No video

Ngoma ya asili bakanchape nyarugusu camp ( sherehe ya mtoto wa dawa )

  Рет қаралды 31,033

og ishimalelo nyarugusu camp music top 10

og ishimalelo nyarugusu camp music top 10

Күн бұрын

iii nisherehe bora sana kufanyika apa nyarugusu
ni ngoma ya asili ya babondo kutoka nyarugusu camp ijulikanayo kama bakanchape
iii inafanyika bsada ya miezi sita ila kama ni emergency ndo wanaweza piga kewa siku zinazo fatana
#nyarugususherehe
#sherehe_nyarugusu_camp
#bakanchape

Пікірлер: 33
@amanirajabu5476
@amanirajabu5476 5 ай бұрын
Mbona wakamchape kazi yao ni kuchapa walozi tangia kambi ya nyarugusu iwepo hatujaona mulozi hata umoja kuchapwa na nyinyi wakamchape
@sergioramoelbougie1912
@sergioramoelbougie1912 Жыл бұрын
Zamani ukionekana una wa shika picha au una wa records video Lah ! Una kimbizwa vya atari
@astonsikomi9668
@astonsikomi9668 Жыл бұрын
Waliwaiiii nikimbizaaa awa wasenge😂😂 na shoka kisa nilipita na piki pikiii kwenye wako
@MAUWA122
@MAUWA122 Жыл бұрын
Mbona zamani walikuwa na kimbiza mtu akiwa na record mambo yao ivi ile asili yetu iliendanga wap au ma babu wamesha zoweya sim nahoo😂😂😂 ila ongera yenu
@peloabandelwa6927
@peloabandelwa6927 Жыл бұрын
Hiyo kweli😂😂😂😂
@melanieekyoci5988
@melanieekyoci5988 Жыл бұрын
Sikuizi wanadanganyaaa😂😂😂😂
@ecastephane5347
@ecastephane5347 Жыл бұрын
Ume uliza kama na mimi ninavyo kuaga najiuliza ila siku izi vijana ndio wamekua wengi na wanavyo fanya avifanani kabisa na zamani tukiwa wadogo
@Mwaliashaantoine
@Mwaliashaantoine Жыл бұрын
Sikuizi ni ngumu kuwakimbia wazungu, maana kila seemu wamewaandaa , hadi ma nyumbani mwa watu uta kuta vilivo jaa ni vitu vya wazungu tu , so ma babu zenu wamesha elewa , na awawezi ku watupa ata mu wakatae 😂 kwa uelewa wangu hao watu uwaga awapatani na wazungu pamoja na vitu vyao vyote zamani nyarugusu uzungu ulikuwa ahupo san, sasa wewe mwenyewe ulie andika hapo upo zako marecani tiari ushaanza jitenga na babu zako. 😂 kuusu swala lako la simu pia sina ufaamu huo hila kwa hio explanations nilio toa hapo kama ni muelewa utaelewa..........
@yohanainvisible
@yohanainvisible Жыл бұрын
niatari kweli na mababu wakisasa iko kama wanaingiaga ata WhatsApp
@sergioramoelbougie1912
@sergioramoelbougie1912 Жыл бұрын
Lakini kwa sasa mababu nao wana itaji kuonekana KZbin ahiii 🤣🤣
@nakishukamurande
@nakishukamurande Жыл бұрын
Kilakitu ni kuomba mizimu ruhusa tu ikikubali itakuja nakakuna itilafu yoyote shambe bene bwanga
@astonsikomi9668
@astonsikomi9668 Жыл бұрын
Wangapiii tumemuona mbona😂😂 anapigaaa ngoma
@k1mnge
@k1mnge Жыл бұрын
Part 2
@Amisikashindi.
@Amisikashindi. Жыл бұрын
🤭🤭
@Kiddayooo
@Kiddayooo Жыл бұрын
Asante kwa mambo haya jamani muwe mnaturushia haya mambo
@JacobToro-xl1zf
@JacobToro-xl1zf Жыл бұрын
nice
@Neema935
@Neema935 Жыл бұрын
Mababu wanakaa kwenye konu ao kwenye ngozi ya mynama fulani, siyo kwenye kiti yoyote.
@JacobToro-xl1zf
@JacobToro-xl1zf Жыл бұрын
bakanchape og
@Neema935
@Neema935 Жыл бұрын
Mbona zamani mababu, hawakukubali mtu kuvaa viatu, kofiya ,kitambaa na kujifinika nguo mabegani uwanjani kwao.
@farajamusic9672
@farajamusic9672 Жыл бұрын
Alisi iyo
@demakashindi8987
@demakashindi8987 Жыл бұрын
wanatumiya akili zao tu wanapendasifa mababu hakuna hiyo nikundi lavijana tu hukiwa nahamu yakitu hunahenda lakini hakuna mababu hapo
@AlingoVumahOrgOFFICIAL
@AlingoVumahOrgOFFICIAL 10 ай бұрын
Niatary
@user-wf8qn8mc4o
@user-wf8qn8mc4o Жыл бұрын
❤❤❤❤❤
@febbicrougeferooz2886
@febbicrougeferooz2886 9 ай бұрын
Mbele wafumu awakutaka camera ivi wanakubali ina maana mambo imebadilika.
@MoneeMusic-ql2xs
@MoneeMusic-ql2xs Жыл бұрын
nice pitia kwangu
@NeemaNeveck-ym6jd
@NeemaNeveck-ym6jd Жыл бұрын
Nc
@killerboi8756
@killerboi8756 Жыл бұрын
Hawa wa siku hiz fake kabis kipindi Akina marehem KONGOLO walikuwag wanakimbia camera
BIPEMBWE(official video)BANA MWANGAZA
9:23
BANA mwangaza group
Рет қаралды 8 М.
Нашли чужие сети в озере..💁🏼‍♀️🕸️🎣
00:34
Connoisseur BLIND420
Рет қаралды 3,5 МЛН
Running With Bigger And Bigger Feastables
00:17
MrBeast
Рет қаралды 129 МЛН
Пройди игру и получи 5 чупа-чупсов (2024)
00:49
Екатерина Ковалева
Рет қаралды 3,2 МЛН
Harley Quinn's revenge plan!!!#Harley Quinn #joker
00:59
Harley Quinn with the Joker
Рет қаралды 22 МЛН
MAZISHI YA MAMA SHABANI KIJIJI CHA D1 KAMBINI NYARUGUSU / PART 01
31:49
Masifa Entertainment
Рет қаралды 3,9 М.
Malkia wa ubembe  More moria kwenye mkutano wa Gestaman  1/8/2024
10:15
kiza Shukurani
Рет қаралды 1,6 М.
Malkia wa Ubembe jinsi walivyo fanya mambo moto moto kwenye mkutano.
17:07
FULL_SHOW-  bakanchape ngoma ya asili nyarugusu camps
1:03:53
og ishimalelo
Рет қаралды 1,7 М.
Нашли чужие сети в озере..💁🏼‍♀️🕸️🎣
00:34
Connoisseur BLIND420
Рет қаралды 3,5 МЛН