Kama kawaidaa yanguu mm cna mengiii nakutakiaa maisha marefu
@FettyNasri Жыл бұрын
Wimbo mzur sana kaka angu 💯🔥mwenyez mungu kakupa kipaji kitumie
@mackcharles8749 Жыл бұрын
Neleml Mbasando
@magesaneema1903 Жыл бұрын
Safi sana kaka tuwakilishe wasukuma 🥰👌💥
@nasrahassan7346 Жыл бұрын
waooo safi sana kalumbu kazi yako safi
@simonndali2040 Жыл бұрын
mungu akutanguliye katika kazi yako hii unatuelimisha san
@iddyharuna8052 Жыл бұрын
Zuchu
@katunzikihembe4455 Жыл бұрын
ULINGOSHA SANA
@reginampigachai7645 Жыл бұрын
Waooooh daima nitajivunia kuzaliwa msukuma,I always enjoy listening the songs it has foue years now without seeing my parents nimemis kisukuma sana hongera kaka kwa kazi nzuri big up.i wish to see you one day ,I will always pray for you brother 💯❤🤝🙏🙏🙏🙏
@ngwanakangwa Жыл бұрын
Wabheja noi ilhumbu lyane Mulungu akwinhe lhubhango ukwenuko uko ulhi! 🙏🙏🙏
@reginampigachai7645 Жыл бұрын
@@ngwanakangwa waooooh nafurahi sasa kuongea lugha yangu jambo imekuwa miaka mingi sana kwa sasa bila kuongea ila najitahidi nisisahu maana huku chuoni kingereza tu naimani siku moja nitakutana na wew hata nikupe tu ya soda kwa nyimbo nzuri ubarikiwe sana
@maryamsaidi1313 Жыл бұрын
@@ngwanakangwa adika kiswalii
@FettyNasri Жыл бұрын
🙏 nyimbo zako znanikosha sana kaka ang,hongera sana inshaallah ktk harus yako hutokosa nakipenda kisukuma
@Dottohubert-gx3eu Жыл бұрын
Kwa kweli kbsa I proud to be sukumaa kwasababu Tanzania nzimaaa. 2po na huyuuu kk mkubwaa kaja kutupaaa furaha kwa wale ambaooo hatupo Kanda ya Ziwaaa
@ngwanantemiboysafi5576 Жыл бұрын
Kanzi nzuri
@ibrahimbaraka5262 Жыл бұрын
Urikua haujazitolea video et ibra makomputa huyu ndani ya lyabukande
@ngwanakangwa Жыл бұрын
@@ibrahimbaraka5262 tunasafisha stoo
@ibrahimbaraka5262 Жыл бұрын
@@ngwanakangwa basipow blo kilangoma ikitoka Kama kaw
@leocadiashaban-zv5ss Жыл бұрын
dar nikisikiliza nyimbo zako nafarijika sana
@samwelsamwel4042 Жыл бұрын
Uhakika
@yumbujackson869 Жыл бұрын
Kazi inaendelea safi sana
@jestinambanzi9310 Жыл бұрын
Najivunia kuzaliwa msukuma sarut kaka yang
@mathewramadhan1153 Жыл бұрын
Kaz nzur sana
@VeronicaMaduka-p6l5 ай бұрын
Hangela mungu azidi kukuinua
@sundimalekwa8391 Жыл бұрын
Naenjoy saut nzur hongera kak mung akutunz miak ming