Who is here in 2024? Tunang'ara kama dhahabu kweli...
@faithnasimiyu7455Ай бұрын
🙏🙏🙏🙌
@SuzyMukhawanaАй бұрын
🙋mm n dahabu pia🥰👏🥰
@suleimanbalemba3348Ай бұрын
Aliekuja kutazama hii video baada ya kusikia ushuhuda wa Beatrice alivokuwa anamtumikia Devil weka like tujuane 17,12,2024
@SixTechlmtАй бұрын
Tupo hapa ❤
@subiralwesya2782Ай бұрын
❤
@nelianhmwajombe4464Ай бұрын
Kumbe tupo weng tumuombe sana mungu atulinde
@tugemwakilewa1298Ай бұрын
Kwa kweli ilikuwa simfahamu bali huu wimbo nilikuwa nausikiaga tu, kumbe nimuimbaji mzuri hivyo loooh! Mungu amuinue zaidi.
@SharoEmmanuel-n4fАй бұрын
Niko hapa 😂😂😂
@SarafinaNyamvulaАй бұрын
Kama unaona ushuhuda ulio hai hapa kwa hizi siku mbili zimepita..weka like yako please wapenzi wa Beatrice ❤❤❤
@cintracitiАй бұрын
Dada nimeitazana video ya wimbo wako December 2024,na umeniaminisha kuwa wewe ni dhahabu kupitia ushuhuda uliotoa wakati unahitimu.Nakutabiria kama mtumishi wa Mungu kwamba utapokea vikubwa kuliko unavyoitaji.Ukihisi una simanzi rudi kwenye biblia kisha usome Waefeso 3:20,na ubarikiwe❤❤❤❤❤
@mosesmuthuri96292 ай бұрын
Wenye tumerudi kuskiza huu wimbo 2025 rusheni mikono juu niwaone❤❤
@CynthiahKerubo-u3rАй бұрын
Am here dear after kutoka kwa testimony
@BrendaOluochАй бұрын
Ushafika 2025 na ndo mm niko December 2024 tarehe 17
@OmanOman-xs2hbАй бұрын
Mm pia nipo December 17 hasa cjui mwenzetu kafikaje huko 2025 😅😅😅😅@@BrendaOluoch
@DianaMarugujoАй бұрын
Mwenzetu una haraka ushafika 2025 mm ndo kwanzaaa Niko 2024
@jacksonmalima6076Ай бұрын
𝐡𝐮𝐤𝐨 𝐤𝐰𝐞𝐧𝐮 𝐦𝐬𝐡𝐚𝐟𝐢𝐤𝐚 2025!! 𝐬𝐢𝐬𝐢 𝐛𝐚𝐝𝐨 𝐭𝐮𝐩𝐨 2024😊😊😊
@AlexRichad9 ай бұрын
Kujeni mnaoamini kesho yetu iko mikonono mwa mungu please leke
@MonicahAnyanzwa-cz5fk Жыл бұрын
I love this song, congratulations,,, nani ananisaidia kusikiza 2023
@shunilcareytvАй бұрын
Hata sikujua ni wewe uliimba hii❤❤na vile naupenda huu wimbo❤
@maureensirengo1010Ай бұрын
Ngaa Kama dhahamu lady 2025 is your year❤❤❤
@Dorcaskiwale-ir6ec15 күн бұрын
Asantee Yesu huu wimbo naupenda sana kuna maali nilipita duuh ❤❤❤ leo mimi nangara kama dhahabu❤❤❤
@charltinob10 ай бұрын
......hatma ya mtu iko mikononi mwa Mungu kweli.....kumbe unaweza pitia leo hiyo ni heshima kwa Mungu.......mimi mimi ni dhahabu x4....shukrani kwa wimbo huu mzuri sana.
@SuzySaimonАй бұрын
❤❤❤❤Amina 🙏 🙏🙏🙏
@shakilaAqram4 ай бұрын
Nimekuja kushuhudia 2024 mimi niliedharauliwa miezi 3 nyuma nimeanza kuwaka upyaaaaaaaaa Mungu amekua mwema sanaa haleluyaaaaaaaaaaa 2024 mko wapi
@christinamzava852Ай бұрын
Kama umeangalia hii video halafu machozi yamekutoka kama Mimi gonga like kama na wewe unampenda mama ni jembe Lako na huna cha kumlipa.
@revkomutv753326 күн бұрын
Kali sana
@okwirikolanda91404 жыл бұрын
Nimebarikiwa sana Dada,watching from Kenya, Kenyans don't pass without likes..
@anniphernyaboke91623 жыл бұрын
Be blessed mum.these song has changed my attitude for the rest of my life .Amen
@danielkisaka75443 жыл бұрын
God the creator have mercy to your children
@lorineauma95892 жыл бұрын
Yes
@mussaopaulo63902 жыл бұрын
bzmcm
@mussaopaulo63902 жыл бұрын
Most
@VictoriaBalisidya-k9v28 күн бұрын
Nimempenda sana Mungu ni mwema atakuwezesha na utafika mbal usimuacbe mama na endelea kumtumikia Mungu wa kwel unaye mwamin ata kutetea achana na Goliat Martha mpaka sasa ameanguka nahuyo sodoma wake na gomola
@milkahmwangi56115 жыл бұрын
Nani Anakubali Yeye Ni Dhahabu Na Atangaa Hivi Karibu🙋🙋 Hatima Yako Iko Mikononi Mwa Mungu"
@mercymuranga48615 жыл бұрын
Pamoja mm no dhahabu
@flavamigwi39185 жыл бұрын
Mimi
@claireesideji47505 жыл бұрын
Mimi hapa
@beatriceamisi41964 жыл бұрын
najiamini mm ni zahabu
@aliciahstrongwoman854 жыл бұрын
Kesho ya mtu iko mikononi mwa mungu uuuuu
@ngoteudidas97455 жыл бұрын
Jaman niliacha secondary mwaka 2015 nikatafutiwa kazi dar ila had sahz natoka kubeba sement kwanzia mchana had sahz ndio nalala ila namshukuru mung najua fungu lang lipo(dhahabu) yang asante yesu
@lookbabes87103 жыл бұрын
Don't worry God will change your situation stay blessed
@ShedrackMwanyanje2 ай бұрын
Unatamani kubadilisha kazi
@MargaretWanjeri-v8d7 ай бұрын
2024 tupo ...huu wimbo n wetu❤
@MaureenOdhiambo-h9u9 ай бұрын
Nimefikiwa 2024 nangara kama dhahabu
@megmeg2628Ай бұрын
her testimony brought me here God is faithful
@mentndebeto3817Ай бұрын
NIMERUDII KBC.....KUANGALIA NYIMBO DAAH BETRECE WAANGU NAKUPENDA❤
@lydiashisia21695 жыл бұрын
" usidharau leo ya mtu, hujui kesho yake.Hatima ya mtu iko mikononi mwa Mungu. Dada Beatrice mwaipaja uzidi kubarikiwa na kuinuliwa kwa kunitia moyo.
@gelardbalalu9119Ай бұрын
Sakata la dadaake limetuludusha huku
@kennedyone87526 ай бұрын
Kama unaamini pia wewe utangaa wapi like yako
@asumuoliver85724 жыл бұрын
Nani anaamini atang'aa kama dhahabu mwaka huu? Onyezha Kwa like
@izostar4863 жыл бұрын
Amen
@janethmakoye64643 жыл бұрын
Amina
@winifridadaniel47582 жыл бұрын
@@janethmakoye6464 K
@lovelyloice14512 жыл бұрын
Amen 🙏
@rosewanjiru86958 ай бұрын
Amina🙏🏾
@Njoora8 Жыл бұрын
This song played on the road 1st week of my new job in Nairobi.With nice allowances,I realized how God has transformed my life.Always keep hopeful of a better day to come,allow yourself to go thru furnace just like gold making process." Mimi mimi ni dhahabu ..."
@patiencerehema9050 Жыл бұрын
Mimi ni dhahabu
@hopenrejoice99453 жыл бұрын
I'm here Glorifying Jesus .... despite wat I'm passing thru September doctor report says I'm HIV positive..I'm trusting God who changed water into wine in cana in Galilee...he can change positive to negative in Jesus name...I gat herpes very painful nd I healed.... now I know one thing mimi ni Dhabi napita kwenye moto...naamini huyu yesu simwachi hataaa no arv my arvs is God's word n claiming nnd meditating that soon I'll be ohk
@deasonmgaya2974 Жыл бұрын
😅😊😊😊😊
@hopenrejoice9945 Жыл бұрын
@maryndunge3203 no I have never ....nd it's 3 yrs now.....there's God
@stephengodiah1925 Жыл бұрын
With God everything is possible 🙏🙏🙏
@rensonkamulo6324Ай бұрын
Ushuhuda wako umenifanya nikupende Na kucheza nymbo zako Na kukufuatilia kutoka jijini Nairobi Kenya
@huskhalyomary4873 жыл бұрын
Mimi ni Dhahabu In Shaa Allah Kesho Yangu haitakuwa kama Jana 🤲
@Samiafficial3942Ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤Mungu akubariki mpenzi from Rwanda❤❤❤❤
@maikovineventscompany11806 жыл бұрын
Dah...nakumbuka ndo kipindi kile nalala njee kariako sokoni. Leo Hii naitwa boss. Mungu ni mwema kwa kweli.....
@anneemmanuel73636 жыл бұрын
Mungu ni Mwema Maikovin Company
@adijakayaro37196 жыл бұрын
Wooooow
@allyanyingisye98116 жыл бұрын
ubarikiwe sana matumizi wa mungu
@tumainkalisatumainkalisa29456 жыл бұрын
Mungu amtupi mja wake!! Kira jaribu lina mrango Wa kipitia
@mwanaidyakubu40916 жыл бұрын
Dah! nakumbuka mapito niliyoyapitia siku za nyuma sasa namtukiza mingu. suzy.
@erickouma6 жыл бұрын
wimbo umesheheni vitu vyote, msg,music, vocal. barikiwa mdogo wangu
@pantamagonga91325 жыл бұрын
Kwakwwli uyu dada ametugusa wengi mungu wangu natan at a Julia nilikotoka ,kweli kabisa kesho yako aijuwa mungu
Beatrice Mwaipaja ThankYU for blessing me, i got this song on replay..if you just love this song press like👍🏻
@annastephen97884 жыл бұрын
Ama kwa usiizarau leo yamtu Mana ujui kesho yake ameen
@danntaker69274 жыл бұрын
Indeed Yale nmeota yana kisababu . God knows
@maryali39632 жыл бұрын
Wow nice song
@MercyMoraa-ij3uu28 күн бұрын
Nami n dhahabu 2025 n mwaka wangu wa kungaa
@davidmutua49983 жыл бұрын
Congratulations, content joh
@dennisbundu62295 жыл бұрын
Yenyewe mm ni dhahabu baada kuteseka Kwa miaka now am a millionaire ,ya mungu ni mengi
@diversity25454 жыл бұрын
Si unigawie million kadhaa
@susanmoraa34674 жыл бұрын
Yatanitendekea nami😭😭
@hopenrejoice99453 жыл бұрын
ya.mungu.ni mengi Amen Mimi nijionea na.macho yangu aki sometimes nakaaga hivi nalia tu mungu amentoa mbali
@fettyabubakari81025 жыл бұрын
ila walichokosea hao walijua jana awaikujua kesho yangu barikiwa wimbo mzuri😘😘😘
@hatamimnimempendabulejaman15965 жыл бұрын
Nyimbo nzur umependeza
@bettymhagama16544 жыл бұрын
Yaaa ni kweli kabisaa ety
@barikimkongwa370Ай бұрын
❤❤❤❤❤❤
@Roselyne-o5y5 жыл бұрын
July 2019 jamani nani anasikiza huu wimbo na mimi,Hawakujua leo yangu,Hatima ya mtu I mikononi mwa Mungu🙏🙏
@jonathanmtm31595 жыл бұрын
Wooooow!! Kweli Mungu akikuinua lazima ung'are kama dhahabu. Barikiwa sana Dada na uzidi kung'ara zaidi kwenye huduma yako. Kenya tuko ndani ndani kabisa. Wapi likes za Beatrice?
@jonathanmtm31595 жыл бұрын
Kweli kabisa Dada. Together with you in August 2019
@gastolyimo6175 жыл бұрын
@@jonathanmtm3159 z, llzlzse por eowrjwqô\\aiaaaa
@lydiakemuntookindo39304 жыл бұрын
Huyu kaenda wapi
@lydiakemuntookindo39304 жыл бұрын
Amen dada marthar nawapenda sanaaa mungu azidi kuwainua Amen🙏🙏🙏
@asumuoliver85724 жыл бұрын
Leo lazima tung'are
@mrprideofficial28792 жыл бұрын
such an inpiratonal sound mimi ni dhahabu.....usipite bila like jamani like jamani
@dayanamichael94276 жыл бұрын
Nakupenda kwasababu unaimba vizuri unavaa mavazi ya heshima💕💕💕💖💞💪love you #foreverqueen
@jameswachaya44086 жыл бұрын
Kwa hakika mimi ni zahabu wacha ningare Mungu amenikumbuka
@daxxfelloh16546 жыл бұрын
Hakika Mimi ni dhahabu
@sophiadenis67386 жыл бұрын
Safi sana jaman nakumbuk mbali cn
@mukarerealiana69945 жыл бұрын
amen ubalikiwe mtu Wa mungu mungu akuongoze nimebalikia na nyimbo zako
@zipililanimbewe97315 жыл бұрын
Yeah she as good voice
@evawandera94785 жыл бұрын
Huu wimbo ni maisha yangu. God bless you Beatrice. Asante kwa video ya swagg ya kutosha. Aleleleeeeeee♨️.. Amen!
@annangonyani70684 жыл бұрын
Asante mungu
@beatricentanga54444 жыл бұрын
@@annangonyani7068 asante mimi ni dhahabu
@nurudanford70685 жыл бұрын
Kesho ya mtuu ni siri ya mungu 🙏🙏
@markmutiso7273 Жыл бұрын
Kwli Mimi ni Dhabu ,2022 I was rejected by my wife and his family because I lost my job lakini mungu nimwema now 2023 am boss🙏🙏
@marrydavid8995Ай бұрын
Aise mama ni mtamu bana 😍😍❤️dada bite mtunze sana mama yaani hakikisha tabasamu lake haliishi usoni... Utabarikiwa mpka ushangae
@luciewajesus7315 жыл бұрын
dislike inaendea wenye wivu na haters, gonga like hapa kwa kazi nzuri❤️
@joskyshams47584 жыл бұрын
Dislike ni mawe sisi ni dhahabu
@bahatinyamhonga48545 жыл бұрын
Nimebalikiwa sana gonga like kama umebalikiwa
@lucasmusa8795 жыл бұрын
Amen!!
@evalineemmanuel81784 жыл бұрын
mungu azd kukuinua viwango vingine bitric
@janekithuka52204 жыл бұрын
Hallelujah inuliwa zaidi
@sarafinafred5554 жыл бұрын
Amin
@winifridachristopher21983 жыл бұрын
Nimeipenda sana kusikia mm no dhaabu
@briankarzyofficial94493 жыл бұрын
So touching... Kenyans usually support talents. They will like this
@kstar9662 жыл бұрын
Mi ni dhahabu
@patrickngigimaina3 жыл бұрын
Kesho iko mikononi mwa mungu
@worshiplibrary71572 жыл бұрын
I was a Buddhist and I became a Christian last year. This song is so good. It makes me feel blessed. At the moment, I cannot go to church because my family is not happy about it. I believe that God LOVES me though. Please pray about it
@marynakutwa2772 жыл бұрын
God your love is amazing your grace is amazing you do mavelous things in our lives.
@bleehmuziqi9848 Жыл бұрын
Amen and he's gonna see you through
@rehemacharles36276 жыл бұрын
Wimbo mzuri sana umenigusa sana nilpo fukuza na ndugu zang lakini leo nang'ara kama dhahabu Mungu akubariki sana dada
@aisharambo78196 жыл бұрын
Nakupenda sana mtumishi wa mungu
@herickahenelly56665 жыл бұрын
Mungu mkubwa
@JOHNJMUSSA5 жыл бұрын
Rehema Charles
@agnesmrefu45585 жыл бұрын
Wewe zidisha upendo kwao mungu aendelee kukung'arisha zaidi
@beatricenyibinya31543 жыл бұрын
Mimi ni dhahabu asante Mungu
@SnaiderKhavayi-kf1gu3 ай бұрын
Acha ning'are kama dhahabu coz Mimi n dhahabu 🥰
@josephngunjiri44043 жыл бұрын
Mungu amenitoa mbali Leo nang'aa kama dhahabu
@sharonke74424 жыл бұрын
2020:08:06 who is here? Dharau Mbaya sana tupendaneni na hii iwaendee binamu zangu make wanazarau sana.
@bihizaclement98686 жыл бұрын
Wimbo umenigusa istoria ya maisha yangu kweki usizararau kesho ya mtu bihiza nang'ara kama zahabu Asante dada nakupenda Mungu akubariki
@mcjogopah85136 жыл бұрын
Amen mimi nidhahabu
@wiliammbina85536 жыл бұрын
Hogera sana Dada wimbo wako wa ghahabu uleta raha na matumain mungu akubariki sana tena sanaaaaa
@philipmwendwa53226 жыл бұрын
Apostle Thomas,it is true hakuna ajuae kesho yangu
@radhackiwahabu74006 жыл бұрын
Mboso video
@peterondieki47306 жыл бұрын
The song touch myself
@jameskilonzo23224 жыл бұрын
Natamani hata Mimi nyimbo zangu zikumbalike ili unabii usonge mbele. Nipigie likes Kama unaamini hivyo
@harrietsutta2568Ай бұрын
Kazania kipaji hiki na kazi zako umsaidie mama yako hutafanikiwa kwa kumchafua dada yako. Simama wewe kama wewe kumbuka neno lako litaaminika katika jamii. Wewe ni muimbaji mzuri sana jipambanie
@jamundakiboko564Ай бұрын
Toa nyimbo nyingine Beatrice,ubaya ubwela...Mungu akubariki
@peninnahwanza63043 жыл бұрын
Nyimbo zako zinainua imani yangu Dada Beatrice,,,Mungu akubariki sana na azidi na kukuinua katika uimbaji wako kwa Jina la Yesu Kristo,,,,sitosheki na kusikiza nyimbo zakooo...much love from Kenya hallelujah
@dorcasmbithe5075 Жыл бұрын
Nyimbo Zako zinainua mungu akubari
@febisachekenya94752 жыл бұрын
Nakupenda bure dada btrice nyimbo zako Zina nibariki sana .mng akupe Kila hitaji la moyo wako .akuzidishie hekima na maarifa zaidi na upendo
@perismurunga73194 жыл бұрын
I'll be dancing to this song on 11th December, my wedding dear. God bless you sister Beautrice
@noelanamkubalisanamchomvu37554 жыл бұрын
Hakika hatima yangu ipo mikononi mwa mungu mwaka huu hautaisha lazima nitang,ara kama dhahabu
@VeronicaMoyo-z3s6 ай бұрын
Nakupenda sana mama yangu mungu akure maisha marefu emen
@joskyshams47584 жыл бұрын
Kama wewe ni dhahabu na bado unataza huu wimbo 2020 gonga like 🥰
@joskyshams47583 жыл бұрын
@Yusuf Peyton don't reply shit on my post
@joskyshams47583 жыл бұрын
@Moshe Tommy you're another fool I have reported you guys you must behave
@kenyattachrizo33862 жыл бұрын
Amen
@khadijashaban1202 жыл бұрын
Like 🥰
@graceotanga1128 Жыл бұрын
Umenibariki na Huo wimbo dhahabu ubarikiwe
@deborahmoraa11622 жыл бұрын
And I will testify....this song is forever my testimony
@norahk6587 Жыл бұрын
Wakenya tulikosea wapi, yani ngoma zenye ni poa tunapenda ni za watz na nyarwanda, kenya wanagospel wako wapi
@juddiewandera2 жыл бұрын
Hallelujah huu wimbo hunibariki sana na zaidi hunifanya kumpenda Mungu wangu ambaye haangalii kama binadamu. Neema na ikazidi juu yako mtumishi
@Frankgamanuel28 күн бұрын
Bitrice huko na Sauti nzuri sana sana mbili hunacheza kihisia ni vyema sana Tatu Nyimbo yako ni nzuri sana Tena sana hila shida Hiko Moja tu ambayo nimeina but sio lazima kunifata Mimi hila Kuna msemo hunasema Dancer mzuri anajua wakati gani wa kutoka jukwaani hili watu waendelee kutamani haludi Tena Hata yesu Tunaona Sikuhaliofufuku nakuwaaga wanafunzi wake ndio mda ambao wanafunzi walimtaka zaidi Kwahio jitaidi kufanya nyimbo zako zisizidi dk 4 hila watu wazidi kupenda kuludia kusikiliza hujumbe wa Mungu Lakini hukifanya mpaka dk 5 au 6 hata kama hujumbe ni mzuri na nyimbo ni nzuri kutokana na hizo dakika 5 au 6 zitawaboa wasikilizaji wako. Ahsante Mungu azidi kukutia nguvu na moyo wa huvumilivu na Upendo.
@luizchris2548 Жыл бұрын
Mimi ni dhahabu ady wa leo na shukuru mungu kwa hawa yote❤❤❤❤
@gracemsenya31185 жыл бұрын
wimbo mzuri sana kuna watu wanafikiri wao ndo mungu kumbe hatima ya mtu iko mikono mwa mungu
@hellenmwihaki33234 жыл бұрын
I can't stop watching this so touching 😭 and amazing..I was once in that situation bt now I'm glittering through God's love..Be Blessed Beatrice 🙏❣️
@catherinemwake89483 жыл бұрын
Wooow nmefurahishwa na mssg yako hata mm Leo hii ninapitia magumu but mm n dhahabu nitang'ara in Jesus name
@byamungusylivester65002 жыл бұрын
Nami pia
@anetzaitun1412 жыл бұрын
Wow I like this song
@sevcomonline6245 жыл бұрын
Ubarikiwe kwa wimbo wako mzuri, Hakika unatoa ujumbe mzuri kwa jamii inayotuzunguka, mungu akutangulie ktk kipaji chako cha uimbaji.
@aviosilona31628 күн бұрын
27th December 2024.......yeyote amepitia kipindi kigumu huu mwaka Mungu akufungulie madirisha na milango ya mbinguni baraka iwe tele na tele machozi uliyolia gizani Mungu ayajibu hadharani Mungu aregeshe upendo kwa hii familia Kutoka 🇰🇪 🇰🇪 tumebarikiwa
@revkomutv753326 күн бұрын
The testimony made me cry....will go back to mom and say sorry....gonga likes
@tomaskisase85434 жыл бұрын
Kweli hatima ya mtu ipo mikononi mwa mungu😭😭😭😭😭😭 Nimekumbuka mbali Sana
@abilitypeta Жыл бұрын
I love the way she story tells,teaches, advises & entertains all in one song,in all her songs.. hilarious that part of Noah & people outside the ark 😂😂.....God keep blessing you.
@jacquelinembanda6 жыл бұрын
Mimi ni dhahabu Haleluyah
@MarthaIrene-b2v26 күн бұрын
Tunamupenda sana ,sababu amevumiliana na mama yake nakumuonesha upendo,dada yake akizidi kushupaza shingo atashushwa na Muñgu na mloko yake anakwenda kuinuliwa.sababu neno la Mungu linasemà ana washusha wenye kiburi na anawainua wanyenyekevu,Mungu akubebe mbele akuinue kabisa
@MamaZyprianАй бұрын
Waaaah kumbe ni huyu na atajui kama ni sister wake we love you 🥰🥰🥰🥰
@edinalihedule34215 жыл бұрын
MUNGU ANAJUWA ALICHOWEKA NDANI YAKO😍😍😍Mungu azidi kukutunza.Mimi ni dhahabu🙌🙌🙌🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@gervillepalvin23364 жыл бұрын
Can’t believe I had never saw such a powerful song... thanks sister and be blessed to give us more hits every week in Lord’s name... amen
@OburuOyaroRibambo4 жыл бұрын
Kweli Mimi ni dhahabu,,,,wapi likes za 2021
@flaviakawishe73403 жыл бұрын
Mimi ni Dhahabu
@kerrycarolofficial3 жыл бұрын
Mimi Ni dhahabu.bwana ananiandaa Kuna siku natokea .
@JofreyDamson-nm6ec8 ай бұрын
Wimbo umenibariki sana hongera dada kwawimbo mzuri
@samwelisayi34696 жыл бұрын
Nakukubali sana mtumishi wa mungu na mungu azndi kukubark uedelee na msimamo wako huohuo dada yangu. Najua hatma ya mtu ipo mikononi ya mungu ubarkiwe sana
@msigabeatrice2755 жыл бұрын
barikiwa wajina
@wairimumary76996 жыл бұрын
Nakumbuka wazazi Wang walipo aga dunia nilitesek kwa miaka NNE watu walitucheka kua ss mayatim namshukur mungu yy in muwez got thanx napeda huu wimb
@janetmueni4556 жыл бұрын
Awww who's here with me...Omg this is for mi.....namshukuru Leo hii nang'ara kama dhahabu 🙏🙏🙏
@EsnatiAsnatiАй бұрын
Naomba mungu uwe faraja kwa mama ako daima nakupenda
@kangethelewiskangethelewis14794 жыл бұрын
Mimi nangara kama dhahabu aliye maskini kesho ni tajiri baraka iko mikononi mwa mungu Alleluya.
@hilembrit20106 жыл бұрын
Amen. Ubarikiwe dada. umenena ukweli mtupu
@josephchami49285 жыл бұрын
Hellen Onchari shakti
@maureenmumu70428 ай бұрын
Tunang'ara kama dhahabu 27/5/2024🎉🎉🎉❤❤❤
@Ruthmueni-w1g4 ай бұрын
Na lazima tuta ngaa 14 sep 2024
@emygodfrey9656 жыл бұрын
Ameen barikiwa San Dada kwa nyimbo nzuri
@barakasaid21132 жыл бұрын
Daah nikikumbuka niliambiwa niteseke mungu si binadamu mabaya yao mungu aliyageuza kuyafanya mema kwangu asante mungu🙏🙏🙏😭😭
@TanishaGatwiri Жыл бұрын
Huu Wimbo nikiuskia unatia moyo zaidi
@naomimshanga92076 жыл бұрын
Ujumbe mzuri sana MUNGU azidi kukubariki napeda ❤👏👏👏 amen
@geoffreytheprincemwimbaji93435 жыл бұрын
Kesho ni salama ... Kwetu zote tuliochekwa
@abigaelmwadime96332 жыл бұрын
I will testify... this song is forever my testimony
@paulina32814 жыл бұрын
Asantee mung ,,,mlipokosea kuijua jana yang hahahaaa
@young_brother27Ай бұрын
Kumbe ni wimbo wa bitris mwaipaja, huu wimbo noliujuaga zamani sana ila mwimbaji sikumjua