Kwa Mawasiliano call + 255 717 674346 #Pleas#Subscribe#Now
Пікірлер: 167
@SurprisedBoombox-od9dr23 күн бұрын
Hakuna jambo linalodumu hapa chini ya jua, mbele ya macho yangu, jaribu langu litatoweka Amen
@user-bw4pu3dx7g8 күн бұрын
Hakika huu wimbo ni tiba ya moyo ulioumia na ni baraka siku zote maana hauchuji Kila siku ni mpya.
@Francine3802 ай бұрын
Wauuu sijui mbona nalia mungu nice song has touched my heart
@faithikenda Жыл бұрын
Jamani Neema nyimbo zako zilitubariki na kutuiinua sana ..na upako uko pale pale...Mungu akuinue tena Praise power ilifanya kazi njema ya kuinua vipawa hivi!!!
@zakiamseka96982 ай бұрын
Nina jaribu mwaka wa 20 sasa😢 Mungu nisaidie litoweke..amen
@BahatiRwabadukajeremie-tb5th2 ай бұрын
Ce chanson me souviens de passé en 2016 tu ne peux pas croire
@user-st8vj7ml1o4 ай бұрын
Napataje mawasiliano na wewe Neema
@MALILOLAMBERTMATWI3 күн бұрын
Anaimba vizur
@user-sv1ow8ti3gАй бұрын
amina, nabarikiwa sn na ujumbe mzur toka kwa wimbo huu
@maggiebaraka69273 жыл бұрын
Hata kama jaribu lako liwe kubwa.......siku moja mbele ya macho yako jaribu lako litatoweka......Haleluyaaaaaah
@sarahaamos6175 Жыл бұрын
Hii nyimbo nimeitafuta toka 2016 jaman naipenda hata Mungu anajua,Ubarikiwe kwa mafunuo ya wimbo huu ujumbe mkali sana uliongozwa na Roho katika utunzi huu
@marianyakanga-yw8fq Жыл бұрын
Nyimbo hii nzr sana
@GedeonNdayipfukamiye11 ай бұрын
na mimi nagupenda sana ubalikiwe sana mu imbaji
@dinakyoma59772 ай бұрын
Barikiwa mno Neema
@silviak1776 Жыл бұрын
Nimetafuta hii nyimbo sna , Mungu ni mwema 🙏🙏🙏🙏
@christinakilla8 ай бұрын
Hongera dada, Asante Kwa wimbo wa kutia moyo
@user-kt8pm9ds8z11 ай бұрын
acha mungu awe mungu tu
@jobmwakijale74473 жыл бұрын
Umenibariki sana huu wimbo na umenifanya upya huu wimbo nilikuwa nimekata tamaa sana kwa mapito ninayopitia Mungu akubariki mtumishi
@Majembe12Ай бұрын
Hakika linapita....😢👉😂🙏.
@shikiroruhara29416 ай бұрын
Iposiku❤❤❤
@IteritekaDivine-py9bs Жыл бұрын
Adupe zingine jamani
@BelyseNiyodusaba-th5om9 ай бұрын
Naipenda sana
@NzirubusaGrodien8 ай бұрын
Nikweli linapita.
@elizabethagustino3592 ай бұрын
Wimbo huu nimetafuta miaka mingi hatimae leo nimeupata, jina la mungu libarikiwe, nawe dada mungu akuinue katika viwango vya juu.
@stellahmwanjala Жыл бұрын
I always sing about this song ...God bless you with more encouraging songs...
@MillicentJonas-wb6ts Жыл бұрын
Amen Mungu akubarik
@yusterminga74484 жыл бұрын
hakika kila jaribu lina mlango wa kutokea!! hata mlango ukifungwa Mungu anazo funguo!!!!!!!!!!!
@kenniaivuganeza650 Жыл бұрын
Mbere ya macho yako jaribu lita toeka sema Amen🙏🙏🙏
@eugenientakarutimana7940 Жыл бұрын
Asante sana dada kwa wimbo mungu akubaliki 😢🙏🏿🙏🏿🙏🏿🥰🥰❤️🧡
@mercymuranga817 Жыл бұрын
Pia mm jaribu hili ninalolipotea siku moja litatoweka mbele ya macho yangu
@queenliz94824 жыл бұрын
Amen niko naimani siku moja maitaji yangu itajibiwa tu na Mungu Wangu 💞 Asante sana kwa wimbo mzuri wakutupatia moyo ubarikiwe sana 🙏🙏🙏🙏🇨🇩🇨🇩
@neemajeckoniachavala64374 жыл бұрын
Amen barikiwaaa
@speshoman833 Жыл бұрын
Ameeeen 👏👏👏 asate dada kwawimbo mzuri wakutiya moyo Sana Sana mtumishi
@user-qw4om8us2e7 ай бұрын
Amen amen 🙏🙏🙏
@elysenyonzima5685 ай бұрын
Amenaaaa❤❤
@biabukasongo61333 ай бұрын
This song makes me strong I was pregnant
@MwakaziJanet-qq2be5 ай бұрын
Good luck
@GLORY.BGOSPEL4 ай бұрын
Jesus blessed you mama
@anitakindole20513 жыл бұрын
Kweli kabisa linapita na unasahau kabisa
@PendoElisha-lo1sw Жыл бұрын
Wimbo mzuri Sana unatia Moyo
@janethhendry67343 жыл бұрын
Ameeen nakumbuka wakati nipo katk jarb lang.lkn mungu ulinivusha mungu wangu Asante.
@stellastellamartin8822 Жыл бұрын
Amina pia nilalopitia kwasasa namini mungu ataniptisha 😭😭😭🙏🙏🙏
@jeanpierreimanishimwe77806 ай бұрын
May God bless you
@marianyahenge9529 Жыл бұрын
Wimbo umenitia nguvu Sana barikiwa mtumishi Mungu amekutumia
@beatricemaugo Жыл бұрын
Nice song with powerful massage God bless your ministry dada........siku moja mimi nakwambia mbele yà macho yako jaribu lako lítatoweka. Amen
@jennifermchodo1079 Жыл бұрын
Jipe moyo katika jaribu unalopitia 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@lucyndare53194 жыл бұрын
Karibu hata liwe kubwa lazima litapita. Wimbo unatia moyo sana, barikiwa mtumishi
@user-lt7go8rf8o8 ай бұрын
Amina
@happynyonga9328 Жыл бұрын
Hakika ht mm jaribu nililonalo linaenda kupita kwamaana Mungu wetu hashindwi nakitu kama alinioitisha jaribu lakwanza ht hili litapita
@lidiamalesi62962 жыл бұрын
This song as rilly touched my heart no matter what iwill press on
@joselineapoma87303 жыл бұрын
Wow wow Amina, I was waiting for thise video, God is good all the time, Wow Amazing words , sikumoja Mimi na kwambia jipe moyo hilo jarabu niya muda tu,Mungu yuko Mungu yuko,Amen Amen hallelujah Hallelujah nimebarikiwa kwa huu wimbo.
@InnocentMutabazi-vl8xe5 ай бұрын
Na Hilo linapita kabisa, we vumilia tu
@jolamb84698 ай бұрын
Amen🙏🙏🇧🇮
@evaristnkinzigabo3306 ай бұрын
Jameni nafurahitena kwakuyitafakari nyimbo hii ubarikiwe mama 🙏🙏🙏
@janetbahati3867 Жыл бұрын
Asante dada kwa wimbo mzuri wa kutia moyo na kumpa imani mtu. My God bless you forevermore 😭😭😭🙏🙏🙏 . Majaraibu n kwamuda tuu lkn MUNGU yuko atatendaa
@minister_goodsoul3264 Жыл бұрын
Barikiwa dada wimbo wako umekua dawa kwangu
@justinebulongo46922 ай бұрын
Amen
@janeongala66842 жыл бұрын
Nice song I love this song to much
@mwaramigila62782 жыл бұрын
Neema umenifanya moyo wangu utulie kila nisikilizapo nyimbo zako za faraja
@heriethmtangichafwakale546 Жыл бұрын
Inabariki sana
@user-tt1fk2cv7y10 ай бұрын
Unanipa nguvu sana huu wimbo ubarikiwe sana dada
@barakamlili77833 ай бұрын
Jaman
@mophatmwanje87092 жыл бұрын
Naomba kualika Kenya Dadaangu,uje uhudumu nitakufikiaje
@calvinidemili556 Жыл бұрын
...nice melody ... smooth!!
@user-kx9xk1jx3r9 ай бұрын
Asante dada kwa ujumbe mungu akubariki xana ktk huduma
@harrietboruwa6501 Жыл бұрын
AMEEEEEEEEEEN AMEEEEEEEEEEN SURE GOD BLESS BLESS YOU FOR EVERYTHING 😢😢
@rizikijoyce3781 Жыл бұрын
Wawooo
@lainakasukulu996011 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@bigirumanalululouise4540 Жыл бұрын
Song
@yehubahwere94667 ай бұрын
Asante sana kwa wimbo huu unanifariji sana
@kagenitz Жыл бұрын
This song, I always look for it on You Tube. She ministers in Kiswahili in such a loving, and uplifting way. Asante sana Mtumishi Neema!!!
@danstanmathayo13323 жыл бұрын
Barikiwa sana hakika kila jaribu lina mlango wa kutokea
@user-pd2xi1zj2r6 ай бұрын
Na mi nimebalikiwa na hiii nyimb na we ubalikiw na mung mam wetu
@saphynjaule4849 Жыл бұрын
Sure,wimbo huuu unanibarikiiii
@erickngaiza83244 жыл бұрын
Safi sana shemeji yangu mungu hana kupigania sana
@fridahkn6193 Жыл бұрын
Was in great pain and betrayal,,, as I was praying the song came to my spirit. I had to look for it on you tube. It's my first time to hear the song. At 4:30 am.
@pieleamani40842 жыл бұрын
Najua mungu atanilinda na hili litatoweka
@AlexOnchwari-cf7sq Жыл бұрын
Nmeipenda hii nyimbo ubarikiwe
@edinaaudax-kb3jd8 ай бұрын
Jaman madam ahasant nafalijika San na huu wimbo
@user-lg5ry9ro1i Жыл бұрын
Hii nyimbo imebarikiwa daima
@user-kx9xk1jx3r9 ай бұрын
The great song is always encourage uuss be blessed neema
@christinamwambola93293 жыл бұрын
Barikiwa sana, nataka na ule wa tenda Bwana katika maisha yangu.
@user-hn7kz4yk5i Жыл бұрын
Nimeutafuta toka 2016 hatimae leo nimeupata baada ya huyu dada katuhudumia kwa viwango
@saimonmatata93003 жыл бұрын
Dada yangu neema mungu azidi kukubaliki
@patrciakavihhsra57474 жыл бұрын
Ubarikiwe sana dada na Mungu akuzidishiye kipaji
@mchukiwakabwe1723 Жыл бұрын
🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
@uwimanaesperance5280 Жыл бұрын
Asante saana kukutia moya dada!
@stellambilinyi5402 Жыл бұрын
Mama nimeelewa huo ujumbe barikiwa
@etonyemyaesau1433 Жыл бұрын
Asante sana dadayangu kwa huu wimbo huwa unanijenga kwa yale ninayo pitiya
@invocavitmbise5296 Жыл бұрын
😭😭😭😭😭...🙏🙏🙏🙏
@HawaMohamed-xp4om10 ай бұрын
Nimetafuta saan huu wimbo
@annamushi105726 күн бұрын
Àmeen
@user-xu5ng8fd3k6 ай бұрын
❤
@thomasmuzige1200 Жыл бұрын
Amen MUNGU ni mukubwa
@kalirealine97516 күн бұрын
😭😭😭🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@hafsasaif80044 жыл бұрын
Yan Naishi Na Wewe Ata unambii Ndoleo sasa nakwambia 😁😁😁😁
@levismbasa22943 жыл бұрын
Nyimbo nzuri,bt tuwekee zote za album ya jaribu nimezitafuta Sana sizioni.
@atupakisyemwamiko68913 жыл бұрын
Nafarijika kwa huu wimbo barikiwa sana
@user-gx4pb4vr2s10 ай бұрын
🙏
@lovenessjunior5323 жыл бұрын
Hakuna jambo linalodum apa chin ya jua..Na ili nalo litapita