wimbo mzuri sana, yesu nisaidie nisije achwa na yesu wangu mzuri yatosha kuwachwa na wapenzi kunavoumiza Vile na hisi nikiachwa na wewe yesu hicho kitakuwa kilio na kusaga meno. yesu usiniache mimi na watoto wangu, wazazi wangu na ndugu zangu pamoja na Mume wangu.