NDOTO YA KAJALA WOLPER AIPINDUA MCHANA KWEUPE/ANIBABAISHI/NA SIRI ZANGU

  Рет қаралды 46,320

Dizzim Online

Dizzim Online

Күн бұрын

NDOTO YA KAJALA WOLPER AIPINDUA MCHANA KWEUPE/ANIBABAISHI/NA SIRI ZANGU

Пікірлер: 45
@victoriaowen909
@victoriaowen909 Жыл бұрын
Matured wolper🏅 amnaa mchagaa mjinga ata mmoja 😂🤌
@bahatadof5543
@bahatadof5543 Жыл бұрын
Huyu Mama anauliza maswali ya ovyo Sana,wolper anasema anamsapoti kajala,yeye anasema ndogo ya kajala ni ndogo big up wolper
@user-pm9gs1xb1j
@user-pm9gs1xb1j Жыл бұрын
Huy mma p tang aolew amekuw na dharau ya kuwakashif wezak siy poa mma p
@rosacaren7762
@rosacaren7762 Жыл бұрын
Mimi nacho fahamu ni kwamba hawa waigizaji miaka yao siku zote huaga haipandi inabaki pale tu au ishuke
@rahmamwenda4005
@rahmamwenda4005 Жыл бұрын
Yupo vzr huyu dada amekuwa kiukweli
@user-uc8ei8kn3l
@user-uc8ei8kn3l Жыл бұрын
Tena huyu ndo usiseme bora kajala watoto wamekuwa watoto cjui nani ajaitwa mama
@hemedyawadhi2935
@hemedyawadhi2935 Жыл бұрын
We ongelea yko tu ata ww umefanya machafu mengi sana na yapo pia
@hemedyawadhi2935
@hemedyawadhi2935 Жыл бұрын
@@Majer-wf6np hapo sasa mana ckuiz anajifanya yy hajawah kukosea nakujifanya alilelewa kimaadili sana
@wardakangezi6942
@wardakangezi6942 Жыл бұрын
Ana lolote anajua tumesaau machafu yake
@user-mw8tu8ob2z
@user-mw8tu8ob2z Жыл бұрын
Kwel aache kujiona ni mwema sana
@lovirinaa
@lovirinaa Жыл бұрын
@@hemedyawadhi2935kwenda uko I can’t put Wolper on list of them woman who blabla too much Wolper ni mtu anae jieshimu siku zote
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 Жыл бұрын
Hakusema baya mbona ila waandishi tu wanaandika kiugombanishi
@user-ec4zi3bt1q
@user-ec4zi3bt1q Жыл бұрын
Ni kweli
@user-eh2hv2ib2n
@user-eh2hv2ib2n Жыл бұрын
Huyo ndo gambe
@rahmanamani3422
@rahmanamani3422 Жыл бұрын
Acha kelele mbona majibu yako hayako sawz
@merinakassembe118
@merinakassembe118 Жыл бұрын
Acha uongo una uchafu mwingi na mitandao haifutiki jee itakuwaje kwako😊😊😊😊
@merinakassembe118
@merinakassembe118 Жыл бұрын
Weka mungu mbelw
@user-it3zn6xv2h
@user-it3zn6xv2h Жыл бұрын
Eeeh jaman mstirini tena inatosha
@SonitajoseDonita-tm5ex
@SonitajoseDonita-tm5ex Жыл бұрын
Loshoroo itakuwapo?
@faithfaith-zr6gz
@faithfaith-zr6gz Жыл бұрын
Dharau zimezidi sasa, hahaaa haaaa mpk, Una usiri gani wewe! Kila ck unapost mambo ya familia yako,, mpk chumbani ndio umefundwa hivyo!? Jiangalie alf mkirogwa mnasumbua wachungaji.
@aishaz1
@aishaz1 Жыл бұрын
Fanya mazoez plz umenenepa sn
@fatumakiwera7145
@fatumakiwera7145 Жыл бұрын
Akili kubwa
@maimunaulotu2075
@maimunaulotu2075 Жыл бұрын
Kichwa cha habari na maelezo yake tofaut......nyie ng'ombe muwe makini na taaarifa zenu na heshima ya mtu....pumbavu
@user-sn6dc9gh8k
@user-sn6dc9gh8k Жыл бұрын
Mbona kwenye ex kabaa😅😅😅😅na bado yupo nae wote wapo china😮😮😅😅
@user-vt9tb7yl4l
@user-vt9tb7yl4l Жыл бұрын
Wee muandishi mchanganyishi
@asiamerey9081
@asiamerey9081 Жыл бұрын
Wolper mdogo sio mkubwa
@user-gd5wz2wj6e
@user-gd5wz2wj6e Жыл бұрын
❤❤❤❤
@yohanamichael2682
@yohanamichael2682 Жыл бұрын
Ww nae lione nyokoo tu pumbavu zako nahilo komwe lako mpuzi ww shezi zako😋😋
@adijaniyonkuru9731
@adijaniyonkuru9731 Жыл бұрын
Miaka 40 wakati saizi una miaka zaidi 40 sema ukifikisha 50
@estherminnahboaz6956
@estherminnahboaz6956 Жыл бұрын
Sasa ukifika 40 si ni una 38 wewe ndani ya miaka miwili utaweza yaan anavyosema nikifikisha 40 utadhani yupo early 30+😅😅😅😅
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 Жыл бұрын
Miaka miwili ni mengi kwenye uhai
@moshijoyce-qx5rk
@moshijoyce-qx5rk Жыл бұрын
Hahaha nimeamka
@umwanawimana
@umwanawimana Жыл бұрын
Wolper ni tapeli tena wa ulofa
@mamuumoses9547
@mamuumoses9547 Жыл бұрын
Sana yaan huyo dada sitomsahau mengine tunakaa kimya tu
@OfficialTeacherTz
@OfficialTeacherTz Жыл бұрын
Soma English BUREEEEEE utatoboa ingia Official Teacher kasome
@naomikyonike2359
@naomikyonike2359 Жыл бұрын
Ahahahaha yan awez kabisa bora aongee kiswahil
@merinakassembe118
@merinakassembe118 Жыл бұрын
😝😝😝😝😝😝😝😝
@aishaz1
@aishaz1 Жыл бұрын
Unamiaka zaid bhana kama 47 hapo
@maryrobert9035
@maryrobert9035 Жыл бұрын
Angekua miaka 47 hangeweza kupata watoto pengine 38
@priscakwenga7057
@priscakwenga7057 Жыл бұрын
Watu wanazaa na 50 we wawapi
@mwanaishaabubakar5013
@mwanaishaabubakar5013 Жыл бұрын
Wanazaa zaidi ya hamsini inategemea afya yake uzazi. Nyie msiokula health food ndio mnakoma kuzaa mapema watu wanazaa hadi 60yrs old. Mnakula chips kuku wa sindano unadhani utazaa ukiwa na miaka 55.
@rosehaule6765
@rosehaule6765 Жыл бұрын
😂😂😂😂
@jacquelinelukumay9535
@jacquelinelukumay9535 Жыл бұрын
Mchaga huyo
@user-gu7pb3ko7k
@user-gu7pb3ko7k Жыл бұрын
Kwendraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Glow Stick Secret Pt.4 😱 #shorts
00:35
Mr DegrEE
Рет қаралды 18 МЛН
طردت النملة من المنزل😡 ماذا فعل؟🥲
00:25
Cool Tool SHORTS Arabic
Рет қаралды 33 МЛН
GTA 5 vs GTA San Andreas Doctors🥼🚑
00:57
Xzit Thamer
Рет қаралды 25 МЛН
Now it’s my turn ! 😂🥹 @danilisboom  #tiktok #elsarca
00:20
Elsa Arca
Рет қаралды 12 МЛН
Unakumbuka haya maneno matatu ya Mzee Mengi kwenye msiba wa Ruge
4:57
WOLPER AFICHUA SIRI YA NDOA YAKE
10:02
Mwananchi Digital
Рет қаралды 75 М.
Glow Stick Secret Pt.4 😱 #shorts
00:35
Mr DegrEE
Рет қаралды 18 МЛН