Ndio tunachokiona sasahivi Tawala za Dunia Hazishikamani kila tawala inajijali yenyewe. ❤
@jakee2041 Жыл бұрын
AMEEEN. AMEEEN. Hawatashikamana tawala za dunia mbaka Yesu arudi. Ukraine -Russia, Palestine- Israel,,, Mungu tuokoe❤❤
@bosirebosire5620Ай бұрын
My favorite Adventist choir, among the selected a few who sing to praise God
@patrickmuchai8588 Жыл бұрын
I was saved because of this song about daniel
@KimilaSayi3 ай бұрын
Amen Mungu awabariki sana
@joshuaoyaro12502 жыл бұрын
Napenda sana hizi nyimbo. this is a true christ driven choir
@ericsababu88252 ай бұрын
wow am feeling like am next to heaven right now .what a blessing. Amen
@JASPERMOKUA5 ай бұрын
Amen. Asanteni sana kwa wimbo huu. Mungu atukuzwe.
@mussaottoman22673 жыл бұрын
Nabarikiwa sana na nyimbo za Muungano. Nikizisikiza huwa nakumbuka miaka ya '90 wakija makambi Bunda
@VisentJohn-r3rАй бұрын
Amina sana
@stephennyambane4192 Жыл бұрын
Exactly what’s happening in the world right now. This is why I love Muungano choir preaching through songs. Prophecy 🙌🏾🙌🏾
@samsonjuma5618 Жыл бұрын
MUNGU awatie nguvu.. ili mwendelee kujenga kanisa rohoni mwawaumini
@katisaakamangulu9077 Жыл бұрын
Mungu aibariki kwaya ya muungano na zile zote zienezao injili kupitia uimbaji nashukuru
@getrudamaigekulwa913611 ай бұрын
Amina nabarikiwa sana na hizi nyimbo
@johnkangwele54406 ай бұрын
I like the song
@veronicahnjeri25532 жыл бұрын
Great singers...I like your singing and songs.introducing to... utube.. The great Tent Cathedral...to hear what God is telling the Church at this end time... God bless you.
@annkangethe91113 жыл бұрын
GOD bless muungano choir
@kimilasayi262611 ай бұрын
Amen Mungu awabariki waimbaji wote
@charlesngeno92692 жыл бұрын
Powerful endtime song
@mussaottoman22673 жыл бұрын
Naomba ikiwezekana mu-upload wimbo Wa mvua ya masika.
@Kavughomuyayaloneema4 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉
@jegumusa2756 Жыл бұрын
Nimesikiliza Zaid miaka 30 lakini Bado nabarikiwa namshukuru kwaya kurudisha kanisan
@FatumaNtirampeba-pk3yq Жыл бұрын
Amene
@MishakaMathias10 ай бұрын
Mungu n mwema xana mbarikiwe wanakwaya
@MichaelMagige Жыл бұрын
Nice song,ni kuhusu unabii wa dunia kwa Mambo yaliyopo na yajayo!!!
@lordorcas9344 Жыл бұрын
He ! Wateule wa Mungu Amkeni mu Sikilize Wimbo huyu Wa takatifu y’a Bwana ba wa na Tukebecha Mu Sitike ! Mu Si Chukuwe Alama y’a Yule Munyama APOCALYPSE 13:15-16 JESUS dis ne Prenez Pas La Mark de La Bête ATTENTION! Danger ⛔️ Jésus Christ says you do not take the mark of the Beast Be wares ;Warnings Dangerous Hey ! Ba Ndimi na YESU Bo Lamuka na Pongi Nyama na YAULI ye Wana ! asi aye NYOKA na Kala ye Wana Aye ! Keba asi aye Tango na ye y’a Koboma ba Bulami na Nzambe ekoki Keba ! Ndeko molingami Kati na YESU !Mu barikiwe sana Ju y’a Wimbo iyi ni mafundisho , injili y’a Kweli Amen SHALOM
@Baraka-wx7rs Жыл бұрын
From songwe Tz I pray for all lovely long
@samsonjuma56182 жыл бұрын
Asante kwa ufunuo huo wa, tawala za dunia hazitashikamana...GOD BLESS YOU ALL
@BabMuniwe-pg7el Жыл бұрын
Baba yangu alikuwa akipiga gitaa anaitwa Amos pamoja na mdogo wake Mikael ukoo wangu umesuka sana mungu Yu mwema
@joelynassarynassary72576 ай бұрын
Nabarikiwa sana
@Maryannwairimu9532 жыл бұрын
The stone is my lord
@alicesiriwayo35582 жыл бұрын
Mungu bariki muungano choir
@muunganochristianchoir_Tz2 жыл бұрын
Amina. Nawe ubarikiwe pia
@jesusislordflock17063 жыл бұрын
Amina Sana🤩🤩🤩🤩🤩haki kwa neema za Mungu, upload audio ama video ya 1.Ninataka kuwa naye rafiki...... Halafu chorus ni... Hakuna hakuna rafiki kama yesu 2. Umoja wa mataifa je utaleta amani duniani??...... Halafu chorus..... Hautaleta hautaleta Amina 🙏🙏🙏💥💥💥💥
@muunganochristianchoir_Tz3 жыл бұрын
Tutziweka muda ukifika
@jesusislordflock17063 жыл бұрын
AMEN AND AMEN,BARIKIWA SANA@@muunganochristianchoir_Tz
@interhacker6270 Жыл бұрын
Nyimbo hizi kwa namna moja ama nyingine ndizo nyimbo zenye ujumbe wa pekee kusini mwa jangwa la sahara hata afrika nzima kwa ujumla kuwa na ujumbe dhahiri kwa nyakati tunazozikabili kabla
@interhacker6270 Жыл бұрын
Kwa karne ya 20
@matenyabenard141 Жыл бұрын
Na Ile wimbo inasema 'Mwili wangu Mimi ni kama ua' nimeutafuta sana
@daisylemashon7294 Жыл бұрын
I really love their songs
@katisaakamangulu9077 Жыл бұрын
Hizo ni nyimbo za ukristo kabisa ,na fursa injili kuenea kupitia uimbaji
@jobmotari8619 Жыл бұрын
Tamu Sana,wana choir mbarikiweni sana
@MichaelMagige Жыл бұрын
Hayo tunayaona ukrine na Russia,Israel na palestina,hayo yote yametabiriwa!!!
@festomnyamili5246 Жыл бұрын
Huu ndo muziki live chombo kinasikika na mmiliki unamwona huyu hapa wewe unasemaje
@agustinokimaro14832 ай бұрын
Daaaaa
@bernardreponsenyange4044 Жыл бұрын
J'apprécie fort
@shaniachanceline2751 Жыл бұрын
Amen. God bless you all for the message of the bible prophecy ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@felixomwamba5332 жыл бұрын
Nyimbo hizi ni nzuri sana, kweli Mungu atukuzwe
@neemakimario4529 Жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏
@MinzaNgadula-co7dd Жыл бұрын
❤
@davidotwate81132 жыл бұрын
Jairus kiyieka
@njorogekariuki98412 жыл бұрын
Kwa kweli hazitashikamana?
@agnesmwanthi3937 Жыл бұрын
Good luck
@ismailirankunda Жыл бұрын
❤❤❤❤ nawapendasana Muungano kwaya
@LucasNgama-kt7zp Жыл бұрын
Nakweli hawata shkamana huo wimbo ndo umefika muda wake.
@atwendakondo92642 жыл бұрын
mbarikiwe sanaa Kwa unabiii mzuri
@peterbaroret3002 жыл бұрын
Nabarikiwa sana na hiyo Nyimbo.Mungu awabariki sana
@jakee2041 Жыл бұрын
Ameeen. Ameeen for all items. God keep Blessing you all choir members. ❤