WAZAZI TUJITAHIDI KULEA VIJANA WETU | UST: KHAMIS MSHAURI | VIDEO QASWIDA {ihyaul umma.}

  Рет қаралды 1,158,042

MADRASA SHOP TV ONLINE

MADRASA SHOP TV ONLINE

6 жыл бұрын

MADRASA SHOP QASWIDA.
Wazazi Tujitahidi Kulea Vijana wetu hii kila uisikiapo basi unapata kukumbuka kumlea mtoto wako malezi yaliokua mema
kwa sababu ya ujumbe unaopatikana humu
usiache ku
SUBSCRIBE COMMENTS LIKE SHARE
MADRASA SHOP TV ONLINE
BURUDIKA HYKU UKIELIMIKA

Пікірлер: 534
@BakariAthumani-vs8lk
@BakariAthumani-vs8lk 5 ай бұрын
Masha allah gonna like 2024 kama imekonga nyoyo Yako.....❤❤❤
@MariaMsalilwa-cu5kl
@MariaMsalilwa-cu5kl 2 ай бұрын
Napenda sana kaswida❤
@hamicvyungu
@hamicvyungu 5 ай бұрын
Napenda sana hii qaswida,,2024
@jidaabshiri3161
@jidaabshiri3161 4 жыл бұрын
bado itakua nzur daima masha Allah kam nawe upo hapa 2020 like tuwe pamoja mpaka peponi
@azizahussein3409
@azizahussein3409 4 жыл бұрын
Mashaallah
@maridhiamsemo6012
@maridhiamsemo6012 3 жыл бұрын
Mashallar kaswida nzuri Sana mwenyezi mungu awaweke inshalla
@helenawilliam2201
@helenawilliam2201 3 жыл бұрын
Mashalla
@nshaibu11
@nshaibu11 Жыл бұрын
Untill now 2022 bado ni kaswida Kali sana
@user-ec6lc6ih8z
@user-ec6lc6ih8z Жыл бұрын
​@@azizahussein3409❤
@thedoctor8301
@thedoctor8301 Жыл бұрын
2023 still love it 🤝🤝Masha ALLAH, it reminds me a lot in 2012
@naimazubeir
@naimazubeir Жыл бұрын
Mashallah hii qaswida imepigwa sana radio rahma Mombasa Kenya❤❤❤
@majaliwahamad4053
@majaliwahamad4053 5 жыл бұрын
Nimeipenda iko vzr kama na wewe umeangalia 2019 gonga like ako apa
@hmoonilhnai2801
@hmoonilhnai2801 5 жыл бұрын
Hatal sana
@halimasalum6877
@halimasalum6877 5 жыл бұрын
mashallaaaa
@halimhafidh3355
@halimhafidh3355 5 жыл бұрын
Majaliwa Hamad
@halimhafidh3355
@halimhafidh3355 5 жыл бұрын
Iko sawa sana pia ina messege nzur
@nasoroally184
@nasoroally184 5 жыл бұрын
Maashaallah
@ramadhanisebogwe9011
@ramadhanisebogwe9011 4 жыл бұрын
Masha`allah hii qasida kila nikiisikiliza huwa napata mazingatio makubwa sana. Allah awalipe mema kwahili inshallah, hakika utunzi bora sana na uimbaji bora pia...
@zayfahmi5130
@zayfahmi5130 3 жыл бұрын
Hiz ndizo nzuri kwasababu unaelewa kinach elezwa Masha Allah mwez mngu akuzidshie rehma dunian na ahera inshallah
@yasinsuleiman6351
@yasinsuleiman6351 Жыл бұрын
Absolutely Amazing,My favorite qaswida,2023.Diver one
@jumaayyoub2519
@jumaayyoub2519 3 жыл бұрын
Ma sha Allah kaswida nzuri yenye mafunzo na ujumbe ktk jamii yetu ya kisasa. Allah awajaze kila yaliyoyakher kwenu wote kwa mashairi mazuri muliotumie.
@saidmussa-xt4eo
@saidmussa-xt4eo 4 жыл бұрын
Mashaallah kwakweli naipenda mnoo hii qaswaida hainishi ham jaman ina mafundisho mazuli mnoo anllah alipe na pepo ikawe makazi yenu na mtume akawe jirani yetu Amin inshaallaah
@user-xh5vl6eh6i
@user-xh5vl6eh6i 2 ай бұрын
Ameen yaarabbal aalaamiin 🤲🤲
@abasmasusu7702
@abasmasusu7702 4 жыл бұрын
Ni mwaka wa 12 years sasa naiangalia haijawahi chuja hakika mwenyez mungu awajalie wote mlioimba hii qaswida mwisho mwema
@jasminhassan7226
@jasminhassan7226 Жыл бұрын
Mashaallah my best qaswida love musilim and my profet m.s.w
@ishaq9925
@ishaq9925 5 жыл бұрын
aswaliwe mtume Muhammad .allahu mma Swahili wasalim alayhi
@marthapaulo4808
@marthapaulo4808 3 жыл бұрын
Allah akbar neno la Mungu litukuzwe duniani hadi akhera
@rabianassor7948
@rabianassor7948 5 жыл бұрын
mashallah naipenda hii zaman😍 wazazi tujitahid kulea wtt wetu tusiwe bize na mambo ya dunia hili ni jukumu letu mtt kumlea vizuri Allah atuwezeshe kwa hili
@halimasalum6877
@halimasalum6877 5 жыл бұрын
nimeipenda sana
@yusufally6853
@yusufally6853 5 жыл бұрын
Rabia Nassor .mashallah
@bakarmafita4756
@bakarmafita4756 4 жыл бұрын
Mashaallah nimeipenda san
@bakarmafita4756
@bakarmafita4756 4 жыл бұрын
@@halimasalum6877 mashaallah
@sophiaibrahimu8983
@sophiaibrahimu8983 4 жыл бұрын
Mashaallah naipenda sana
@ayshaalsahafi5714
@ayshaalsahafi5714 3 жыл бұрын
Mashallah Allah awazidishie Inshallah Qaswida nzuri sana tena yenye mafundisho
@MohamedMohamed-el2xf
@MohamedMohamed-el2xf 2 жыл бұрын
Dahh! Wakowaph ma shekh zetu jamani rudini hatowaoni jaman naisikiliza apa 2022 kama imetoka janatyu dahh
@kalamuyayatima6092
@kalamuyayatima6092 3 жыл бұрын
Wangapi tuko pamoja 2021 mwezi wa ramadhani..gonga like
@jumahamadi8689
@jumahamadi8689 3 жыл бұрын
Pamoja
@maebebe6468
@maebebe6468 Жыл бұрын
Nipo hp 2023 mash Allah
@ayububakari8021
@ayububakari8021 3 жыл бұрын
Kaswida nzur sana inamafunzo mazuri kwa uumaa mungu awajarie awape upeo mkubwa 🙏🙏🙏
@jannatyabubakar9038
@jannatyabubakar9038 3 жыл бұрын
MashaAllah madrasa shop mnajitahidi...keep the fire burning2020 biidhnillah❤❤❤❤💞💞💬💕💓
@hassanzubeir4400
@hassanzubeir4400 4 жыл бұрын
Iko vzr kama umeangalia 2020 like😊
@lelaallububa5739
@lelaallububa5739 5 жыл бұрын
Mashaalh mzazi kuwa makin san kwa mtoto wako mashaalh mashaalh
@mwanaishauluka4678
@mwanaishauluka4678 Жыл бұрын
Bado sana kuchuja ,naipenda sana qwasida hii ina ujumbe mzuri sana
@OngariaJoel-yk9dp
@OngariaJoel-yk9dp Жыл бұрын
Alhamdulillaah yaarabbi, l have been looking 4 my favourite qaswida since l grew up but 2day l got it mashallah.
@delabossreizer9471
@delabossreizer9471 5 жыл бұрын
Naiwatch usikuu huu kabla ya kula daku 2019 ndn ya mwezi mtukufu nimeisaka atimae nimeipata
@maridhiamsemo6012
@maridhiamsemo6012 3 жыл бұрын
Amina
@iddyhuseni5729
@iddyhuseni5729 3 жыл бұрын
Inshaallh
@farhatislam6550
@farhatislam6550 3 жыл бұрын
Maa shaa allah imechulia vyema Kama adabu enyewe
@f3ttysaid643
@f3ttysaid643 3 жыл бұрын
2021 mwez wa 4 Ramadhani ya 9 nimeikumbuka hiiii Qaswida kuitazama inafundisha wallah
@mwanaiddi7994
@mwanaiddi7994 5 жыл бұрын
Mashallah nililuwa natafuta video yake naipenda sana
@zsmartkhalifa5683
@zsmartkhalifa5683 4 жыл бұрын
xamai
@athumanissa8616
@athumanissa8616 2 жыл бұрын
Nzuriii xana jamn
@hatibuhasan7190
@hatibuhasan7190 5 жыл бұрын
qaswaida ni nzur na inaujumbe mzur mashaallah
@shairaniibrahshairan7743
@shairaniibrahshairan7743 5 жыл бұрын
Hii qaswida naingaliaga unanikumbusha mbali sana mungu awape maisha maref
@umaryibuva2096
@umaryibuva2096 5 жыл бұрын
Allah akujaalien inshaallah mzid kutupatia Zingine Kuna wengne wakiimba kama bongo flaiva
@hashimalsaadat4905
@hashimalsaadat4905 5 жыл бұрын
Kwani hakuna bongo fleva za sloo kama hizi
@anurragbakar2623
@anurragbakar2623 5 жыл бұрын
Umary Ibuva mashaallah mzulii sanaa hiii jaman
@shaabaninyuge808
@shaabaninyuge808 4 жыл бұрын
Mara ya kwanza kuisikia ilikuwa Radio Tanzania Dar es Salaam Kipindi cha maswali na majibu ya dini ya kiislam Hapo ndio Ulikuwa mwanzo wa kuipenda hii Qaswida
@mariamkidunda5814
@mariamkidunda5814 4 жыл бұрын
Kama unasikiliza Ndani ya mwezi mtukufu 2020 like hapa tujuane
@meshackezekiel5759
@meshackezekiel5759 3 жыл бұрын
2021 tupo wangapi ambae tunatazama tena ...kumbuka kuna watu walitazama mwaka jana na juzi lakn alitaman atazame mwaka 2021 lakini hakufika aliishia njian ...vema tuwaombee wote walio tangulia...Wazaz wote walio tangulia Mungu hawalaze mahari pema peponi. 😢😢
@zaujiasadiq8347
@zaujiasadiq8347 3 жыл бұрын
tupo
@fahmiiidrissa6120
@fahmiiidrissa6120 5 жыл бұрын
Maasha ALLAH ni qaswida isiyoisha hamu kusikilizwa
@leilabenard162
@leilabenard162 4 жыл бұрын
AlHAMDULILAH
@fatmamiraj8576
@fatmamiraj8576 5 жыл бұрын
Mashallah mashallah naipenda sana
@fakihalhakimalhakim3250
@fakihalhakimalhakim3250 5 жыл бұрын
Uko vzr wazaz zingatien kulea vzr watoto wenu
@mohdabdi4157
@mohdabdi4157 5 жыл бұрын
Fakih Alhakim Alhakim Allah akulipe kwa kasida yako nzr sana hiii kasida namba1 Tanzania yaani haishuki hadhi hii kasida noma sana duuu hongera sana ustadhi Allah akuhifadhi
@ZuwenaOthman-yl4bp
@ZuwenaOthman-yl4bp 3 ай бұрын
Masha Allah toka uhai wa mama yangu 2003 niko na Miaka 9
@habibseif8989
@habibseif8989 4 жыл бұрын
Km unaingalia 2020 mwezi wa 5 mwishoni kipindi cha corona gonga like
@omarmoroa5243
@omarmoroa5243 5 жыл бұрын
My favourite Qaswida all tym..May Allah bless you for your advice
@mshanaadily232
@mshanaadily232 2 жыл бұрын
Me tooo
@munasaidi4631
@munasaidi4631 8 ай бұрын
​@@mshanaadily232😅😮😮😅. 😅
@munasaidi4631
@munasaidi4631 8 ай бұрын
​l😊😊😅
@najatmponda6802
@najatmponda6802 2 ай бұрын
Najat mponda qaswida yangu penda 2024
@user-dg8qe9rf9h
@user-dg8qe9rf9h 5 жыл бұрын
Nakumbuka niliiangalia mwaka 2014 nikiwa tz. Nasasa niko oman 4 ilopita. Niyamuda sana
@yahyaabubakar2315
@yahyaabubakar2315 4 жыл бұрын
As vp hli
@yahyaabubakar2315
@yahyaabubakar2315 4 жыл бұрын
Mashallah qaswida iko smart xn
@asmanasoro5450
@asmanasoro5450 4 жыл бұрын
Asallam allaykum warahmatullah wabarakatu
@ayubusosteness8276
@ayubusosteness8276 3 жыл бұрын
Asant
@issamuhsin5725
@issamuhsin5725 3 жыл бұрын
Aslm alykm
@user-cv8sn7yg8v
@user-cv8sn7yg8v 11 ай бұрын
Mashaala ndugu zetu watanzaniya hatuwawezi hichi nikipaji MUNGU amewapa mubarikiwe Sana hii qaswida sssssafi Sana naipenda
@hadijaomary8432
@hadijaomary8432 4 жыл бұрын
kama unaangaliaa mwaka 2019 mwez10 gonga like apaaa
@destiny4life439
@destiny4life439 5 жыл бұрын
cku nzito sana hiyo icyokua na rafiki wala biashara allah atupe mwisho mwema nshallahi
@bonychamlanga6387
@bonychamlanga6387 4 жыл бұрын
mashaAllah naipendasana
@user-wq9je9bl6v
@user-wq9je9bl6v 3 жыл бұрын
Mashallah naipenda sana hii kaswida. Inshallah Mola atujalie hivyo
@yusuphyusuph1431
@yusuphyusuph1431 5 жыл бұрын
Maashallah mungu awambaliki sana
@hamidahamida1473
@hamidahamida1473 4 жыл бұрын
Mashalha
@abuubakarkichimbo9957
@abuubakarkichimbo9957 3 жыл бұрын
Mashallah kasida imetoa ujumbe mzuri Allah awabariki wazazi wetu aamin
@jamilahaji7507
@jamilahaji7507 3 жыл бұрын
So nice Masha Allah Allah akuafikishe kuwalea watoto wetu ktk maadili
@ramlahalawi3883
@ramlahalawi3883 5 жыл бұрын
Kaswida murua jamani maa sha Allah
@mariamsengwila5679
@mariamsengwila5679 4 жыл бұрын
Mashaallah
@misurabravo152
@misurabravo152 4 жыл бұрын
Ni nsuri xn anaesoma na waitikiaji wanapokezana vizur nakupeni hongera munaitaji msada kujikuza zaidi
@sakinaabdallah7677
@sakinaabdallah7677 5 жыл бұрын
masha Allah ina fundisha
@yassirrashid4181
@yassirrashid4181 4 жыл бұрын
Wazazi tujitaid kulea watoto wetu kaswida hii ni nzur sana pia inanikumbsha mbali sana wakat huo nipo darasa la 7 Allah awajaalie
@daarulmustafa7010
@daarulmustafa7010 5 жыл бұрын
naiangalia ,,,mpka 2019 masha Allah ,
@mwajabumtenga1826
@mwajabumtenga1826 4 жыл бұрын
DAARUL MUSTAFA
@abduljuma4394
@abduljuma4394 4 жыл бұрын
Yanga nA simba
@abduljuma4394
@abduljuma4394 4 жыл бұрын
Simba nA yang
@ashahahahahatwendenikwetut3826
@ashahahahahatwendenikwetut3826 3 жыл бұрын
Mashallah
@fxmu6484
@fxmu6484 3 жыл бұрын
My favorite qaswida of 20's mashallah
@razansalim532
@razansalim532 5 жыл бұрын
MashaAllah jadha ka Allah kheir
@mshellejabenjamin9173
@mshellejabenjamin9173 5 жыл бұрын
Nimeipenda sana tena sana
@azizijumanne3155
@azizijumanne3155 2 жыл бұрын
Mashallah qaswida nzuri na yenye ujumbe mzito
@madrasashoptvonline4175
@madrasashoptvonline4175 6 жыл бұрын
ahsante kwa ushauri na maoni mazur Allah ajaalie owe hivo
@salihiysleymanitanzania8152
@salihiysleymanitanzania8152 5 жыл бұрын
tnaomba group la kaswida wassup 96898170538
@mrsmohammadnguche4165
@mrsmohammadnguche4165 5 жыл бұрын
Tunaomba group la kaswaida +96879013149 In shaaallah
@shingos5134
@shingos5134 5 жыл бұрын
Mambo
@abdulimajidshabani340
@abdulimajidshabani340 5 жыл бұрын
MADvpRASA SHOP TV ONLINE
@jannatyabubakar9038
@jannatyabubakar9038 3 жыл бұрын
Madrasa shop tvonline so hot...i like you..Allah awahifadhi saana inshaAllah
@herryshabanimakomberasimba9722
@herryshabanimakomberasimba9722 2 жыл бұрын
MASHA'ALLAH.MUNGU ATUJAALIE VIZAZI VYEMA NA WAWE WAJA WEMA WENYE MAADIL YA KIISLAM
@user-xh5vl6eh6i
@user-xh5vl6eh6i 2 ай бұрын
Hii qaswidah kila siku ni mpya kwangu yani kama imetoka jana vile❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@badrushikeli5701
@badrushikeli5701 5 жыл бұрын
Maa sha Allah 👌👌
@user-mh6ke4lm3y
@user-mh6ke4lm3y 7 ай бұрын
I like this qaswida because inatuambia tulee vijana kulinga na mafundisho ya mtume
@azzaally2285
@azzaally2285 6 жыл бұрын
mashaallah mashaallah tabaraka rahman
@hawalugundi9328
@hawalugundi9328 5 жыл бұрын
MashaAlla❣️❣️💌📿
@athumanihamidu8673
@athumanihamidu8673 4 жыл бұрын
2020 ni Qaswida yenye mafundisho sana katika jamii. Allah atujaalie kila la kheri Inshaallah. Atujaalie vizazi vyenye off yake Inshaallah 🙏🙏
@mafiasportcenter7786
@mafiasportcenter7786 2 жыл бұрын
Masha,allah caswida bora
@adilymshanaadsophiemshana8435
@adilymshanaadsophiemshana8435 4 жыл бұрын
My best hit qaswida.... loveee
@halimasudai6604
@halimasudai6604 5 жыл бұрын
Maasha Allah
@SheikhAbdull-ys2fd
@SheikhAbdull-ys2fd 3 ай бұрын
Allah atuongze ktka Qur'anil kareem kw kuzifdhi baadhi y Aya au hswa kitbu kitkfu kw jmla kma manavyoifdhi hzi kaswidah..muwe wnye kusoma Qur'an kw ustadi w juu ili kuipta pepo yke Allah S.W. aiku y kiama..maana tukna mtihni mzto xna na mwnye kutujlia kher n yy pkee jabar,khalik akbar yy pkee Allah S.W.
@thumabby3655
@thumabby3655 4 жыл бұрын
Mashaallah mashaallah safi sana
@MwaishambaKipanga-bu9sz
@MwaishambaKipanga-bu9sz Ай бұрын
Inanikumbusha madrasa Maahawal lslamia TNG Uyo mpiga nai mashaallah
@zamzamiyaahmed5082
@zamzamiyaahmed5082 3 жыл бұрын
Mashaallah nakumbuka niliimba kwenye hafla nilipo kuwa raudhwa baa tangu 2007
@user-eg1dr6so4c
@user-eg1dr6so4c 3 жыл бұрын
Kama umeangalia 2021 tujuwane
@tausramadan7024
@tausramadan7024 3 жыл бұрын
😭😭😭 Nasikitika kuona kuona me ndio naangalia Leo video yke Ila daaaah Ina ujumbe mzury
@mohamedihussein
@mohamedihussein Жыл бұрын
Bado nipo nayo Masha Allah kaswida nzuri sana 2023
@ramsokhanmzamir7040
@ramsokhanmzamir7040 4 жыл бұрын
Kama una angalia 2020 tujuane kwa like
@aminamsulwa3543
@aminamsulwa3543 5 жыл бұрын
Qaswida hii nikisikiliza najisikia amani kweli mungu amtubukieni mema watunzi
@sahimmandelanzursanamashaa2743
@sahimmandelanzursanamashaa2743 5 жыл бұрын
Mashaallah qaswid yenye mafunzo
@user-hl7mo4pt2w
@user-hl7mo4pt2w 5 ай бұрын
Nakupenda san mungu akubaliki san na aendelee kukuongezea swawabu♥️💓💯
@aviwaomar439
@aviwaomar439 5 жыл бұрын
Mashaa Allah full ujumbee waallah
@naimumwahu7723
@naimumwahu7723 4 жыл бұрын
2020 tupo wangap humu
@imamuathumani2534
@imamuathumani2534 3 жыл бұрын
Mashallah
@iddimande6326
@iddimande6326 3 жыл бұрын
Tupo
@jumaabdallah9344
@jumaabdallah9344 5 жыл бұрын
kasida ni nzuri lkin vitu vilivyo tumika ni Haram
@mohameddamka922
@mohameddamka922 5 жыл бұрын
bila shaka ww ni katika ma wahabi Allah akuhurumie.
@saidyiddy6370
@saidyiddy6370 5 жыл бұрын
Kama nn kwa mfano
@yusufally6853
@yusufally6853 5 жыл бұрын
juma abdallah ...tuelekeze uharamu wake...inshallah
@jumaighanji1289
@jumaighanji1289 4 жыл бұрын
Kama kipi?
@ramadhanikaita9672
@ramadhanikaita9672 4 жыл бұрын
True umesema ukweli
@JidahHamisi-wq5yh
@JidahHamisi-wq5yh 3 ай бұрын
Mashaallah mashaallah jamani hii kaswida nzur san duh
@idrissasaid5474
@idrissasaid5474 4 жыл бұрын
Mashallah qaswida Safi Sana Allah amlipe mtunzi Kama 2020 usikose 👏👏👏👏👏👏👏👏👏
@bintmbajimbaji6703
@bintmbajimbaji6703 5 жыл бұрын
Maashaallah'mie nimengoja sana nai inavyolia huku najiuliza hv ni yenyewe nikaishia kufurah tu'Allah awalipe kheri
@twilamtumbi3400
@twilamtumbi3400 4 жыл бұрын
Kawaida ni Bora ila vifaa vilivyo tumika ni kharamu
@habibahassain5372
@habibahassain5372 3 жыл бұрын
2021 🙋🙋🙋🙋🙋🙋
@mwanaiditemba8053
@mwanaiditemba8053 3 жыл бұрын
Mashaallah ❤❤
@travellertraveller4505
@travellertraveller4505 Ай бұрын
Great of all time... Maashaallaah
@fasitakhalifa2208
@fasitakhalifa2208 5 жыл бұрын
Maburookin Wote mloimba hii kaswida ya wazazi tujitahidi wazazi wana jitahidi lakini mitoto mingine sugu jaman
@lelasalum555
@lelasalum555 4 жыл бұрын
Mitot mingine misung kwel niko omn nafany kaz katik hii nyumb wazaz wameshidwa na tabia ya mitot mitukut mpk nawaonea hurum hawan adabu jamn subhana llaha tujaalie watot wem yarabi ten mtot wa kike du
@hatibuchaka5494
@hatibuchaka5494 4 жыл бұрын
Huy jamaa ni fund aseee
@hassanabbas5869
@hassanabbas5869 Жыл бұрын
MashAllah kaswida nzuri yenye mafunzo Allah ibarik fikum
@dullahplatnumz4984
@dullahplatnumz4984 4 жыл бұрын
Kama unaangali mwaka 2020
@salehkejje8786
@salehkejje8786 2 жыл бұрын
Nimeamua kuitafuta kasida hii Leo mana mpaka nalia Alla akurehem baba angu uko uliko akujaalie pepo ya firdaus inshalla na akuondosheee adhabu za kabri
@SheikhAbdull-ys2fd
@SheikhAbdull-ys2fd 3 ай бұрын
Amiin yarbil Aallah min insha'Allah iwe kher kwetu sote wlo waislm
@nasraally9475
@nasraally9475 5 жыл бұрын
Masha Allah
@zawadaniadam8024
@zawadaniadam8024 Жыл бұрын
Mashaalah ❤❤❤
@iddysware5762
@iddysware5762 4 жыл бұрын
Kaswida yangu bora miaka yoteee haitotokea kama hii tena
@user-mr1to9xf1j
@user-mr1to9xf1j 4 ай бұрын
It reminds me when I was young ma mother used to switch on radio every day b' Cause of this nasheed mashallah baraka llahu fiikum Allah grant u jannat firdaus.❤❤❤❤❤
@Zowazowa-xu1gk
@Zowazowa-xu1gk 6 ай бұрын
Mashaallah tabarakallah ❤❤❤❤ bado naipenda sana hii kaswida wallah
@celebratingunited4064
@celebratingunited4064 5 жыл бұрын
naipenda san hii tangia 2009
@abduljalilu2094
@abduljalilu2094 4 жыл бұрын
allh awadhidshie
@swalehbakari2667
@swalehbakari2667 4 жыл бұрын
Nashukuru sai nipo juzuu ya 27 mungu anipe umri nimslize 30
@abuumuhammad2207
@abuumuhammad2207 4 жыл бұрын
Assalaam alaykum Mashaa allah upo sehem gani?
@othumanially7820
@othumanially7820 4 жыл бұрын
Twende pamoja km una iangalia 2019
@lailahaillallah4020
@lailahaillallah4020 5 жыл бұрын
Maashallah...3
TUMEACHIWA VIWILI NA {S.A.W.}.QASWIDA  VIDEO| UST: NASIBU KIKWASA {Ihyaul umma}
11:32
Sigma girl and soap bubbles by Secret Vlog
00:37
Secret Vlog
Рет қаралды 4,6 МЛН
ОСКАР vs БАДАБУМЧИК БОЙ!  УВЕЗЛИ на СКОРОЙ!
13:45
Бадабумчик
Рет қаралды 6 МЛН
Qaswida yenye mafunzo mema zaidi - Walia nini mwanangu
8:47
Mchomaji Ramadhani
Рет қаралды 7 МЛН
Johayna Abdallah (al-shibib) Subira Jambo la Kheri
6:06
jelani ali
Рет қаралды 2 МЛН
madrasatul nah dhat salaam bwana kharousi
6:36
jelani ali
Рет қаралды 1,8 МЛН
Sherehe Iyoo/Harusi Si Msiba
8:40
Swahili music
Рет қаралды 621 М.
Qaswida mpya ya Ustadh Hafidh/cheo chake mama
5:01
Aishyun
Рет қаралды 408 М.
Vifo vya albino
5:05
mtumeniwewe
Рет қаралды 2,6 МЛН
Amina Kalea - Fadhil Massanza (Anayo alama mtume)
17:04
MAZAUG TZ
Рет қаралды 472 М.
Smart thief😳 لص ذكي…
0:19
MARYA & AMINE
Рет қаралды 75 МЛН
Waka Waka 😁 #funnyshorts #rianashow
0:14
RianaShow
Рет қаралды 2,9 МЛН
貓媽媽🆚爆米花🌽🥷🍿 #aicat #shorts #cute
0:33
Cat Cat Cat
Рет қаралды 14 МЛН