Mashaallah walikhamndulillah kazi nzurii allah awajaalie kherry ya dunia na akhera""
@nassorahmed4672 Жыл бұрын
Amina🤲
@pilihassani6111 Жыл бұрын
Allah Akbar Uislam nzuri na Mtume wetu Muhammad S.A.W akawe Rafiki yenu peponi .Na Allah awazidishie hakika kaswida nzuri na inaongeza Imaani kuwa juu, Baraka Fiikum Ustadh Hafidhi na wenzio
@sumayyahally8662 жыл бұрын
Mashaallah naipenda sana hi kaswaida kuisikiliza every time ipo good
@zalminabashiri23224 жыл бұрын
Mashaallah tabarakallah ahlli madina all Awape umri merefu tuzidi kupata faraja kutoka kwenu inshaallah
@hassanmchwakachangama8884 жыл бұрын
Ma shaa allah. Allah Awabariki leo na kesho kiama Amiin kwa haya yenu mafunzo
@MakuTsanuo-yc6zx Жыл бұрын
Hongerani❤ ahalul Madina kw kaz nzur mnayofanya.... hakika nyiny ndo namb one tz n kote ulimwenguni mungu awazidishie🤲🏼
@DidahJuan2 ай бұрын
Nzuriiiii sana hiii kasida 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 mwenye ez mungu awazidishiye kipaji awaondolee nuksi za waja na majini walio wazunguka
@aminashey98283 жыл бұрын
Mashaallah Allah awazidishie azidi kuwapa iman muzidi kutuletea qaswida nzuri nzuri zaidi awape nguvu na afya musichoke kutunza qaswida zingine zaidi Allah awabarik fil duniyah na kesho akhera
@nassorahmed4672 Жыл бұрын
Amin kwa sote 🤲
@ziadaabdalah20906 жыл бұрын
alhul madina Allah awape maisha marefu inshallah napenda paswida zenu sana
@ayunramadhan31045 жыл бұрын
Hafidh hongera kwa kaswida nazipenda sana kaswida zako Allah akulipe kila la kheri
@fatmakhatib76656 жыл бұрын
Wazanzibar tuko vizur sana allah atuongoze zaidi
@nurdinkirindo6185 жыл бұрын
Fatma Khatib asat
@FauziaMohamediАй бұрын
Mashaallah❤ naipend san hat kil md niwe naiangalia❤❤
@Fatuma-l5y Жыл бұрын
Masha Allah jazakarau kheir baada yaher janatunaima
@MariamAyubu-i8mАй бұрын
Mashallah Allah awazidishie Amna napenda kweli kawaida zenu
@latifamohd68917 жыл бұрын
mashaallah nimeipenda qasidaa upo vzr afadhl tuwaone na wengin munasoma co shekh hafidh tu muko sawa nimependaa mashaaallah 😘😚😙😘😚😙😘😚😙😘😚😍
@nassorahmed46727 жыл бұрын
Latifa Mohd ok
@kassimkishuka51814 жыл бұрын
Latifa upoo
@fareedalastborn20887 жыл бұрын
Masha Allah roho yangu yapoa sana nikisikiza qaswida zenu..napenda qaswida..huwa naziimba kipaji ninacho ila huwa najiimbia peke yangu nyumbani au kumuimbia mamangu....insha allah mungu awazidishie qaswida zenu ni mzuri sana..munaitumia sauti yenu nzuri Kwa njia ya halal...mungu awazidishie kipaji insha allah my brothers......from kenya❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@mohamediathuman27695 жыл бұрын
Qaswida nzuri sana
@MwanaidiAhmadi-bk4wg Жыл бұрын
Nimeipenda qaswida hongera Sana Sana masha-Allah
@aishaabubakar57495 жыл бұрын
Masha Allah ustadh khalifa Allah akuzidishie kipaji chako na ustadh Rashid pia na Hafidh💜💜💙💛💟👑👑👑💝
@mariyamgharib9407 жыл бұрын
Niliona qadiriya ya ustadh faki but hizi zenu mashaallah hakuna upinzani hapa mpo juu mungu akuzidishieni sana mashaallah mashaallah nilikuwa nasubiri kwa hamu but leo nimekuoneni nimefurahi mno qasda nzuri sana. shukran
@naimaabuu23306 жыл бұрын
Masha allah tunasubiri ya mwakani ishaallah panapo uhai na uzima
@sheilahmujibu48665 жыл бұрын
Masha Allah Allah awazidishie imaan me mwenyewe napapenda zenj basis tu
@Kuruthumumakalawa2 ай бұрын
Hii kawaida sitachoka kuiangaria kamwe maishan mwangu huu mwaka 2024 na bado naikubari❤
@husnarajab5867 жыл бұрын
Ma sha allah, mi wallah wananimaliza hawa, kwanza mavazi wanajua kupangilia yanaendana na vionjo vya qasda, hakik mnajua sana. Kaz nzur na Allah awaongoze katk kazi zenu. Msije mkafarakana..
@mhonamisaomar70117 жыл бұрын
qaswida nzuri xana ustadh ulo soma qaswida uko vzr xana paka kwa kucheza
@tunyshazma98962 жыл бұрын
Mashalla Allah awazidishe kila la kheri
@snashiralmuaqly5982 жыл бұрын
mashaaaallaaaaa imetulia sna kasida
@SalmaOmary-iy5cm Жыл бұрын
Mko vizuri ahlul Madina qaswida zenu zinaelisha
@salimalagwa61324 жыл бұрын
Masha allaah nimezipenda sana qaswida zenu zinamafunzo mazuri
@hussinbashir3806 жыл бұрын
Mashaallah nice qaswida mungu awajaalie!!!!!!
@aysherkhamis18033 жыл бұрын
Mashaallah! Naisikiliz kila siku 2021
@kassimmedy83167 жыл бұрын
mashaallwah mola awzidishie kher mzid kutu burudisha kwa nshd nzur
@sumaiyanadir2866 жыл бұрын
Wallah mungu awape nuru fauka nuri mungu awacmamie Allah awaongezee kipaji ili muendelee kufundisha namna hii mashaallah
@azizially20756 жыл бұрын
Sumaiya Nadir azi zu
@parkdmdea45724 жыл бұрын
Allahumma amiin
@asumiissa3067 жыл бұрын
Masha Allah Hakika kaswida zenu Ni nzuri Sana siskilizi kaswida zingine zaidi ya kaswida zenu nazipenda sana
@alawimussa97307 жыл бұрын
Nair sana
@omanarab78837 жыл бұрын
Asumi Issa mbna mavaz wamefany mix kanzu za oman lkn vlemba wameeka styl ya saudia
@asumiissa3067 жыл бұрын
+Oman Arab hahaha Kaka wanifurahisha kwani saudia wanavaa kanzu gani
@fareedalastborn20887 жыл бұрын
Asumi Issa ......same here nazipenda sana qaswida zao hadi huwa naziandika kitabuni nikiziimba peke yangu❤❤❤❤
@shuualgheithy47416 жыл бұрын
Gasida nzur jiaminini ktk kazi zenu munaweza vuteni subra kila mukipata changamoto ktk kazi zenu ila aloonza kusoma hii kasida na yy Masha Allah anajitahdi Hafidh na Zungu kazi nzur kazeni kamba mumependeza nyoteee
@ashuukhatib12915 жыл бұрын
shuu Al Gheithy
@aliyomar32114 жыл бұрын
shuu Al Gheithy
@SakinaHabibu-n1o6 күн бұрын
Mashaallah naipenda sanh hongereni sanh❤
@Fatumaadam-r2q11 ай бұрын
Mashaalah ♥️♥️♥️♥️♥️ naipenda Dana hii qaswida
@OmarHassan-yq4bd6 жыл бұрын
MashaAllah nzuri sana hii qaswida.
@ramsomajaliwa7315 жыл бұрын
My best qaswidq in ahlul madina
@saghunaissa81775 жыл бұрын
Masha Allah alla awe pamoja nanyi
@masikakhamis50897 жыл бұрын
Ma shaa Allah qaswida zenu nzuri +254
@allyothman96987 жыл бұрын
Mi nawapenda ahlul madina hadi naumwa daah hongereni saana
@Rehema-h6t Жыл бұрын
ماشاء الله تبارك الله ♥️♥️ nawapenda sana jamani
@nassorahmed4672 Жыл бұрын
Tunakupenda pia ❤️❤️
@violakweka88523 жыл бұрын
Kiukwel nawapend Sana ndugu zangu Yan mko vizuri Sana natamani kila cku niwe nackiliz2