Ng'wana Kang'wa _ Majungu Official Music Video.

  Рет қаралды 134,866

Ng'wana Kang'wa

Ng'wana Kang'wa

Күн бұрын

Пікірлер: 113
@MagdalenaKhamis
@MagdalenaKhamis 6 ай бұрын
Nakukubari sana kaka yangu❤
@stevenmathias1739
@stevenmathias1739 3 жыл бұрын
location kali sana bro
@gahanalugwisha3782
@gahanalugwisha3782 3 жыл бұрын
Piga kazi ntemi wimbo wa kudanga umewachoma watu mzee pg kazi baba mzee msalimie baba daud kanundo
@gahanalugwisha3782
@gahanalugwisha3782 3 жыл бұрын
Pambana baba ntemi wa mabala kalibu Tena rukw yetu baba
@Johnsonamos6637
@Johnsonamos6637 3 жыл бұрын
Kaka we hatariiii umenifany niiangalie mara kibao hii ngoma🔥🔥🔥🔥
@sidashindaitv9844
@sidashindaitv9844 3 жыл бұрын
Kaz nzur saana ubunifu wa hali ya juu
@ElizabethSumbi-zw9jg
@ElizabethSumbi-zw9jg 8 ай бұрын
Nikwer kabis moses da wimbo mzuri san naupenda san huwimbo hakika unastahir mungu akupe maisha marefu uzidi kuturetea nyimbo zuri zaid na zaid ❤
@yohanangimba5733
@yohanangimba5733 Жыл бұрын
Nyimbo zako nzuri Sana I listen them popote pale
@stopazmusictz4201
@stopazmusictz4201 3 жыл бұрын
Kaz nzur saaana ntemi
@jegirobert8582
@jegirobert8582 3 жыл бұрын
Unatisha mzee
@sarahjoseph9258
@sarahjoseph9258 Жыл бұрын
Nyimbo yangu pendwa san kutoka kwako nakupenda san♥️♥️♥️♥️
@petrocristian5364
@petrocristian5364 3 жыл бұрын
Ntemi Omabala hakika nyimbo zako nimeanza kuzielewa aisee uko vzr pia nilichokipenda zaidi ni kwamba lugha ya asili pia ya taifa umeipa kipaumbele hivyo mtu akisikia kipande kidogo cha kiswahili anauelewa ujumbe binafsi mm ni muha wa kigoma ila nyimbo zako nazielewa sana
@KulwaJeremiah-q2m
@KulwaJeremiah-q2m Ай бұрын
🔥🔥👊 nalipenda kabira langu
@fatumanafya5805
@fatumanafya5805 3 жыл бұрын
Nakukubali sana kaka
@poaswahilimovies99k
@poaswahilimovies99k 3 жыл бұрын
Ongera ntemi omabala na crew yako ya production mungu awape afya na malifa ili mzidi kufanya vizur kila kukicha
@J4UPro
@J4UPro 3 жыл бұрын
safi sana kiongozi, achana nao hao maneno mengi
@imerdaJohnassi
@imerdaJohnassi 2 ай бұрын
Hongera mwanaka,ngwa
@neemahjoseph8517
@neemahjoseph8517 Жыл бұрын
Nakukubali San
@JohniFundi-fm2mz
@JohniFundi-fm2mz Жыл бұрын
Hongela kwako
@annaelias3955
@annaelias3955 Жыл бұрын
Kabisa kaka angu binadamu sisi hatuna wema
@CephulenJuma
@CephulenJuma 5 ай бұрын
Nyimbo ni nzur sana nazipenda eeeeh
@abuumikazo2815
@abuumikazo2815 3 жыл бұрын
Daaaaaah jamaa anajua
@PendoAmos-tz1kt
@PendoAmos-tz1kt Жыл бұрын
Aisee hongera sana kwa huu wimbo ila kwangu nihatar sana Mungu akuzdishie
@scholasticamabula4487
@scholasticamabula4487 3 жыл бұрын
Hongera Moses
@innocentlulinda9596
@innocentlulinda9596 2 жыл бұрын
Upo vzur Ntemi omabala wa2 wengi wanakufatilia nyimbo zako
@JacklinPaulo
@JacklinPaulo Жыл бұрын
San nazipeda San yimbo Zak naped kufatilia
@deusgamaya7763
@deusgamaya7763 2 жыл бұрын
Duuuuh!uyuuu jamaaa anaiimba vzur tuache unafiki japo mm mnyakusa npoo mbeya"
@masanjangoshamtanzania679
@masanjangoshamtanzania679 2 жыл бұрын
Ngoma zako ziko poa kabisa ubunifu wa hali ya juu
@eugeniaritte9771
@eugeniaritte9771 2 жыл бұрын
Yaan huu wimbo unanikoshaga sana mie khs majungu
@jumalameck8364
@jumalameck8364 2 жыл бұрын
Naitwa juma mapela nakuombea maisha malefu
@tozzaalexandar4905
@tozzaalexandar4905 3 жыл бұрын
Atarii mkuu vyema
@bensonnaysulu5041
@bensonnaysulu5041 3 жыл бұрын
🔥🔥🔥🦁🦁Simba ya kahama moja hyoooo
@annadotto2429
@annadotto2429 3 жыл бұрын
Safi gete, abhayombhi bhaguyomba lingongo. hongera sana kaka nyimbo zako ni tamu sana tena haziboi
@ashurayatima7710
@ashurayatima7710 2 жыл бұрын
Maishallah kaka uko sawa sana
@phabiankashindye9025
@phabiankashindye9025 3 жыл бұрын
Wacha muziki mzuri uongee!!!!!! U'r xo talented uncle!!!!!!.....
@marcokasuka105
@marcokasuka105 2 жыл бұрын
Honger sana
@boniphacemaganga9682
@boniphacemaganga9682 3 жыл бұрын
Yani bugw'ando unanifanya nipigie kelele watu hukuu
@yonalddeogratius292
@yonalddeogratius292 3 жыл бұрын
Kali baba
@mussabalele8957
@mussabalele8957 Жыл бұрын
Mimi shabikiyako nambamoja❤
@Create_studio_Tz
@Create_studio_Tz 3 жыл бұрын
Nimeiona kaka
@merryalone3618
@merryalone3618 2 жыл бұрын
Naupenda sana huu wimbo
@reginampigachai8537
@reginampigachai8537 3 жыл бұрын
A lot of salute to you bro like your video is so nice .pika kazi twamkumbuka mzee wetu kipenzi RIP M songa mbele hakuna kugeuka nyuma
@nyandajr
@nyandajr 3 жыл бұрын
Nyimbo zako zinazidi kwenda mbali huwezi amini jana ile nyimbo yako acha tudange nimeona mtu anasikiliza dar tena katikai ya mji
@ngwanakangwa
@ngwanakangwa 3 жыл бұрын
jambo jema sana hilo🙏🙏
@maji_media
@maji_media 3 жыл бұрын
Huna baya bro mziki unaufahamu, big up mwanakamwa
@JosephMakeja
@JosephMakeja 10 ай бұрын
Very interested
@javenmoses897
@javenmoses897 3 жыл бұрын
Video imetulia🥰
@AgnesAbel-r9i
@AgnesAbel-r9i 10 ай бұрын
Pamoja bro🥰
@stevemacomputernyashihi9477
@stevemacomputernyashihi9477 2 жыл бұрын
kaka wa mimi huyo mwamba
@joycejidiga7467
@joycejidiga7467 2 жыл бұрын
Hongera sana temi omabala
@RehemaKhamis-k8s
@RehemaKhamis-k8s Жыл бұрын
Hinyimbo onanikumbusha nyumbani asili mskuma
@cosmasrobert2056
@cosmasrobert2056 3 жыл бұрын
kabisa kaka big up bro
@townsanyatrends
@townsanyatrends 3 жыл бұрын
Ringtone hii 🔥 🔥 🔥
@khadijashaban120
@khadijashaban120 2 жыл бұрын
MUNGU akuangazie akumpe maisha marefu
@khadijashaban120
@khadijashaban120 2 жыл бұрын
Kuluune kaza mwendo nazipata vizuri sana nyimbo zako niko Kenya mtoto wa KISUKUMA 🧕🧕
@ngwanakangwa
@ngwanakangwa 2 жыл бұрын
@@khadijashaban120 asante sana sister
@btcafricarecordsstudio5639
@btcafricarecordsstudio5639 3 жыл бұрын
Kaka pamoja sana
@leahelias3924
@leahelias3924 3 жыл бұрын
Temi omabala hangamaga nyanda💪
@kakolaonlinetv7272
@kakolaonlinetv7272 3 жыл бұрын
Ujumbe mzuli mtemi wamabala
@leonardemmanuel4353
@leonardemmanuel4353 3 жыл бұрын
Ntemi omabala hangama nyanda
@ngwanakangwa
@ngwanakangwa 3 жыл бұрын
wabheja sana
@glapeaproduction8171
@glapeaproduction8171 3 жыл бұрын
Kazi nzuri,una melody nzuri sana
@RehemaKhamis-k8s
@RehemaKhamis-k8s Жыл бұрын
Sana huwanapika nasikiliza kabila letu
@rogetichuo4687
@rogetichuo4687 3 жыл бұрын
Thanks brother for your Advice NALEKANAGA NABHO
@RehemaKhamis-k8s
@RehemaKhamis-k8s Жыл бұрын
Hiyoiniknusha tabola simbo mwaknywa
@aguerowakujidai6509
@aguerowakujidai6509 3 жыл бұрын
Ngoma zote zako huwa Kali sana kuna ile ulokujaga namba sita kwa aloyce mbona hujaipandisha you tube mana nimetembea library zote za nzega na igunga hawana iyo ulomuimbia aloyce wa namba sita
@vailetmapolu6363
@vailetmapolu6363 2 жыл бұрын
Hongera sana kaka ntemi omabala kazi zuri sana
@khadijashaban120
@khadijashaban120 2 жыл бұрын
Naomba ushauri KULUUNE MTU utumamila lakini mwisho go mweji ulemaga ugunina ihela nitakiginehe mwana ujisukuma Kuluune mwana Kag'wa😭😭😭
@starngosha
@starngosha 2 жыл бұрын
Naomba namba tufanye kaz
@charlesmondo7278
@charlesmondo7278 2 жыл бұрын
Big up mno
@leonardemmanuel4353
@leonardemmanuel4353 3 жыл бұрын
Toka siku nilpoanza kuskia nyimbo yako harusi ya kishimba mwime, nimekuwa shabiki wa mziki wako 90%ya nyimbo cm yangu ni ntemi omabala nakukubali sana,, lakin nawezaje kupata nyimbo zako kupitia kwako binafsi
@boazkidamabi
@boazkidamabi 3 жыл бұрын
Binafsi hiyo nyimbo ndio ilifanya nianze kufuatilia nyimbo zake, kipindi hicho nikiwa Dj wa MCHONGO😂😂😂 2015 - 2018 Kipindi hicho kwenye Harusi kama hujapiga nyimbo zake huyu jamaa, Wananchi hawakuelewi🤣🤣🤣🤣
@masanjamagembe1771
@masanjamagembe1771 3 жыл бұрын
PAMOJA MWAMBA
@nelsonwilliam7578
@nelsonwilliam7578 3 жыл бұрын
Unatuheshimisha wasukuma ntemi Safi sana
@fabianerisha9762
@fabianerisha9762 3 жыл бұрын
Ntemi Kerri wwe nintem👏👏👏👏👏
@nellykasanda825
@nellykasanda825 2 жыл бұрын
Big up ntemi
@javenmoses897
@javenmoses897 3 жыл бұрын
Nyimbo nzur San 💪
@johnthomas3673
@johnthomas3673 3 жыл бұрын
My favourite traditional singer
@UnyamaMwingi-qw2so
@UnyamaMwingi-qw2so 9 ай бұрын
Sama mkali ❤
@softmedia6334
@softmedia6334 3 жыл бұрын
King🤴
@JacklinPaulo
@JacklinPaulo Жыл бұрын
ast.sis niwasukum hakik
@peterelisha5115
@peterelisha5115 3 жыл бұрын
Kitu Cha ukweli nimeipiga hapa kwang dar es wapangaji wenzangu wameniuliza mbona kama ally kiba😅😅
@mkorofitzchannel4447
@mkorofitzchannel4447 3 жыл бұрын
One respect
@magdalenadeusi760
@magdalenadeusi760 2 жыл бұрын
Mwanaka. Kamwa. Video
@mcmchokozi_1770
@mcmchokozi_1770 3 жыл бұрын
Mm binafisi NI Fun wako nampenda nyimbo zako Ila sijaelewa kwa Nini ilitumika bendera ya uganda Tena mwanzo kabsa mwa video hii,,
@peterelisha5115
@peterelisha5115 3 жыл бұрын
ile ni rasta culture sio bendera ya nchi
@salomeandrew4148
@salomeandrew4148 3 жыл бұрын
Amazing
@Pratnumzsimba
@Pratnumzsimba 3 жыл бұрын
🌈🔥
@cherishjoseph4687
@cherishjoseph4687 3 жыл бұрын
My Favourite song 🎵 ❤
@khadijashaban120
@khadijashaban120 2 жыл бұрын
Ameeen 🙏🧕
@digitalhealth545
@digitalhealth545 3 жыл бұрын
很棒的,很好听,也很好看
@ngwanakangwa
@ngwanakangwa 3 жыл бұрын
Asante sana
@ngwanakangwa
@ngwanakangwa 3 жыл бұрын
Asante
@JohnJames-wn9er
@JohnJames-wn9er 2 жыл бұрын
Kisima
@veronicamasanja9809
@veronicamasanja9809 2 жыл бұрын
Kaz zako nzur sana lkn punguza kiswahili huu ni mziki was asili ni mtazamo wangu
@vagashappnecy4850
@vagashappnecy4850 3 жыл бұрын
Mdogo wangu tuwekee hizi nyimbo zako TikTok ili wasukuma tujidai nazo huko naimani kupitia tiktok utaupaisha zaidi mziki wa asili yetu. Yote kwa yote najivunia sana wewe
@ngoshaog1255
@ngoshaog1255 3 жыл бұрын
🔥🔥🔥
@btmafricaentertainment
@btmafricaentertainment 3 жыл бұрын
💣💣💣🔥🔥🔥🔥💥💥💥
@PanadolOfficial.
@PanadolOfficial. 2 жыл бұрын
Ntemi 🙏
@makambamussa5209
@makambamussa5209 3 жыл бұрын
Asante sana
@vagashappnecy4850
@vagashappnecy4850 3 жыл бұрын
Wacha Kesho niji TikTok
@nasrahassan7346
@nasrahassan7346 3 жыл бұрын
Nice song
@neemaisack7527
@neemaisack7527 2 жыл бұрын
Xaf xana
@nevermgawe2802
@nevermgawe2802 2 жыл бұрын
👊👊👊🍷
@KALIMBULA
@KALIMBULA 3 жыл бұрын
Saf
@songeboytz5016
@songeboytz5016 3 жыл бұрын
🇹🇿💥💥💥💥💥
@merryalone3618
@merryalone3618 2 жыл бұрын
💯
@mcmchokozi_1770
@mcmchokozi_1770 3 жыл бұрын
Mm binafisi NI Fun wako nampenda nyimbo zako Ila sijaelewa kwa Nini ilitumika bendera ya uganda Tena mwanzo kabsa mwa video hii,,
@JacklinPaulo
@JacklinPaulo Жыл бұрын
ast.sis niwasukum hakik
@esterester5490
@esterester5490 3 жыл бұрын
Amazing
@JacklinPaulo
@JacklinPaulo Жыл бұрын
ast.sis niwasukum hakik
Ng'wana Kang'wa _ Welelo (Official Video HD.)
7:22
Ng'wana Kang'wa
Рет қаралды 132 М.
Ng'wana Kang'wa - Merina Official Video 2023.
10:39
Ng'wana Kang'wa
Рет қаралды 61 М.
BORRELL:EU WAACHE UNAFIKI WAKUTOMSHIKILIA NETANYAHU KAMA ICC INAVYOTAKA
4:37
Christopher Mwahangila  - Uwe Nguzo (Official Music Video) SKIZA CODE *860*413#
5:43
CHRISTOPHER MWAHANGILA Official
Рет қаралды 19 МЛН
NG'WANA  ISHUDU ==  KUMBUKUMBU  Passmedia studio 0766644450 06               by passm
10:26
KISHINDO CHA WAKOMA (OFFICIAL VIDEO) - NJIRO SDA CHOIR
6:32
Njiro SDA Church
Рет қаралды 16 МЛН
Omkaya Eliza Ft. Ng'wana Kang'wa -  Ngosha Ke (Official Music Video)
5:47
Elizabeth Maliganya
Рет қаралды 13 М.
BEATRICE MWAIPAJA - DHAHABU (Official Music Video)
7:35
Beatrice Mwaipaja
Рет қаралды 7 МЛН
Ng'wana Kang'wa - Stanslaus Official Video.
13:09
BTM AFRICA BRAND
Рет қаралды 10 М.
Ng'wana Kang'wa _ Harusi ya Ngolo Official Video
14:01
Ng'wana Kang'wa
Рет қаралды 455 М.
Ng'wana Kang'wa _ Pilika pilika Official Video.
11:13
Ng'wana Kang'wa
Рет қаралды 192 М.