Kuna Raha zake katika hiz nyimbo jamanii. Japo za kitambo,,!!!!❤❤❤
@ashaali71543 жыл бұрын
Bora turudie za zamani kwani za siku hizi matusi matupu wala hazichezeki zaidi ya kuruka ruka kama wehu tu. Hongera Kisauji.
@humphreybwanausi67969 ай бұрын
Hongera mzee kujaribu kumfikia Jabari ingawa ni ngumu sauti yake kuiiga
@husseinfrancis3005 Жыл бұрын
Nampenda sana kisauji na natamani siku moja nimuone live. Talented Musician Keep up mungu akupe maisha marefu na afya zaidi uendelee kutuburudisha
@sumayinyiga227 Жыл бұрын
Nazipenda Sana hizo nyimbo kwakwel zingne staman
@nurusulley32764 ай бұрын
Kisauji uko vizuri unajua kuimba
@salimabadi67503 жыл бұрын
Mashaallah nice pic baba angu kwa nyimbo zuri
@harunakissa7457 Жыл бұрын
Ahsante sana raha sana sana
@rehemamahendeka-rm2ek8 ай бұрын
Asante asante asante kjn wa zamani(babu kisauji),umeutendea haki wimbo wa nguli wa dansa marehem marijani rajab( utasema ni yy),bravo bravo !
@vickymassawe22542 жыл бұрын
Jamaaaan napenda sana Hz nyimbo
@GodzaMwinyikai2 ай бұрын
Top class danke shoen
@RizikiIssa-ov9en11 ай бұрын
Hizi ndio nyimbo za maadili
@allyshomari7417 Жыл бұрын
Kwa umri ulionao. Mzee kisauji mrudie mwenyezi mungu kwa wingi wa ibada. Na istghfar!! Hao walio acha. Hizo nyimbo!! Wanateseka na adhabu. Za kaburi. Kwani miziki wengi tunaipenda lakini ni kharamu. Na machukizo kwa muumba wetu tuzinduke!! Ni MTAZAMO TAFAKARl...!!
@josephkanyongo308111 ай бұрын
Wee umefata nn uku 😂😂
@babloomkisauji281811 ай бұрын
Hujitambui 👨🦯👨🦯
@janewangeci7950Ай бұрын
😮 sioni umbaya. Wimbo iko na mawaidha 😊
@Kijana-wa-Tanzania3 жыл бұрын
Kisauji hatari yako kubwa!🙌
@sabbob5743 жыл бұрын
Babu nakukubali sana.
@fhyubhhh28813 жыл бұрын
Waaawwww umenikumbusha mbali
@davisalphonce70014 ай бұрын
This hits differently when you're tipy.,Hurray🔥🔥🔥
@ranman49102 жыл бұрын
Babu upo vzr 🔥🔥🔥
@richardkenyattajames2376 Жыл бұрын
Great number.
@nurumvungi22102 жыл бұрын
Ni zaidi ya mwaka Toka uposti hii video ila sichoki kuiangalia♥️
@matronafrank98383 жыл бұрын
Safi sana babaa uko vizur
@ChijaLugola-xe5tn3 ай бұрын
Babu unaweza kweli
@fidelismwakanyamale67872 жыл бұрын
Hapa naikumbuka jana
@SAIDBOMBA-p1y4 ай бұрын
Upon vizuri saana
@hassanjuamchipua93846 ай бұрын
Nakubali boss uko sawa
@newtonsimba79302 жыл бұрын
Very nice. Heko ❤️🇰🇪.
@SaleheJuma-xf5be7 ай бұрын
Nibalaaaa wahenga noma
@ireneimbuhira77598 ай бұрын
Tamu sana 💃
@halimaburhan19523 жыл бұрын
Hatari fire
@stanleyoirere2047 Жыл бұрын
🔥🔥🔥👏👏👏👏
@Raymond64972 жыл бұрын
Big up💪
@josephbenson87042 жыл бұрын
Tamu sana
@charlesrhombo7910 Жыл бұрын
Umeutendea haki
@rosengandile1292 жыл бұрын
Safi sana
@lmwembi3 жыл бұрын
Mzee sauti unayo
@marysezua44912 жыл бұрын
Apumzike kwa amani am each a ujumbe ambay hauchakai
@antonymucendu98753 жыл бұрын
Mashalla babu
@Johnbabu-n9dАй бұрын
Muziki wa adhuhuri vok kenya
@barakadavidhaule36113 жыл бұрын
huhawah fell babu
@MonicaAgapitiBruno4 ай бұрын
We mzee wangu nauku upo 😂😂😂😂TikTok vichekesho 😂😂😂uku burudani lete vitu
@salumissa3200 Жыл бұрын
time to go back to your lord, beware!!
@babloomkisauji281811 ай бұрын
Duhh mpaka huku mpo 🤔
@sadammaker4540Ай бұрын
Safi
@williamuphilipo21204 ай бұрын
Babu Kisauji huna mpinzani
@jessenjoroge15303 жыл бұрын
Kenya 254
@zahraalbaloochi28413 ай бұрын
Old is gold
@abdulismail6072 Жыл бұрын
Babu kisauji nakukubali sana unawafunika wajinga wengi
@fatmakessy9812 жыл бұрын
👍👊
@aliiissa10522 жыл бұрын
Fatma Kesy mbona huendelei
@raphaelcharlesmhando80553 жыл бұрын
Mateso yamezidi
@ahmedmhekela92973 жыл бұрын
Maestro legendary Baloom Kisauji.
@veronicakassembe3718Ай бұрын
Nikija TZ zawadi yako nakuletea
@aminakipande56452 жыл бұрын
Kisauji
@Kijana-wa-Tanzania3 жыл бұрын
Hili chimbo gani?
@babloomkisauji28183 жыл бұрын
Kila Ijumaa TIFFANY DIAMOND HOTEL posta makunganya Street opposite Puma petrol station 6pm free entrance
@emanuelkirenga29463 жыл бұрын
@@babloomkisauji2818 Nitakuja maana daaa poa sana babloom