Mungu wangu..asante kwa huu mwaka mpya wa 2025..umeniwezesha .umenifunika na damu ya Yesu..Naomba unirejeshee yote yalioibiwa na Mwovu huu Mwaka.. Kumbuka Mayatima wote. Turejeshee iliyopetezwa na Mwovu
@allymilanzi665422 сағат бұрын
2025 am listening this blessed song🎉
@lydiamuriuki66Күн бұрын
2025 God may I learn to respect You and Prioritize You all round
@dennisevaristКүн бұрын
Huu wimbo ulitakiwa kuitwa NIMERUDISHIWA au NIMERUDISHIWA FURAHA badala ya hilo jina la daddy daddy walioupa, lingeendana na ujumbe uliopo ndani yake
@waeni1543Күн бұрын
Being the first day of 2025 I Pray this year to be the year of restoration of everything that was taken from us in The Name Of Jesus Christ Amen🙏
@BethuelofficialTzКүн бұрын
Video sidhan kama iko clear
@joshuajustustzКүн бұрын
Haya nimerudishiwa furaha na DADY 2025... Happy New year 🎉🎉🎉
@vailethlotha3396Күн бұрын
Woooooow❤❤❤❤❤
@sarahrukenya9027Күн бұрын
Joel 2:25 🎉 2025
@stephenmalilo9833Күн бұрын
Ila CHRIS aiseeee......dah!! 🙌🙌🙌🙌 Basi sawa, acha wengine tuimbe TENZI tu church...kikubwa tuonane mbinguni.....😂😂😂😂😂
@AtukuzweGift0-kg1nsКүн бұрын
❤❤❤my favorite songs ❤❤❤
@winfridamauki146Күн бұрын
Hongereni kwa kweli ni neema
@robertmpagama7148Күн бұрын
Chris masunga mdogo wangu 🎉❤🎉
@raelcherop136Күн бұрын
As I start this new year of 2025 whatever was taken away from me in 2024 I know Mungu anairejesha mara dufu 🙏🙏🙏
@DaudRuyuga-v5qКүн бұрын
Nikurejeshee
@LufunguloPaschalКүн бұрын
Anasema atanirejeshea,2025
@MarySanga-st5exКүн бұрын
❤❤❤❤
@BarakaMleloКүн бұрын
AMEN AMEN
@mariamoushoudada4629Күн бұрын
Amen
@JanethKadalaКүн бұрын
Wimbo unabariki
@jaquemumbua9880Күн бұрын
Nimekuja, Baba naomba unirejesheeee. Asanteni kwa wimbo mzuri. Mungu awabariki
@Joycekwolola7Күн бұрын
Sijachelewa tuko pamoja Sana nawapenda mno
@FrankKyando-z1iКүн бұрын
Wow!!! the song of the year!!!! Never seen before Good work guys God blessings to you all Neema gospel choir ❤❤❤❤❤❤❤
@WILLBETLUFUNGAКүн бұрын
Hallelujah ✍️. hakika Mungu ni mwema ,,,nimerudishiwa furaha na yesu.
@elishazebedayo-f8sКүн бұрын
Hamjawahi kufail hata siku moja nyimbo zimepangwa zikapangika
@SarafinaNyamvulaКүн бұрын
Kama uko hapa tena tukiingia 2025 na sifa moyoni let me see your ❤❤❤❤
@AbednegoTembaКүн бұрын
Second soloist you deserve your own song to lead... You did great here... Enthusiasm at its finest...
@luckymsomba4818Күн бұрын
acheni kumtweza Bonge bonge anaweza sana
@AbednegoTembaКүн бұрын
Hivi haya matamasha unaendaje?? Kuna matangazo kweli ya kualika watu?
@amosmutasa3454Күн бұрын
Nani anasikiliza hii akijiandaa kuingia church kusubiria mwaka mpaya
@ZawadiTunzeКүн бұрын
Hakika namaliza mwaka Kwa kusema na kukiri. Neema gospel choir ni Bora Kwa 2024...nawaombea mema Kwa mwaka ujao 2025.mtushibishe tuendelee kulishwa neno kupitia uimbaji wenu..mbarikiwe sanq
@wendyomollo1248Күн бұрын
Alisema ataturejeshea, ndio hii ameturejeshea😅😅 Thank you for making 2024 a blessing♥️♥️♥️Happy New Year 2025, to more great melodies😊
@SAMWELNJOROGE-q9dКүн бұрын
Asente sana Neema.tunapokea sauti nzuri hapa👍🇰🇪
@sautikaliitz934Күн бұрын
Bado masaa3 tuvuke 2024 kama unaamini Mungu anaenda kutupa furaha mwaka 2025 gonga like
@nellynjeru5937Күн бұрын
He shall restore in 2025!🎉🎉
@namsymwangi6810Күн бұрын
In double folds God shall restore me in 2025 in Jesus Name Amen.
@EfraimEzekielКүн бұрын
Hallelujah
@elikanapeter1545Күн бұрын
Chriss🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
@bettyvulimu7619Күн бұрын
Wana Neema nawapenda pamoja uimbaji mzuri wabata. Ninawaombea mwaka wamafanikio 2025❤❤
@SamwelSospeter-ei3vjКүн бұрын
Nyimbo kali sana
@godwinmongi5242Күн бұрын
wow long wait is over now 😭
@DorisMackens-po5njКүн бұрын
Us l. Usher in the new year please go ahead 😢😢
@masebomusicКүн бұрын
🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
@maswai6982Күн бұрын
Mubalikiwenamungumunaimbavizuli
@JanethEmanuelSosomaКүн бұрын
❤❤❤❤
@kigongolevi5403Күн бұрын
Punguzeni kelele za "yeyeyeye" hazina maana, inakuwa kama mzaha!!
@PetrombukwaКүн бұрын
Mungu awabariki saaanaa jamani na huyo leader Chris hatari
@JenniferKimathiКүн бұрын
Asante Mungu kwa yote uliyonitendea mwaka wa 2024.Tunarejeshewa mwaka wa 2025 yote yalioibiwa,yaliochukuliwa na mwovu.Amen.
@VictorD.JosephКүн бұрын
💥💥🔥🔥
@VardyJonas-p7wКүн бұрын
Sound mbona haipo sawa
@annamose922Күн бұрын
31st last day of 2024 366/366 🙏🙏 stepping into the new year,..❤️🥰 with this message cause my GOD will restore everything that was stolen by the enemy 🙏🙏