Kuna nyimbo ukisizisiza unahisi tuu kulia kwa kumbukumbu za wapendwa wetu walotuacha...Mungu awalaze pema kwenye wema.
@bishambajuma4533 Жыл бұрын
Ameen....11 years ago....imagine....ata sitamani kumbuka dem days jamani....When songs were songs...when mapenzi yalikua ya dhati....aah..........
@SaadaSuleimanHassan Жыл бұрын
today i miss my country.thats why i am here'.hii nyimbo inanikumbusha my friend and i long time ,we're young i thought 15 birth.,,,natamani nije kutembea lkn nasubiri uchaguzi uishe mana zanzibar wanavurugu kipindi cha uchaguzi,,,by theway this song amaizing 🥰
@mohamedkassim93203 жыл бұрын
Lungha safi, sauti murua, vyombo vimepangika na ujumbe wajitokeza waziwazi. Wahisi wamuona umpendae akicheza kufuata mdundo. Kweli huu ni mtibwiriko.
@bishambajuma4533 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@ahmoha7068 ай бұрын
This song reminds me back in August 1998 when i went to Dar from Mombasa for a wedding and was a hit in the Tashreef Bus. 26 years later........Nnausikiliza mtibiriko
@bishambajuma4533 Жыл бұрын
Aaaah....enzi hizo taaaarab ilikua taaaarabu kweeeeeli.....Nyimbo na ujumbeee....Nyimbo kwa mafunzo....kwa kutulia sio fujo za siku hizi......santhaaaa
@mariamsalim22203 жыл бұрын
Mshallah wimbo Bado unamvuto
@jkswabzuu48306 жыл бұрын
safi sanaaa long time nimetafuta huu wimbo.... Santa sanaaa..... huo mtitigo huo huo mwondoko huo...
@AyraAli-u3r Жыл бұрын
Hii nyimbo nzuri jamani ❤❤
@fatmamzee20305 жыл бұрын
Uko juu hatari fire mama mwanahawa ally naipenda mipasho yako.
@khakeemafro62748 жыл бұрын
Dahh chozi acha lidondoke nakumbuka mbali Sana miss you Zanzibar love you
@johariabdalla33196 жыл бұрын
Bin Seif nakukubali kwa hizi baadhi ya kumbukumbu,ila mm naomba unitafutie na kutuingizia nyimbo zifuatazo..UJANJA NIKUPATA,NAKULIPA WEWE KESHI za Melody za zamani hizo,na old taarabi ni UJANA UMEPITA KAMA MOSHI na SALAMU KANISALIMIE,nyengine nikikumbukaa inshallah
@aishaissa97835 жыл бұрын
johari abdalla hahaha
@halimahafsa51208 жыл бұрын
ama leo umenikosha hasa roho yng bin seif hii nyimbo imenikumbusha mbali sana nawakumbu m.mungu awarehem lamania shaaban haji mohd ilitamba sn hi ngoma iko huku ila plz imalizie kipande chengine cha mwisho
@KhalidKhalid-ox4pg2 жыл бұрын
Aisha Oman kaja ngoma iko huku
@nafiaupete27855 жыл бұрын
Bin self Naomba ule wimbo Umekuwa Lod ume beba beg Tuletee kaka
@rahimaally64715 жыл бұрын
Kwako mambo sokomoko kwangu Mimi mambo poa namuonesha mambo kayaona mambo, kayaona mambo bado hajayaona 😍😍
@zedbclaudia56038 жыл бұрын
aiii weweeee. mwaona ngoma iko uku.mama mama mamaaaeee. long time.
@alimuhamad82676 жыл бұрын
Bin seif una tukumbusha yaliyopita kale. kweli vyakale dhahabu. kama ipo kipendacho moyo iweke
@hisbardas4haji628 жыл бұрын
hiyo tarab iko huku in mujarab has a bin seif inanikumbusha mbali sana
@selaboy5 жыл бұрын
Umekewaaa nyooooo
@mangofish90794 жыл бұрын
Bin seif nakuomba utuwekee umeyatupa mwenzangu umeyatupa iliyoimbwa na zuhura shaabani
@rahaaa18456 жыл бұрын
Unacheza bila jasho kidogodogo zanzibar kwishaaaa
@KhalidKhalid-ox4pg2 жыл бұрын
Aisha Oman kayaona mambo bado haja yaona naneno matamu vyombo vimetulia na ujumbe umewafikia
@rizikibakar31868 жыл бұрын
Eeeh bna hii kitu ni noma
@mwanahalimamwachili96797 жыл бұрын
Waooooh mziki na maneno tamuuuu yani weeee acha tuuuu poa moyo.
@khaleednassor65385 жыл бұрын
Daah miaka imeenda 10 2019
@jumaramadhani50284 жыл бұрын
mashallah................alhabib,,,,.....kitu muruwa mpaka ndani yamyyyyyyyyyyyyo
@aishajuma34353 жыл бұрын
Wanikumbusha mbali sana
@bishambajuma4533 Жыл бұрын
Comments zenu ni za zamani pia....11yrs..6yrs..4yrs....Mungu awaweke nyote
@youngbob97613 жыл бұрын
Hichi kibao kinanikumbushaa enzi zile.saa 8 kipindi cha burudani dah unakata wali ndondo huku.kibao kikitiririka ukimaliza tu unabeba kijizuu chuoni,,,,dah mitaaa yote Waikiliza radio enzi zile bana