Kazi nzuri sana kutoka Kwa ng'wana kang'wa naisikiliza nikiwa bunju kinondoni Dar es salaam
@LucasPangarasi28 күн бұрын
Iringa imetufikia ong'wise ❤❤
@KhashimSalum-m3d28 күн бұрын
Nimeipata niwa zanzibar Allah akongoze
@kadegeasilitv-zt9bv28 күн бұрын
Nimefika na masikitiko.makubwa Sana ...napenda kusema nyimbo nzuri na video kali Ila hudhuni yangu ...msanii kaimba Kama hana furaha hivi ...na upande mwingine nyimbo haina historia ... Ndo tunafunga mwaka ....goddess Ntemi omabala 2025
@ISACKAKALIHADYA27 күн бұрын
Kigoma imetufikia kazi nzuri kaka
@ngwanantemiboysafi557628 күн бұрын
Mimi ndo namba moja kwa hii ngoma naomba like za kutosha kwaajili ya my brother ntemi omabala
@DeogratiusFabian21 күн бұрын
Hata mm nakuelewa sana mwamba ipo siku namm utakuja kufungua nymb yangu ili namm nikamilishe doto yangu ya ujenzi