Ndoto za unga na maana zake : Skh Jafar Mtavassy : Mfasiri bingwa wa ndoto Afrika mashariki

  Рет қаралды 116

MTAVASSY TV TANZANIA

MTAVASSY TV TANZANIA

Күн бұрын

Пікірлер: 16
@SHADIAABDALLAH-o6m
@SHADIAABDALLAH-o6m Ай бұрын
Waaleykum saalam,mimi nimeota nimeona mayai meeengi lakin yamepasuka tena km yameiva wakati najiuliza nikamuona kunguru kwa juu ya nguzo ya umeme nikahisi ndio alie kula mimi nikawa naya shikashika
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 29 күн бұрын
Inaonyesha kuna mtu kweli ni muovu lakini wewe unamhisi tu vibaya wala hajakutendea lolote katika uovu wake. Allah akulinde
@MugeniZaina
@MugeniZaina Ай бұрын
Assalam Aleikum warahmatullah wa barakatuh sheikh nimeota nanunuwa nguo na nikamununulia muscana wangu tena nguwo zinazo fanana inamanisha nini?
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 29 күн бұрын
unayo adabu na unajitahidi kumuadabisha binti huyo. Kama ukiwa haufanyi hivyo, basi ndoto itakuwa inakuelekeza ufanye hivyo.
@MugeniZaina
@MugeniZaina 29 күн бұрын
Shukran Mwalim
@AleiHadji-js3ed
@AleiHadji-js3ed Ай бұрын
Nimeota Niko kwa nyumba hapa kwa msaidizi wa Mwenyekiti wa Kijini nilipoingia niliingia na kuku jogoo mmoja na nikaona niko kitandani kwa Nyumba hiyo nikimpa kuku mtama alienitoroka na kuanza kusogeaa nn maana yke Maalim
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv Ай бұрын
je hakuna mtu unayemvutia kwako imapenzi?
@AleiHadji-js3ed
@AleiHadji-js3ed Ай бұрын
Sina Kwa sasa maalim ila Ktk Nyumba Hiyo Yupo Msichana Hua namtania
@SIKUDHANISHIRINITZ
@SIKUDHANISHIRINITZ Ай бұрын
Shekhe mie nimeota mtualie kufa yupo hai naamenikabiz bokx nikalifungua ndani nikakuta kikaratas2 Naalikua nimtu maaruf nchini tz naniwakike
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv Ай бұрын
haikuandikwa lolote hiyo karatsi
@SIKUDHANISHIRINITZ
@SIKUDHANISHIRINITZ Ай бұрын
Apana hakina maana alikua amekaa nyuma yangu akaniambia chukua paspot yako ndiokugeuka akanipa hilo bokx
@ShumAbby
@ShumAbby 17 күн бұрын
Aslm aleikum nimeota napaa mm na mume wangu lkn yy yupo mbele yangu mm nyuma yake lkn tumepaa mpka juu ya miti kulikuwa km na misitu tupo juu hlf nikaona majina mengi ya Allah Allah kisha nikamuuliza mume wangu mbona naona majina ya Allah akaniambia ukimshika Allah kila sehem anakulinda hlf tukapaa zaid ila hatukufika kwenye mbingu nn mana yake
Jinsi ya kumfanya mchawi anase asiweze kuondoka  ( @mtavassy tv Tanzania)
6:28
Farmer narrowly escapes tiger attack
00:20
CTV News
Рет қаралды 13 МЛН
If people acted like cats 🙀😹 LeoNata family #shorts
00:22
LeoNata Family
Рет қаралды 35 МЛН
Aliyemuona Rais katika ndoto Sheikh :Jafari Mtavassy                        mfasiri bingwa wa ndoto
14:20
Ndoto ya zawadi : Skh Jafar Mtavassy
4:35
MTAVASSY TV TANZANIA
Рет қаралды 1,1 М.
Raadinta AqoontA iyo cilmiga | Sheikh Cabdicasiis Abu xamze
1:16:02
Sheikh Cabdicasiis abu xamza
Рет қаралды 518
THE MOST POWERFUL RUQYAH REMOVES Djinn IN THE HUMAN BODY AND BLOODSTREAM
1:40:25
Jifunze kiarabu Somo la kwanza herufi za kiarabu (@Mtavassy Tv Tanzania)
20:39
aliyeona homa katika ndoto (@mtavassy tv)
4:29
MTAVASSY TV TANZANIA
Рет қаралды 169
HALIMA MDEE AZUA MAPYA MSIBANI kwa NDUGULILE "TUACHE UNAFIKI"
5:11
J FIVE TV ONLINE
Рет қаралды 29 М.
WAISLAMU WALIZWA  MSIKITINI
28:59
SHEIKH MWAIPOPO TV
Рет қаралды 114 М.