Tu na mungogeya Mokonzi wetu iko mu njia ana kuja kutu Chukuwa Tu Epuke HATARI y’a Chetani 🙏🙏🙏
@Bagay13355 ай бұрын
Kutoka Congo na burudishwa na wimbo huu mubarikiwe na MWENYEZI MUNGU awape mwisho muzuri vikana wa MUNGU
@davisMunene-d4s4 ай бұрын
Tamanio langu ni ,,siku Ile YESU ajapo tujumuike pamoja nanyi kumlaki mawinguni.. Be blessed..
@taimudifre717Ай бұрын
Wish it reach a time we meet in heaven
@dapinitiative24512 жыл бұрын
Leo nimetazama tena huu wimbo wenye majonzi! Mwenyezi Mungu aendelee kuwapumzisha Kwa Amani! Shukran zangu za dhati Kwa hii kwaya ya kisabato! Nawapenda Sana Sana Sana nyimbo zenu zooote zimesheheni ujumbe mzito saana!! Kwakwel Mwenyezi Mungu awafanikishe ktk Huduma zenu na Mbarikiwe saana!🥰🥰
@muunganochristianchoir_Tz2 жыл бұрын
Tunakupenda pia
@AlexNyambane Жыл бұрын
Asante Muungano kwaya,Nyimbo zenu sinatuliza roho
@stephenmusembi21762 жыл бұрын
When it comes to gospel just leave it to our neighbors tanzania,we as kenyans love your songs than tanzanians themselves
@wilsonmosbey15733 жыл бұрын
Kutoka Nairobi Kenya nabarikiwa na wimbo huu. Kwa hakika parapanda itakapolia, wote walio katika Kristo watafufuliwa, tutawaona tena wapendwa wetu. Tuishi ndani ya Kristo, maisha yetu yatakuwa na matumaini tele.
@JosephMarindi2 жыл бұрын
Huu wimbo wafariji na watuelimisha jinsi tunafaa kuishi kwa hii dunia. Asaante sana Kwaya ya Muungano kwa nyimbo zote mnazoziimba. Kutoka Nairoi, Kenya, twasema asanteni
@muunganochristianchoir_Tz2 жыл бұрын
Karibu tanzania. Ubarikiwe
@LydiaWanjiku-z9x Жыл бұрын
Asante sana kwa wimbo nzuri paleni sana😢❤
@cyrusmurage5085 Жыл бұрын
This song reminds me GITHURAI 44 PEFA CHURCH CHOIR they used to sing it very well. May those who perished continue resting in peace
@samsonjuma56182 жыл бұрын
Poleni sana ndugu watanzania MUNGU awape nguvu..wakati huu wa mxaombolezo
@ev.helenafricanqueenofpeac20383 жыл бұрын
Old is gold I remember this song mumwaka wa 98 mubarikiwe.
@samsonjuma56182 жыл бұрын
Poleni sana ndugu ajili ya mv bukoba.. mfariji mwema ni MUNGU.
@priscillandekere88463 жыл бұрын
Huu wimbo wanitoa machozi, MUNGU tuhurumie tutubu yote tune kuuridhi Ufalme wa Mbinguni
@moseskatamba5368 Жыл бұрын
Mungu awabariki sana kwa uimbaji wenu mzuri mliojariwa na Mungu Nabarikiwa sana na nyimbo zenu Natamani siku moja niwaone live
@tommulongo34412 жыл бұрын
Tulitoka vumbini na tutarudi.Ndani ya kaburi hatuwezi kutubu.Mungu awabariki wanamuungano
@dancunochako4292 Жыл бұрын
We will meet our beloved in the ressurection morning
@teresiakwambo90185 ай бұрын
I like this choir
@nkhun83603 жыл бұрын
Napenda kwaya hii sana. Barikiweni sana.
@thearchivecity4228 Жыл бұрын
Kujeni kisii please kama illivyokua
@nsengiyumvabona5145 Жыл бұрын
Wana coir nawapenda sana Mimi Niko Rwanda kigali
@muunganochristianchoir_Tz Жыл бұрын
Tunakupenda pia
@michaelmupalia372 Жыл бұрын
Matendo yako yakufuata😢
@BlackphilosophyMarto-sp9bn4 ай бұрын
Ni kweli Yesu yuaja na ujira wake mkononi
@FaithVishy-wv8lp Жыл бұрын
May all perished in that accident countinue resting in peace untill we met again 😢😢😢
@jeniffermwania92154 ай бұрын
My best songs
@wafiiwaii-v1d Жыл бұрын
Ukweri amen 🙌🙌
@johnerasto30953 жыл бұрын
Kipind Cha kuwa karib na yesu kristo,amen!
@LucaszachariaShija-hh8wc Жыл бұрын
Bwana awabariki
@mariitadenis4097 Жыл бұрын
Amen
@daudm15582 жыл бұрын
Nikiwa na umri mdogo sana
@FaithMuvimbi Жыл бұрын
Those were our times
@henrynyabuto2 жыл бұрын
Mungu hazidi kuwabariki Sana kwaya hii ya muungano mnanibariki Sana kwa uhimbaji wenu
@WycliffeOmolo-d3wАй бұрын
really
@leahbhoke87183 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭 Yesu Mwokozi Tusaidie
@MoshaSamburu Жыл бұрын
Muungano kwaya 3:01
@AgnessAgness-w6s Жыл бұрын
😢😢mmmmmmh
@kristarubenifimbo293 жыл бұрын
umbo huu umenikumbusha mbali rafiki yangu niliyesoma nae alipoteza maisha .
@Teaching3565 ай бұрын
Kwa MV Bukoba et?
@JackobMwinje10 ай бұрын
Nyimbo za mziki kinyongo 2:07
@momylaviel7 ай бұрын
😭😭😭😭😭😭😭😭
@nansi12552 жыл бұрын
😭😭😭😭🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
@kaleliezekiel58773 жыл бұрын
It still touches
@ngabokakizimana85253 жыл бұрын
Mubarikiwe sana wa zeheee wa tanzaniya
@ismailirankunda Жыл бұрын
Huu wimbo ina nikumbusha ajali ya meli kwenye ziwa Kivu kwenye visiwa vya idjwi hapa kwetu Bukavu DRC,ajaliiyomaliza watu woote 😂😂😂😂
@musyokamwele87072 жыл бұрын
Hii kwaya uwa inanibariki sana,does it still exist
@muunganochristianchoir_Tz2 жыл бұрын
Ipo inaendelea kumtumikia MUNGU
@musyokamwele87072 жыл бұрын
Amen
@lelinka43112 жыл бұрын
NI MIAKA ZIMEISHA TANGU AJALI YA BUKOPA KUTOKEA, LAKINI KUISHI KATIKA MUNGU, SIKU YA KIAMA ITAKUWA FURAHA TUKIKUTANA NA WALIOTUACHA.
@paulcussons6672 жыл бұрын
I lost my grandmother yesterday, this song is so real go me. Its my prayer, she died in christ.
@mariitadenis4097 Жыл бұрын
Please can I get musa
@muunganochristianchoir_Tz Жыл бұрын
Mussa who?
@calebomwega33542 жыл бұрын
Be blessed.
@MercyDonyeАй бұрын
U will see your colleague again
@piuslugata49313 жыл бұрын
Emeni
@charlesrhombo79103 жыл бұрын
A true sermon....
@evansosoro7853 жыл бұрын
Inspirational song
@AntonykyengoAntony-vy8yd3 ай бұрын
Poleni sana
@muunganochristianchoir_Tz3 ай бұрын
Mungu akulinde bwana Alifayo mogunde,, umenikubusha hiyo miaka tulitembea sana kwa injili ya yesu,, na hata sasa tunaendelea na kazi ya mungu,,
@bonfacemwiti14712 жыл бұрын
Kifo hakuna nguvu.
@davidotwate81132 жыл бұрын
Jairus kiyieka
@miriamwangeci72242 жыл бұрын
Wachawi waliiiangusha kwa mujibu wa ndugu kanyerere