Mornings are sweet when you start with GOD. Sikiliza Neno la Mungu, read scriptures, imba Tenzi za rohoni ukiwa njiani kuelekea kazini kwako na u-experience that high favor of God throughout yo' day. Be blessed man of God. Mungu alibariki Neno lake❤🙏
@shadrack65302 ай бұрын
Ameeen, nilikuwa Niko heka heka kaka angu alikuwa anagombea umwenyekiti wa mtaa kwa damu ya YESU ameshinda kwa kishindo kikubwa sana🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@KareenSojo-ue1dbАй бұрын
as am going 2025 let me recap again
@MercyThuo-rs8uk2 ай бұрын
🙏🙏🙏
@yunispatrick86132 ай бұрын
Amen 🎉🎉
@gkely26182 ай бұрын
Biblia ndio kitabu chenye maarifa zote za maisha. Sio kitabu cha dini fulani ni ujumbe wa Mungu kwa walimwengu