We mdada wetu wa kitanzania hakika unapeperusha vizuri bendera ya Tanzania bila shaka Kuna wanaume wengine wa kizungu wanatamani kuja kuoa huku kwa jinsi ulivyo. Ila watu wa marekani wasome biblia kitabu Cha Mungu. Mtoto Ili akue vizuri kiboko ni lazima.
@ClaraRuhara5 ай бұрын
Juliana asante sana umetoa somo zuri sana, nadhani vijana wamejifunza kitu.
@kheriiddi170911 ай бұрын
African culture is the best...
@stellakaguo872811 ай бұрын
Interview nzuri sana umetufungua dada elimu tumeipata.
@sophiakassim6784 Жыл бұрын
Nimempenda kwa kweli kaongea vizuri sanaaa
@OfficialDatingAssistance Жыл бұрын
Sana
@amneriyami24099 ай бұрын
A/alaykum mashallah uyo anaongea katulia akili yake anaongeahata unamfahamu mungu amlinde inafundisha inaelimsha
@edmundmmuniedmund162310 ай бұрын
hizi clips zinafundisha sana..🙏🙏
@NeemaAbdon Жыл бұрын
Nimekupenda Bure mdogo wangu
@muhammedjuma89666 ай бұрын
Tunashukuru tunajifunza sana dashena kupitia harakat zako napenda sana tunajifunza maisha
@dollymogosi68994 ай бұрын
I like you so much Juliana yaani umeongea ukweli mtupu! Watu waache stereotype as kila mtu anatofauti kutokana na malezi alopitia! We must stop sugar coating people as kila binadamu ni tofauti!
@donaldchacha Жыл бұрын
Juliana yupo free ujieleza na amewangua masikio wengi tu, hongera sana
@flaziaisack4038 Жыл бұрын
Juliana amefunguka vzr sana.. Big up Shennah, unafanya kazi nzuri..
@OfficialDatingAssistance Жыл бұрын
Ahsante sana Nashukuru
@MsLightness Жыл бұрын
Ameongea vizuri sana mpaka raha❤
@OfficialDatingAssistance Жыл бұрын
Mnoooo
@missnamwambemomentstv7753 Жыл бұрын
Ameongea vzr huyu dada....woow❤
@OfficialDatingAssistance Жыл бұрын
Sana
@missnamwambemomentstv7753 Жыл бұрын
@@OfficialDatingAssistance Naangalia video zako za live saiz hapa Shena...😅 Nmeacha na kulala.kabisah
@janethrichard2748 Жыл бұрын
Asante san shenna interview nzuri nimejifunza mengi kila siku nazidi kujinoa😅
@OfficialDatingAssistance Жыл бұрын
Ahsante sana kwani hilo ndio lengo
@BerthaKihanga-qd5hy Жыл бұрын
Mrembo Shennah big up& both mmeshine mnooooo .
@OfficialDatingAssistance Жыл бұрын
Ahsante
@sifaoksbagirishyasie2410 Жыл бұрын
Wauw umeeleze vizuri Sana kabisaaa 😊🌹. Wewe mchauri mzuri saana kwenye Mambo ya ndoa. Mungu azidi kukutendea mema. Pamoja na jamaa yako.
@themanofgod75629 ай бұрын
Hoja Zako Zina Msingi. Hila ubora wa wanaume wa kizungu ni mifumo mizuri ya serikali zao so uwezi kulinganisha nchi za dunia ya kwanza na nchi za dunia ya 3. Africa uwezi kusacrifice maisha yako kwa sababu ya mapenzi kupata ajira zenyewe ni ngumu pia hata watu wako wa karibu watakushangaa.
@katejolly6752 Жыл бұрын
Napenda sana kuishi America sana
@OfficialDatingAssistance Жыл бұрын
🙏🙏
@gracemima5234 Жыл бұрын
Nimefuatilis interview za hawa wakina dada utaona Elimu ni kitu cha maana sana. Huyu dada ana Elimu yake na yuko exposed. Anatowa point nzuri. hayo ndiyo maisha ya nchi za Ulaya. Wasiokuwa na Elimu wengi wanfikilia pesa tu badala ya tabia ya mtu. Sio wazungu wote ni matajiri wengi wanaokuja Afrika wana maisha ya kawaida.. Wakina dada wengine ukiwasikiliza unaona hata aibu kwa mategemeo yawo ya kutegemea wakipata mzungu wanafikiri shida zawo zimekwisha..
@Mazoea Жыл бұрын
Hello Juliana mimi Naishi Maryland
@alexandermsale5964 Жыл бұрын
My g
@katejolly6752 Жыл бұрын
Wow mie pia ni jesca 😍😍
@OfficialDatingAssistance Жыл бұрын
🥰🥰
@kevinmary71297 ай бұрын
Best dating or marriage is each other is giving 100%
@glorymasy7687 Жыл бұрын
Interview ni bombaaaa👏👏👏👏👏👏👏👏
@OfficialDatingAssistance Жыл бұрын
Ahsante snaa
@salhakyande3905 Жыл бұрын
Nimechelewa Shell!
@OfficialDatingAssistance Жыл бұрын
Usijali ipo hapo kwa list za Videos
@KhadijaLeonard-zs9el Жыл бұрын
Nimejifunza asante
@OfficialDatingAssistance Жыл бұрын
Karibu sana
@marthageorge5043 Жыл бұрын
Asante sana nazidi kupata madini kutoka kwako❤❤❤❤❤❤❤
@lilyjones3584 Жыл бұрын
Interview nzuri sana. Juliana amekuwa mshauri mzuri na ametoa darasa ambalo litasaidia watu wanotafuta mahusiano katika kutafuta hao wazungu. Tofauti na wengine ambao mitazamo yao wazungu ni migodi!
@OfficialDatingAssistance Жыл бұрын
Well said
@ecramarajabu7330 Жыл бұрын
Nimejifinza vitu vingi vizuri sana
@OfficialDatingAssistance Жыл бұрын
Shukran Kwani lengo ni tujifunze kila siku
@emmanuelamkinga7828 Жыл бұрын
good interview
@OfficialDatingAssistance Жыл бұрын
Ahsante
@katejolly6752 Жыл бұрын
Nimeipenda ihi interview...nzuri sana
@OfficialDatingAssistance Жыл бұрын
Ahsante sana
@zainabufeka876 ай бұрын
Kweli kwenye swali la chakula nichangamoto unaweza ukasema nimchoyo kumbe ndo asili yao
@stellaprotazibashaijaban-gq4mb Жыл бұрын
Asante Dada kipindi chako ni kizuri sana. Nimependa uyu Dada maelezo yake mimi nipo America Delaware naweza kumpataje??
@OfficialDatingAssistance Жыл бұрын
Ahsante, unaweza niandikia kwa WhatsApp +4367764790884
@MartinaMsimbe-qk8ug5 ай бұрын
Like
@elifurahamassawe3439 Жыл бұрын
Asante sana Juliana, umesema ukweli na umeongea vizuri sana.
@rispernyakaka8442 Жыл бұрын
Uyu dada mwanasheria nimemwelewa
@Lizzyktd Жыл бұрын
Hongera sana dada 🎉🎉🎉
@annamussa185 Жыл бұрын
Nimepanda maelezo yamenyooka vzr
@OfficialDatingAssistance Жыл бұрын
Sana
@NeemaAbdon Жыл бұрын
Nimekupenda Bure mdogo wangu
@Lizzyktd Жыл бұрын
Kweli kabisa yaan
@eunicefalex4403 Жыл бұрын
Mie nimependa wigi
@OfficialDatingAssistance Жыл бұрын
🙏🙏
@LoishiyeMollel-ck9bx Жыл бұрын
Ongera
@nicekweba9920 Жыл бұрын
Imekuaje Leo nimechelewa 😢
@OfficialDatingAssistance Жыл бұрын
Usijali ipo hapo kipenzi
@katejolly6752 Жыл бұрын
Naomba anipe rafiki moja mzungu
@OfficialDatingAssistance Жыл бұрын
Kumekucha
@Lizzyktd Жыл бұрын
@@OfficialDatingAssistance😂😂😂😂
@danamickle973911 ай бұрын
@@OfficialDatingAssistance hahaha
@MwalimuShauri Жыл бұрын
Mazungumzo mazuri ❤
@edmundmmuniedmund162310 ай бұрын
ipo poa sana ila kuna wakati sauti inakatakata sana...
@NeemaAbdon Жыл бұрын
Nimejifunza mambo mengi niliyo kuwa sijui
@MsLightness Жыл бұрын
🎉
@OfficialDatingAssistance Жыл бұрын
🙏
@grace101 Жыл бұрын
What is her social media handle tukawe inspired
@OfficialDatingAssistance Жыл бұрын
Utamuona kwa Page yetu ya Instagram
@grace101 Жыл бұрын
@@OfficialDatingAssistance hayupo dear nilicheki that’s why I asked
@stellaprotazibashaijaban-gq4mb Жыл бұрын
Nimejikuta nacheka kwa sauti adisi ya mbuzi
@flaziaisack4038 Жыл бұрын
Mzungu alitaka kukimbia baada ya kumuona mbuzi😂😂😂
@OfficialDatingAssistance Жыл бұрын
🤣🤣🤣
@mohamedismail2662 Жыл бұрын
Elimu ni kitu cha maana sana. utaona namna gan inasaidia piya watu kuwa huru na kupambania ndoto zao hasa hawa wadada vzuri kwa wazazi kukazia kwenye elim kwa watoto
@nickylyanga2139 Жыл бұрын
Intavew nzur sana ...japo unaowahoj wapunguze kuongea uzungu bana ...waoongee kiswahili tu...no hayo tu
@OfficialDatingAssistance Жыл бұрын
Kizungu hukipendi eeeh ??? 😁
@KIMALEX255 Жыл бұрын
Jifunze ss unaangalia dating na hutaj kizungu
@damariszuckschwert9489 Жыл бұрын
Sasa kizungu gani ameongea chakuzidi? Mbona kaelezea kiswahi vizuri tu? Aya kasikilize wanaoongea lugha yako ya mama huko, usituletee giza.
@aminajuma4743 Жыл бұрын
Ukishaishi nje sehem kubwa ya rafik zako watakua wasiojua kiswahil madukan hosp sokon shulen lugha in English hivyo lazima tu ikukae kichwan na huyu kaolewa na mzungu hivyo sio rahis aongee kiswahil mwanzo mwisho ni ngumu mnoo
@gracenkembo8318 Жыл бұрын
NAOMBA NITAFUTIE RAFIK MZUNGU SHEENA
@valenakomba9218 Жыл бұрын
Kiswahili jamani sisi wengine.hatujui kingereza.
@kevinmary71297 ай бұрын
Wachaga hawana uzugu wowote labda wizi
@julianamassawe2508 Жыл бұрын
Wajina wangu jamani
@evelynekabaka74054 ай бұрын
Wadada wa huku wanakuwa wababe
@Violet-s9i Жыл бұрын
Na wazungu huoa watu wamasoma kiasi gani
@OfficialDatingAssistance Жыл бұрын
Elimu sio kigezo cha kuolewa na Mzungu Kwani ni mahusiano kama mahusiano mengine sio interview ya kazi
@Violet-s9i Жыл бұрын
@@OfficialDatingAssistance ok
@MadinaAbduKyabazinga7 ай бұрын
@@OfficialDatingAssistance😂😂😂
@LoishiyeMollel-ck9bx Жыл бұрын
Kwa kipindi
@MadinaAbduKyabazinga7 ай бұрын
Labda nyie wenu mm wangu akuna cha freedom ya kuachana yani anakuganda analia 😂🤣
@VelonikaMakota Жыл бұрын
Ila dada wamungu Una mdomo
@liannsambu7264 Жыл бұрын
Da shena kwema ? Pls naomba kushauri hizi interview zako ni nzuri ila nashauri ziwe FUPI clip iwe