Ivi kwel.sheik hafidhi Bado hajazeeka tu❤❤❤❤❤❤❤qaswida zake nazipenda kikwel inshallah mola hakupe umri mrefu
@latifaabdallaissa42403 жыл бұрын
Weuweeeeee pambeee mashaaallah mashaaallah ustadh hafidh mm nakupendag hunag mbaya cku zote kitu roho inapenda
@khamishaji19803 жыл бұрын
Hakika nakukubali asilimia 100% mashaallah kasida imeenda na mauzui ya yot yaliyomo kweny eid zetu zote mbili mungu akuongoze kwenye njia sawiya akuondolee husda na chuki za walimwengu
@aishaukuthymwanachahaya45113 жыл бұрын
Mashaallah hyo mwnye mwanya hongra sh hafadh kwa pozi to watakoma Mashaaallah
@Shafii_mohamedi172 жыл бұрын
Mashaallah sana ahlul madina
@omarmuhammed89873 жыл бұрын
Et ngoma watu wasema mashaallah mhhhh diamond wa znz
@zuwenasuleyman37432 жыл бұрын
Mashaallah mpk mashaallah tena my fevarate qwaswida
@mohdaali84733 жыл бұрын
Baba uko vzr sana sh. Hafidh huna mpinzani kwa Tanzania ww ni sw na baba lao
@jumshkoja6362 жыл бұрын
mashaallah KAZI nzuri kheir njema zaniliwaza kaswida zako wallahi
@zamdasanze28903 жыл бұрын
Mashallah qaswida zako zanikosha sana she hafidh kama ile ya da fatuma na ya mahari
@rehemaally85063 жыл бұрын
Mashaallah 🙏🤲 ahluli madina ALLAH awape afya njema DUNIAN na kiama
@fatmasaid41142 жыл бұрын
Mashallah kikundi cha Ahalmdina mashairi yenu mazuri nnajua haswaa kutunga kila mnayoitoa inashinda mwenzie sio wale wa mipasho i
@lelashaaban21263 жыл бұрын
Ustdh hafidh bna we nomaa...yan uko vzr balaaa...nakupendaa🥰😘
@nassoralmazrui..........84863 жыл бұрын
Safi sana kwakweli kazi nzri kabsa na Hongera sana Lamasia .................
@saidomar68063 жыл бұрын
Mashaallah Kaz mzur Sheikh Hafidh nawote muloungama kuleta Qasweeda yenye ujumbe mzito ndan ya Eid🌙🕋🇹🇿
@madrasashoptvonline41753 жыл бұрын
MASHALLAH ALLAH AZIDISHE UBORA WAKO
@mnyongehome50133 жыл бұрын
Fundi wa qaswida shekh hafidh safi sna hawakuwez
@omarmuhammed89873 жыл бұрын
Mwanmke utamuona ndan ya ramadhan anaenda kuban sidi ya kaswida aweka kwenye TV kuanzia asubh had jion lakin QUR'AN haigusi hadi ramadhan ina pita kusikiliza kwake kwasida ndiyo ibada kubwa kwake yey na tusha katazwa ngoma basi hizo ngoma jizuwiye hta mwez uwishe laaa hpana tunaenda kwa MUNGU tutaulizwa wallah najua wapo watakao chukia haya nisemayo kwasbb Kwao wao kasida ndio ibada kubwa sna kitu ambacho Allah amesha kataza usinitaje kwenye ngoma la usiniombe kwa ngoma Qur'an imeshushwa ndan ya mwezi mtukufu wa ramadhan lakin haina na fasi kwenye mioyo yetu ila kaswida zina nafasi kubwa sna Inna lillah wainna ilayhi raajiuun
Masha Allah tabarak Rahman Eid Mubarak to u all 💞💝💓💗🙏🙏🙏🙏☝
@salmasaeed93573 жыл бұрын
MashaAllah hukoseagi napenda sana kazi zko ustadh hafidh🙏🏻
@ahmedsalum5683 жыл бұрын
Mashallah kazi mzr sana
@NadzuwaAmina7 ай бұрын
Mashaallah Mashaallah 🎉🎉🎉🎉
@aysha62842 жыл бұрын
Mashaallah allah
@hafidhali43363 жыл бұрын
Mashaallah umetisha sana somo yangu huna mbaya
@shaniamwahu3917 Жыл бұрын
Mashaallah ❤️
@JemzMaalim Жыл бұрын
Hongeraaa
@fomous.akiraproudlkiraprou71293 жыл бұрын
Kaz nzuri mashaallah
@yusufgagamuhammad26743 жыл бұрын
Na,amini ya kwamba hii KASWIDA Ili andaliwa haraka haraka ju haiko poa vema japo sina budi kumpa laik
@BeatrizBestzmoz8 ай бұрын
Mashallah❤❤❤❤🎉🎉🎉
@BeatrizBestzmoz8 ай бұрын
Mashallah🤝🤝🤲🤲👍👍🙏🙏
@BeatrizBestzmoz8 ай бұрын
Mashallah
@mohamedrhigho16403 жыл бұрын
Mashallah mastaa wangu huaga mnanikosha xna,mungu awape hifadh kwenye kazi yenu.Lkn mbna chidi zungu jmn hapo amekosekana na saut yke murua
@zainabzainab74693 жыл бұрын
Mashaallaah 😍😍😍😍😍😍
@abduliali79113 жыл бұрын
Zungu kwaasasa hayupo Ahlul Tena
@rahmakagwa82373 жыл бұрын
Yr my favorite in qaswida
@bayouochu89203 жыл бұрын
Nawapend sana
@chimamumkali-dh2ti Жыл бұрын
Mambo moto 🔥🔥🔥🔥🔥❤️
@KHADIJAKanju-b6f11 ай бұрын
khafidhi kanenepa vibaya
@kassimomar75893 жыл бұрын
Fundi wangu wa siku zote
@thneikhamis64143 жыл бұрын
Metisha mzee
@issaofficialvideo63753 жыл бұрын
Tokea siku ulioituma bac cjachoka kuiangalia na ctachoka kwa ilivyo nzuri
@alamra88233 жыл бұрын
Vitaa 🔥 🔥 mashaallah kazi safi
@maulidmaulid44383 жыл бұрын
Nimeipend
@zanmedia52253 жыл бұрын
Kwani nyunyi hamuoni kua tangu shekh Hafidh karudi kwenye game kumechangamka sana, game ilikua ishaanza kulala shekh Hafidh kaja kuamsha 😁😁😁 safi sana kiongozi wangu kwa kazi nzuri
@ismailshabani22763 жыл бұрын
mashallah🙏🏾🙏🏾🙏🏾💔💔
@mohdomar48763 жыл бұрын
Safi sanaaa kaka
@fettynibuka6753 жыл бұрын
Nawakubali sana
@khadijaothman71173 жыл бұрын
Nice nice nice nice nice Father
@hamisshamuun37983 жыл бұрын
Mashallah imakaaa vizr na inatisha
@hamishamis92613 жыл бұрын
Mashallah shehe cikuping All days
@habibasaleh19343 жыл бұрын
Huna mbaya mashallah
@minamohd89483 жыл бұрын
Mash allah 😍
@abubakarabdallah54153 жыл бұрын
Kaswida mzur sana mashallah
@abuumo96373 жыл бұрын
Mzigo uko poa 🕺
@abdulnasir61083 жыл бұрын
Ahlul madina muachiwe
@rashidkhatib8613 жыл бұрын
Hizi ndo Zenj flavor, wale wanaojiita King na Wenzao watasubir.
@aliabdalla92973 жыл бұрын
Si ndio hizo nyimbo
@omarmuhammed89873 жыл бұрын
Hao waachisha wake za watu ndoa nying zavunjia pemba na unguja kwa sabbu ya ibilisi hawa utamsikia mwanamke nampenda huyu kaka tena anatamka mpele ya mumewke
@abubakarabdallah54153 жыл бұрын
Kwani ww ukimpenda mwanamke huwa mmke wako wamuacha
@shawal5360 Жыл бұрын
😅😅😅😅
@seifmohammed14633 жыл бұрын
Maalim wa nchi
@fahadhashimsuperwomanhappy75963 жыл бұрын
Maashallah fundi Sana broo ww ndy namba moja Zanzibar