Song Lyrics 🎵 🎶 Hiki kinywa changu Na huu moyo wangu Vimejawa na sifa zako Ewe BWANA Mungu wangu. Yale umetenda kwangu Sio siri ya moyo wangu, Bali ni ushuhuda wa wazi Kwa mataifa yote. Acha niseme nieleze NIwaambie wajue. Ushuhuda wa kweli Wa maisha yangu Nikihesabu mambo ni mengi umenitendea Hisani kubwa BWANA umenifanyia Milimani na mabondeni ulinisaidia. Ahsante BWANA kwa neema ulonipatia. Acha niseme nieleze Niwaambie wajue. Ushuhuda wa kweli Wa maisha yangu Najua haitabaki kama ilivyo Hali hii ya sasa Najua unatengeneza njia pasipo na njia. Sitalia, Sitalia Sasa yatosha, sasa yatosha Nimejazwa nguvu mpya
@graysonkiula6 ай бұрын
amen🙏🙏🙏🙏
@PeterAnyimikisyeKalinga-ou5so6 ай бұрын
Baada ya kurejeshewa, tukatabiri kwamba atatubariki, na alipotubariki baraka zake hakika zilikuwa permanent tukasema Bado tunamuamini na kwa sababu tunamuamini hatutalia tena🙏🙏🙏🙏🙏, Asante sana Neema Gospel Choir
@NeemaGospelChoir6 ай бұрын
Glory to God 🙏
@wankurupaulinesamuel17796 ай бұрын
🙏💗🙏😍😘😘💗💗❤️❤️
@julietmwaringa93006 ай бұрын
❤❤
@JobKCMinistry6 ай бұрын
🎉❤😢
@KelvinA.Tarimo6 ай бұрын
Kiukweli huu wimbo umenibariki mno Mungu awabariki wote mnaousikiliza na kuuelewa wimbo huu.
@kalobeflix6 ай бұрын
Kama Umebarikiwa na huduma ya watumishi hawa nione likes .....
@ivyakinyi3456 ай бұрын
Thank you Neema Gospel Choir for this amazing song😭❤️. I remember how God saved me and my amazing son when I was to go for an emergency C-section when I was 5months pregnant. I cried to God and He listened. My preterm baby and I survived,and now he's 5years Old. I'll live to dedicate him to God,I named him Malakai Hawi❤thank you Jesus🙏. I leave this here so when he bocomes of age, I'll show him and let him know how God came through for us.
@NeemaGospelChoir6 ай бұрын
Glory to God...be blessed with you are son🙏
@sircaptainbonny6 ай бұрын
Kenyan family are you there¿❤❤❤let's gather here
@n.hclinic6 ай бұрын
here anyday anytime
@jobshiirko68345 ай бұрын
We're here being blessed 🙏
@TapuwaAlishdamba6 ай бұрын
Someone help me give this song a million likes❤❤❤
@jombilozoo6 ай бұрын
Let's wave our blessed National flag 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@yohanamlowe7046 ай бұрын
You guys you are too much Creativity is of next level,vocal 👌, music 👍, dance 👍, sioni chakukosoa you guys are blessing ,Tanzania we are moving to next level
@NeemaGospelChoir6 ай бұрын
Glory to God🙏
@mrglobalnyangejr33796 ай бұрын
Tanzania family let's gather here
@TuseDHaB6 ай бұрын
Yes.We lift our God high.Glory and honour to the most high.
@NeemaGospelChoir6 ай бұрын
🤝🤝
@joelmakalla16176 ай бұрын
Ila LAURA ni kiumbe kingine you are the best my dear 🥹🙌🏽
@nickeyfred68866 ай бұрын
Acha tuuu😍🔥🔥🔥Laurah apewe maua yakeeeeeeee! I am a veery proud friend🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉acha niendelee kumpenda tuu mdogo wangu❤❤❤
@benjaminshayo326 ай бұрын
Ndo huyo dadaa aliyesolo, ambaye amesuka anaitwa Laura? Jmn am a fan, baada ya kumuona Ile album ya temporary akiimba nyimbo ya kiingereza, hii siku wakati wanalaunch hii album nlipomuona anakuja kuimba ilibid nkimbie mbele😂😂😂
@benjaminshayo326 ай бұрын
Ndo huyo dadaa aliyesolo, ambaye amesuka anaitwa Laura? Jmn am a fan, baada ya kumuona Ile album ya temporary akiimba nyimbo ya kiingereza, hii siku wakati wanalaunch hii album nlipomuona anakuja kuimba ilibid nkimbie mbele😂😂😂
@mercytalu60526 ай бұрын
My situation is never permanent in the name of Jesus. Lord Jesus your my pillar and my cornerstone. it is finished in the cross of Calvary.
@NeemaGospelChoir6 ай бұрын
Amen
@benjaminndaki82126 ай бұрын
Nasubiri jamani silali kabisa huku America.
@mariamprotace77596 ай бұрын
Ubarikiwe
@tumainirichard56786 ай бұрын
Tutajuaje kama uko America Mr American😅
@benjaminndaki82126 ай бұрын
Nipo sister
@ninayamat82136 ай бұрын
😂😂😂😂hahahaha usilale mwaya usikilize na upokee muujiza wako
@mercynina62886 ай бұрын
Tulikubariana wanaanzia Germany alaf ndio waje huko 😢😅
@ndindapurity12106 ай бұрын
I have observed that Rehema Simfukwe is a friend of Neema Gospel, you can consider doing a song with that WOG. Good work Neema Gospel❤
@NeemaGospelChoir6 ай бұрын
Amen, stay tuned soon we shall release the collaboration song🙏
@Christ217Masiko6 ай бұрын
Sio siri NGC mnatoa vitu aisee😇😇😇, kila wimbo unaokuja unatananisha kusikiliza, me nawapenda sana❤❤❤, Mungu aliye hai azidi kuwainua, cha msingi mjue huduma yenu inatubariki sana, Utukufu mwingi kwa Bwana Yesu ❤🎉
@ninayamat82136 ай бұрын
@@Christ217Masiko wako vizuri mno kuliko kwaya zingine nawapenda mno
@Nhabato55996 ай бұрын
Mmh hawa wadada wawili wametsha sanaaa🙌🙌🙌
@NeemaGospelChoir6 ай бұрын
Utukufu kwa Mungu
@marrynaftali79695 ай бұрын
Yan Hawa wadada wameimba mpaka basi
@UshindiGwivaha6 ай бұрын
Sitalia ng'ooo
@samuelnkola93096 ай бұрын
This is my all time song. It carries a lot that speaks about my relationship with my God.
@NeemaGospelChoir6 ай бұрын
Glory to God...be blessed 🙏
@Muxsouth3 ай бұрын
Neema gospel on 🔥
@baroseliasbaruani51233 ай бұрын
Nimerudialia hii Video mara 24 , kuisikiliza na kuielewa vyema , Mungu wa mbinguni awe ndo msaada Pekee , maana yeye ni wa milele na wala hashindwi la lolote. Nitakuchek inbox mimi mwenyewe mda ukiniruhusu , Amen 🙏
@morrisonmutungi69226 ай бұрын
Yes! Good God. Nyimbo imetulia sana. Tunamshinda shetani kwa neno la ushuhuda.
@ariseandshine6 ай бұрын
mavazi poa sana. Dressed up for Jesus, praise the Lord! Wimbo pia ni sawa.
@MussaKazimili-jb1mh6 ай бұрын
Amina Hakika Neema Gosple Choir Mungu Aendelee kuwapa Mafunuo Mapya kila Leo Naendelea kubarikiwa Mimi Amina
@NeemaGospelChoir6 ай бұрын
Amen
@abethkasasila6 ай бұрын
It begun with Nikurejeshee,Tubariki,Permanent,Kama dhahabu And Now it is SITALIA Glory to God
@NeemaGospelChoir6 ай бұрын
Amen kwa utukufu wa Mungu 🙏
@paulolupaso80546 ай бұрын
Umesahau TUNATABIIIRIIII..❤
@ZawadiTunze6 ай бұрын
Hakika ukimtegemea Mungu,hakuna kulia tena.sitalia tena Sasa yatosha Yesua atosha.....Mbarikiwe watu wa Mungu, the song is very nice and touching❤❤❤❤❤
@NeemaGospelChoir6 ай бұрын
Amen
@marcotano24096 ай бұрын
Nimebarikiwa na huu wimbo, asanteni sana. Mbarikiwe mno
@NeemaGospelChoir6 ай бұрын
Amen
@josephmussa06256 ай бұрын
Wimbo wangu asubuh,mchana jioni na usiku. Asante Yesu kwa zawadi ya wimbo huu,nabarikiwa sana nawe zidi kubarikiwa sana na huyu mfalme wa Amani🙏🙏
@NeemaGospelChoir6 ай бұрын
Amen
@joannyogosei33156 ай бұрын
Yes Bila Mungu hatuwezi ❤🇰🇪
@NeemaGospelChoir6 ай бұрын
Hakika🙏
@LewisJoel-d6n6 ай бұрын
Apo kwenye voco jamani uwiii mbalikiwe sana👏👏
@NeemaGospelChoir6 ай бұрын
Amen
@nqobi_langa6 ай бұрын
Najua haitabaki kama ilivyo hali hii ya sasa. Najua unatengeneza njia pasipo na njia. Sitalia sasa yatosha kwani nimejazwa nguvu mpya, Hallelujah hallelujah! 💯💯💯💥💥💥💥
@NeemaGospelChoir6 ай бұрын
Amen
@sayunimrocky84456 ай бұрын
Endelea kumtegemea Mungu yy ni mwaminifu, hajawahi kumwacha mtu, wakati wake ni sahihi ukifika atakujibu
@marymrefu40966 ай бұрын
Sema hii quality ya 2k ni unyama sana🔥🔥🔥🔥
@NeemaGospelChoir6 ай бұрын
🙌🙌🙌🔥🔥🔥
@beatriceeyembe68384 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@PeterMloha6 ай бұрын
giving the old Joyous celebration i used to like, The bass is bassingggggg, 🔥🔥🔥
@NeemaGospelChoir6 ай бұрын
Glory to God
@faithsam79636 ай бұрын
Wow! 💯 Approved from 🇰🇪. God bless you Neema choir
@NeemaGospelChoir6 ай бұрын
Amen
@AmosKomanya6 ай бұрын
Ulikuwa usiku Wenye Neema na furaha sana hiyo siku Mungu Awabariki sana muzidi kutenda yaliyo mema Natamani tena siku moja ijirudiee kana siku hiyo 🔥🔥🔥
@NeemaGospelChoir6 ай бұрын
Amen tuombe uzima tena mwakani tutafanya kwa utukufu wa Mungu
@ministerlunas6 ай бұрын
I know that my challenges are temporary because the blessings of God upon me are permanent!! No more cry !! Nimejazwa nguvu mpya. Greetings from 🇰🇪 🇰🇪
@NeemaGospelChoir6 ай бұрын
Amen
@BerthaChanila-q3k6 ай бұрын
Yan huu wimbo jamn kama mlimtungia janesuz na Tito Mungu awajaze nguvu mpya
@wankurupaulinesamuel17796 ай бұрын
Hakika Mungu umenifanyia ushuhuda mkubwa na hisani kubwa. Nikijiangalia nashangaa aina ya neema umenifanyia sikujua kama leo ningekuwa hivi. Nakushukuru sana maana unatengeneza njia pasipo na njia. ❤❤❤❤ Eeh Mungu wangu sitalia ila kwa machozi ya furaha tu. Asante Neema Gospel Choir kwa nyimbo za wakati kwangu mimi. Neema iwatosha. ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉
@EmanuelMabula-bj1ru6 ай бұрын
MUNGU wa mbinguni awabariki Sana Kwa huduma hii njema. (yeremia31:16)
@NeemaGospelChoir6 ай бұрын
Amen
@ninayamat82133 ай бұрын
❤❤❤❤❤neema neema huu wimbo na ule wa bado ninakuamini 😢😢😢😢haya mapito yasiyoniisha najikuta nasikiliza hizi nyimbo naijfariji😢😢😢😢sijui lini huyu Mungu atanionekanikia nimechoka na hii hali😢
@emmanuelmdaile1556 ай бұрын
Wow .! always shine 🥳🥳🙌🏽
@MyMercy846 ай бұрын
Wimbo wa wakati kabisa kwangu...hakika SASA YATOSHA, SITALIA TENA
@NeemaGospelChoir6 ай бұрын
Amen
@vailethmalakibungu78666 ай бұрын
Aweee powerfully...Acha niseme ,nieleze Bwana amenitendea sana
@NeemaGospelChoir6 ай бұрын
Amen
@benjaminshayo326 ай бұрын
Huyo mama solo aliyesuka jamnai uwiii... Ni vocalist CIO poaa... Nakumbuka Ile album ya temporary aliimba kiingereza CIO poaaa🔥🔥🔥🔥
@NeemaGospelChoir6 ай бұрын
Utukufu apewe Bwana🙏
@joelfoya6 ай бұрын
Neema gospel nawapenda sana🙏....Nina wish sana nije kutumika kwa Bwana na nyie pamoja shida sijui mpo dar sehem gan😔🙏....Ila mbarikiwe sana watumishi wa Mungu🙌❣
@ericaalex55963 ай бұрын
Jmn huu wimbo naupeeenda naupendaaaa tena na tena Mungu azid kuwabariki nyie watu, nawapenda sana❤️
@JanethSylvester-d6e6 ай бұрын
Mungu awabari kwa kazi nzuri haielezeki kwangu yatosha yatosha
@NeemaGospelChoir6 ай бұрын
Amen
@zachariamabina29236 ай бұрын
Hahahah Huyu dada mfupi ana motooo🔥💪💪ana jua mpak bac hongera yake kazi kiwango
@NeemaGospelChoir6 ай бұрын
Amen
@Sumadaniel-sw7qu6 ай бұрын
Yani huu wimbo naupenda sanaaa🙏🙌..Mungu azidi kuwainua watumishi wa Mungu
@PhibbyAlice6 ай бұрын
No matter what i have gone through the pain crying day and night i know and I believe that it is done sitalia tena. thank you neema for this powerful son God bless you
@jescarsuleiman42866 ай бұрын
Hakika sitalia sasa yatoshaaaaa Nimejazwa nguvu mpya Hallelujah 🙏🙏🙏
@NeemaGospelChoir6 ай бұрын
Amen
@Yeftha-Meshack4 ай бұрын
Daah najisikia vizuri sana nikiwa natizama neema gospel imekwaa mbali kivideo .mungu awabariki sana
@emmanuelmusyoki38366 ай бұрын
this one is a winner😍❤
@NeemaGospelChoir6 ай бұрын
Glory to God
@matimfuko6414 ай бұрын
I never cry again it is enough
@NeemaGospelChoir4 ай бұрын
Amen
@olivialimnyuy6 ай бұрын
Oh yes I won't cry again. God thank you for new strength
@NeemaGospelChoir6 ай бұрын
Amen
@martinlema41922 ай бұрын
Amen!
@gloriousnp6 ай бұрын
Nyieeeeeee🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾😍🇹🇿🇹🇿🇹🇿🙏🏿🙏🏿🙏🏿
@NeemaGospelChoir6 ай бұрын
Amen
@JimmyNtunzwenimana4 ай бұрын
Mumebarikiwa kwakweli Mungu azidi kuatumiya kwakiwango cha juu
@NeemaGospelChoir4 ай бұрын
Amen
@frolafares4 ай бұрын
Amen wabarikiwe ❤❤❤❤
@LeahKibadu-nr5jg6 ай бұрын
Kwa kwelii Sitalia tenaa Eeh Mungu umenifuta Machozi Yangu Pokea Heshima zotee na Utukufu wotee Maana Unastahili Mungu wangu 🙏
@NeemaGospelChoir6 ай бұрын
Amen
@adamndamayape4286 ай бұрын
Jamani jamani you are always on fire God bless you so much watu wa Mungu na awalinde na yule mwovu katika Jina la Yesu
@NeemaGospelChoir6 ай бұрын
Glory to God
@mwanashajulius6 ай бұрын
Mbarikiwe watumishi wa Mungu ❤ laula Mungu akuinue mshkaj wangu🎉😊
@isackmahumbi58096 ай бұрын
Mungu awabariki sana kwa kazi hii nzuri 🙏🙏
@NeemaGospelChoir6 ай бұрын
Amen
@ianjesse85254 ай бұрын
Powerful praise song 🔥
@LydiaKashimba6 ай бұрын
Mbarikiwe sana watumishi wa Mungu,kazi nzuri🔥
@NeemaGospelChoir6 ай бұрын
Amen
@kevodhiz4 ай бұрын
Wah wah. Good job watu wa Mungu. Mungu awabariki. More grace
@gladnessshola27186 ай бұрын
Aweee masololist hawa wako vizuri hasa uyo mfupi🎉🎉❤❤
@NeemaGospelChoir6 ай бұрын
Amen
@EstherMumo-s4l5 ай бұрын
Amina sitalia kwa jina la Yesu😊
@shadrackwilliam82184 ай бұрын
Hmmmmm🎉🎉🎉 2:20
@Grace-Mutanu6 ай бұрын
Hisani kubwa Bwana umenifanyia😭🙏 Aah mmenibariki 🎉
@NeemaGospelChoir6 ай бұрын
Amen
@carolkibwage91646 ай бұрын
I Love ur songs they always always en they're so encouraging God bless y'all kip up the gd work
@NeemaGospelChoir6 ай бұрын
Amen
@MariaEnock5 ай бұрын
Wimbo huu siku ya ndoa yangu, sitaacha kuimba oooh, siku napanda gari naenda kule ninapopataka oooh nitaimba, najua atafanya njia Mungu wangu. I want to testify infront of mass.🦾🙏🏾😊
@alexnyaga66066 ай бұрын
A song of the season# sitalia imetoshaaaaaaaaaaaaaa......
@NeemaGospelChoir6 ай бұрын
Amen
@MobbyProduction4 ай бұрын
Nimbo pendwa ya mwaka huu SITALIA.......
@NeemaGospelChoir4 ай бұрын
Glory to God 🔥 🙌 🙏🙏
@ezralucaa6 ай бұрын
daaah ❤
@Nhabato55996 ай бұрын
😂 mziki mzito sana classic, NGC🎉,
@NeemaGospelChoir6 ай бұрын
Utukufu kwa Mungu 🙏
@EsterMatemba-z6u6 ай бұрын
Kazi yenu ni njema kwa hakika nimebarikiwa.. Mungu azidi kuwapa maono makubwa zaidi ...
@NeemaGospelChoir6 ай бұрын
Amen
@jenifferwangui97666 ай бұрын
Wow!a million views kindly❤
@nature82642 ай бұрын
Amen
@masalugusessa37026 ай бұрын
Sister Laura amenipa vibes za sister tina wa essence of worship ....... nimebarikiwa na kila kitu cha hii production. NGC barikiweni sana
@NeemaGospelChoir6 ай бұрын
Amen
@benmwega29046 ай бұрын
Neema Gospel mnajua sana, Mungu awabariki sana
@NeemaGospelChoir6 ай бұрын
Amen
@NeemaGospelChoir6 ай бұрын
Amen
@MerryLaini-wk1ut6 ай бұрын
amenii im her. waiting
@emanuelmbise23486 ай бұрын
Hakika n wimbo mzuri honestly Neema mnafany mziki wa injili especially Kwa style mnayotumia kuwa faraja ya wengi sana na pia mnaponya mioyo Karibia kukata tamaa ❤❤
@LewisJoel-d6n4 ай бұрын
Hawa ride jamani 🔥🔥
@SamweliLiberatus2 ай бұрын
MUNGU azidi kuwabariki
@tinamarego68756 ай бұрын
Mungu awabariki sana Raula u r blecd my love ❤❤❤❤❤
@tricykalukwa56976 ай бұрын
Nimebarika na Masolo wadada sijazoea sana Neema G.. Nimesikiliza sweet voices lovly zinafanya usikilize usikilize usikilize usikilize❤❤❤
@monicahabule61256 ай бұрын
Sitalia,Sasa yatosha, Nimejazwa nguvu mpya🙏🙌🙌🙌🙌🙌
@NeemaGospelChoir6 ай бұрын
Amen
@ericktarimo81576 ай бұрын
@neemagospelchoir my favourite song ❤️
@vivianvictor10976 ай бұрын
❤❤
@NeemaGospelChoir6 ай бұрын
❤️❤️
@edwardmsuya81826 ай бұрын
Straight from kenya am really waiting 🙌🙌🙌🙌💯
@eddeeysound48966 ай бұрын
❤❤🔥🔥🔥🔥🔥
@user-Michaeljoshuano8hp7pf3l6 ай бұрын
NGC kazi nzuri Bwana Yesu aendelee kuwatumia mkafanyike Baraka kwa Mataifa Yote.🌹💕💞💓🌹🎶🎹🎸🎷🎧🎺🎻🎼🎵🎙️🥁💪
@IsaacMwamlima-bs3wx6 ай бұрын
Amen Am So Proud Of You Guyz Am from Tunduma ❤❤❤❤
@NeemaGospelChoir6 ай бұрын
Amen
@SylvierMugure6 ай бұрын
Am blessed jamani
@NeemaGospelChoir6 ай бұрын
Amen
@mercymundu6 ай бұрын
Ni ushuhuda ya wazi🙏🇰🇪 Sitalia, nimejazwa nguvu mpya🙌