Hizi za Old is gold ndio zilikua nyimbo, maana kwanza zilikua na maana, zikawa na makusudi maalum, pia zikawa maudhui ya uhalisia.... Pia zimetulia maana zinapigwa zunasikika yaani unasikia Ala moja moja.....
@alkaidaally84456 жыл бұрын
khamis chilo
@mohammedearly25755 жыл бұрын
Avery nice song it's reminds me dem days in east Africa one day I'll b back one day.
@eddysalum42756 жыл бұрын
Havito kuja tena vitu kama hiv zanzibar. .love my beautiful contry❤❤❤
@hafidhally38347 жыл бұрын
Hatari sana kipindi na hicho I love Zanzibar yangu
@zizou99597 жыл бұрын
Je kiffe grave c'est trop beau J'ai toujours dit il faut que SABAH chante le jour de mon mariage au Comores inchallah I ❤❤❤❤❤❤
@MassoudAbdalla-v9g2 ай бұрын
Kama maisha yana Rudi nyuma basi ningemuomba mungu anirudishe enzi za umri nilikuwa nao kipind hicho wakat naenda zangu chuon saa8 nishatoka skul na njaa naunganiaha chuon kula mpka sa 11 na moja mukirud
@mshauriabdalla572Ай бұрын
Yaani we acha tu
@fadheelngowi7047 жыл бұрын
sauti na urembo wake vinaendana na asomsifu ni hasidi ila na alotia shahiri hodari. ___ mashaallah
@mbaroukrashid62016 жыл бұрын
super Star Abdallalh Issa katunga na katia music
@awadhtevez29188 жыл бұрын
old is gold miaka elfu hii itakua inapigwa bado taraab asili the beauty of zanzibar
@snashiralmuaqly5983 жыл бұрын
Hakika huyu mama anatulia na kazi zake ziko vizuri sana
@aisshamohamed34528 жыл бұрын
I love this song..
@rizikicharles61138 жыл бұрын
Aisha Yusuf I love u so much
@HanifaHassan-y7d Жыл бұрын
Znz ni kwetu napenda kweli
@ismailmjesh74266 жыл бұрын
nenda ukaliwe pesa.....ahsante bi" sabah nataman uwe mom mkwe wnguuuu.......
@QOOQ88087 жыл бұрын
WIMBO: NENDA UKALIWE PESA. MUIMBAJI: SABAH SALUM KIKUNDI: DUMBAK MUSIC MASTER Ayee tumeishi siku nyingi, katu sijakupa tabu. Ayee utanitaje shangingi, yajaje hayo muhibu. Si mtu wa vigenge, wala wauvu swahibu. Usinisemeshe mengi, tukatiana aibu Ayee sitoki kwenye magugu, wala kwetu sina tabu. Ayee sinilete vurugu, mimi ni mstaarabu. Kadiru yake Mungu, pendo kwisha si ajabu. Mola atanipa wangu, wakulishana zabibu. Ayee sipiti nikatangaza, usikhofu mahabubu. Ayee kwa utuli sitoweza, na wala sitojaribu. Yote uliyonifanza, namuachia wahabu. Vyovyote wewe wa kwanza, kukuheshimu wajibu. Ayee midhali sijakukosa, moyo hunipapariki. Ayee mimi hutonitikisha, roho yangu hunirushi Njia nyeupe kabisa, nenda kwa huyo kizushi. Nenda akakule pesa, wala warembo haweshi. KIITIKIO: MADHALI SIJAKUKOSA, WALA SIJISHUGHULISHI. NENDA UKALIWE PESA, WALA WAREMBO HUWESHI.
@peterkibera14446 жыл бұрын
Hii ni Kali !
@MissChristinaErick6 жыл бұрын
QOOQ8808 shukran kwa kuandika haya maneno yamenisaidia sana maana ,nilipata tabu sana ,na sikufanikiwa kusikia vyema
@khudairkaka50776 жыл бұрын
QOOQ8808 hatar hyoooo......nampenda sana uyu mom.....
@mansourahmzinga50615 жыл бұрын
Mashaa'llah nakumbuka mbalii
@mansourahmzinga50615 жыл бұрын
Mashaa'llah mekumbuka mbalii
@ahmedyoung73007 жыл бұрын
Beautiful music from Zanzibar
@ahmeidyoung24106 жыл бұрын
Ahmed Young .hii song inanikumbusha 1996 yaan dah
@faidhasalum46852 жыл бұрын
@@ahmeidyoung2410 jifunze muzik zanzibar
@faidhasalum46852 жыл бұрын
@@ahmeidyoung2410 ladha wallah
@abuudhabi89499 жыл бұрын
nawapa hongera wote old is gold nawapenda
@faidhasalum46852 жыл бұрын
mtunzi abdallah issa
@shamilasaidshamila32986 жыл бұрын
usinisemeshe mengi tukatiana aibu madhali sijakukosa wala sijishuulishi💃💃💃
Bin Seif home boy back in m/ makumbi stand up ❤️👊🏿
@SeluSelu-lc8rp3 жыл бұрын
Enz hizo kweli sku zinakwenda ilikua burddan redio Zanzibar tunarud skuli tunakwenda chuon kila kona unayopta unaskia saut mzur
@husseinkassim44057 ай бұрын
Daah umenikumbusha mbali Allah amrehemu mwalim wetu wa madrasa , na walimu wote walio kwisha tangulia mbele ya haki😢😢
@nabukalombi68185 жыл бұрын
Sabaha nyimbo zako had I machozi jamani
@fuadmohanna108912 жыл бұрын
sina raha bila kusikiza old is gold ndipo hupata usingizi na kuhisi ni nyumbani
@abradukani25467 жыл бұрын
Fuad Mohanna mashallah
@saidmwinyi57476 жыл бұрын
Naburudika raha sana na tarabu za zamani
@youngbob97613 жыл бұрын
Dah long time hii Ngoma unaikumbuka sana tangu 1996 ,hadi Leo na naipenda sana
@rashedpande94943 жыл бұрын
ongeza vitam kaka. nakubal kaz
@hassansaidy324810 жыл бұрын
Yan wasanii was Tara dance wangekuwa wanapitia kidogo huku wangeongeza kitu kwenye tungo zao
@husnaharoub51326 жыл бұрын
Mola atanipa wangu jamaniiii mmmhhh
@mgeniibrahim98328 жыл бұрын
najipa raha tu na sabaha salum nikiwa hapa Saudi Arabia
@abdallakonyezo71977 жыл бұрын
Mgeni Ibrahim ,nilikutafuta Sana mgeni
@zenampangile5016 жыл бұрын
Mgeni Ibrahim nasikia Zanzibar yetu Raha jamani ATA ukiwa na mawazo unafarijika, ahsante Sabah😘😘
@faidhasalum46852 жыл бұрын
upo juu bin seif
@aminagraebner76258 жыл бұрын
MashaaAllah nenda ukaliwe pesa ajaab!
@ferryfabulous72504 жыл бұрын
Warembo haweshi!
@sapaezzailden13411 жыл бұрын
ILOVE YOU SABAH OLD IS GOLD
@OmanOman-pi5ut8 жыл бұрын
a
@salumsemedo20208 ай бұрын
Old is gold
@mulhathaji29392 жыл бұрын
Zamn ilkua raha sana
@RioIpo2 жыл бұрын
Sana tu tulienjoy
@aaliyahholden92826 жыл бұрын
My favourite song ❤
@fatmamohd49948 жыл бұрын
old is gold like it
@lilianmakwati52283 жыл бұрын
Iko wapi znz iliyokuwa na maisha ya raha na furaha maskini znz
@ayubukani73177 жыл бұрын
Roho yngu uyu mama
@barakabaraka86657 жыл бұрын
was in high school those days when it was a hit and used to listen to the local radio very often!!
@saadasaid73656 жыл бұрын
Nzuri saaana
@salumothman80234 жыл бұрын
Haha kweli kabisa daah!longi Sana ilikuwa ikipigwa kwenye radio ilikuwa unaacha shughuli zote Kwanza uisikilize mpka iishe
@amanikasanga87932 жыл бұрын
@@salumothman8023 Dr
@snashiralmuaqly5982 жыл бұрын
kwa kweli mambo yamepita sana yaani hapa tokea zanzibar bado ina hadhi yake
@saidramadhan53797 жыл бұрын
sabah salum anajua
@zbrsuperstar7 жыл бұрын
safi sana
@zubeirjuma39672 жыл бұрын
Nice one
@vuaimud1448 жыл бұрын
Mola atanipa Wangu wa kulishana zabibu!heshima kwako sabah
@salmayusuph36533 жыл бұрын
Nenda ukaliwe pesa Wana warembo huwesh
@RioIpo3 жыл бұрын
@@salmayusuph3653 wala warembo na sio wana warembo
@tabusuleiman74797 жыл бұрын
sipiti nikatangaza kurudi kwako...
@ridhiwaniridhiwan44976 жыл бұрын
Nakumbuka muda was sanane naenda zangu chuon kwa binasra nikiwa na nja
@nureyna6296 жыл бұрын
The same to me, nakumbuka naenda chuoni na njaa naambiwa ntakula nikirudi 🤣🤣
@fesalchambuso80234 жыл бұрын
Yaaani me naenda kwa bistadi 🤣
@AyoubHongo-q8x Жыл бұрын
Binasra wamwera
@AyoubHongo-q8x Жыл бұрын
We we nani
@salmayusuph36533 жыл бұрын
Sabaha salum fund sana
@aishazahoro57775 жыл бұрын
Hadi rahaaaaa nenda ukaliwe pesa
@gatabilucy27164 жыл бұрын
Niko Mombasa lakini lool..natamani nirudi Zanzibar
@MassoudAbdalla-v9g2 ай бұрын
Tujuane wote tuliosoma kwa marehem binasra utan wete pemba tawi la muhamadia ( kwa baucha)
@rayaraya71878 жыл бұрын
neno pambe ilo
@rahimasoud89325 жыл бұрын
Nakumbuka mbali sn nikiskiliza nyimbo km hiz
@fesalchambuso80234 жыл бұрын
Umeonaee eeeh 😰
@ismailmjesh33322 жыл бұрын
hakuna anekumbuka karibu
@faizaomary20365 жыл бұрын
Zamani raha sio ss ivi nyimbo vurugu
@mohamedshaaban74127 жыл бұрын
👌👌👌
@tauhida34137 жыл бұрын
Good sabah salum
@jumamakame85527 жыл бұрын
daa jamani Maneno kuntuu nipo nainjoi amakweli chakal nidhahabu from Oman ni mm mpakistani
@rubeyyamohammedy2447 жыл бұрын
Mashaallah
@MaxSaidTrainer8 жыл бұрын
Sabaha pekee yake, watanzania wivu tu.
@nuramoboy8 ай бұрын
Nope hii sio taarab ikipigwa sa nane, hii ni modern taarab, hiki ni kipindi cha transition kutoka Taarab kwenda Rusha roho, ni kipindi cha uchaguzi wa mwanzo wa Vyama vingi
@nahidsaid60504 жыл бұрын
Yani huyu mama kwa sauti yake yeye sihaba marehemu fauzia rukiya mwanahawa marehemu sefu salum kama ningekuwa na uwezo ningewapa tunzo angalau kila mtu milioni miamoja kila mmoja japo sio samani halisi ya mchango wao ila nami nitapata wangu wakulishana zabibu
@breakfr55495 жыл бұрын
HACHIMIA 🇰🇲 : YALLEH !
@mohammedhamad93922 жыл бұрын
nenda ukaliwe pesa
@TheTauzy648 жыл бұрын
Usinisemeshe mengi tukatiyana aibu
@lvlyharmydutty861212 жыл бұрын
mambo ya pwani
@saidimalindi38897 жыл бұрын
lvly Harmydutty p
@saidaabdalla50984 жыл бұрын
😙😙😙😙
@nahidsaid60504 жыл бұрын
Vyovyote wewe wakwaza kukuheshimu wajibu maneno mazima kabisa
@hawasalumu30188 жыл бұрын
vyote ww wakwanza kuheshimu wajibu
@salmayusuph36533 жыл бұрын
Usinisemeshe meng tukatiana aibu
@RioIpo3 жыл бұрын
Mmmmh
@rubeyyamohammedy2448 жыл бұрын
mashaallah
@ferryfabulous72504 жыл бұрын
Wao
@nabukalombi68185 жыл бұрын
Kamwe hazichuji
@tawfiqmasoud79344 жыл бұрын
😿😿😻😻
@kadhiaally45307 жыл бұрын
Ahsnt
@hassansaidy324810 жыл бұрын
Yan wasanii was Tara dance wangekuwa wanapitia kidogo huku wangeongeza kitu kwenye tungo zao