Wimbo huu umenibaliki sana ujumbe mzuli sitahili ninzuli safi sana
@jesicmichael-7982 Жыл бұрын
Nkusoma vzur nikiwa kenya
@danngoso7462 жыл бұрын
Wimbo safi sana Ntemi......uko vizuri na tunashukuru....Daniel Mipango Kiongozi kutoka Nairobi Kenya.
@ngwanakangwa2 жыл бұрын
Pamoja sana mzee Kutoka Kenya
@OthumaniOmaryMohammad Жыл бұрын
ndío kaka nakukubari
@JoycejohnKabanga9 ай бұрын
Mungu akusimamie uendelee kufikilia Zaidi akuepuxhe nawenye roho zakorosho🙏❤
@ngwanakangwa9 ай бұрын
Amen🙏🙏
@jumamaganga54802 жыл бұрын
Ntemi omabala unasikika vyema kabisa mpaka Mtwarà
@magesaneema19032 жыл бұрын
Ng'wana kang'wa sina la kusema ila mungu akupe maisha marefu sana kaka
@jumakavula.896 Жыл бұрын
Big up sana brother, unajua kuimba.
@jumaduka28692 жыл бұрын
Kaka unafanya vizrsana nakukubar 🎹🎻🎤🎤🎤🎤🎤
@gahanalugwisha37822 жыл бұрын
Ntemi omabala napenda sana mzee nyimbo zako nisalimie mdogo wako
@abelbufumbe7902 жыл бұрын
Watching from comoros 🇰🇲 in now ntemi omabala congratulations for your am enjoying
@ngwanakangwa2 жыл бұрын
Thanks a lot!!!
@nasseralhabsi41212 жыл бұрын
Napenda sana nyimbo zako kaka ila nikuwa sikujuw jina unalotumia KZbin nimekutafuta muda mrefu hatame leo nimekupata 🥰
@SadikiMatula3 ай бұрын
Wewe ni jemedari mwaveja sana
@jukwaalafikra39142 жыл бұрын
Njoo Zanzibar brother ufanye shoo
@marysukili72162 жыл бұрын
Nyimbo tamu haichoshi ,Big up nyanda ndododo
@ngoshaog12552 жыл бұрын
Hakika ndugu unajua kuimba mwenyez Mungu akupe maisha malefu, nakupata nikiwa Zanzibar 🔥🔥🔥
@ngwanakangwa2 жыл бұрын
Pamoja sana Ngosha og1!
@paschalenos72352 жыл бұрын
Ntemi mwezi wa7 mwaka huu itabid nikutafute uniimbie kwenye halusi yangu napenda sana nyimbo zako Yan ukiangalia frashi yangu umejaa wewe2
@dicksonmaganga21702 жыл бұрын
Imba baba BTM nipo nyuma yako
@salujohn76792 жыл бұрын
Kazi nzur Kaka yangu uko vizuri Mungu akuongezee
@lameckbashite53382 жыл бұрын
Hamamilemo ntemi wa mabala ,mungu akhosimalie ntemi !!!
@mataizytembo47802 жыл бұрын
Waimbe wasukuma wote mwanakangw'a ndo mwisho wa maneno! Sauti nzuri uimbaji mzuri mashairi mazuri big up Sana brother Alima's ya kisukuma hiyo
@samwelimayalla8364 Жыл бұрын
mm.unakumbushwa m
@samwelimayalla8364 Жыл бұрын
2m
@samwelimayalla8364 Жыл бұрын
.aa
@samwelimayalla8364 Жыл бұрын
?
@samwelimayalla8364 Жыл бұрын
.
@JoshuaJoachim-oq4fy Жыл бұрын
Nawa penda sana wa sukuma😅😅😅😅😅😅😅😅🎉❤
@reginampigachai85372 жыл бұрын
Nice kaka wimbo huu umenigusa sana natamani siku moja uniimbie kwenye harusi yangu .jina langu jamani naitwa regina degratius mpigachai 💪💪💪💪🥰🥰🥰
@ngwanakangwa2 жыл бұрын
Sawasawa dada, karibu tufanye kaz
@reginampigachai85372 жыл бұрын
Usijali pamoja sana acha nikamilishe mambo mengine kwanza ,Nina Imani siku moja tutakutana kwa uwezo wa mwenyezi mungu🙏🙏🙏🙏
@willyvannycomedy46252 жыл бұрын
Ile ngoma uliyemwimbia diwani w ema chelehana mbn sijaiona umeiandikaje
@sidashindaitv98442 жыл бұрын
Kaz nzur broo
@SadikiMatula3 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤goood
@josephkafumu30062 жыл бұрын
Ntemi wa mabala tumamaga ulisiza sana
@mipandakali82362 жыл бұрын
🔥🔥🔥 kazi mbele🤴
@patricklyeta64202 жыл бұрын
Justin bieber wa usukumani
@alexdaniel31882 жыл бұрын
Jamaa unaniachaga bila MB kila nikiingia kwenye Account yako nyimbo zako 🔥🔥🔥🔥
@elcyvaal53742 жыл бұрын
What a nice song !si uiimbe Kwa kiswahili nielewe hope hii itajimarket
@ngwanakangwa2 жыл бұрын
Well ntaanza kukuwekea lyrics and subtitles soon
@elcyvaal53742 жыл бұрын
@@ngwanakangwa nmeidownload lakini sielewi chochote
@jukwaalafikra39142 жыл бұрын
You are great brother, i am your fan from Ndala, now in Zanzibar
@venancetheonest45582 жыл бұрын
Makin sana
@rogetichuo46872 жыл бұрын
Nice brother ake reading for you forever
@ngwanakangwa2 жыл бұрын
Together bro🤝
@reginampigachai85372 жыл бұрын
Kazi nzuri I'm at USA lakini nyimbo zako sikoswagi kabisa kusikiliza yaani nakumbuka kwetu usukumani
@ngwanakangwa2 жыл бұрын
Welcome back home my sister nyumbani kumenoga😆😆
@reginampigachai85372 жыл бұрын
Nitarudi Niko kimasomo kwa Sasa kaka angu mda sio mrefu nitarudi nyumban nimemisi asili yangu.
@ZawadiZawadiissa-jr1bd Жыл бұрын
Upo vzr kaka. Nataman one day uje dar es salaam upige shoo kwa mkapa
@Mkezeri2 жыл бұрын
No one can compete with you for now ntemi ombhala
@Mkezeri2 жыл бұрын
Niko kongo apa nasikilza na wasukuma wenzangu siku nikirud na mimi unitengenezee ngoma kali kabisa maana tunapambana na waasi huku roho zetu mungu tu anatulinda
@mohamedjiyabo49672 жыл бұрын
Mambo
@vickydan28692 жыл бұрын
Ntemi omabala pasua miamba
@WantikoMandela-qg1wo Жыл бұрын
Good
@JoycejohnKabanga9 ай бұрын
🎉
@rooneyasilitv79392 жыл бұрын
Big Up Sana
@athanasbisulu31382 жыл бұрын
Bado sijaona video ya wimbo wa ufunguzi wa madezi lounge
@amosmacompyuta10152 жыл бұрын
Vp Kaka Mimi nakufatiliaga kila Kona naomba ni Uploaded hii nyimbo
@ngwanakangwa2 жыл бұрын
Chanel yako itafungwa ukifanya hivyo kaka,cha kufanya share tu link ya huu wimbo kwa uwapendao pia wakumbushe Kusubscribe!!
@amosmacompyuta10152 жыл бұрын
@@ngwanakangwa ohoooo kaka ntemi omabala nakuomba ni sapoti Kaka yangu
@ngwanakangwa2 жыл бұрын
Support kwa Kushare sio ku reupload, asante!!
@ngwanakangwa2 жыл бұрын
Naona wew si muelewa ,bas sawa boss we mjanja!🙌🙌
@amosmacompyuta10152 жыл бұрын
@@ngwanakangwa hapana nilikuwa nimei Upload ngoja2 nifute toa hofu
@vickydan28692 жыл бұрын
Mabwana harusi watamu hasa mshenga na mabibi harusi wapo moto
Kwanini siku izi amtaki support naona nyimbo zenu siku izi mnauploud wao
@ngwanakangwa2 жыл бұрын
Ku-reupload ndio support?
@Kizito_shilinde2 жыл бұрын
Nakwanini tuki upload sisi nyimbo zenu mnafuta na wakat mwingne mmeshatufungia accont zetu mpaka sasa najilaumu mwenyewe hebu fanya uwasiliana nawao bora wazing'angazi video nilizokuwa ni mepakia bora wanizuie kuitumia akaunt iyo ila video zitazamwe
@Kizito_shilinde2 жыл бұрын
Poa
@gahanalugwisha37822 жыл бұрын
Ntemi omabala napenda sana mzee nyimbo zako nisalimie mdogo wako