Bahati Bugalama - Bhuhabhi |Official video

  Рет қаралды 319,059

Makula Studios

Makula Studios

Күн бұрын

Пікірлер: 216
@MagembeMakoye-g7m
@MagembeMakoye-g7m 20 күн бұрын
Kwa kweli bahati unajitahidi sana yaani ukisikiliza wimbo kwa umakini hadi kichwa ninachanganikiwa kabisaaa
@JumaLushihila
@JumaLushihila 3 күн бұрын
Kaka nakubali kaz zako zote hasa huu utalatbu wako wakutoa nyimbo mbili .kwasababu unaacha mda wa kutosha wakuusikiliza
@Limbu-nv7mz
@Limbu-nv7mz 7 ай бұрын
🕺💃🕺💃🕺..wabungarama kweli sm nimbaya kulingana naunavyotumia. Na commeñts nikiwa Bariadi kijjijini.
@tule_tv
@tule_tv 7 ай бұрын
Konde boy wa kisukuma ❤❤🎉🎉😢😢 Mungu najuwa kweli😢😢😢
@maginiziamuyamatumbo1716
@maginiziamuyamatumbo1716 5 ай бұрын
Watu wako makini na kazi yao big up Bahati kula 100%
@JamesJoseph-v3y
@JamesJoseph-v3y 18 күн бұрын
Kweli wew ndo malengo ya Kanda ya ziwa kisima Bado mda wake
@JumaHassani-q5o
@JumaHassani-q5o 7 ай бұрын
Umefanya kazi zuli sana nimezikubali hujawahi kufeli nakupa leki zako🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@jersonlukinda9410
@jersonlukinda9410 7 ай бұрын
Hongera sana brother, kazi yako ni nzuri.
@JosephGeorge-lv9qq
@JosephGeorge-lv9qq 7 ай бұрын
Hakika nazikubali sana ngoma zako bahati b;!!!!!
@Emma562
@Emma562 7 ай бұрын
Naludia kusema tena mungu abariki kazi yako Nhongole.
@ibrahss1174
@ibrahss1174 7 ай бұрын
🔥🔥🔥Malenga wa kanda ya ziwa
@limamanyanya3835
@limamanyanya3835 7 ай бұрын
Dah bonge la nyimbo Bahati bugalama the giant singer from sukuma tribe tunajivunia nakupata vizuri nikiwa pande za DARESSALAAM
@NeemaKulwa-z6k
@NeemaKulwa-z6k 16 күн бұрын
Nakutogwileno bahat😂i
@JOHNSONJACOB-yi5kq
@JOHNSONJACOB-yi5kq 7 ай бұрын
Upo vzr nimekuelewa 2po pamoja 🎉🎉🎉❤
@MasanjaSamweli-b3r
@MasanjaSamweli-b3r 7 ай бұрын
Ila tu ukweli bahat upi vzur sana kila upande na nzuri zaid madensa wako wana mishemishe sana kitu ambaccho kinanogesha sana upande wa mashabiki na watazamaji kwa ujumla . Hongera sana na tunakuombea udumu zaid kwenye game.
@Kisholongakisalya
@Kisholongakisalya 7 ай бұрын
Oy bahati mbna hajamtaja lovely dancer wangu Angel
@RichardGaspar-q5e
@RichardGaspar-q5e 3 ай бұрын
Mama sindono ninoma sana Aiss kalibu Buchosaa❤
@JosephRobert-oz4cz
@JosephRobert-oz4cz 7 ай бұрын
Nakubali kaka nimeerewa sana nyimbo iyo mm madaha salala mwanza mwankuba kaz zuri san pamoja kaka yang napeda san asil yetu❤❤❤❤😂😂🎉🎉
@IsackNgwiza
@IsackNgwiza 6 ай бұрын
Hongera xana kaka kwa kuzidi kuelimisha jamii❤
@KINUKAMUSSAKINUKA
@KINUKAMUSSAKINUKA 7 ай бұрын
Pongezi kwako my best ahsante kwa video yako pendwa kwa hakika lazma itaingiza Faida kwa wenye macompyuter.
@suleimanbuta3217
@suleimanbuta3217 7 ай бұрын
Nimekuelewa Brother Bahati
@patriceeliasspatriceeliass7424
@patriceeliasspatriceeliass7424 7 ай бұрын
😢hakika unafundisha jamii bwana mungu akuongezee fikila nyingu kila kukicha ngoma zako bana ni kali hakika simu duuuu yahalibu sana maisha ya watu kila pande ukiitumia vibaya kweli yaua
@YohanaMathias-g9j
@YohanaMathias-g9j 4 ай бұрын
Goma kama hili limenikumbusha kijijini🎉🎉🎉🎉
@MusaNyolobi
@MusaNyolobi 4 ай бұрын
🙏🙏Pamoja sana kaka kazi yako nzuri saana✍️
@maximiliankadawiibalaja2198
@maximiliankadawiibalaja2198 7 ай бұрын
Ujumbe mzuri sana aise Kongole Sana Kaka
@peterphilipo5555
@peterphilipo5555 7 ай бұрын
Kwanzia Sasa ww sio bahat Bali ni diamond wa kisukuma unaelimisha sana bahati hakika ww hakuna wakukufikia
@khamzalockymaster6008
@khamzalockymaster6008 7 ай бұрын
Tuko pamoja saaaaaana mambo ni 💥🔥💨
@DanielBarnabas-jz2xh
@DanielBarnabas-jz2xh 7 ай бұрын
Hakika unakosha sana bro mpe hai mtoto zuchu❤❤
@josekipara5165
@josekipara5165 7 ай бұрын
Nakukubali sana Bahati Bugalama... Nakupata nikiwa dodoma makao makuu .Nimemc sana showw zako huwaga ni kazi kweli kweli
@PhilipoJames-hx9ld
@PhilipoJames-hx9ld 7 ай бұрын
Kaka una jua sana kuhimba sisi wasukuma pamoja na wewe
@Joelchacha-ow2ce
@Joelchacha-ow2ce 7 ай бұрын
Nko NRB Kenya very nice dance
@yangajames8634
@yangajames8634 7 ай бұрын
Goma linatikisa hapa ROCK CITY afya radio🙌🙌
@JeniphaAlex
@JeniphaAlex 7 ай бұрын
Ata mm nimeenda nyimbo zako❤
@CostantineLaulent
@CostantineLaulent 6 ай бұрын
Aisee unamisamiat mizri sana ambayo inafundsha jamii Mungu akpe nin bas ukuzdshie maisha marefu ili uelmishe zaidi90%.
@zuleiah
@zuleiah 24 күн бұрын
8:38
@JumanneMashili
@JumanneMashili 6 ай бұрын
Hongela mwananzengo mwenzangu
@NgindoEmpire
@NgindoEmpire 7 ай бұрын
Bahati nakukubali sana kalibu moro
@FrenkLusabya
@FrenkLusabya 4 ай бұрын
Kijanaa ana talent.saf kbsaa
@nicholauslupimo2851
@nicholauslupimo2851 7 ай бұрын
Bahati wewe ni mkali wetu upo sawa
@WakudekaMuwao
@WakudekaMuwao 7 ай бұрын
Kaka ni kaka tyu mlijue Hilo wakudeka hapa
@NestoryIchimulyape
@NestoryIchimulyape 5 ай бұрын
Hongera sana bahati
@InocentYuga
@InocentYuga 2 ай бұрын
Huna mpinzani kaka , ww msanii wa kisukuma uliyebaki na asili ya kisukuma 🤴🏾
@e-studios8783
@e-studios8783 2 ай бұрын
Kichupa nimeipenda bro bugalama super sitaa
@peterdaud6917
@peterdaud6917 6 ай бұрын
Daahh amani.sana kaka
@zachariaLameck-zc8jq
@zachariaLameck-zc8jq 7 ай бұрын
Duuuuuuuu una balaa kaka
@AgatonyMayala
@AgatonyMayala 4 ай бұрын
Ngoma kali sana🎉
@marlopharle9199
@marlopharle9199 7 ай бұрын
nakupata sana mwamba wa nyimbo za asili tz
@ElibetElizabetmwandu
@ElibetElizabetmwandu 5 ай бұрын
Piga kazi kaka ❤❤❤❤❤
@MusaMahaza
@MusaMahaza 7 ай бұрын
Ckuping broo 👌 👌 🙏 🙏
@ZakayoSospeter-i2u
@ZakayoSospeter-i2u 6 ай бұрын
❤👍🇹🇿 huna mpinzani
@DottoNzumbi
@DottoNzumbi 7 ай бұрын
unafundisha wimbo lakn cio mtamu kama zigine ni kama hukupagilia mabeti unajikanyagakanyaga km unajifunza wakat we kongwe kabsa pagilia wimbo vzr
@PendoJames-pj5rb
@PendoJames-pj5rb 6 ай бұрын
Napenda nyimbo zako hatali
@FaustineKonasi
@FaustineKonasi 3 ай бұрын
Umbe mzuri sana
@YusufuMussa-p9p
@YusufuMussa-p9p Ай бұрын
safi san ❤
@RichardsElias-mu9dz
@RichardsElias-mu9dz 7 ай бұрын
Wakukaya nakuzunyaga❤❤❤
@PauloEnosi-jk1vb
@PauloEnosi-jk1vb 6 ай бұрын
kaka waga unanikosha sana piga kaz bro
@susanijonasani
@susanijonasani 2 ай бұрын
Hapo sawa kbs
@BarnabasBarnabas-n5i
@BarnabasBarnabas-n5i 5 ай бұрын
Uko sawa kaka huja fer b
@KingiKhani-lt1yp
@KingiKhani-lt1yp 6 ай бұрын
🎉ngoma nzur kaka
@stevenvictor437
@stevenvictor437 7 ай бұрын
Nyimbo mzuri sana, ila daaah Kuna maneno yanipita kutoka a na lugha inayotumika, ila safi sana kaza mwendo Yuko pamoja.🎉🎉🎉
@WitnessBundala
@WitnessBundala 4 ай бұрын
Mambo ni 🔥
@Paulodamiantumbo
@Paulodamiantumbo 7 ай бұрын
Nakukubali san kalib huk niko dar es salam kalib san mwamb
@Consolata.1
@Consolata.1 6 ай бұрын
Kabisaa 🎉🎉🎉
@JUMAJUMBE-ww7rd
@JUMAJUMBE-ww7rd 6 ай бұрын
Nimekuelewa dogo upo vzr
@DanielMussa-e8p
@DanielMussa-e8p 3 ай бұрын
Nakuelewaga San Mwamba kwass hamn mwingine
@DjzombiMusictz-sb1xk
@DjzombiMusictz-sb1xk 7 ай бұрын
Imeeeendaaaa
@LeonardDocta
@LeonardDocta 3 ай бұрын
High performance.
@JosephDaud-ee6ej
@JosephDaud-ee6ej 6 ай бұрын
Kaka endelea kuelimisha jamii
@busutisilu
@busutisilu 6 ай бұрын
Uko vzr kaka
@MayekaTheboss-sn8tr
@MayekaTheboss-sn8tr 7 ай бұрын
Kaz iko vizur saaana
@YohanaHamiss
@YohanaHamiss 7 ай бұрын
Nakukubali kaka
@EliaEmanuel-u7z
@EliaEmanuel-u7z 24 күн бұрын
Wewe bahati kulikoni mwaka umeisha nyimbo mbili tu kulikoni aise,,, mwaka 2025 jitahidi tunahitaji nyimbo za kutosha
@massanja221
@massanja221 11 күн бұрын
Bahati huyuhuyu atoe nyimbo zaidi ya mbili sijui labda bahati mwingine ila huyu tuliemzoea wa nyimbo mbili Kila mwaka Sina hakika
@NgasaSalum
@NgasaSalum 3 ай бұрын
Asawa kaka
@machiyajohnmbasa2746
@machiyajohnmbasa2746 7 ай бұрын
Yeah yeah🎉🎉❤
@GerardElias-rc2dc
@GerardElias-rc2dc 7 ай бұрын
Kweli bahati nakubari san
@KishoshaNgwanagamalu
@KishoshaNgwanagamalu 7 ай бұрын
Nimeipata and kuitendea hak mana nifundsho tosha.
@ZakayoSospeter-i2u
@ZakayoSospeter-i2u 6 ай бұрын
Hakika nikweli elimisha kaka jami ijitambue zaidi Niko daa lakini kama Niko Kanda ya ziwa nakupa vizur sana
@COSMASJAMES2
@COSMASJAMES2 4 ай бұрын
Nakazunyaga nyanda bhogalama
@patriceeliasspatriceeliass7424
@patriceeliasspatriceeliass7424 7 ай бұрын
kama ni mafundisho walimwengu tunaosikiliza hizi ngoma za bahati bugalama tujifunze sana tunaelimishwa juu ya matumizi ya simu na umasikini na tajili
@LameckAbel-qn1wd
@LameckAbel-qn1wd 7 ай бұрын
Pamabanaga sana nakuzunije san
@emmanueltabujohn4822
@emmanueltabujohn4822 7 ай бұрын
Good song brth
@W_Konk_Tm
@W_Konk_Tm 7 ай бұрын
Japo nilisahau kuacha comment zangu kwa hii mizigo ya kaka b bas zawad ❤👏❤👏👏❤👏👏👏w Konk tm dj anasema pamoko mkemia na b msanii🤛🤛
@MakulaStudios
@MakulaStudios 7 ай бұрын
💥💥
@eliaskasheku3407
@eliaskasheku3407 7 ай бұрын
Nakubar sana
@DaudKulwa-c7z
@DaudKulwa-c7z Ай бұрын
Baba fulaniiii tumepigwa happ
@massanja221
@massanja221 11 күн бұрын
Siku hizi sio baba Fulani tu unaitwa jina kabisa ng'wana Fulani mjini wameikimbia
@AndrewNkwande
@AndrewNkwande 7 ай бұрын
Kaz nzur
@Wamoyothenumberone
@Wamoyothenumberone 7 ай бұрын
Ebaba frani etesawa, angoubuswahili
@SAIGONEJOHNDALALNHEBA
@SAIGONEJOHNDALALNHEBA 3 ай бұрын
Siyo kuimba tu hizo beat unazo tumia wewe ni beat kali sana sizani kama kunamsanii mwingine anaezifikia hizi beat
@LameckAbel-qn1wd
@LameckAbel-qn1wd 7 ай бұрын
Atali san😮😮😮
@GerardElias-rc2dc
@GerardElias-rc2dc 7 ай бұрын
Nakupenda sana bahat
@Busanji-pc9zi
@Busanji-pc9zi 5 ай бұрын
Twende. Hivohivo tu wewe ukifaulu kwako shukuru
@zagalazabuinge3893
@zagalazabuinge3893 7 ай бұрын
Habari ya mjini 2024
@jamesngowi-xz6ox
@jamesngowi-xz6ox 7 ай бұрын
Ngosha boy😊😊
@MlagwaSack-jn5bh
@MlagwaSack-jn5bh 2 ай бұрын
Jitu la miraba minne la kanda ya ziwa (madilu system wa bongo)
@patriceeliasspatriceeliass7424
@patriceeliasspatriceeliass7424 7 ай бұрын
b kweli sana
@MSUKUMA.OG.MWANZA
@MSUKUMA.OG.MWANZA 7 ай бұрын
tulihamo sana bhasukuma bichane
@stevenjoshua5866
@stevenjoshua5866 7 ай бұрын
Hizi ni zawachache kaka ni hatari
@felisterandrew8741
@felisterandrew8741 Ай бұрын
Baba fulaniii😂😂😂
@GidionChacha-x2i
@GidionChacha-x2i 7 ай бұрын
Hii hatr kaka pongez
@RobertJilunguMaliganya
@RobertJilunguMaliganya 7 ай бұрын
Noma sana
@NTEMI-OBURUDANI
@NTEMI-OBURUDANI 7 ай бұрын
Unyama mwingi 🎉🎉
@rogetichuo4687
@rogetichuo4687 7 ай бұрын
Mambo ni moto sasa kaka Bahati Bugalama
@LUCKASWASHA
@LUCKASWASHA 7 ай бұрын
Nakubali chuo
@RoseZakaria-mb1ju
@RoseZakaria-mb1ju 3 ай бұрын
Pg kaz kaka angu
@ManotiMabanza
@ManotiMabanza 7 ай бұрын
Ngoma. IPO mji. Wa. IFAKALA. Inatamba. Kama. Bendela. Ya. Nchi. Tz🇹🇿
Bahati Bugalama - Simu |official video
14:27
Makula Studios
Рет қаралды 177 М.
Bahati Bugalama - Shida |Official video
13:51
Makula Studios
Рет қаралды 606 М.
Cheerleader Transformation That Left Everyone Speechless! #shorts
00:27
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 16 МЛН
Try this prank with your friends 😂 @karina-kola
00:18
Andrey Grechka
Рет қаралды 9 МЛН
Quando eu quero Sushi (sem desperdiçar) 🍣
00:26
Los Wagners
Рет қаралды 15 МЛН
So Cute 🥰 who is better?
00:15
dednahype
Рет қаралды 19 МЛН
Juma Marco_Wivu_Official Video 4k
13:30
Juma Marco
Рет қаралды 50 М.
Bhudagala -  Bhuhabe [Official Music Video]
9:40
MAN VIDEO PRODUCTION
Рет қаралды 45 М.
Limbu luchagula x Mayiku sayi ft Shule_Zilipendwa_Official Video 4K
10:33
SAIDA KAROLI × KYZZOBOY OBIYO _omfudo Mwoyo (visualiz)
4:18
Kyzzoboy Obiyo
Рет қаралды 152 М.
BAHATI BUGALAMA BHUHABHI OFFICIAL AUDIO} MPYA
15:26
Kali video production
Рет қаралды 4,7 М.
Rogeti - Ng'wana Shimbi |official video 2024
14:22
Makula Studios
Рет қаралды 75 М.
KISIMA MAJABALA BHAZUNIJE PART 2 PROD • TOPHER INC 2024
10:19
W_Konk_Tm
Рет қаралды 158 М.
BEST OF BAHATI_BUGALAMA_REMIX_ASILI_VIDEO _DJ_WIPER
45:35
VEMA TV
Рет қаралды 7 М.
Kisima _Nahobakhe Official video
11:22
Kisima Majabala
Рет қаралды 94 М.
Cheerleader Transformation That Left Everyone Speechless! #shorts
00:27
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 16 МЛН