Kama unangalia 2024 na una barikiwa gonga like hapa
@fraviusfulgence73463 жыл бұрын
Huu wimbo uwa naukubali sana na balikiwa sana Mungu awabaliki
@user-pv1jz8je5f8 ай бұрын
Nmebarikiwa sana na huu wimbo nmekumbuka wakati nilipokua napitia hali ngumu,kwel Mungu hutenda kwa wakati wake.
@dg5631 Жыл бұрын
LoVe this song ... touching ...aw aw aww ...
@marthagbenie5961 Жыл бұрын
Hakika kuna upako kwenye nyimbo nyingine ,barikiwa sana Mtumishi wa Mungu
@lilianmkelewele74892 жыл бұрын
Hakika yesu umetenda mbalikiwa
@user-vm6pt6wr7y2 ай бұрын
Amina akika yesu amenitendea mema sio kwa akili zangu😊
@queenlukindo9913 Жыл бұрын
Neema's voice oooooh I feel to sing halleluya to Jehova.. Mungu awainue jamani, Tunawaombea
@upendokambi1845 Жыл бұрын
Mbarikiwe sana wateule wa Bwana kwa Utumishi wenu
@timothymkenya23743 жыл бұрын
Hakika umbali nimetoka na mahali nimefika imegharimu mkono wa Bwana! Dunia ingenimeza hai...LAKINI WEWE YESU UMETENDA HAYA! Pst Timothy Mkenya of Deliverance Church Check-point Nairobi Kenya
@marthagbenie5961 Жыл бұрын
Amen mtumishi wa Mungu
@sarahaamos6175 Жыл бұрын
Kweli kabisa Dada yangu Mungu akuinue nyimbo zako zinanigusa
@tryphonesimwika1063 Жыл бұрын
Mungu akuinuwe mtumishi
@mdabwa9814 Жыл бұрын
Heleluya 17,12 2022 mungu ni mwema sana 😭asingekua MUNGU 😭😭
@christinamwambola93293 жыл бұрын
Hakika yesu Unatenda, ulitenda na utaendelea kwangu. Nakupenda yesu
@elizabethdzitu431010 ай бұрын
Amen be blessed sana
@michaelssenkubuge95362 жыл бұрын
Anointing song woman of God.from apostle Michael Uganda 🇺🇬
@nonoellanini62642 жыл бұрын
Shalom shalom tunaomba Nyimbo zingine 🙏🙏nyimbo ya Usiludi nyuma hatuioni
@khalifahersi61332 жыл бұрын
Really love this song it's my testimony be blessed people of God
@sarahaamos6175 Жыл бұрын
Wimbo unapenya hata kwenye mifupa
@floramajor33813 жыл бұрын
Wimbo mzuri mbarikiwe watumishiii
@dg5631 Жыл бұрын
Kama umeniimbia mimi
@amanipk26524 жыл бұрын
Dada mbarikiwe Sana nawapenda sana
@agnesmbone2922 жыл бұрын
Aki.kaka Weka skiza tune napenda sana nyimbo.zako
@junefother78903 жыл бұрын
Maman nakupenda sana ni murundi nyimbozako nazipenda
@stronglady75612 жыл бұрын
Yesu achoki kutenda Ndio maana nasema umetenda Haya Baba
@siaotv72694 жыл бұрын
Yesu umetenda hakika
@evelynebwire76843 жыл бұрын
Waooooh Mungu awabariki sana
@amourpaul40622 жыл бұрын
Mbarikiwe Sana na Yesu
@paschalnashon28203 жыл бұрын
Hakika ni mkonowake bwana umetenda haya,
@agnesmbone2923 жыл бұрын
Hakika yesu ametenda
@hafsasaif80044 жыл бұрын
Ongera Neema
@jumagwassa88963 жыл бұрын
Kwa nini nyimbo za album ya kwanza ya Neema Chavalla hazipatikani?mhusika tuwekee kwani tunazipenda kwa kuwa zina ujumbe mkubwa wa kutujenga