Dah masudi alimuibia mamaangu kitambaa cha kichwani mburahat dar
@greatiq78353 жыл бұрын
Mungu mrehem umsameh, umlaze pema peponi. Angalau kwa hili la kutunga tungo za kufundisha ya maana mbele ya jamii. Si walaanifu wa sasa wenye kutunga nyimbo za matusi na kashfa kwa wanawake bila kujali heshima ya wanawake hao kutubeba matumboni mwao na kutuzaa kwa uchungu mkubwa usio mithali!
@gosogoso52875 жыл бұрын
Usia wa marijani ni ukumbusho Kwa baba bora mungu akupe makazi mema huko uliko tangulia
@اجوايالمرسال4 жыл бұрын
Nimemkumbuka Baba yangu leo alikuwa wanapenda sana hizi nyimbo za malijani rajabu R I P baba RIP malijani 🙏
@shevshenko36142 жыл бұрын
Zamani tuliinjoi. Sana yani mpaka raha mungu awapunguzie adhabu ya kabli👈👈
@aishaamwalimu28872 жыл бұрын
1/3/2022 unasikiliza nyimbo unajifunza kitu, sio sasaivi mitusi mitupu.
@sautiyatanga47936 жыл бұрын
kusikiliza machozi yanatoa tukimaliza mwaka mmoja 1973 Mimi niko Azania yeye Tambaza alikuwa jioni anakuja Azania kulikuwa na music group tunafanya nae mazoezi.
@amanimwidowe94086 жыл бұрын
pole sana ni yake mola
@kennethkilonzo12934 жыл бұрын
I enjoy this music
@boeihongoa14364 жыл бұрын
Pole bro.
@mapimwankemwa67784 жыл бұрын
Mwana Tambaza huyu, tulipofika Tambaza miaka miiingiii baadae ya tisini, tulikuta historia yake kubwa sana pale
@TheArtImpact4 жыл бұрын
Kumuenzi Wekea thamani yaani ziimbe tungo zake kwa kuongeza ubora
@naleelias43029 жыл бұрын
Masudi amekuwa jambazi!! Nimekumbuka mbali sana!!!
@frankmanga37215 жыл бұрын
2020 nimekuja kuitafuya hii ngoma kwakweli dah
@KassimHanga-xr7rb4 ай бұрын
Exactly hizi ndizo zinazotufaa sababu zina maonyo usia na zitaishi milele sio za sasa ambazo wanatoa vijana wetu ambao kazi Yao ni kutoboa pua,kujichora,kuvaa herini,cheni, na wa dada kuimba uchi hata kuangalia na watoto wetu hatuwezi
@fradnicodem9438 жыл бұрын
Nimbo hizi za enzi hizo kwakweli zinafundisha sana ni darasa la kutosha ni wewe mwenyewe kujifunza kwa kusikiliza na ni vitu ambavyo leo hii vimetokea au vipo nawapa BIG sana wazee wa zamani
@amosrichard56299 жыл бұрын
Dr remmy ongala, marijani raaajabu, aaa, niseme nini, sina cha kusema
@jafferkismat71199 жыл бұрын
Duuh..! hizi ndio nyimbo zetu enzi hizo. hakuna matusi wala kuimba ujinga. ni usia mbele kwa mbele. ooh... masudi
@athumanabbas33265 жыл бұрын
Amakwelinakumbuka.miakayambali.ujananimoshi
@salehemauza97242 жыл бұрын
Hawa hawakuzaliwa kwa guest walà sio mkojo wa pombe wala hawajakuwa kwa pesa za kamali
@TheKachila10 жыл бұрын
Mkaidi hafaidi, loo Power Nguzo umefanya vyema sana kuweka muziki wa mwenda zake Marijani Rajabu. Mambo mengi na usia mzuri utotoni mwangu nilipata kutoka kwa wasani wa siku hizo. Marehemu Baba yangu alipenda kununua na kuzicheza santuri za wasanii kama hawa bila kufahamu jumbe zake ziliingia akilini mwangu. Wachunguze marafiki zako vyema!
@ThereseBorah3 ай бұрын
Tokea Congo 🇨🇩♥️
@henrychaula11744 жыл бұрын
RIP Shaaban Marijan Rajabu,, the Great teacher. Every song you listern you would to repeat as many times as possible coz they are no doubt very educative.
@silversilinu20348 жыл бұрын
Watoto wetu wamekua akina masudi dah mungu atusaidie.Asante marijani na upumzike kwa Amani.AMENI
@husseindisweratandai8008 жыл бұрын
I know masoud
@jackkalumbiro77674 жыл бұрын
Silver Silinu maombi mungu awanusulu
@gladiusmedardrutashobya72514 жыл бұрын
Mungu akurehemu huko ulipo marijani
@kudramasoud26947 жыл бұрын
Shujaa wa music nasikitika sana vizazi vya sasa hatujaweza kukuona Allah akupunguzie adhabu za kaburi
@samwelyjohn21007 жыл бұрын
Kudra Masoud unamwandikia nan ss kama unajua yuko ahelaa
Marijan jabari la mziki sitoacha kusikiliza nyimbo za zamani
@sangomamourice32515 жыл бұрын
mungu ampuzishe hakika hili ni jabar ugumba ni Tabu uzazi ni tabu
@jimmymusti1657 жыл бұрын
Legendary Marijani.....rest in peace
@flowila8210 жыл бұрын
kweli wakumbushe, utunzi wa fresh jumbe na kuimbwa na marijani na fresh mwenyewe
@josephkinango40918 жыл бұрын
kuna wimbo unaitwa Sadick waarijani.... naitafuta sana
@mwanaidimfinanga54655 жыл бұрын
Saanatu
@zulachama10676 жыл бұрын
Old is gold,no more again good songs than ever.nice song good work
@lilyrose79834 жыл бұрын
Napenda sana nyimbo hizi japokuwa nilikuwa cjazaliwa.Naomba yoyote anaeujua wimbo flani wa zilipenda corus yake wanaimba"kwanin wapata tabu dunia ya leo inaitwa gezaulole.Pls anaeujua naomba anitajie jina lake
@Msengesi963 жыл бұрын
Huo wimbo wa Simba wa nyika unaitwa Leka ulole.
@mkilimamoses2311 Жыл бұрын
Unaitwa Lekaulole wa bendi ya simba wa nyika ikiongoxwa na Wilson peter akiwa na mdogo wake george peter na wengineo.Hawa ni watanzania waloweka makazi yao kenya.Kwasasa hawa ndugu ni marehemu.
@fidelisminja90308 жыл бұрын
Hawa wakina Masoud walikuwepo na wataendelea kuwepo
@silasdambala1238 Жыл бұрын
Ñaomba wimbo SIKITIKO na Marijani Rajabu
@kenwachirah7946 Жыл бұрын
JABALI la MUZIKI MARIJANI RAJAB!!!!!!!!!!❤❤❤❤❤❤
@vascomwansile81404 жыл бұрын
Wimbo wamafundisho kwa vijana ukumbukwe milele ingawa ulitangulia mbele za haki
@salimakuluwa20636 жыл бұрын
Asante umeusikiliza wimbo huu 2018
@aliissa66325 жыл бұрын
Mashaallah safi sana allah awajalie safari ya kheri na ss tuko nyuma yao
@njonjolomahfudh32385 жыл бұрын
2019.... ilove the song... marijan mungu amrehemu
@christopherlauren60643 жыл бұрын
Uďd
@simonjilanga5477 жыл бұрын
Kumbusha mbali xana.
@samsonezekiel92324 жыл бұрын
R.I.P muimbaji wa kweli sio Siku hizi nyimbo ovyoo zinakinaisha
@bonaventuremuswi10678 жыл бұрын
wimbo wa mafundisho kweli
@omarikondo39479 жыл бұрын
Hapo mambo safi weka wimbo wa marijani uitwao Shani wa safari tripoers
@shabanlezzah922 жыл бұрын
2022 nimekuja kuutafuta huu wimbo aisee it's really masterpiece
@SKisule9 жыл бұрын
marafiki wamempoteza kijana Masudi....loooo.
@abdulamasoud43142 жыл бұрын
Sanaa iliyoendana na jamii
@flowila8210 жыл бұрын
masoud full kwapu kwapu mpaka vitambaa kichwani kwapu balaaaa
@NM-yl2uw4 жыл бұрын
Masudi kashazingua jmn dah
@faustinegomu62347 жыл бұрын
RIP Marjani king wa Muziki
@sirmangush14322 жыл бұрын
2023 bado tunafurahia mziki mtamu.. mashairi mazuri
@richardgaya39653 жыл бұрын
The delivery style does remind of the great Guinea Conakry's bands from the 60s/70s eras like the seminal Bembeya Jazz National!!!
@gkiahu65894 жыл бұрын
Maridadi sana , reminds me of Zuena song 👍🏽
@aliissa66326 жыл бұрын
Nice old gold mashaallah
@tinershayo53973 жыл бұрын
huu wimbo una maana kubwa sana
@hassansidirashidi25234 жыл бұрын
SIKIRIZENI NYIMBO HIZO ENYI VIJANA WA KISASA SISI WA ZEE TUNAZIELEWA VIZURI SANAAA NA NAWA AMBIA SASA HIVI NYINYI VIJANA HAMUIMBI MNAONGEA TUUU HAKUNA NYIMBO MNAONGEA TUUU SIJASIKIA NYIMBO YOYOTE KWA VIJANA WA KISASA KAZIYAO KUSHINDANA MAVAZI STEJINI TUUU NA VIELENI MASIKIONI NA MACHENI KIFUWANI MASHAHIRI HAKUNA NAWAOMBENI ENYI WASANIII WOTE NENDENI KWA RAJABU ZOMBOKO ATA WAFUNGURIA SANTURI ZA MIYUZIKI TULIYOKUWA TUNASIKIRIZA ZAMANI SISI KUNASAUTI UKIZISIKIA SASA IVI UNATAMANI KULIA.MFANO KWA KIFUPI TUU KUNA SAUTI KAMA ZA WATU HAWA KWA SASA MAREHEM.( 1)MARIJANI RAJABU(2)CHIRIKU HEMEDI MANETI(3)SALUM ABDALAH(4)M BARAKA MWINSHEHE(5)DR'RAMADHANI MTORO ONGARA AU DR' REMY(6)MWALAMI SAIDI(7)NIKOLASI ZENGEKALA(9)FRESHI JUMBE(8)KASAROHO KIYANGA(9)GERY NASHON DUDUMIZI(10)HASSAN REHANI BICHUKA-&.NK NAFASI -NIMEKUTAJIA HAOTUU KIUFUPI KAKINI WAPO WENGI SANAAA.KWASASA KIUKWELI NYIMBO KAMA NYIMBO HAKUNA HAPA TUSIDANGANYANE NYINYI MNAO JI ITA VIJANAWAKIREO HAMNA NYIMBO MNA MASHAIRI YA MAONGEZI TUUU KAMA MNABISHA NIPIGIENI SIM HALAFU NIKWAMBIE ANZA KUIMBA NIKUSIKIRIZE KAMA SIJA KUFUKUZA.NAWAOMV NAWAOMBENI TAFUTENI WAKONGWE WA MWIYUZIKI WAWA FUNDISHE KUIMBA.KATIKA TASNIA YENU YA BONGO STER SERCH NAWAPONGEZA SANAA BAAZI YA WAAMUZI KWANIPALE STEJINI SI SEHEM YAKUCHEKEANA.HONGERENI BA ADHIYA MAJAJIS
@yefthathanatas83259 жыл бұрын
masudi ninomaaaah mmh hadi vitambaa vyakichwani
@eliudimwashiuya23947 жыл бұрын
Rest in peace Mr. Marijan Rajab
@bekabakari73944 жыл бұрын
Jee unamjua fresh jumbe Mtoto wa kitanga Second vocal wa marijani
@vickychidole81782 жыл бұрын
Kwahakika haya yalikuwa madini yenye thamani kubwa na ndomana kwa sasa huwezi yapata
@mwanarajab58634 жыл бұрын
Nyimbo za zamani hazichuji na zina ujumbe unaoleweka
@MohamedyKoka Жыл бұрын
Kitambo sana hiyo nyimbo
@MikaMathias6 жыл бұрын
duuu,unajuwasana,pumzika,kwa,amani,mzee,wetu
@amoschivumbe30583 жыл бұрын
Typical of Marijani and others of that era. Pure voices and basic instruments. No assists of any kind. Never made much money either despite their greatness. R.I.P, Marijani.
@dennisfestus11233 жыл бұрын
Great song listening now
@karanjatonie47543 жыл бұрын
Listening too, great coincidence
@fatumaabdallah5037 Жыл бұрын
Naipenda Sana hii nyimbo
@ericernest8455 жыл бұрын
Masudi bwana alikuwa miyeyusho kweli
@HassanAthuman7 жыл бұрын
Zilipendwa ndio zenyewe
@bekabakari73944 жыл бұрын
King Marijan Rajab Dar international Rest in peace Hatutokusahau daima milele
@belafontesteven51444 жыл бұрын
2021 First to listen
@frankmanga37218 жыл бұрын
R.I.P Malijani rajabu
@TheArtImpact4 жыл бұрын
Nani anasikiliza nami wimbo huu mwaka huu 2020?
@petersamwelm72792 жыл бұрын
2022
@immanuelmwaipopo16054 жыл бұрын
Dah pumzika baba jabari la mziki natamani nije nipate nafasi ya kukuona but rest in peace
@salehemauza97242 жыл бұрын
Kuna wapumbavu sasa hivi wanaimba uchoko tu, mitusi tu
@jacksonmassawe6624 жыл бұрын
Old is Gold
@sk-wj9or7 жыл бұрын
Sauti, musical na wakati! !!!!
@edwinkatunda68593 жыл бұрын
Alitisha sanaaaaaa
@fatumajuma72987 жыл бұрын
Asante wazee ss iv kuna wasanii wakipanda majukwaan machizii mpooo? mijichiz nayo tupooo ss utegemee nini? chizi kakutana na machizi wenzie ngoma nagwa
@bakaribogolwa14165 жыл бұрын
Mziki wa zamani ulikuwa na mafundisho na pia unaweza kuusikiliza hata ukiwa na watoto unaujumbe safi sana mm napenda sana kazi zao mungu awasemehe huko waliko
@yefthathanatas83259 жыл бұрын
good masudi weee
@mapimwankemwa67784 жыл бұрын
Sauti za kupendeza za kina Fresh Jumbe nyuma, hado dogo tuu!
@nsrazahib76174 жыл бұрын
Kwa Hakika mfaid Afaid mpaka yakukute2020
@moussatiger21906 жыл бұрын
Nice one
@bihawafakih49897 жыл бұрын
nazipenda sanasijui jinsi yakuziamisha
@idrissahchuma92075 жыл бұрын
Kuziamisha kwenye nini?
@jjrussell0812 жыл бұрын
2022 still hot
@jamillahkheir65364 жыл бұрын
Nmelia asee😢😢
@benedictomasele7225 жыл бұрын
Hii nyimbo inafundisha
@alliwazir17676 жыл бұрын
OOOH MASOUD AMIGO
@ajallyselemani49216 жыл бұрын
Dec 2018 am stil listening
@mikidadiibrahimlikenji65623 жыл бұрын
Mariani rajabu, kosmasi chidumulo we acha tu
@emmanuelaxwesso65787 жыл бұрын
the generation when music is man made not computer product
@fatumajuma72987 жыл бұрын
thanx
@norafrowin17485 жыл бұрын
Wanasema ukizaa ni tambo na ugumba nao pia Ni tambo.wimbo woote napenda sehemu hiyo tu kwa ajili ya message yake.ukizaa mtoto Kama asikii Ni tabu na usipokuwa na mtoto kabisa nayo ni tabu
@danymsinga70486 жыл бұрын
masud masud jaman
@moussatiger21906 жыл бұрын
I like Masud
@dimweramadhani6056 жыл бұрын
izindio nyimbo
@faidhangaga47579 ай бұрын
❤
@dicksonchihumpu52044 жыл бұрын
Masud umekuwa jambaz
@rukiashaban71864 жыл бұрын
2020 march
@cybertztz3 жыл бұрын
Nani tupo pamoja 2022
@happytarsis63393 жыл бұрын
2022 daah
@SareemJunior21 күн бұрын
Mimi nataka audio yake naipataje
@shabanishabani55874 жыл бұрын
20:02:2021...
@uhurupeakmoshi52063 жыл бұрын
MASUDI ALIZINGUA KICHIZI
@aligmohamed3071 Жыл бұрын
MAMAMARIA
@victormneney87894 жыл бұрын
Hawa walitumia sana akili kuliko computer za wasaanii wa leo bure kabisa
@clintonnyandiko7156Ай бұрын
25/12/2024
@salumusecilia40274 жыл бұрын
2021
@abdullmazrui98699 жыл бұрын
niyazamani lkn ina ujumbe ndani yk
@mwanaidimfinanga54655 жыл бұрын
Fundisho
@herryzidadu76587 жыл бұрын
kama unasikiliza wimbo huu 2017 Na unamake sense.. Oa bro