sana yuko mbali ktk technology
@sakuranitillya6088
@sakuranitillya6088 3 ай бұрын
😂😂😂 we bado sana
@magorymara5515
@magorymara5515 3 ай бұрын
Ni kweli lakin mbona anamuogopa Urusi
@michaelmisana650
@michaelmisana650 3 ай бұрын
Sasa ana muogopaje urus
@simoncmatanda5135
@simoncmatanda5135 3 ай бұрын
Hawa wote wanaogopana ki teknolojia
@ramakeido3330
@ramakeido3330 2 ай бұрын
Zikitunguliwa setelat hizo zinakuwa kama mapambo tu
@theoriginals3240
@theoriginals3240 3 ай бұрын
viva America ✊✊✊✊✊
@PUTINN365
@PUTINN365 3 ай бұрын
Shoga huyu tayari serikali tukamatieni huyu
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 3 ай бұрын
​@@PUTINN365shoga ni ww unaoutaja ushoga wenyewe.Kuutaja taja ushoga mara kwa mara ni sawa na kuueneza ushoga wenyewe.
@theoriginals3240
@theoriginals3240 3 ай бұрын
@@MathewNathan-yb2bz mpumbavu, alafu unakuta watu kama hawa ndoto zao ni kwenda america
@sakuranitillya6088
@sakuranitillya6088 3 ай бұрын
Wana mda mdogo sana hao marekan8
@NgaizaKimbeNgaizakimbe
@NgaizaKimbeNgaizakimbe 3 ай бұрын
​@@MathewNathan-yb2bzUlienda Kwenye Mkutano Wenu Washington?😂😂😂😂
@hamidamussa-sy4fm
@hamidamussa-sy4fm 3 ай бұрын
Marekani yupo juuu sana
@husseinhemedi9314
@husseinhemedi9314 3 ай бұрын
Kilakitu cha kipekee Dunian kina tokea marekani Hawa wazungu wa usa wametudangany mno sasahivi hawaniambii kitu kuhusu Russia 🇷🇺🇹🇿🤝
@tekashisixtynin9threewithd727
@tekashisixtynin9threewithd727 3 ай бұрын
Asa RUSIA amekisaidia nn paka saivi ww kama ww ama kwa nchi yako kama sio wanapiga kelele kuona wanaonewa na marekani na washurika wake acha na marekani anamsaada mkubwa sana
@georgekimasaofficial1629
@georgekimasaofficial1629 3 ай бұрын
Tumesha kujuwa jina linajieleza 😂😂😂😂utasubiri sana Marekani idondoke ila na mwisho wa Dunia utakuwa umefika😂😂
@MajiTakaMaji
@MajiTakaMaji 2 ай бұрын
​@@georgekimasaofficial1629ufike mara ngapi
@YohanaMasebo
@YohanaMasebo Ай бұрын
​@@tekashisixtynin9threewithd727mkundu wewe amekutombea mama yako
@WadySaidi
@WadySaidi 3 ай бұрын
Waongo wameanza kutufanganya tena umeshagunduliwa nyinyi waongo sanaa
@fredducaunt
@fredducaunt 3 ай бұрын
Mpaka uletewe mlangoni ndo uamini 😂😂
@WadySaidi
@WadySaidi 3 ай бұрын
Sijui wewe zuzu
@robertmosha6801
@robertmosha6801 3 ай бұрын
Kasome wikipedia
@mchinatz9335
@mchinatz9335 3 ай бұрын
Lengo la kuleta hii habari ninini ? Sasa kwamba mtatutisha sisi team Russia
@martinisadru9899
@martinisadru9899 3 ай бұрын
We, m, Russia wapi, we mjinga wa hapo pugu,, umesha ambiwa hiyo ilitumika miaka ya 60-94, haitumiki tena,
@josephatjordan2150
@josephatjordan2150 3 ай бұрын
Ww Uko Russia mama ako yuko US
@donaldmgunda4970
@donaldmgunda4970 3 ай бұрын
Lengo letu ni kutaka kuwapiga ninyi warusiiii kule ukrainaaaaa
@magretherick1478
@magretherick1478 3 ай бұрын
Wew martini fuatiria vzr Russia ndio ilikua na ndege zenye kasi kwaajili ya eneo lake lilikua kubwa enzi za usoviet
@PUTINN365
@PUTINN365 3 ай бұрын
Sisi ni russia
@wangaeliwilfred2919
@wangaeliwilfred2919 3 ай бұрын
Team USA tupo
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 3 ай бұрын
Marekani kwa teknolojia wako juu sana
@shaurimtanda8285
@shaurimtanda8285 3 ай бұрын
hamna kitu usiwe mvivu wa kusoma mambo ya sasa dunian
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 3 ай бұрын
@@shaurimtanda8285 nani zaidi ya mmarekani labda Israel
@adolphmwangoje2887
@adolphmwangoje2887 3 ай бұрын
Ndege ilitangazwa kwenye TOP GUN MARVELICK mkiwa mnangalia movie angalia silaha mpya ipi imewekwa ndo utajuwa yaliyomo Zaid duniani 😂😂😂😂
@mwanahamisimohamed1364
@mwanahamisimohamed1364 3 ай бұрын
Upo sahihi,hii ni SR 71 " blackbird " anayozungumzia millard, lakini haizidi speed SR 72 "Darkstar" ndo imeonyeshwa kwenye movie ya TOP GUN ya TOM CRUISE na hii SR 72 "Darkstar" ina speed ya MACH 10, zaid ya hii anayoonyesha millard ayo ni SR 71 "blackbird"
@ELLYTECH
@ELLYTECH 3 ай бұрын
Yeah though ile ilikua inaitwa darkstar
@OthmanhajiMwalim
@OthmanhajiMwalim 3 ай бұрын
Asante kwa uwongo...
@pauloptatmosha8115
@pauloptatmosha8115 3 ай бұрын
Viva USA
@saeedally268
@saeedally268 3 ай бұрын
Kataa au usikatae marekani wako juu hata warus wachina wakorea wanalijuwa hilo
@emmanuelkanyela275
@emmanuelkanyela275 2 ай бұрын
acha uongo amguse mrusi ataona
@hamidamussa-sy4fm
@hamidamussa-sy4fm 3 ай бұрын
Wew mareka ju
@Chettymlambalipsi-lb9km
@Chettymlambalipsi-lb9km 3 ай бұрын
Millard tunataka mambo mazuri yanayofanywa na mataifa pinzani na marekani 😊😊
@fredducaunt
@fredducaunt 3 ай бұрын
😂😂 mambo mazuri ndo haya Acha muvi za kihindi
@bishweko
@bishweko 3 ай бұрын
Mbona isiende kumsaidia Zele boy huko Ukraine?
@magigesabai8674
@magigesabai8674 3 ай бұрын
Kama makombora ya Ukraine yanafika urusi na kupiga bila kutunguliwa ujue urusi bado sana ambacho anaweza kujivunia kidogo ni Nuclear Marekani yuko mbali sana
@muhsinmwamkunja9702
@muhsinmwamkunja9702 3 ай бұрын
Hata marekani walipeleka hymars ukrai ndo wakajitamba mtambo unaoweza kuzuia makombora sasa ivi upo makumbusho ya urusi kule watu wanautazama
@fredducaunt
@fredducaunt 3 ай бұрын
​@@muhsinmwamkunja9702 Ume-type nn 😂😂
@deluhdenis6499
@deluhdenis6499 2 ай бұрын
asante kwa maarifa
@magorymara5515
@magorymara5515 3 ай бұрын
Kwanza tuulize alieanza kurusha chombo cha mawasiliano angani ni nani tukishapata jibu huyo ndo mshindi wetu
@fredducaunt
@fredducaunt 3 ай бұрын
Mitano tena kwako 😂😂
@shaamemchauru1365
@shaamemchauru1365 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂🙏🙏🙏🙏🙏💓
@ShabaniSudi-d1x
@ShabaniSudi-d1x 2 ай бұрын
Russia is first to go far and high space
@PetroMpunga-rt7hv
@PetroMpunga-rt7hv Ай бұрын
Marekani ni TAIFA KUBWA
@ShabaniSudi-d1x
@ShabaniSudi-d1x Ай бұрын
@@magorymara5515 wa kwanza kurusha chombo angani ni Russia.
@Shebbytvs
@Shebbytvs 3 ай бұрын
Ukitaka kumuweza Mmarekani kwa vita anza kuwapiga wale watu wenye akili nyingi duniani ambao ni wa ISRAEL,pili wapige Wajerumani na tatu kampige babaake Mmarekani ambae ni UK tena ni kwa haraka sana alafu ndo mfate mwenyew kidogo unaweza kusumbuana nae ila bila hvyo utaishia kupga kelele kama yule KIDUKU wa Korea!!!
@simoncmatanda5135
@simoncmatanda5135 3 ай бұрын
ko sawa kiongoz wala skupingi
@abdimakame7929
@abdimakame7929 2 ай бұрын
Ata Mimi Sasa nimekubali awa watu ni shida%
@JosephatNgua
@JosephatNgua Ай бұрын
Watu hatujashituka,urusi Yuko vizuri sana isipokuwa anapambana na ulaya na marekani Kwa kupitia mgongo wa Ukraine​@@abdimakame7929
@geofreymilinga2965
@geofreymilinga2965 Ай бұрын
Nimesoma iyo coment nimecheka kimy kimya
@manchalijob9600
@manchalijob9600 Ай бұрын
Marekani ni kuma tu kwa urus
@edrickniwamanya5665
@edrickniwamanya5665 3 ай бұрын
Kwahiyo mnatutisha team Russia au ndo mnawashwa mnataka marekani akawapelekee moto??
@absm8084
@absm8084 3 ай бұрын
Huko walishatoka kitambo😂😂😂😂
@eliuskamwelwe1018
@eliuskamwelwe1018 3 ай бұрын
When it comes to technology,wamarekani nishawainulia mikono😂😂
@emmanuelShayo-dk6vf
@emmanuelShayo-dk6vf Ай бұрын
Sisi wabongo ni kunywa highlife tu na kujaza mavitambi yani sisi hatunaga akili kabisa toothpick yenyewe hatuna uwezo wa kutengeneza bladfuu...
@FilbertRobert-e4u
@FilbertRobert-e4u 2 ай бұрын
Hatari 😮
@khamisshabani691
@khamisshabani691 3 ай бұрын
huyo ndiyo mmarekani mrusi atasubiri sana
@maxmaxkitomary4742
@maxmaxkitomary4742 3 ай бұрын
Mashabiki waurus mbona mnalialia😅😅
@directortwicep3028
@directortwicep3028 2 ай бұрын
Wadhurst bwana yaani saizi kila kona udini na vita tu eeh kkkkk
@fahadsaid9616
@fahadsaid9616 3 ай бұрын
Acha ndege ya kupiga picha watu wana vipulizo(baloon)yani kiasi kwamba unaweza kuhisi labda watoto wanacheza au zawadi za sikukuu
@CivilEngineeringWorks-d7b
@CivilEngineeringWorks-d7b 3 ай бұрын
Kwa miaka hiyo technology kubwa hivyo Je kwasasa atakuwa wapi 🇺🇸
@venancerutta6875
@venancerutta6875 3 ай бұрын
Naugana ww marekani ni wababe na ubabe wao ni wa maaarifa kupindukia polisi wa dunia
@awamiabbas222
@awamiabbas222 3 ай бұрын
Mtajua wenyewe na mashoga wenzenu wa kimarekani sisi tuko na Russia /Urusi
@MkwizuMkufya
@MkwizuMkufya Ай бұрын
Mbona hatuonyeshi vita vinavyo endelea mnatuonyesha tu madenge
@ayoublupande3007
@ayoublupande3007 3 ай бұрын
Hatuogopi sisi jaribuni muone hahaha 😂
@PaurothyMedia
@PaurothyMedia 3 ай бұрын
Sasa mbona hawakumpiga urusi😅😅😅😅
@geofreymilinga2965
@geofreymilinga2965 Ай бұрын
Putini alikiri mwenyewe Marekan nitaifa lenye nguvu duniani tena aliongea kwa hisia kali na yenye uchungu sasa.
@geofreymilinga2965
@geofreymilinga2965 Ай бұрын
Ndege mweusi atar sana
@murtazantimba4270
@murtazantimba4270 3 ай бұрын
Hayo matango pori walisheni watoto wa 2000😅😅😅
@SmilingBulldogPuppy-nb9ur
@SmilingBulldogPuppy-nb9ur 3 ай бұрын
Hiyo ndio marekani yaani Uweza wake kijeshi ni kama Mbinguni na Ardhi ukilinganisha na nchini nyingine wote duniani, pamoja na hiyo kuna Ndege zingine hatari za marekani kama F 35,F16,BM 2 BOMBER Hatari sana
@jacksonngusi4122
@jacksonngusi4122 3 ай бұрын
Anazo za siri ambazo apaswi mtu mwingine kujua Marekani ni habar nyingine
@shubebunyesi542
@shubebunyesi542 3 ай бұрын
mmmh hii sio dunia ya kuongopeana na kulishana matango pori hakuna kitu ambacho mrusi mchina iran korea na baadhi ya mataifa hawana watu wamepiga hatua mbbali sana ukikiwasha kinawaka kweli unyonge uo hakuna labda cc dunia ya tatu
@OnesmoEphrata
@OnesmoEphrata 3 ай бұрын
Tatizo la wabongo wengi wao ni wajinga hawajui kuwa m'babe wa vita Kwa hii dinia ni MAREKANI hata ukimwi walio nao Hawa wabishi unatokana na MAREKANI napia dawa wanazo tumia ni msaada wa marekani
@NicePainter
@NicePainter 3 ай бұрын
Waambie waipeleka ukrine ...kama haijatunguliwa ...kwanza hyo ndege ni special kwa kipiga picha sio vita zaidi
@magretherick1478
@magretherick1478 3 ай бұрын
Kabisa😂😂
@fredducaunt
@fredducaunt 3 ай бұрын
😂😂 Unaambiwa zimestaafu baada ya ku-militarize satellite kwo saiv hazifanyi zipo kwenye military gallery ya marekani miaka zaidi ya hamsini we kwako ndo habari ndo unashtuka saiv 😂😂
@GodenBMDaniel
@GodenBMDaniel Ай бұрын
Ilidunguliwa na Russia
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ 3 ай бұрын
Hahahahahaha hii ilikuwepo kwenye vita yao na Taliban???
@MichaelMghamba-tv8ht
@MichaelMghamba-tv8ht 2 ай бұрын
nyoosha maelezo dada achauongo umeanza nakusema imetengenezewa marekani alafu baadae unasema imenunuliwa kimagendo kutoka Urusi tuelewe kipi kimoja 🙂🤔
@HunterJr-s7c
@HunterJr-s7c Ай бұрын
Ww ndio ujaerewa sikiliza vizuli hiii story broo kumbuka kuna ndege kuna vyuma vilivyo tengenezea ndege na madini yalio changanywa kuifanya ndege iwe bola na imala kutikana hali ya hewa na hayo madini ndio yamenunuliwa kimagendo na sio ndege nazani umeerewa sada
@planetanimals9547
@planetanimals9547 3 ай бұрын
Vibaraka wamarekani nyinyi, urusi yukonayo zaidi yahio
@lampadshigonko3006
@lampadshigonko3006 2 ай бұрын
Sasa hiyo ndege siende urusi
@solomoneglesias9752
@solomoneglesias9752 3 ай бұрын
Lakini Marekani c ndo joka la duniani au🤣🤣🤣
@shafiijuma840
@shafiijuma840 3 ай бұрын
Fanya uchunguzi milad ayo unafeli wapi mkuu sifia basi hata air Tanzania acha ukibaraka wa kifala.
@PUTINN365
@PUTINN365 3 ай бұрын
Ameshalipwa anataka atudanganye kama walivyotudanganya zaman mbona husemi urusi alishinda vita ya2 ya dunia Acha ushabikiaji wa mashog
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 3 ай бұрын
​@@PUTINN365kwani ilishinda peke yake?Kwenye vita hiyo Marekani,uingereza,ufaransa na urusi walikuwa upande mmoja.Unambiwa marekani ndio alitoa msaada mkubwa sana.
@nakalikyumile3234
@nakalikyumile3234 3 ай бұрын
Endeleeni kusambaza uongo,ila tumestuka ukweli tunaujua
@willydugilo3258
@willydugilo3258 3 ай бұрын
Waiptishe anga la urusi leoleo!! Waone chamoto
@kazikazini1042
@kazikazini1042 3 ай бұрын
NASA si jeshi la anga la Marekani
@day7vid944
@day7vid944 3 ай бұрын
Wananyingine inaitwa darkstar ni kwere
@nakalikyumile3234
@nakalikyumile3234 3 ай бұрын
Ionekane isionekane watajijua wai,ila urussi anawanyoosha balaa
@benkisinga4756
@benkisinga4756 3 ай бұрын
Jeshi la Anga la Marekani sio NASA pls
@bakarikayugwa3295
@bakarikayugwa3295 3 ай бұрын
Enderea kuramba matako ya wazungu waongo tu 😂
@KafwimbidjensMilambo
@KafwimbidjensMilambo 2 ай бұрын
Achana na uongo Dunia iliisha badilika
@sbboymkaliofficial9108
@sbboymkaliofficial9108 3 ай бұрын
Ipeleke kule Ukraine uwone kama haitaonekana kwenye rada za urusi 😂😂😂😂
@GeorgeElias-p5o
@GeorgeElias-p5o 3 ай бұрын
Urusi ana mwaka wa pili anapigana na Ukraine.. yule ni mikwara tu.. ndio maana anahaha baadhi ya nchi kutafuta ushirikiano kupambana na marekani
@kilimanjarotv255
@kilimanjarotv255 3 ай бұрын
@@GeorgeElias-p5o sas huoni kua marekani na ulaya ndio wanafadhili vita kaka bila hivyo ukraen angeshasalimu hufuatili vizur
@michaelmisana650
@michaelmisana650 3 ай бұрын
Huyo urus Hana kitu vitsho tu
@absm8084
@absm8084 3 ай бұрын
Russia alisema wiki mbili atakuwa amemaliza kazi sasa anaenda kuomba msaada kwa North Korea na Iran ndo nini sasa vitu ya masaa anatumia miaka kibao
@GeorgeElias-p5o
@GeorgeElias-p5o 3 ай бұрын
@@absm8084 😂😂😂
@noelnjementi8511
@noelnjementi8511 3 ай бұрын
Sf istoria ninzur co waafrica nanaiga kufuga ndefu nakuvaa kanzu fupi au kuiga kuvaa sut natai watu weupe warituchukulia kira kitu tumekuwa watumwa tunaitana makafiti wakat wote weusi tu
@tomleetz3525
@tomleetz3525 3 ай бұрын
Mashirika ya ndege ya wazungu saizi wana lalamika wakipita anga jirani na urusi network zinapotea
@LovelyOmbreSky-pu4jt
@LovelyOmbreSky-pu4jt 3 ай бұрын
Sasa ndiyoo nini
@fredlugome7952
@fredlugome7952 3 ай бұрын
Jeshi la anga la marekani ni NASA 😮😮
@joshuajohn8533
@joshuajohn8533 2 ай бұрын
NASA chombo Cha unguzi wa Anga Ila kina backup na vyombo vya usalama marekani
@RAMADHANIMohammed-vv6bx
@RAMADHANIMohammed-vv6bx 3 ай бұрын
Zamani sio sasa ilienda china ikagunduliw ikafukuzwa
@KilimbikeHaji-iy2fm
@KilimbikeHaji-iy2fm 3 ай бұрын
Haina maana yoyote hiyoo
@carlosleonard6050
@carlosleonard6050 Ай бұрын
Kujulikana tuu kuwa ina lengo la kupiga picha urus ni failure kwa marekani, unafikiri urusi hawakujua....thé fact that hatujui ka urus wana ndege yoyote inayopeleleza inaonesha confidetiality yake ni kubwa
@josephmkindi4633
@josephmkindi4633 3 ай бұрын
kumbe millad nikajua naangalia SNS duh bando langu limeniuma sana
@michaelmisana650
@michaelmisana650 3 ай бұрын
Marekan ni kwi kwi jalibu uone
@zully756
@zully756 3 ай бұрын
Je unafahamu kilichotea baada ndege ya kijasusi ya kimarekani kupita katika anga la Sovieti na kupiga picha?
@zully756
@zully756 3 ай бұрын
kzbin.info/www/bejne/oZ65ea2iiKtpfZIsi=SLdcrqWxT1SiMun5
@SolisticeKanuve
@SolisticeKanuve 3 ай бұрын
Poutine atawachoma ninyi wamarekani yaani mutaungua kwa moto kama uzi ya mfuko!!!!
@deokessy6596
@deokessy6596 3 ай бұрын
Ayo acha kutoletea uchafu wa marekan.....sisi putin
@venancerutta6875
@venancerutta6875 3 ай бұрын
Marekani tabua kuwa ni taifa le nye nguvu duniani kwa hy soma historia usipende kujidanganya
@lukafbbwebelof3874
@lukafbbwebelof3874 2 ай бұрын
Sisi Warusi anahijua hiyo nyoko. Chokoza Russia uone na ndege yako ya kasi itaenda nayo. Sindo hile ndege ilienda kupiga picha za uongo pale Irak eti Iko na nyuklia
@JumaNtasimba
@JumaNtasimba 3 ай бұрын
Marekan ishafulia zimebaji qroqaganda
@georgekimasaofficial1629
@georgekimasaofficial1629 3 ай бұрын
Miradi umesha ridhika na views 😂😂😂 tupe habari Urus kateka ndege za marekani na marubani wake utupate wengi bhana hii hatutaki.
@venancerutta6875
@venancerutta6875 3 ай бұрын
Kama umpendi marekani kutambua kuwa yeye ni G. 7 nayo utapinga kuwa wamejichagu tatifiti ambazo ni sahihi
@fredmbossa-kc3qn
@fredmbossa-kc3qn 3 ай бұрын
S500 ya urusi inaidungua hiyo 😆😆😆😆😆😆
@hollymore4904
@hollymore4904 3 ай бұрын
Ndomana SNS Wana wapiga bao.. hamna details kabsa skuiz
@PUTINN365
@PUTINN365 3 ай бұрын
Kweli
@jacksonngusi4122
@jacksonngusi4122 3 ай бұрын
Sns mziki mngine
@josepheriah5977
@josepheriah5977 3 ай бұрын
Saw
@josepheriah5977
@josepheriah5977 3 ай бұрын
Ya kumulia Putin
@jospehfabian7856
@jospehfabian7856 3 ай бұрын
miaka 60 iliyopita do u think russia wako nyuma mpaka leo. kwasasa hawawez kujalibu kuingia kwenye anga ya urusi hata kdogo
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 3 ай бұрын
Sasa kama ni miaka ya 60 ,unajua Marekani atakuwa na silaha hatari za siri kiasi gani.Pia ujue tuliaminishwa kuwa mifumo ya ulinzi ya S 300 na S 400 ndio bora zaidi duniani lakini kumbe sio kweli.Drones za Ukraine zinalipua zinavyotaka visima vya mafuta vya urusi ndani ya urusi bila kupanguliwa na mifumo hiyo na pia makombora ya masafa marefu ya ATACMS yenyewe yanaipiga mifumo hiyo ndani ya urusi kwenyewe na kuiangamiza kabisa.yaani mifumo hiyo ya urusi inashindwa kupangua makombora ya ATACMS ya marekani.
@theempire4058
@theempire4058 3 ай бұрын
Sisi team urusi tunasema hii ndege ni ya kwetu, habari kama hizi team urusi hatuzipendi
@fredducaunt
@fredducaunt 3 ай бұрын
😂😂mnajikomba komba Tengenezeni vya kwenu Acheni uchawa wa kimataifa 😂😂
@silivestatesha9262
@silivestatesha9262 3 ай бұрын
Ungo unasafiri kilometa 100 kwasekunde huon
@MichaelMathew-j3f
@MichaelMathew-j3f 3 ай бұрын
Kwa sasa marekani hana jipya. Russia ni mziki kwelikweli kwa sasa!! Au China.
@magigesabai8674
@magigesabai8674 3 ай бұрын
umejuaje ? wampige sasa waone
@MichaelMathew-j3f
@MichaelMathew-j3f 3 ай бұрын
@@magigesabai8674 hawana jipya hawa marekani kwasababu pale ukrein marekani ameshindwa kumtoa Urusi katika ardhi ya ukrein. Russia kwa sasa iko juu kushinda marekani. Afu kitu kingine, Russia ameadhibiwa kwa kila aina ya vikwazo lkn ndo tunashangaa kuona uchumi wa Russia ndo inaongezeka maradufu. Vikwazo mpaka elfu 15 afu bado wako vizuri. Ingekuwa nchi nyingine ohhhh ingekuwa majivu tuuu. Kwahiyo usicheze na Russia.
@omarykalulu-cw5kt
@omarykalulu-cw5kt 3 ай бұрын
Urusi na Korea kaskazin ndo habar ya duniani
@chabrumachabruma
@chabrumachabruma 3 ай бұрын
China wanayo ya kisasa zaidi ya hiyo.msitupange
@magigesabai8674
@magigesabai8674 3 ай бұрын
unafikiri mpaka sasa Marekani atakua na ya aina gani ?
@sauka9622
@sauka9622 3 ай бұрын
Milad ashaaza kutudanganya sasa imani itatoeka maana tunaamin habali zako waga ni uhakika ila sasa ushaaza kuwa mwongo mwongo
@danielnyangasi8808
@danielnyangasi8808 3 ай бұрын
Hao wamarekani na washirika wao kwa kwa sasa wambie we Millad waendelee na USHOGA Putin atawachumbia wote
@hassanthabit3726
@hassanthabit3726 Ай бұрын
Millard Ayo sasa na wewe umepitwa na wakati. Miaka ya sitini unazungumza sasa????? Kwamba hakuna ndege ya kisasa na kasi zaidi. CO KWELI
@BimkubwaMohd-ef6hr
@BimkubwaMohd-ef6hr 3 ай бұрын
Marekani alitisha kipindi hicho ila kwa sas hana jipya
@rashidbusanya5843
@rashidbusanya5843 3 ай бұрын
hatutishiki hata siku 1 Putin yupo juu siku zote
@AmaniMathod
@AmaniMathod 3 ай бұрын
Uraaa
@emmabrownmissana6996
@emmabrownmissana6996 3 ай бұрын
👍👊💪
@jeremiasimon5913
@jeremiasimon5913 3 ай бұрын
Wakishaichoka wataileta Africa
@AllyShaban-ms7ot
@AllyShaban-ms7ot 3 ай бұрын
Achen uongo nyiny
@luganomwaigomole7441
@luganomwaigomole7441 3 ай бұрын
RUSSIA IS TOO FAR
@magretherick1478
@magretherick1478 3 ай бұрын
Ilikua inakasi ya kupiga picha co speed mmeelewa. mpaka sasa ndenge yanyekasi niya urusi tafuteni kuna su_57 ----- mig
@martinisadru9899
@martinisadru9899 3 ай бұрын
Sasa mzee! Umesha ambiwa hiyo ilikua kizazi cha pili, miaka ya 1960, imesitishwa 1994, su-57 ni kizazi cha 5. Bado hao walikua mbali sana kwa enzi zile,, acha ushabiki.
@martinisadru9899
@martinisadru9899 3 ай бұрын
Siku hizi mzee ndege sio dili sana, kwenye uwanja wa vita, maana uendeshaji vita kwa ndege ni ghalama sana, wakati kuna technology rahisi sana kwa mapambano ya vita.
@PUTINN365
@PUTINN365 3 ай бұрын
Kweli
@FrankAugustino-g2s
@FrankAugustino-g2s 3 ай бұрын
Su-57 speed yake ni mach 2.2 lkn Sr-71 total speed yake ni mach 3+ lkn hipo hii inaitwa the son of SR71 ambayo ni SR 72 yenye speed ya mach 6+,dogo acha ushabiki tunafuatilia kila hatua,hyo su-57 speed yke ni ndogo
Incredible Moments Caught on Camera
30:40
UNSORTED
Рет қаралды 4,6 МЛН
Стойкость Фёдора поразила всех!
00:58
МИНУС БАЛЛ
Рет қаралды 7 МЛН
How to whistle ?? 😱😱
00:31
Tibo InShape
Рет қаралды 14 МЛН
Help Me Celebrate! 😍🙏
00:35
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 86 МЛН
1 сквиш тебе или 2 другому? 😌 #шортс #виола
00:36
Ong Bak | Fight Club Scene
15:05
Cinewatch
Рет қаралды 75 МЛН
Ip Man 2 | The Boxing Competition
15:57
Cinewatch
Рет қаралды 8 МЛН
Стойкость Фёдора поразила всех!
00:58
МИНУС БАЛЛ
Рет қаралды 7 МЛН