Umetisha kaka huu wimbo naupenda sana nasikilza nikiwa Japan
@mohamedomary88922 жыл бұрын
Hizi nyimbo ninzuri sana najivunia kuwa mnyamwezi nikisikilizaga ngoma nakumbuka nyumbani Tabora
@bvff8691 Жыл бұрын
Hata mie nikisikila namic sana kwetu tabora tz
@johnbernad39907 ай бұрын
Tupo weng kaka
@jamesmbuyuntvtzshijacom.52687 ай бұрын
Sema nyimbo zetu hiz na kwaya zina fananatu melod zake
@EmanuelKabea6 ай бұрын
Kabisa yaan kwanza wanaotuzalau wasukuma na wanyameez hawajierewi tu
@happyibrahim8326 ай бұрын
❤❤❤
@budodianthony80942 жыл бұрын
Hakika nimemiss home brother thenk you forever brother una nyimbo nzuri naomba mungu akulinde sikuu moja nitakupatia zawadi
@roselameck-ws1pc Жыл бұрын
Nalipenda sana Kabila langu mtanifanya nihame Zanziba weehatar mungu awabariki sana
@selestinepius35622 ай бұрын
SIKU HAIWEZI PITA BILA KUMSIKILIZA NGW'ANA KANWA ingawa Mimi sio msukuma.
@MwigaKatumpula-mi3zt Жыл бұрын
Najivunia kuwa mnyamwez maana nyimbo kama hizi naelewa mwanzo mwisho jamani 🙏🙏🙏👏👏😀
@samwelkavanga3151 Жыл бұрын
Mm pia mnyamwezi naelewa sana
@charlesaugustine95534 ай бұрын
Huu wimbo uliimba mashairi matamu sana mtaalam Ng'wana Kang'wa. Huwa narudia kuusikiliza mara kwa mara
@samwelsimon6842 Жыл бұрын
Katika nyimbo zako zote, hii kwangu ndo namba Moja, still watching 2023
@gapindega2087 ай бұрын
Kuna Ile kwa Bundala Kishimba ni hatari sana 🔥
@johnbernad39902 ай бұрын
Hata mimi pia kwangu ni namba one 1
@FadeelaSharjah4 ай бұрын
Hongera sana unanifariji sana yatima wa ulaya ❤
@MohamedSaid-g9p11 ай бұрын
Nakumbuka❤❤siku😂aliokuja🎉🎉 mpombwe sikonge
@JerisonkarangatanzaniaKaranga Жыл бұрын
Wakati uwa natamani siku moja uwimbe nyimbo za dini ili tumshukulu mungu pamoja, uwaga nazipenda sana
@AminaTwaha-p3lАй бұрын
Najivunia kuwa msuka tenna ❤❤❤❤❤
@budodianthony80942 жыл бұрын
Hongera brother nafurahia nyimbo zako pia kuwa musukuma nipo dar salamu Ila namisi nyimbo zako jamani 😁😁😁kwenye kuolewa nisheria watuu wote wamecheza ba nakuoa nisheria shilingitaga mozees😁😁🔑🔑🔑🔑
@edwardkujelwa62442 жыл бұрын
Hongera ng'wanakamwa
@NeemaPaulo-o4nАй бұрын
Nakupeda Sana huo wimbo umetisha Sana broo
@LeonardNdama10 ай бұрын
Mtemi na kupa hongera mtaani wangu kazi iendelee nawacheza shoo wako
@TamaryMbashaАй бұрын
❤nyimbo nzur sana Hongera sana
@ChauskuBonnАй бұрын
Hakika Kaka angu hiinyimbo ulituza kichwa Sana🔥
@juliusngaga-te8jl10 ай бұрын
nakumbuka kipindi ambacho nipo sikonge kijiji cha Tutuo kwa kweli mungu awabariki
@samwelsimon68424 ай бұрын
Yaani hii nyimbo makini sana nimerudi tena kuisikiliza july 2024,
@EzekielPetro-o1v3 ай бұрын
Uko vzr kaka nasklza nymbo hii nikiwa zanzibar
@teddydotto71379 ай бұрын
Katika hii nyimbo inajumbe zuri sana naupenda sana huu wimbo
@SkujuaJohn5 ай бұрын
Nainjoy sana na huu wimbo kiukweli unamafunzo mazuri kaka hongera sana ❤❤❤❤❤❤❤❤
@YusuphWilly-jh2vh Жыл бұрын
Kwa kweri huyu ntemi omabala Yuko vizuri Sana kwa nyimbo zake,, Mimi ni msukuma orig napenda nyimbo zao,, kweri
@mabinamsoja4849 Жыл бұрын
Ongeza bidiii uko vizuri bro,, MUNGU akuzidishiee
@soudsaid5900 Жыл бұрын
sana
@JuliasJonasMasali8 ай бұрын
Nasikiliza ngoma hii nikiwa Igunga ziba ngoma ni nzr sana hongera kaka asante sana endelea kutuletea burudani nzr uko vzr
@busarajacob41242 жыл бұрын
Hua nafarijika Sana kusikiliza nyimbo zako,zinaujumbe mzuri
@omariramadhani99902 жыл бұрын
Uko vizuri sana unadumisha mila yetu nakupenda sana.
@mariamuchimma42412 жыл бұрын
Huu wimbo jaman naupenda ingawa sielewi kila neno ila napata burudan, karibu singida uje utupe burudani
@martintssoray535211 ай бұрын
Hata sielewi kinachoimbwa ila nimekuwa mtumwa wa kusikiliza hizi sauti adimu
@MARIAMUSSA-ms1hl6 ай бұрын
hii nyimbo ni nzuri sanaaaa hadi raha ukisikiliza
@nadhirusaid40004 ай бұрын
Mimi wa Ruvuma lakin nasikiliiza wasukuma bit Zur sana piya saut ya huyo jamaa kifup anajuwa 🔥🔥
@yohanasalumu37786 ай бұрын
Nakubali sana❤❤❤❤❤❤
@MariamGodfrey-h3mАй бұрын
Karibuni kwe2 igunga Moja mkoa wa tabora
@ngwanakangwaАй бұрын
Aweeeeh!
@JuliasJonasMasali8 ай бұрын
Ngoma iko vizuri Sana
@zuhuraabdallah1552 жыл бұрын
Mungu Akuongoze Ili Uzidi Kudumixha Na Kutangaza Utamaduni Wetu wa Kixukuma
@AnjeroClaud5 ай бұрын
Najisikiaga vizur Sana nikisikilizaga huu wimbo nakumbuka shinyanga asante Sana ❤❤❤❤❤❤❤
@mkakasam70972 ай бұрын
Najivunia kuwa mnuamwez me npo morogoro napenda sana nyimbo zako
@Dalawida_champ2 жыл бұрын
Safii sana mzee wa kazi…😊
@ErnestMsapa9 ай бұрын
Hongera sana kaka
@revocutusmtungila2 ай бұрын
wasukuma tupo juu sana ktk kutunza mila zetu na kuitendea haki lugha yetu
@maryamChumas3 ай бұрын
Dah hii nyimbo inanimate kumbukumbu nyingi za nyumban mila yangu msukuma miee jaman nataman siku naolewa nyiee hiingomaipigwe na mama yangu mzazi awepo ila alihamndulillah ametangulia mbele za hakii ila inshaallah lazima ipigweee nimeipenda❤❤❤❤❤❤hongera sana ngw'anakangw'a kaz nzur saut nzursana na tam sanaaa❤❤❤❤❤❤❤😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤❤
@Mbtv_digital3 ай бұрын
Pole
@MtalemwaBake7 ай бұрын
Unatisha sana tajir msukuma kwa nyimbo nzur xana
@ndahejejejeanne54202 жыл бұрын
Vizurisan umepew kipaj kwakuimb Niko burund rakin nasikiriziy saut hiy
@SaidMaziku3 ай бұрын
Hongera sana ndugu yangu unatupaishia wasukuma ktkt Sanaa mm nipo hapa dares salaam siku nikija kahama nitakutafuta
@Richady-g3x3 ай бұрын
Niko Zimbabwe nakupata sana
@EstherNdamo2 ай бұрын
Na ww msukuma au
@FrancisHimangi4 ай бұрын
Good son and it's facilitates alots of information among sukuma tribe
@SaidJuma-ww6vd3 ай бұрын
Nakupenda sana ngwanakangwa nyimbo zako ni Zur sana unanikubusha nyumbani kahamia Niko Arusha nawapenda wasukuma wenzangu
@georgekallanga15454 ай бұрын
Mm sio msukuma lakini hii ngoma naipenda sana
@juliusngaga-te8jl10 ай бұрын
wasukuma kwa kweli mko poa sana tupo nyuma yenu
@xhivosoga7 ай бұрын
tuko poa
@suzanaseni44295 ай бұрын
❤
@sagengejagadi25203 жыл бұрын
Hasara kubwa kutosikia radha na kinachoendelea ktk video hii. So Proud 2 be sukuma
@YusuphMashaulimatogwa6 ай бұрын
Naupenda sana wimbo huuu
@joycejames91183 жыл бұрын
Napenda Sana nyimbo zako one day tutaonana,niko pande za igunga tabora
@maarifamussa99343 жыл бұрын
Nakukubali xn mwamba nikiwa DSM lakn nyumban chato hangamaga omwise ndoho tabhu nsani wise,,,, I wish one day I will find you during my marriage
@angelngongo42182 жыл бұрын
Nifalijika japo sielewi kivile hongera sana
@SagandaMashilimu5 ай бұрын
Brooo unanikosha unajua
@IddiMsalu2 ай бұрын
Nakukubari sana msukuma mwenzangu
@KhadijaKhadija-uc2uw3 жыл бұрын
Huyu kaka lajariwa saut kwakweli sie wasukuma tupo juu nipo Dubai lakin nacheki nyimbo zako
@michaeljohn75962 жыл бұрын
Naitwa Mr,crater nshishi nikopandeza illan center namkubar sn msukuma
@nassoromunde-ep1tz Жыл бұрын
nakubali sana
@maryamChumas3 ай бұрын
Yan msukuma mie najivunia sana ❤❤❤❤❤❤tunsaut tam sana ngw'anakangw'a ❤❤❤❤❤❤❤❤❤from oman
@MARIMPIUS2 ай бұрын
Mwenyew npo Zambia lake naskiliz
@MonicafrancisLupuja9 ай бұрын
Kaka unatisha sana kazi nzuri nipatie naomba yako siku Moja nikupigie tuzungumze
@annadotto24293 жыл бұрын
Kuolewa ni sheria, kuzaa ni majaliwa ! Hakika 👏👏
@EpimacNdero-wg3zg Жыл бұрын
Kwa kl
@EmmanueliBoniphace3 ай бұрын
Nafurahia nyimbo za huyu japo nikiwa vancouver, canada
@vicentsimon1245 Жыл бұрын
❤❤naikubaliii saaan
@KasobiHatari6 ай бұрын
Jaman jaman nyumban ni nyumban tu daima siwezi kusahau kwetu chato mulumba bwina,Ngoma za asili ni asili yetu wssukuma,hata waseme sisi ni WA shamba akin mungu katujalia akili na watu makin sana na wazalendo wenye upendo kwa kila binadam
@suzanaseni44295 ай бұрын
Uko sahihi kaka katika watu walotulia na akili nyingii ni ss wasukuma najivunia kuwa msukuma.
@YusufuMabula7 ай бұрын
Hongera sana bro unafanya kaziyako vizuri sana
@stephanominja89273 жыл бұрын
Mimi sio msukuma lkn,namkubali Sana Mwanakang'wa karibu Rungwa Njia panda ya mby tbra na sgd.
@deborajohnson-i6r5 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤Sina neno yukovizuri kijana
@shijagimu3995Күн бұрын
safisana nikisikia kisukuma sema mnabeikubwa kuitwa kwaajil ya kusherehesha
@suzanaseni44296 ай бұрын
Mm napenda sana hii nyimbo Kila siku nasikilizaga
@HawaKipaya5 ай бұрын
Me pia nakumbuka nyumban❤❤❤❤
@PiliKhamis-mb6ty5 ай бұрын
Najivunia kua msukuma jamani aaiiii raha sana
@lucybengwe9598 ай бұрын
Wimbo mzur Sana iala hao wamama walihalib wanawapuliziaje pafyum mabibi harus kama vle maiti ndo ile asili yetu
@RestutaRubeba7 ай бұрын
Nipo morogoro nasikiliza nyimbo hii ni nzuri hongera kaka
@CatherineMajala2 ай бұрын
Aisee wewe bro unanikosha sana ila natumia coz namis mama yang sanaa alipenda sana nyimbo zako nk dar but nikisikia nyimbo hii naona kama Niko hom bukene
@mussadadu8 ай бұрын
Nakubali sana brother nyimbo zako nakupata nikiwa Arusha
@aidankostantine Жыл бұрын
Anaweza kabisa
@YungeMaheta2 ай бұрын
Big up, im live in mbeÿa region
@hellenjumanne9010 Жыл бұрын
Kaka anasaut nzr sana 🥰
@Ndihokubwayo-v1k10 ай бұрын
Good job🎉😅❤❤I'm like 👍
@NeemaPaulo-o4nАй бұрын
Nakupeda bur
@richrichard33225 ай бұрын
Wimbo wa maana kabisa
@BahatiManhe-d8k Жыл бұрын
Wewe ni noma sana by Bahati manhe
@josephkafumu30062 жыл бұрын
Najivunia sana kabila langu
@HusnaMuhammed-yx8nl Жыл бұрын
Nipo dubai nakufatilia kazi nzuri
@dianamnyika81832 жыл бұрын
Safi sana gwana Kang,wa
@MmungaMbele-u1o3 ай бұрын
Hongera kaka
@kefamariba6622 Жыл бұрын
Nakuelewa sana ngoshaaaaa
@TANZANIAJESUSHEALLINGCENTER8 ай бұрын
ongera saanaa
@pasikoabudala34612 жыл бұрын
Nakumbar san bwana mudogo uko vizur
@gracegeorge9223 Жыл бұрын
Ngwa'na kangwa uko vizur kaka kwasaut
@HamzaPastory5 ай бұрын
Huyu Jamaa noma Sana
@daudidede16073 жыл бұрын
Nakupata Sana nipo ilinga mafinga kinyanambo baisikeli
@neemamholu76583 жыл бұрын
Jaman huu wimbo naupenda sana barikiwa sana kwa kipaji